JamiiForums
βœ”
52.8K subscribers
34.4K photos
2.45K videos
31.3K links
Official Telegram Channel | Inform x Engage x Empower
Download Telegram
JE, UNALIFAHAMU TATIZO LA KUSAGA MENO?

- Tatizo la kusaga meno kwa kitabibu huitwa 'bruxism', hali hii inaweza kusababisha meno kuharibika au matatizo mengine ya kiafya kwenye kinywa

Kujua kwanini Watu husaga meno | Soma > https://jamii.app/TatizoLaBruxism

#Bruxism #JamiiForums #JFLeo
CHADEMA KUMTAFUTA ALIYEWEKA SAINI YA KATIBU MKUU MAJINA YA VITI MAALUM

> Mkurugenzi wa Mawasiliano, John Mrema, amesema wameanza mchakato wa kufungua kesi na tayari wameiomba NEC nakala ya barua iliyowasilisha majina ili ijulikane aliyeijaza

Soma https://jamii.app/SainiNECCDM
#TZ2020
TANZANIA NA NAMIBIA ZAINGIA MAKUBALIANO KUIMARISHA SEKTA ZA UVUVI NA MIFUGO

> Makubaliano hayo ni jitihada za kuendeleza Diplomasia za #Uchumi

> Pia, zimekubaliana kutumia fursa zilizopo kati yao ili kuendeleza Sekta za Uwekezaji na Kilimo

Soma https://jamii.app/TZ-NMBUchumi
MAALIM SEIF: WAZANZIBARI WAKUBALI MKONO WA MARIDHIANO, TUMEZE MACHUNGU YA UCHAGUZI

> Katika hafla ya uapisho, Maalim amesema mageuzi wanayotaka hayawezi kufanyika bila maridhiano, na hatua hiyo itaiwezesha Serikali kujenga upya palipokosewa

Soma - https://jamii.app/MaalimSeifUapisho
DR CONGO: BUNGE LAAHIRISHWA KWA MUDA USIOJULIKANA BAADA YA GHASIA KUIBUKA

- Shughuli za Bunge zimeahirishwa baada ya kikao kukumbwa na ghasia ambapo Wabunge wa Muungano wa Rais Joseph Kabila, wanasema zilisababishwa na wafuasi wa Rais Tshisekedi

Soma https://jamii.app/BungeDRCOff
LIBERIA: WANANCHI WAPIGA KURA KUPUNGUZA MIHULA YA UONGOZI

> Wananchi wanapiga kura ya maoni kuhusu mpango wa Rais George Weah (54) kupunguza mihula ili Marais na Wabunge wahudumu kwa miaka 5 badala ya 6 na Maseneta wakae miaka 7 badala ya 8

Soma - https://jamii.app/UongoziLiberia
NDUGAI: KAMA KUNA TATIZO KWA WABUNGE 19 WA CHADEMA WALIOAPISHWA, LIFUATILIWE NEC AU MAHAKAMANI

> Spika Ndugai amesema, yeye analetewa majina na Tume na sio kazi yake kufuatilia, huku akiwataka wote walioapishwa kuendelea na kazi kama kawaida

Soma https://jamii.app/NdugaiWabunge
#COVID19: UGANDA YAREKODI VISA 701 NDANI YA SAA 24

> Ni idadi kubwa zaidi kurekodiwa tangu mlipuko huo kuanza mwezi Machi

> Wizara ya Afya imesema, kuna matarajio maambukizi yataongezeka kipindi cha Desemba na Januari kutokana na Kampeni

Soma - https://jamii.app/Covid701UG
MDAU WA JAMIIFORUMS APENDEKEZA NJIA ZA KUTOKOMEZA MIMBA ZA UTOTONI

- Wazazi wafungue kesi dhidi ya wahusika ili hatua za kisheria zichukuliwe

- Wazazi wasikubali vishawishi vya wahusika kwamba wasishtakiwe wawatunze mabinti na ujauzito

Soma > https://jamii.app/KomeshaMimbaWatoto
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
PSG v BASAKSEHIR: MANENO YA UBAGUZI YAPELEKEA WACHEZAJI KUTOKA UWANJANI

- Mchezo wa PSG na Istanbul Basaksehir umeahirishwa baada ya Wachezaji wa timu zote mbili kutoka uwanjani

- Wachezaji wamtuhumu Mwamuzi wa Nne kwa matamshi ya kibaguzi

#Michezo #Sports #JFSports #JFMichezo https://t.co/p5AntPFZso
SIKU YA UHURU WA TANGANYIKA

> Desemba 9, 1961 Tanganyika ilipata Uhuru wake kutoka kwa Waingereza

> Tangu hapo, imekuwa ni siku inayoadhimishwa kila mwaka kukumbuka harakati za waliopigania Uhuru

Soma https://jamii.app/9Desemba
UBALOZI WA INDIA WATAHADHARISHA RAIA WAKE DHIDI YA KAZI ZA MeTL GROUP

> Ubalozi wa India nchini Tanzania umeishutumu Kampuni ya MeTL kuwanyanyasa Wahindi

> Ubalozi huo umesema MeTL wamekuwa na majibu yasiyo na staha wanapopelekewa malalamiko

Soma https://jamii.app/UbaloziWaIndia
UCHAGUZI-GHANA: UPINZANI WAONYA KUHUSU WIZI WA KURA

- Mgombea wa Upinzani, John Mahama amemuonya Rais Addo kuhusu jaribio lolote la wizi

- Mahama aliyewahi kuwa Rais asema, Jeshi haliwezi kutumika kupindua matokeo ktk majimbo waliyoshinda

Soma https://jamii.app/KuraUchaguziGH
MAREKANI: BIDEN ATANGAZA MPANGO WA CHANJO MILIONI 100 ZA #COVID19

- Rais huyo Mteule asema, ataliomba Bunge kuruhusu ufadhili kamili wa mchakato wa kusambaza chanjo nchini humo

- Ataweka kipaumbele cha kitaifa kuwarudisha Wanafunzi Shule

Soma https://jamii.app/BidenChanjo
IKULU, DODOMA: ALIYESHINDWA KUAPA MBELE YA RAIS KUONDOLEWA

> Naibu Waziri Mteule wa Madini, Francis Kumba Ndulane ataondolewa na nafasi yake atateuliwa mwingine

> Rais Magufuli amesema wanampongeza na ataendelea kuwa Mbunge, lakini haiwezekani kwenda kwa utaratibu huo

Soma - https://jamii.app/UapishoIkulu
RAIS MAGUFULI AWAPUNGUZIA ADHABU WALIOHUKUMIWA KUNYONGWA

> Rais Magufuli amesema, alitakiwa kuwa amenyonga watu 256 ambao walihukumiwa kunyongwa kwa makosa mbalimbali

> Katika hotuba yake aliyoitoa leo baada ya kuwaapisha Mawaziri amesema amewapunguzia adhabu watu hao na sasa watatumia vifungo vya maisha badala ya kunyongwa

Soma - https://jamii.app/UapishoIkulu
WAZIRI JAFO AMSIMAMISHA KAZI MKURUGENZI WA GEITA

- Baada ya agizo la Rais, Waziri wa TAMISEMI amemsimamisha kazi Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Geita, Modest Apolinary

- Amemuagiza Katibu Mkuu kutuma Timu ya Uchunguzi ktk Mji huo

Soma - https://jamii.app/MkurugenziGeita
#GHANA: WATANO WAFARIKI KATIKA GHASIA ZA UCHAGUZI

- Polisi wamesema kumekuwa na mashtaka kadhaa kuhusiana na vurugu za Uchaguzi ktk maeneo mbalimbali, yakiwemo matukio ya upigaji risasi

- Matokeo ya Uchaguzi yanatarajiwa kutangazwa karibuni

Soma https://jamii.app/5DeadGH
WATANZANIA WAWILI WASHINDA TUZO ZA UANDISHI WA HADITHI FUPI

> Dotto Rangimoto ameshika nafasi ya pili na Mpolenkile Noel nafasi ya tatu ktk Tuzo za Kimataifa za Kalahari Short Story Competition zinazotolewa na CENE LittΓ©raire Association

Soma https://jamii.app/TuzoZaUandishi