ARUSHA: MWANAFUNZI AJIUA KWA KUJIPIGA RISASI KUTOKANA NA MSONGO WA MAWAZO
> Faisal Ibrahim (19), amejiua kwa kujipiga risasi kutokana msongo wa mawazo uliosababishwa na matumizi ya Dawa Za Kulevya kwa kutumia bunduki aina ya ‘Rifle Winchester’ inayomilikiwa na baba yake mzazi
Soma https://jamii.app/MwanafunziAjiuaDawaZaKulevya

NAIROBI, KENYA: MOTO WATEKETEZA SOKO LA GITHURAI 45
- Chanzo cha moto huo ulioteketeza mali ambazo bado thamani yake haijafahamika bado hakijajulikana
- Aidha, kiwanda cha kutengeneza samani pamoja na ghala lake vimeteketea
Zaidi, soma => https://jamii.app/MotoGithurai45

SADC KUSAIDIA ZIMBABWE KUONDOLEWA VIKWAZO, BURUNDI YATAKIWA KUKAMILISHA VIGEZO KUWA MWANACHAMA
> Pia, wamekubaliana kuendelea kufuatilia hali ya usalama nchini Congo na wameiagiza Sekretarieti kuharakisha chombo cha kukabiliana na majanga ktk nchi wanachama kama vile njaa, mafuriko, vimbunga, magonjwa ya mlipuko na mengineyo
Zaidi, soma - https://jamii.app/MaadhimioMkutanoSADC
#JFLeo

BULAWAYO, ZIMBABWE: POLISI WAZUIA MAANDAMANO YA WAPINZANI DHIDI YA SERIKALI, WASEMA YATAZUA GHASIA
- Maandamano hayo yalilenga kuipinga Serikali ya Rais Emmerson Mnangagwa wanayoituhumu kuwa utawala mbovu na kusababisha ugumu wa maisha
Soma => https://jamii.app/MaandamanoZimbabwe

IRINGA: MWALIMU AJIUA BAADA YA KUTUHUMIWA KUTUMIA FEDHA VIBAYA
> Mwalimu Mkuu wa Sekondari ya Mbalamaziwa, Roida Mbalwa amefariki baada ya kunywa sumu kwa kile kinachodaiwa ni baada ya kutuhumiwa kwenye mkutano na kiongozi mmoja kutumia fedha za ujenzi vibaya
> Inadaiwa alituhumiwa kusababisha hasara ya takribani Tsh. Milioni 200
Soma - https://jamii.app/MwlAjiuaUbadhilifu

KABENDERA AFIKISHWA MAHAKAMANI, UPELELEZI DHIDI YAKE HAUJAKAMILIKA
> Wakili Mwandamizi wa Serikali, Wankyo Simon ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwa upelelezi wa kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili Mwandishi wa Kujitegemea wa Habari za uchunguzi, Erick Kabendera bado haujakamilika
> Kesi imeahirishwa hadi Agosti 30, 2019
Soma - https://jamii.app/UpeleleziKesiKabendera

PARIS, UFARANSA: MUHUDUMU AUAWA KWA KUCHELEWESHA CHAKULA
- Ameuawa kwa kupigwa risasi na mteja anayedaiwa kukasirika baada ya kucheleweshewa 'Sandwich'
- Polisi inaendelea kuchunguza tukio hilo lililotokea Ijumaa katika eneo la Le-Grand
Soma https://jamii.app/AmuuaMuhudumuMgahawa-FRN

WALIOFARIKI KATIKA AJALI MOROGORO WAFIKIA 97
- Ni baada ya majeruhi wawili waliolazwa Hospitali ya Taifa Muhimbili kufariki dunia
- Hadi jana majeruhi 20 walikuwa wamelazwa katika chumba cha uangalizi maalum (ICU) huku madaktari wakijaribu kuokoa maisha yao

BENKI YA DUNIA YAKANUSHA TAARIFA ZA NCHI YA RWANDA KUPIKA TAKWIMU ZA UMASIKINI
> Imeeleza kuwa Taasisi ya Takwimu ya Rwanda(NISR) ilishiriki kikamilifu katika uchunguzi na majadiliano yenye nia ya kujenga wakati wa kupitia njia walizotumia kufanya utafiti wao hivyo si kweli kwamba walificha takwimu kwa manufaa ya kisiasa
Soma - https://jamii.app/WBDeniesFalsifieData

MICHEZO: Paris Saint Germain (PSG), imeanzisha mazungumzo ya kumsajili mshambuliaji wa Juventus, Paulo Dybala kabla ya dirisha la usajili wa Ulaya kufungwa Septemba 2
> Juventus inataka ilipwe Paundi milioni 73 dau ambalo awali lilikataliwa na Manchester United
#JFMichezo

KILIMO: YATAMBUE MAGONJWA YA KUKU NA TIBA ZAKE
> Kuku hushambuliwa na magonjwa mbalimbali ambayo mengine yanatibika na mengine hayana tiba. Baadhi ya magonjwa yasiyotibika ni Mahepe, Gumboro, Mdondo na Ndui ya Kuku
> Japokuwa magonjwa haya hayatibiki lakini unaweza wapatia kuku wako chanjo ili kuzuia maambukizi au kuenea kwa magonjwa haya
Kwa elimu zaidi, soma > https://jamii.app/KukuMagonjwaTiba
#JFLeo #JFKilimo

IGUNGA, TABORA: WATATU KIZIMBANII WAKITUHUMIWA KUMUUA MWANAMKE ALIYEDAIWA NI MCHAWI
- Watuhumiwa hao ni Sung’hwa Ngassa (54), Willson Sunhwa (30) na Sunhwa Nzumbi (39)
- Wanadaiwa kumuua Veronica Makumbi (55) mnamo Julai 28, 2019
Soma https://jamii.app/KizimbaniMauajiMama-TBR

MKURUGENZI WA TPDC ALIYERUDISHIWA WADHIFA NA RAIS MAGUFULI, AFUTIWA MASHTAKA
- James Mataragio na wenzake 4 wamefutiwa mashtaka baada ya DPP kutoonesha nia ya kuendelea na kesi
- Walikuwa wakikabiliwa na shtaka la matumizi mabaya ya madaraka
Zaidi, soma https://jamii.app/MkurugenziTPDCMashtaka

MICHEZO: Aliyekuwa Beki wa Chelsea na Arsenal, Ashley Cole ametangaza rasmi kustaafu soka na kuanza kuangalia uelekeo wa kutafuta sifa za ukocha
> Beki huyo amecheza michezo 107 ktk timu ya Taifa ya England, pia ameshinda kombe la England mara 2 akiwa na Arsernal

KILIMO: FAHAMU KUHUSU KILIMO CHA MBOGA MBOGA (FIGIRI)
> Mambo muhimu ya kuzingatia katika kilimo hiki ni kuaanda shamba kwa kulima vizuri na kuondoa nyasi/magugu, kisha kwatua vizuri ili kuulainisha udongo, mwaga mbolea katika shamba na mwagilia maji ili kutengeneza unyevunyevu wa kutosha
>Mwaga mbegu katika bustani kwa kurusha, ili zijichanganye na udogo na kuifanya iote kwa mpangilio na mwagilia bustani kila baada ya siku mbili
Kwa maelezo zaidi - https://jamii.app/KilimoFigiri
#JFKilimo

WAFIKISHWA MAHAKAMANI KWA TUHUMA ZA UZURURAJI NA UZEMBE
> Watu 29 wakiwemo wasichana na wavulana wamefikishwa katika Mahakama ya Mwanzo, Morogoro kwa kosa la uzembe na uzururaji na kudaiwa kujihusisha na biashara ya ngono
> Wanadaiwa kutenda kosa hilo Agosti 16, 2019 saa 6 usiku eneo la Kahumba
Soma - https://jamii.app/KizimbaniUzururajiNgono

SUDAN: OMAR AL-BASHIR ADAIWA KUKIRI KUPOKEA FEDHA KUTOKA SAUDI ARABIA
- Afisa wa upelelezi ameeleza hivyo Mahakamani leo wakati kesi ya Bashir ikisikilizwa
- Aprili mwaka huu, Dola za Kimarekani Milioni 113 ziligunduliwa nyumbani kwa Bashir
Zaidi, soma https://jamii.app/BashirFedhaSaudiArabia

SHINYANGA: WANNE MBARONI WAKIDAIWA KUUA KWA MALIPO YA MILIONI 2.2
- Wanadaiwa kumuua Mwanamke, Kalekwa Shiku (50) na mtoto wake Kuyonza Kubeja (30)
- Watuhumiwa hao ni Jumanne Kwangu, Daniel Kwangu, Emmanuel Kwangu na Mihayo Ferdinand
Zaidi, soma https://jamii.app/MbaroniMauaji-SHY

GEITA: AJINYONGA BAADA YA KUMUUA MWANAYE KWA KUMNYONGA
- Efrazia Maneno (22), anadaiwa kumuua mwanaye wa mwaka mmoja na miezi miwili kisha naye kujiua
- Alimnyonga mwanaye kwa kitambaa kisha naye kujinyonga kwa khanga kwenye mti wa mwembe
Zaidi, soma https://jamii.app/AmnyongaMwanayeAjinyonga-GIT

👍1
WAHUKUMIWA MIAKA 5 JELA KWA KUWAKEKETA WATOTO WAO
> Mahakama ya Wilaya ya Simanjiro Mkoani Manyara, imewahukumu kifungo cha miaka mitano jela, Thadei Parokwa (43) na mke wake Lowema Thadei (34), kwa kosa la kufanya ukatili dhidi ya watoto wao watatu kwa kuwakeketa
Soma - https://jamii.app/WazaziJelaUkeketaji