UNICEF: WATU BILIONI 1.8 WANATEGEMEA VITUO VYA AFYA VISIVYO NA MAJI
> Ripoti ya UNICEF imesema, ukosefu wa Maji na Sabuni huwaweka wagonjwa ktk hatari ya kupata #COVID19
> Hali ni mbaya nchi zinazoendelea ambapo Kituo 1 kati ya 2 hukosa maji
Soma https://jamii.app/HealthCentresWASH

IRAN YAMNYONGA MWANAHABARI KWA KUHAMASISHA MAANDAMANO 2017
- #Iran imetekeleza adhabu ya kifo dhidi ya Mwandishi wa Habari, Ruhollah Zam, kutokana na kazi zake za mtandaoni zilizohamasisha maandamano ya kuipinga Serikali mwaka 2017
Soma - https://jamii.app/RuhollahExecution

IBM: WADUKUZI WANAILENGA CHANJO YA #COVID19
- Watafiti wanasema, 'Phishing Emails' zimekuwa zikitumwa kwa Mashirika yanayosambaza chanjo tangu Septemba 2020
- Maeneo lengwa ni Ujerumani, Italia, Korea Kusini, Ulaya, Czech na Taiwan
Soma https://jamii.app/CoronaCyberAttacks
#DigitalSecurity

UN: ADHABU YA KIFO HAIPUNGUZI UHALIFU
> UN imesema kila mtu ana haki ya kuishi hivyo inachagiza kuondolewa kwa adhabu ya kifo
> Mataifa wanachama 170 hayaitekelezi adhabu hiyo na wengine wameifuta, lakini bado wafungwa hupewa hukumu hiyo
Soma https://jamii.app/UNDeathPenalty

ARUSHA: SERIKALI YATOA SIKU 14 KWA WAMILIKI WA DAY CARE KUREKEBISHA KASORO
- Katibu Mkuu Wizara ya #Afya ametembelea baadhi ya vituo na kubaini kutozingatiwa kwa masharti ya utoaji wa huduma kwa Watoto kwa mujibu wa Sheria na Miongozo
Soma - https://jamii.app/KasoroDayCare
#JFLeo #DayCare

MAREKANI: WATU 4 WACHOMWA VISU KWENYE MAANDAMANO YA WAFUASI WA TRUMP
- Wafuasi wa Rais Donald Trump wanaandamana kupinga uamuzi wa Mahakama Kuu kukataa kubatilisha matokeo ya Urais katika Majimbo 4 licha ya Trump kushinikiza suala hilo
Soma - https://jamii.app/4StabbedDCProtest
#USElection

TANAPA: RAIA KULIPIA ILI FARU WAWE NA MAJINA YAO
>Kamishna Msaidizi wa TANAPA, John Nyamhanga amesema, suala la kuwapa faru majina ya watu litaanza baada ya kuwajengea boma wanyama hao na utaratibu wa kupanga bei utakapokamilika
Soma https://jamii.app/RhinoNames

AFYA: FAHAMU TATIZO LA KUKOSA USINGIZI NA SABABU ZAKE (1)
- #Insomnia ni tatizo la kukosa usingizi japokuwa una fursa ya kuweza kulala. Tatizo hili linaweza kuwa ni la muda mfupi au la muda mrefu ambapo mtu hushindwa kulala au kupata usingizi mzuri kwa miezi 6 au zaidi
- Husababishwa na upungufu wa Melatonini Hormone ambayo husaidia kudhibiti mzunguko wa kulala na kuamka (Biological Clock). Pia, Matatizo ya Kiafya ikiwemo Magonjwa ya Moyo, Ini, Figo, Mapafu, Kongosho, Uti wa Mgongo au Msongo wa Mawazo huweza sababisha tatizo hili
Soma - https://jamii.app/InsomniaDisease
#HealthCare

TUHUMA ZA UTOROSHAJI WA MADINI SOKO LA CHUNYA
> Waziri wa Madini amemvua Madaraka Mwenyekiti wa Soko hilo na kuwasimamisha kazi Wafanyakazi 3
> Pia, amefuta leseni za wachimbaji 5 na kuagiza kukamatwa kwa Mawakala na Wanunuzi 15 wa #Dhahabu
Soma https://jamii.app/HatuaMadiniChunya

URENO KUISAIDIA MSUMBIJI KUKABILIANA NA WANAMGAMBO
> #Ureno imetangaza kupeleka majeshi yake Msumbiji ili kukabiliana na wanamgambo huko Cabo Delgado
> Eneo hilo lenye utajiri mkubwa wa gesi limekuwa na ghasia, zaidi ya watu 2000 wameshauawa
Soma https://jamii.app/Mozambique

UEFA: BARCELONA KUIKABILI PSG, CHELSEA KUPAMBANA NA ATLETICO
- Droo ya hatua ya 16 Bora ya Michuano ya Ulaya imefanyika leo ambapo Liverpool itakumbana na Leipzig
- Mechi za kwanza zitachezwa tarehe 16, 17, 23 na 24 Februari, 2021 huku mechi za marudiano zikiwa 9,10, 16 na 17 Machi, 2021
#JFMichezo #JFSports

LIL WAYNE AKABILIWA NA KIFUNGO CHA MIAKA 10 KWA KUMILIKI BUNDUKI YA DHAHABU
- Mwanamuziki huyo kutoka #Marekani atasomewa hukumu yake Januari 28, 2021 baada ya kukiri kumiliki bunduki hiyo Desemba 2019 kinyume cha #Sheria
Soma - https://jamii.app/LilWayneGunCharges
#LilWayne #JamiiForums

BAADHI YA MAENEO KUSHUHUDIA KUPATWA KWA JUA LEO
> Maeneo hayo yakiwemo #Chile na #Argentina yatashuhudia kupatwa kwa jua kwa dakika 24, ambapo kwa dakika 2 mwezi utafunika kabisa uso wa jua
> Tukio hili hufanya mchana uwe na giza kama usiku
Soma https://jamii.app/SolarEclipse

WALIOKUWA WAFANYAKAZI WA BoT KIZIMBANI KWA UHUJUMU UCHUMI
> Watu 8 waliokuwa watumishi wa BoT na wenzao 5 wanatuhumiwa kukata noti 460,000 za 10,000 ambazo ni sawa na Bilioni 4.6
> Imedaiwa walitenda hayo kati ya Januari 2019 hadi Septemba 2019
Soma https://jamii.app/UhujumuUchumiBoT

UNA MTAJI ILA HAUNA PESA YA FREMU? ZIJUE BIASHARA ZISIZOHITAJI FREMU
- Mitungi ya Gesi: Biashara hii haina ulazima wa kuwa na fremu Barabarani kwa sababu wateja karibia 90% wanapatikana majumbani kwenye eneo unapoishi
- Mkaa: Unachohitaji ni kuweka Gunia mbele ya nyumba yako, panga Mkaa ndani ya mifuko kisha unatulia kusubiri wateja. Mkaa una faida kutokana na matumizi yake kuwa makubwa
Fahamu zaidi - https://jamii.app/BiasharaNoFremu
#Biashara

SUDAN YAONDOLEWA KWENYE ORODHA YA WANAOFADHILI UGAIDI
> #Marekani imeiondoa Sudan baada ya nchi hiyo kulipa fidia ya Dola Milioni 335 kwa mashambulizi yaliyotokea mwaka 1998
> Mwaka 1993, Osama Bin Laden aliishi #Sudan kama mgeni wa Serikali
Soma https://jamii.app/SudanTerrorists

SHERIA INASEMA NINI KUHUSU ARDHI YA MTU BINAFSI KUTWALIWA
- Sheria ya Utwaaji wa Ardhi (Land Acquisition Act Cap. 118 R.E. 2002)
- Kifungu cha 3 imempa nguvu Rais ya kuchukua ardhi inayomilikiwa na Mtu binafsi kwa ajili ya manufaa ya umma.
Soma > https://jamii.app/SheriaArdhi
#Haki

KILIMO: SIFA NZURI ZA MKONGE KAMA ZAO LA BIASHARA
> Mkonge hupandwa na kuvunwa muda wowote, huvumilia ukame, wadudu na magonjwa
> Huweza kuchanganywa na mazao ya msimu. Hutoa kipato kwa muda mrefu kwa kuwa hudumu hadi miaka 25
Soma https://jamii.app/MkongeTz

MDAU: HATUA ZA MSINGI KATIKA KUUNDA FALSAFA YA BIASHARA
> Tambua sehemu zinazoongeza thamani ya #Biashara yako: Anza kwa kukagua kanuni, taratibu na #Sheria za uendeshaji. Andaa 'Mission', 'Vision' na dhamana ya msingi kufikia malengo
> Jifunze kutoka kwa waliokutangulia sio waliofanikiwa tu. Hii haijalishi walishindwa au walifanikiwa kwani hata kwa Kampuni au Mfanyabiashara anayeshindwa kuna la kujifunza kutoka kwake
Soma - https://jamii.app/FalsafaBiashara
#JFBiashara

ZANZIBAR: RAIS MWINYI AMTENGUA KATIBU WAKE
> Rais wa #Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi leo ametengua uteuzi wa Katibu wake, Suleiman Ahmed Saleh
> Suleiman ametumikia nafasi hiyo kwa siku 37. Taarifa ya Rais imesema atapangiwa kazi nyingine
Soma https://jamii.app/ZnzKatibu
#JFSiasa

MDAU ASHAURI JINSI YA KUTAMBUA UTAPELI MTANDAONI
> Mdau anasema, matapeli huzifanya akunti zao za Instagram zisiruhusu 'comment' ili waliotapeliwa wasiandike
> Hutangaza vitu kwa bei nafuu kupitiliza na huhimiza kufanya malipo kidogo (In advance)
Soma https://jamii.app/OnlineScams
#JFUchumi