MAN. CITY YACHEZEA KIPIGO KIZITO MBELE YA LEICESTER
> Manchester City ikiwa nyumbani katika uwanja wa Etihad imejikuta ikiambulia kipigo cha goli 5-2 kutoka kwa Leicester City katika mchezo wa Ligi Kuu ya England
> Leicester City inaongoza Ligi kwa tofauti ya magoli ikiwa na alama 9 huku Manchester City ikiwa katika nafasi ya 13 na alama 3
-
#JamiiForums #JFMichezo #Michezo #Sports #JFSports

DHAHAMA: MAN. UTD YAKUNGβUTWA GOLI 6-1 OLD TRAFFORD
- Manchester United imejikuta katika wakati mgumu baada ya kufungwa goli 6-1 na Tottenham Hotspurs katika mchezo wa Ligi Kuu Soka England, mzunguko wa 4
- Man. Utd imefungwa magoli manne katika kipindi cha kwanza kwenye mchezo wa Premier League kwa mara ya kwanza. Huu ni mchezo wao wa 1,079 katika michuano hii
#JamiiForums #JFSports #JFMichezo #Michezo #Sports

LIVERPOOL YAKUMBANA NA KIPIGO CHA βMBWA KOKOβ KUTOKA KWA ASTON VILLA
- Bingwa Mtetezi wa Ligi Kuu Soka England, Liverpool imekumbana na kipigo kizito cha goli 7-2 kutoka kwa Aston Villa katika mchezo wa Ligi hiyo
- Liverpool ni Bingwa Mtetezi wa kwanza wa Ligi Kuu Soka England kufungwa goli 7 katika mchezo mmoja wa Ligi hiyo tangu Arsenal ifungwe hivyo na Sunderland mnamo Septemba 1953
#JamiiForums #JFSports #JFMichezo #Sports #Michezo

LIGI KUU ENGLAND: LIVERPOOL NA EVERTON ZATOSHANA NGUVU
- Mchezo wa βMerseyside Derbyβ wa mzunguko wa 5 wa Ligi Kuu England kati ya Liverpool na Everton umemalizika kwa timu hizo kufungana goli 2-2
- Mechi inayofuata sasa ni kati ya Chelsea na Southampton na baadaye, Manchester City na Arsenal zitapimana ubavu kabla ya Manchester United kukipiga na Newcastle
#Michezo #Sports #JamiiForums #JFSports #JFMichezo

LIGI KUU ENGLAND: CHELSEA YALAZIMISHWA SARE NYUMBANI
- Klabu ya Chelsea imetoka sare ya goli 3-3 na Klabu ya Southampton katika mchezo wa Ligi hiyo mzunguko wa 5
- Mchezo unaofuata ni kati ya Manchester City na Arsenal na kisha Manchester United itapambana na Newcastle
#JamiiForums #JFSports #JFMichezo #Michezo #Sports
- Klabu ya Chelsea imetoka sare ya goli 3-3 na Klabu ya Southampton katika mchezo wa Ligi hiyo mzunguko wa 5
- Mchezo unaofuata ni kati ya Manchester City na Arsenal na kisha Manchester United itapambana na Newcastle
#JamiiForums #JFSports #JFMichezo #Michezo #Sports
HALF TIME: REAL MADRID AFUNGWA TATU BILA
> Nusu Kipindi cha mchezo kati ya Real Madrid dhidi ya Shakhtar Donestsk, Real Madrid amefungwa bao tatu bila
> Klabu ya Mpira ya Shakhtar Donetsk ni timu ya tatu kwenye Ligi ya Premier ya Ukraine
#JamiiForums #JFMichezo #JFSports #Sports

This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
PSG v BASAKSEHIR: MANENO YA UBAGUZI YAPELEKEA WACHEZAJI KUTOKA UWANJANI
- Mchezo wa PSG na Istanbul Basaksehir umeahirishwa baada ya Wachezaji wa timu zote mbili kutoka uwanjani
- Wachezaji wamtuhumu Mwamuzi wa Nne kwa matamshi ya kibaguzi
#Michezo #Sports #JFSports #JFMichezo https://t.co/p5AntPFZso

UEFA: BARCELONA KUIKABILI PSG, CHELSEA KUPAMBANA NA ATLETICO
- Droo ya hatua ya 16 Bora ya Michuano ya Ulaya imefanyika leo ambapo Liverpool itakumbana na Leipzig
- Mechi za kwanza zitachezwa tarehe 16, 17, 23 na 24 Februari, 2021 huku mechi za marudiano zikiwa 9,10, 16 na 17 Machi, 2021
#JFMichezo #JFSports

MICHEZO: PSG YAMFUKUZA KAZI KOCHA WAKE
- Klabu ya Paris Saint Germain imemfuta kazi Kocha Thomas Tuchel (47) kwasababu ya kutoridhishwa na matokeo ya hivi karibuni
- PSG inashika nafasi ya tatu katika Msimamo wa Ligi Kuu ikiwa na alama 35
#JamiiForums #JFMichezo #Sports

LIGI YA MABIGWA AFRIKA: SIMBA KUNDI MOJA NA AL ALHLY NA AL-MERRIKH
- Klabu ya Simba baada ya kufanikiwa kutinga hatua ya Makundi, imepangwa Kundi A
- Katika kundi hilo ipo pamoja na Al-Merrikh (Sudan), As Vita Club (DR Congo) na Al Ahly (Misri)
#JFSport #JFMichezo

YANGA NA NAMUNGO ZATOKA SULUHU
Namungo ya Lindi imetoka suluhu na Yanga SC kwa kutofungana katika Mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara
> Mchezo ulichezwa Uwanja wa Majaliwa ulio mkoani Lindi
#JamiiForums #JFMichezo

ZANZIBAR: Mchezo wa ngumi Zanzibar ulizuiwa kwa miaka mingi baada ya Rais Abeid Karume kuuzuia mchezo huo mwishoni mwa miaka ya 1960. Leo, Agosti 27, 2023 Rais Hussein Mwinyi amezindua mchezo huo baada ya zuio kuondolewa
> Rais Mwinyi amesema mchezo wa ngumi unatoa fursa kwa vijana na vijana watakaofaidika na ngumi sio Wapiganaji tu, bali Wadau wote wa Mchezo huo
Soma https://jamii.app/NgumiZnz
#JFMichezo #JamiiForums

ZANZIBAR: Bondia Karim Mandonga amepigwa kwa pointi na Othmani Kiluwa katika pambano la Tamasha la Uzinduzi wa Mchezo wa Ngumi Zanzibar
Pambano hilo la Raundi Sita limeshuhudiwa na Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi ambaye amezindua mashindano hayo yaliyopigwa marufuku Kisiwani hapo zaidi ya mika 50 iliyopita ambapo Majaji wote watatu wamempa ushindi Kiluwa kwa pointi 55-56, 56-58 na 55-59
Hii ni mara ya tatu mfululizo Mandonga kupigwa. Julai 22 alipoteza pambano la marudiano na Mkenya Daniel Wanyonyi, na Julai 29 alipoteza pambano dhidi ya mganda Moses Golola

ZANZIBAR: Bondia kutoka Dar, Abdallah Pazi, maarufu kama Dullah Mbabe amemshinda kwa βKnock Outβ mpinzani wake kutoka Zanzibar, Mussa Nassor 'Banja' kwenye mzunguko wa kwanza
Banja alianguka na kulala chini akiwa amejikunja baada ya kushindwa kuvimilia ngumi za Dullah hali iliyomfanya refa kumaliza pambano. Mchezo huu ni katika Tamasha la Uzinduzi wa Ngumi Zanzibar
Soma https://jamii.app/NgumiZnz
#JFMichezo #JamiiForums
Banja alianguka na kulala chini akiwa amejikunja baada ya kushindwa kuvimilia ngumi za Dullah hali iliyomfanya refa kumaliza pambano. Mchezo huu ni katika Tamasha la Uzinduzi wa Ngumi Zanzibar
Soma https://jamii.app/NgumiZnz
#JFMichezo #JamiiForums
ZANZIBAR: Bondia kutoka Zanzibar, Khamis Muay Thai ameshindwa kwa kusalimu amri kwa bondia kutoka Dar es Salaam, Ibrahim Class katika raundi ya 7 kwenye pambano la raundi 8
Khamis alinyoosha mikono juu kuashiria kuwa hataki kuendelea na pambano baada ya kuelemewa kuanzia raundi ya 6. Pambano hili limefanyika Viwanja vya Mao Tse Tung, Zanzibar katika Tamasha la Uzinduzi wa Mchezo wa Ngumi Zanzibar
Soma https://jamii.app/NgumiZnz
#JFMichezo #JamiiForums
Khamis alinyoosha mikono juu kuashiria kuwa hataki kuendelea na pambano baada ya kuelemewa kuanzia raundi ya 6. Pambano hili limefanyika Viwanja vya Mao Tse Tung, Zanzibar katika Tamasha la Uzinduzi wa Mchezo wa Ngumi Zanzibar
Soma https://jamii.app/NgumiZnz
#JFMichezo #JamiiForums
Magoli ya Afrika Kusini yamefungwa na E. Makgopa katika dakika ya 57 na T. Mokoena dakika ya 95 ya mchezo
-
#JamiiForums #JFSports #JFMichezo
-
#JamiiForums #JFSports #JFMichezo
Mdau kutoka JamiiForums.com kwenye Jukwaa la Michezo (Jamii Sports) amekuja na Kikosi chake kwa Timu ya Simba kwenye Mchezo wao dhidi ya Al Ahly utakaopigwa Siku ya Ijumaa, Machi 29, 2024.
Unakubaliana na kikosi chake?
Mjadala zaidi bofya https://jamii.app/KikosiSimba
#JamiiForums #JFSports #JFMichezo
Unakubaliana na kikosi chake?
Mjadala zaidi bofya https://jamii.app/KikosiSimba
#JamiiForums #JFSports #JFMichezo
Unauzungumziaje ushauri huu wa Mdau kutoka JamiiForums.com kwenye Jukwaa la Michezo (Jamii Sports)? Kapiga kwenye mshono au oyaoya?
Kwa mjadala zaidi https://jamii.app/MechiYanga
#JamiiForums #JFSports #JFMichezo
Kwa mjadala zaidi https://jamii.app/MechiYanga
#JamiiForums #JFSports #JFMichezo
#MICHEZO: Dirisha dogo la Usajili wa Januari 2025 limefungwa siku chache zilizopita, Klabu za Premier League zimetumia takriban Pauni Bilioni 2 (Tsh. Trilioni 6.3) katika madisha mawili ya 2024-25 season
Brighton ambayo imekuwa na matokeo ya kuridhisha msimu huu ndio ambayo imetumia fedha nyingi kuliko timu nyingine zote, imetumia Pauni Milioni 231.4 (Tsh. Bilioni 732.5) kwa muda huo
Soma https://jamii.app/KlabuUsajiliMsimu

#MICHEZO: Shirikisho la Soka Afrika (CAF) limeuruhusu Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam kutumika kwa michezo ya Robo Fainali na Nusu Fainali Ligi ya Mabingwa Afrika (CAF CL) na Kombe la Shirikisho Afrika (CAF CC) 2024/2025
Taarifa ya Shirikisho la Soka Tanzania (#TFF) imeeleza Uwanja huo umeruhusiwa baada ya Ukaguzi uliofanywa na Wakaguzi wa #CAF hivi karibuni na kuwa CAF inaendelea kufuatilia kwa karibu maboresho yanayoendelea kwenye uwanja huo
Timu ya #Simba ambayo ipo Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho inatarajiwa kucheza dhidi ya Al Masry ya Misri mnamo Aprili 2, 2025 Nchini Misri, mchezo wa marudio utapigwa Uwanja wa Mkapa (Aprili 9, 2025)
Soma https://jamii.app/CAFSimbaUwanja
#JamiiForums #JFMichezo #JFSports