Mdau wa Jukwaa la Habari na Hoja Mchanganyiko ndani ya JamiiForums.com ameshauri unapotumia Mitandao ni vizuri ukakumbuka kuwa na adabu, kulinda Taarifa zako binafsi pamoja na kuzingatia Maudhui unayoyachapisha.
Je, huwa unazingatia vitu gani unapokuwa unatumia Mitandao?
Mjadala zaidi https://jamii.app/MatumiziYaMtandao
#JamiiForums #DigitalLiteracy #DigitalEmpowerment
#MatumiziYaMtandao #MtandaoSalama

❤2👍1
Kusoma kwa undani habari hizi na mengine yaliyojiri juma lililopita bofya https://jamii.app/YaliyojiriJumaLililopita
#JamiiForums #YaliyojiriJumaLililopita #JFToons

Wanahabari wanawajibika kuhakikisha Wananchi wanapata taarifa sahihi, zinazowasaidia kufanya maamuzi bora kuhusu Maisha yao na taifa lao
Tunapolinda Uhuru wa Vyombo vya Habari, tunalinda Haki ya kila Mtu kusema, kusikiliza, na kupata taarifa bila vizuizi.
#WorldPressFreedomDay #WPFD2025 #PressFreedom #MediaAndAI #AIForMedia

❤2
MBEYA: Ripoti ya Jeshi la Polisi Mkoa ndani ya miaka minne iliyopita imeeleza; Madini ya Dhahabu yenye thamani ya Tsh. Bilioni 1.81 yaliyotoroshwa yalikamatwa yakihusisha Watuhumiwa Tisa waliokamatwa
Pia, Nyara za Serikali zenye thamani ya Tsh. Bilioni 1.62 zilikamatwa zikihusisha Watuhumiwa 33 waliokamatwa (Wanaume 29, Wanawake 4)
Aidha, silaha 40 zisizokuwa na kibali (Gobole 29, S/gun 29, Riffle 3 na Bastola 2), Risasi 12 za shot gun, goroli 658 na kopo 9 zenye baruti vilikamatwa pamoja na Watuhumiwa 42.
Soma https://jamii.app/PolitiMbeyaTakwimu
#JamiiForums #JFMatukio #Accountability

👍1
Leo Aprili 7, 2025 ni Kumbukizi ya Miaka 53 tangu kifo cha Rais wa Kwanza wa #Zanzibar, Sheikh Abeid Amani Karume
Alikuwa mstari wa mbele katika kuleta Umoja wa Tanganyika na Zanzibar na alikuwa Makamu wa Rais wa Kwanza wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania huku Rais akiwa Mwl. Julius Kambarage Nyerere
Anaendelea kukumbukwa katika historia ya Tanzania kama Shujaa wa Uhuru na Mwasisi wa Muungano.
Soma Historia yake hapa https://jamii.app/KarumeDay53
#JamiiForums #KarumeDay2025 #JFKumbukizi

MWANZA: Watumishi wa Umma na Sekta Binafsi wameshauriwa kujifunza kuhusu Uwekezaji mapema ili kuhakikisha baada ya kustaafu wanaendelea kuishi Maisha mazuri, kama walivyokuwa kazini
Ushauri huo umetolewa na Afisa Masoko Mwandamizi, Kampuni ya Uwekezaji ya UTT – AMIS, Rahim Mwanga, ambapo ameeleza “Tukijijengea utamaduni wa kuwekeza mapema kutatusaidia Wafanyakazi kuepuka changamoto za Kifedha baada ya kustaafu na kuwa na Maisha ya uhakika.”
Amesema hayo wakati wa mafunzo ya Elimu ya Fedha yaliyotolewa kwa Watumishi wa Halmashauri hiyo na Wataalamu kutoka Wizara ya Fedha na Taasisi zake
Soma https://jamii.app/KustaafuMaandalizi
#JamiiForums

Eeeh Mdau, Siri ya Furaha na Amani kwenye Maisha yako ni nini?
Mjadala zaidi https://jamii.app/WatuWasemavyo
#JamiiForums #JFChitChats #Lifestyle #LifeLessons

👍2
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
DAR: Akizungumzia maandalizi ya usalama kuelekea mchezo wa Aprili 9, 2025 dhidi ya Al Masry ya Misri, Mtendaji Mkuu wa Simba SC, Zubeda Sakuru amesema maandalizi yapo vizuri na “Wale ambao mechi haiwahusu wabaki nyumbani”
Amesema “Katika mchezo uliopita walisema maneno mengi kwamba kuna Wazee wafupi, Mbuzi lakini tuwatumie ujumbe kwamba kama mechi haikuhusu baki nyumbani na sisi tumejiandaa kuthibiti hilo kama klabu. Hatutaruhusu mtu yeyote ambaye sio Mwanasimba kutuharibia shughuli yetu.”
Simba itakuwa mwenyeji wa mchezo huo wa marudio wa Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika kwenye Uwanja wa Mkapa baada ya kupoteza kwa Magoli 2-0, Aprili 2, 2025.
Soma https://jamii.app/CEOSimba
#JFSports #JamiiForums #CAFCC

👍2❤1
Vitisho, Unyanyasaji, au Vurugu ni hatua ya kuzuia Haki ya kupata taarifa sahihi na za uhakika
Kuandika na kutoa maoni ni sehemu ya Uhuru wa Kujieleza na ni muhimu kwa ufanisi wa #Demokrasia.
#WorldPressFreedomDay #WPFD2025 #PressFreedom #MediaAndAI #AIForMedia
Kuandika na kutoa maoni ni sehemu ya Uhuru wa Kujieleza na ni muhimu kwa ufanisi wa #Demokrasia.
#WorldPressFreedomDay #WPFD2025 #PressFreedom #MediaAndAI #AIForMedia
DODOMA: Mkutano wa 19 wa Bunge la 12 unatarajiwa kuanza leo Jumanne Aprili 8, 2025, mahususi kwa ajili ya kujadili na kuidhinisha Bajeti ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2025/2026
Taarifa iliyotolewa na Ofisi ya Bunge imeeleza ratiba kamili ya shughuli za Mkutano huo itatangazwa leo Aprili 8 mara baada ya kikao cha Kamati ya Uongozi
Mdau unatarajia nini kutoka katika Mkutano huo?
Soma https://jamii.app/BungeAprili8
#JamiiForums #Governance

This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
LINDI: Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (#CHADEMA), #TunduLissu amesema suala la Kikokotoo ni changamoto kwa Askari na Watumishi Wastaafu
Amesema hayo alipozungumza na Wananchi katika Mkutano wa hadhara Nachingwea, Aprili 6, 2025
Soma https://jamii.app/LissuNachingwea
Video Credits: MK TV
#JamiiForums #Siasa #Kuelekea2025 #UchaguziMkuu2025

CHINA: Uongozi wa Mji wa Beijing umetoa maelezo kuwa Shule zote za Jiji hilo zinatakiwa kutoa angalau Saa Nane ndani ya Mwaka wa Masomo kwa Wanafunzi kufundishwa kuhusu Akili Mnemba (AI)
Wanafunzi wanatakiwa kufundishwa AI katika somo linalojitegemea au linaweza kuingia katika masomo yaliyopo ya Sayansi na Teknolojia ya Habari
Wanafunzi wenye umri wa Miaka 6 hadi 12 watatakiwa kupata elimu hiyo kisha itaendelea hadi kwa Ngazi za Juu huku kila ngazi ikiwa na levo yake ya kujifunza #AI
Soma https://jamii.app/AIInChina
#JamiiForums #JFDigital #Technology #DigitalWorld
Wanafunzi wanatakiwa kufundishwa AI katika somo linalojitegemea au linaweza kuingia katika masomo yaliyopo ya Sayansi na Teknolojia ya Habari
Wanafunzi wenye umri wa Miaka 6 hadi 12 watatakiwa kupata elimu hiyo kisha itaendelea hadi kwa Ngazi za Juu huku kila ngazi ikiwa na levo yake ya kujifunza #AI
Soma https://jamii.app/AIInChina
#JamiiForums #JFDigital #Technology #DigitalWorld
👍1
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
MBEYA: Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) kimependekeza na kuishauri Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) kufanya mabadiliko kwa Wasimamizi wa Uchaguzi kikisisitiza Wakurugenzi wasiwe Wasimamizi wa Uchaguzi wa Majimbo kwa kuwa hao ni Makada wa Vyama vingine vya Siasa
Akizungumza Aprili 7, 2025 na Waandishi wa Habari, Katibu Mwenezi wa CHAUMMA Taifa, Ipyana Njiku amesema katika Kikao cha Halmashauri Kuu ya Chama hicho cha Februari 19, 2025 kiliazimia kushiriki Uchaguzi katika nafasi zote na kutoa mwelekeo wa Nchi kwa Miaka mitano ijayo
Soma https://jamii.app/ChaummaINEC
#JamiiForums #UchaguziMkuu2025 #Democracy

Kutokujiamini, Kutojifunza kwa waliokuzidi na Kutokujiwekeza Kiujuzi na Kielimu ni baadhi ya mambo ambayo Mshiriki wa Stories of Change 2022 ameyataja kama makosa ambayo Vijana wengi huyafanya kwenye Miaka yao ya 20 na kusababisha Maisha yao kuwa Magumu baadaye
Soma zaidi https://jamii.app/MakosaUjanaSOC22
#JamiiForums #SOC2022 #Maisha #LifeLessons