SHONZA: MAAFISA WA MAENDELEO YA JAMII SIKU HIZI HAWAFANYI MAJUKUMU YAO
- Mbunge wa Viti Maalum amesema kumekuwa na matukio mengi ya kunyanyasa Watoto yanayoisha kinyemela huku Maafisa waliopewa kazi ya kuyatatua wakiwa hawafanyi hivyo
Soma - https://jamii.app/ShonzaUkatiliJamii

NDUGAI: WABUNGE KUWENI MAKINI NA BODABODA MNAOWATUMIA
- Spika wa Bunge la Tanzania amesema "Sina shida na usafiri huu lakini nawaomba umakini na kuwa na uhakika na Dereva wa Bodaboda kwasababu kupatikana kwenu ni kwa gharama kubwa"
Soma - https://jamii.app/NdugaiBodaboda

HAKI YA KUSAHAULIKA KATIKA MITANDAO YA KIJAMII NA INTANETI KWA UJUMLA
- Haki hii imetokana na maendeleo ya teknolojia hasa kutokana na uhalisia kuwa intaneti inakusanya taarifa nyingi za watumiaji wake
- Mataifa mengi yameanza kuitambua #Haki
Soma > https://jamii.app/HakiKusahaulika

KENYA: RUTO ATETEA UAMUZI WA KUPATA CHANJO YA SPUTNIK-V
- Naibu Rais William Ruto amesema Viongozi wengine akiwemo Rais Uhuru Kenyatta walipoamua kupata Chanjo ya #AstraZeneca, inawezekana kuna mtu alisahau kumpa mwaliko wa tukio hilo
Soma > https://jamii.app/RutoSputnikV

DALILI ZA NJE ZA MTU
MWENYE MSONGO WA MAWAZO
- Kujitenga ghafla na marafiki, familia na jamii
- Kuongeza kiwango cha matumizi ya #pombe na #DawaZaKulevya
- Tabia ya ukali ya ghafla na mabadiliko makubwa ya mhemko (mood swing)
Soma > https://jamii.app/DaliliMsongoMawazo
#JamiiTalks

NAIBU WAZIRI: NI KWELI BILA MATANGAZO UTALII HAUWEZI KUENDELEZWA
- Mary Masanja amesema hayo akimjibu Mbunge kuhusu mkakati wa kutangaza Vivutio vya Kusini
- Naibu Waziri wa Utalii asema bila kuimarisha Miundombinu kutangaza Vivutio ni changamoto
Soma > https://jamii.app/VivutioUtalii

UN: UBAKAJI UNATUMIWA KAMA SILAHA YA VITA KWENYE MAPIGANO YA #TIGRAY
- Wanawake na Wasichana wadogo wa hadi miaka 8 wamebakwa huku visa vingi vikifanywa na Vikosi vya Usalama
- Kesi 829 za Unyanyasaji wa Kijinsia zimeripotiwa tangu mzozo kuanza
Soma - https://jamii.app/ViolenceTigray

WAZIRI MKUU WA #HAITI AJIUZULU HUKU MAANDAMANO YAKIENDELEA KWA MIEZI 6
- Joseph Jouthe amejiuzulu baada ya kushika Madaraka tangu Machi 2, 2020
- Maandamano yamekuwepo tangu Oktoba 2020 ambapo Wananchi wanamtaka Rais Jovenel Moise aondoke
Soma - https://jamii.app/JoutheResigns

MAJALIWA: MKAKATI WA DODOMA KUWA MAKAO MAKUU UTAENDELEA
- Akiwa Bungeni Waziri Mkuu amewatoa hofu waliofikiri mkakati hautoendelea akisisitiza Dodoma inaendelea vizuri
- Asema "Shughuli zote za Serikali zinafanywa, ujenzi wa miundombinu unaendelea"
Soma https://jamii.app/PMDodoma

HALIMA MDEE: SERIKALI ILIPE DENI INALODAIWA KATIKA MIFUKO YA HIFADHI ZA JAMII
- Amesema Mifuko ya Jamii huisaidia Serikali kufanya shughuli za Kimaendeleo kwa kukopa kwa riba na kulipa lakini kwa Tanzania Serikali na Taasisi zake hazilipi
Soma - https://jamii.app/MdeeDeniMafao

SPIKA NDUGAI: TUNA TATIZO LA UAMINIFU KATIKA NCHI YETU
- Amesema Waswahili wengi wakiwekwa mahali kufanya kazi ni lazima wataiba/kupiga kwasababu ya kukosa Uaminifu
- Asema Wawekezaji wengi wamekuwa wakilalamikia hilo hasa kwa Vijana
Angalia - https://youtu.be/243pohKOugU

UCHAGUZI TLS: DKT. HOSEAH ATANGAZWA MSHINDI
- Dkt. Edward Hoseah amechaguliwa kuwa Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika kwa Kura 293
- Flaviana Charles amepata Kura 223, Shehzada Walli 192, Albert Msando 69 na Francis Stolla 17
Soma https://jamii.app/UchaguziTLS

WAZIRI JENISTA: TUSIPOONDOA UDUMAVU TUTAKUWA NA WATOTO WASIOFANYA VIZURI
- Amesema kuna Mikoa inafanya vizuri ktk Uzalishaji lakini kiwango cha Utapiamlo na Udumavu bado kipo juu
- Asema kiwango cha Iringa kimefikia 47.1% huku Songwe ikiwa 43.3%
Soma > https://jamii.app/MikoaUdumavu

MWAMBE: TUMUACHE RAIS, ANAFAHAMU WAPI ATAFIKISHA NCHI
- Waziri Geoffrey Mwambe amesema anatamani wale wanaojaribu kutoa ushauri wa 'hapa na pale' kuhusu nini Rais afanye wampe nafasi afanye kazi yake
- Asema, "Alikuwepo kwenye kupanga mipango"
Soma > https://jamii.app/MwambeBungeni

UTEUZI: RAIS SAMIA ATEUA WASAIDIZI WA OFISI YA RAIS, IKULU
> Said Ali Juma anakuwa Mnikulu
> Dkt. Blandina Kilama anakuwa Mshauri wa Rais, Uchumi
> Dkt. Salim Othman, Msaidizi wa Rais - Siasa
Zaidi, soma https://jamii.app/UteuziApril16

URUSI YAWAFUKUZA WANADIPLOMASIA 10 WA MAREKANI
- Ni katika hatua ya kulipiza kisasi baada ya kuwekewa vikwazo na Marekani
- Urusi imekana tuhuma dhidi yake na kusema huu ni wakati wa Marekani kugeuza mwenendo wa uhusiano wa Mataifa hayo
Soma > https://jamii.app/UrusiMarekani

FAHAMU KUHUSU KILIMO CHA UYOGA
- Mdau anasema aina za Uyoga zinazofaa kulimwa #Tanzania ni zile zinazostawi vizuri kwenye maeneo ya joto la wastani wa nyuzi 20c hadi 33c
- Malighafi zitumikazo kuzalisha Uyoga ni mabua, majani ya mpunga, ngano, pumba za mpunga au mahindi, masalia ya miwa baada ya kukamua ambayo hukatwa, huchemshwa na kutandazwa kwaajili ya mbengu kupandwa
Zaidi, soma - https://jamii.app/KilimoUyoga
#JFKilimo

MAREKANI: UCHAGUZI WA UGANDA ULICHAKACHULIWA. YAWEKA VIKWAZO KWA MAAFISA WA SERIKALI
Marekani imesema inaweka vikwazo kwa Maafisa waliodhoofisha mchakato wa #Demokrasia hasa wakati wa Uchaguzi uliofanyika Januari 2021 na kipindi cha Kampeni
Soma https://jamii.app/USSanctionsUG

TUNISIA: WATU 41 WAPOTEZA MAISHA BAADA YA BOTI KUZAMA
- Walikuwa wakijaribu kufika Kisiwa cha Italia cha Lampedusa
- Mwezi uliopita wahamiaji na wakimbizi 39 walipoteza maisha na Juni 2020 takriban watu 60 walifariki dunia baada ya boti kuzama
Soma > https://jamii.app/41BotiTunisia

CUBA KUTOKUWA NA KIONGOZI ANAYEITWA CASTRO BAADA YA MIAKA 62
- RaΓΊl Castro anatarajiwa kuachia Madaraka kama Katibu Mkuu wa Chama, cheo kinachotajwa kuwa na nguvu kuliko cha Rais
- Aliingia Madarakani 2008 baada ya Afya ya Fidel Castro kudhoofika
Soma https://jamii.app/CubaCastro

FAHAMU NAMNA YA KUWATOFAUTISHA CHIPMUNK NA KINDI (SQUIRREL)
- Chipmunk wana mistari 7 katika miili yao, mstari mmoja mweusi unaopita mgongoni na mistari 3 kila upande
- Kindi ana mistari 13, mistari 7 myeusi yenye vidoti vyeupe ikitenganishwa na mistari myeupe. Mistari yote inaenda hadi kichwani
- Chipmunks wana masikio yaliyosimama na yenye umbo la duara wakati Kindi wana masikio mafupi ambayo hayajatokeza juu ya kichwa
- Chipmunks wana mkia wenye manyoya mengi na mara zote unanyanyuka juu wakiwa wanatembea. Kindi wana mkia usio na manyoya mengi na haunyanyuki juu anapotembea
#JamiiForums