UEFA: REAL MADRID YAILAZIMISHA SARE CLUB BRUGGE
- Real Madrid baada ya kuwa nyuma kwa goli 2-0 hadi mapumziko, imefanikiwa kutoka sare ya goli 2-2 na Club Brugge baada ya dakika 90
- Mchezo huo wa Kundi A ulianza mapema muda mmoja na mchezo mwingine wa kundi C ambapo Shakhtar Donetsk imefanikiwa kuifunga Atlanta goli 2-1
- Aidha, Michezo inayofuata katika michuano hiyo ya barani Ulaya ni kama ionekanavyo kwenye picha

TISHIO LA EBOLA: UINGEREZA YAWATAHADHARISHA RAIA WAKE WAENDAO TANZANIA
- Uingereza imewatahadharisha raia wake wanaosafiri kwenda Tanzania juu ya uwezekano wa kuwepo kwa Ebola
- Tahadhari hiyo imekuja baada ya Marekani wiki iliyopita kuwaonya raia wake wajao Nchini
Zaidi, soma https://jamii.app/TahadhariEbolaUK-TZ

SHULE YA BARBRO JOHANSSON KURUDISHA BILIONI 1.6 ILIZOPOKEA KUTOKA KWA RUGEMALIRA
- Kauli hiyo imetolewa na Mbunge wa Muleba Kusini, Profesa Anna Tibaijuka amesema uongozi wa Shule utarejesha fedha hizo ili James Rugemalira aweze kutoka jela
Soma > https://jamii.app/BarbroRugemarila

DAR: LORI LA COCACOLA LAGONGANA NA DALADALA, WATU WAWILI WAJERUHIWA
- Ni katika ajali iliyotokea eneo la Ubungo External baada ya lori la Kampuni ya Cocacola lililokuwa likielekea Tabata kuacha njia na kuigonga daladala iliyokuwa ikielekea Ubungo
Zaidi, soma https://jamii.app/AjaliLoriCoke-DaladalaDSM

ALIYEKUWA MKURUGENZI WA MIPANGO-TAKUKURU AANDIKA BARUA KWA DPP
- Mkurugenzi wa Mipango, Ufuatiliaji na Tathmini wa TAKUKURU, Kulthum Mansoor ameandika barua kukiri makosa yake
- Anakabiliwa na mashtaka 8 likiwemo la kutakatisha Tsh. Bilioni 1.477
Zaidi, soma https://jamii.app/MfanyakaziTAKUKURUAandikaDPP

CHADEMA WALIMWA BARUA KWA KUTOFANYA UCHAGUZI WA VIONGOZI WA JUU WA CHAMA
- Msajili amefikia hatua hiyo ya kuandika barua baada ya viongozi Wakuu wa CHADEMA kuendelea kuongoza wakati uongozi wao ulikoma tarehe 14 Septemba 2019
Zaidi, soma => https://jamii.app/CHADEMAVsMsajili

ZITTO AJIUNGA KUPINGA KESI YA UKOMO WA URAIS, ASEMA WANALINDA UKUU WA KATIBA
> Zitto Kabwe, Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo ameungana na Serikali dhidi ya Dezydelius Mgoya (mkulima), aliyefungua kesi ya kikatiba kupinga Ibara ya 40 (2)
> Kwenye kesi hiyo, iliyopo Mahakama Kuu Kanda ya Dar, Mgoya ameitaka Mahakama kuondoa Ibara hiyo ili Rais aweze kugombea zaidi ya awamu mbili na akishinda aruhusiwe kuongoza nchi
Soma - https://jamii.app/ACTKesiUkomoUrais

KIGOMA: MGANGA WA KIENYEJI KIZIMBANI AKIDAIWA KUMBAKA MTOTO WA MIAKA 8
- Venas Edward(48) anatuhumiwa kumbaka Mtoto aliyepelekwa kwake na Mama yake ili atibiwe
- Alimuagiza Mama wa Mtoto aende kununua wembe na yeye akatenda kosa hilo
Soma > https://jamii.app/MgangaMahamaniKubaka

SPORTPESA YAWAFUTA KAZI WAFANYAKAZI 400 BAADA YA KUSITISHA BIASHARA KENYA
> Kampuni hiyo ya michezo ya kubashiri imewafukuza kazi wafanyakazi baada ya kusitisha shughuli zake kutokana na mvutano na Serikali baada ya leseni yao kusitishwa kwa tuhuma za kutolipa kodi
Soma - https://jamii.app/SportPesaSacksEmployees

FAHAMU KUHUSU UKOMO WA HEDHI KWA MWANAMKE
> Umri wa mwanamke kufikia ukomo wa hedhi huwa kati ya miaka 45-55, jambo hili linaweza pia kutokea mapema au linaweza isitokee hadi miaka 60 na zaidi
> Matatizo ya kawaida yanayohusiana na kipindi hicho ni kupata joto la ghafla mwilini, kuhisi baridi, kukosa usingizi na kuishiwa nguvu
> Mabadiliko ya homoni hasa kupungua kwa Estrogen huchangia kupungua kwa hamu ya tendo la ndoa, kutokufika kileleni mapema na kupata maumivu wakati wa tendo kutokana na uke kuwa mkavu/kusinyaa
Fahamu zaidi - https://jamii.app/AfyaUkomoHedhi

KUKATIKA KWA UMEME DAR: MUONGOZA MIFUMO ASIMAMISHWA KAZI
> Waziri Kalemani amemsimamisha kazi muongoza mifumo wa kituo cha kupoza umeme cha Ubungo, Samson Mwangalume baada ya umeme kukatika usiku wa kuamkia leo huku chanzo kikielezwa kuwa ni uzembe
Soma - https://jamii.app/SimamishoKaziUmeme

MBEYA: MKUU WA MKOA AWACHARAZA VIBOKO WANAFUNZI WALIOKAMATWA WAKIWA NA SIMU
> RC Albert Chalamila amewachapa viboko vitatu kila mmoja, Wanafunzi 14 wa Shule ya Sekondari Kiwanja
> Wanafunzi kumiliki simu kumetajwa kuwa chanzo cha mabweni kuteketea kwa moto Oktoba 1, 2019
Soma > https://jamii.app/RCMbyWanafunzi

MICHEZO: Klabu ya Ligi ya Kuu Soka nchini Ufaransa, Nice imemfuta kazi mchezaji wake, Lamine Diaby – Fadiga (18) baada ya kukiri kuiba saa ya mchezaji mwenzake, Kasper Dolberg yenye thamani ya paundi 62,000
-
Dolberg (21) aliibiwa saa yake katika chumba cha maandalizi mnamo Septemba 16, na kuripoti kisa hicho kwa maafisa wa Polisi
-
Fadiga anawakilisha Ufaransa katika kikosi cha wachezaji wasiozidi umri wa miaka 18

KAMPUNI 209 ZA UJENZI ZAFUTIWA USAJILI NA CRB
> Bodi ya Usajili wa Wakandarasi imezifutia usajili Kampuni hizo baada ya kushindwa kuendana na vigezo vya Bodi ikiwemo kushindwa kulipia ada ya leseni kwa miaka 2 mfululizo
> Kampuni zote hizo ni za wazawa
Soma - https://jamii.app/SitishoUsajiliKampuniUjenzi

BODI YA WAKURUGENZI WA MAMLAKA YA MAJISAFI NA USAFI WA MAZINGIRA MOROGORO YAVUNJWA
> Hatua hiyo imechukuliwa na Waziri wa Maji, Prof. Mbarawa kwa niaba ya Serikali
>Bodi hiyo inatuhumiwa kushindwa kutekeleza majukumu yake
Zaidi, soma => https://jamii.app/BodiMORUWASA

KENYA: UGONJWA USIOTAMBULIKA WAIBUKA KATIKA SHULE YA STAREHE
> Shule hiyo ya Wasichana imefungwa baada ya kugundulika kwa visa vya dalili za ugonjwa ambao bado haujatambulika
> Wanafunzi 52 wametengwa baada ya kukohoa sana, kupiga chafya na kupata homa kwa kiwango cha chini
Soma - https://jamii.app/StareheSchoolMysteryDisease

UGANDA: MWANAMKE AAZIMA MTOTO KUMLAGHAI MPENZI WAKE KUWA AMEJIFUNGUA
> Polisi wanamshikilia Annet Kabalisa aliyemgawa Mtoto wake wa miezi 3 kwa Annet Kobusinge ili amlaghai mpenzi wake Moses Musinguzi ili aendelee kutoa huduma
Soma > https://jamii.app/PolisiVsWomanUG

HONG KONG: WATUMISHI 2 WA SHIRIKA LA NDEGE LA AFRIKA KUSINI WAKAMATWA KWA KUSAFIRISHA #DAWAZAKUELEVYA
> Walikamatwa kwa tuhuma hizo kati ya tarehe 23 na 24, Septemba 2019
> Dawa hizo zinakadiriwa kuwa na thamani ya zaidi ya Tsh. Bilioni 6.8
Soma > https://jamii.app/SAAHongKong

TUNDU LISSU AINGIA MKATABA NA KAMPUNI YA KIMATAIFA YA HUDUMA ZA SHERIA KWA AJILI YA KULINDA HAKI ZAKE
> Lissu ameingia mkataba na Kampuni ya Amsterdam and Partners LLP itakayomsaidia kumsimamia katika masuala ya kisheria na Mahakama za Kimataifa
Soma >https://jamii.app/LissuLLP