VIBES & WINES ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช
7.74K subscribers
1.75K photos
149 videos
127 links
Memes na Stories za Nguvu, Vibe ya 254 iko hapa ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช Hapa raha ni ingine unstoppable,,kila cku kila day ๐Ÿ’ฏ
Download Telegram
VIBES & WINES ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช
๐Ÿ‚ SECRETS ๐Ÿ‚ Season 4๐Ÿ’ฆ Episode 19&20๐Ÿฆ‹ Tresh kutoka tu hivi Cliff ameingia. Jamaa alikua amesweat vibaya sana ๐Ÿ’” Me : Bro kwani unatoka morning run๐Ÿ˜‚๐Ÿ’” Cliff : Bro kuna kitu imenikimbiza๐Ÿ’” Me : Kitu gani Cliff : Sielewi but nafeel ni kama kuna mse ananifataโ€ฆ
๐Ÿ’ฆ SECRETS ๐Ÿ’ฆ
Season 4๐Ÿ”ฅ

Episode 21&22๐Ÿฆ‹

Tresh akatuona ๐Ÿ˜‚. Cindy akashtuka kisubmarine vibaya sana

Tresh : Aah Carl is this you mnatafuta nini huku๐Ÿ˜‚
Me : Aah tumekujia mboga..na nyinyi?
Tresh : Pia sisi.. Cindy called me akasema ako tao so tumekam kufanya shopping buying stuffs tukiishia
Me : Ooh so leo unalala kwake ama๐Ÿ˜‚
Tresh : Actually ni yeye analala kwangu ๐Ÿ˜‚๐Ÿ’”
Me : Tresh your siz mishandled my girlfriend juzi kwa salon..wewe Cindy what's wrong with you
Cindy : Stesh..uliambia Carl nini ilihappen?
Stesh : Address me properly Cindy..ile matharau ulinifanyia kuniaibisha mbele ya hao madem wote that was bad kwani ni nini nilikua nimedo?๐Ÿ˜ณ
Cindy : Heey heey hasira zako usiniletee
Tresh : Guy guys.. Carl ishia na Stesh na mimi wacha nitoke na Cindy najua penye hii maneno inaelekea
Cindy : Chill nipashe huyu manzi kwani anathani yeye ni nani
Me : I'll slap you.. you can't shout at my girlfriend who do you think you are?โ˜น๏ธ
Cindy : Nipige.. nipige Carl

Dem akanisongea hadi kwa mapua akishout. Nikajua Cindy amekua anategea time kama hii sana๐Ÿ˜‚. Mama mboga wakawacha kukata skuma na kufunga kunde wakajishika kwa viuno wakasonga karibu waone vita๐Ÿ’”

Me : Mind your tongue Cindy
Cindy : Siwezi kosa kuenjoy vitu zangu ju yako Stesh
Stesh : Kuenjoy nini?
Cindy : Some of us are not happy because of you
Stesh : Sasa surely mimi nimedo?..just got straight to the point nijue hii beef imetoka wapi
Tresh : Carl Carl please tokeni muende before Cindy says it
Cindy : Waende wapi..i hate you stesh you are the reason I'm not happy
Stesh : Whaat๐Ÿค”..how?.. and why?
Cindy : Wewe unajiona sana just because your boyfriend is a manager na sijui ati uko na ball yenye imejificha kwa mgongo

Stesh akajenga Cindy kofi ikabidi niingilie kati ju haifai Stesh apigane na ako na ball inaweza kua damaged. Nikajaribu kuingiza Stesh kwa dinga but akakua mzito

Cindy : Ooh so unataka sindio..
Mama mboga : Wacha wapigane waogopane kijanaa hii ni mambo ya kawaida lazima wanapigania huyu kijana.. imekua kitambo tukiona vita let them fight
Cindy : Kuja nikuonyeshe..kama sio wewe sahi ningekua na Carl kwa kitanda namfanyia vitu haujai mfanyia useleยฐss woman ni nini uko nayo
Stesh : Ooh so hio yote ni juu ya Carl?๐Ÿ˜ณ..sasa unataka tupiganie Carl?..sina hio nguvu ju he's already mine and I'm carrying his kid wewe ni loser๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚hahaaa loser

Cindy alirusha ngumi flani kama ya mwanaume kisubmarine kidogo ipate Stesh. Stesh akamshika shingo. Nikaingilia na Tresh Cindy akanijenga ngumi ya mapua kidogo nimjenge heady flani international nikatulia

Cindy : Uko na bahati sana na ujue Carl simuachi.. Carl is mine hebu muulize ni styles ngapi nimempea zenye haujui
Tresh : Gai Cindy hii ni aibu gani kwa watu๐Ÿ˜ฐ
Cindy : Hapana niwache.. Carl ambia manzi yako umelala kwangu mara ngapi.. Carl ameona hii mwili ikiwa bila nguo more than 20 times..20 tiimmesโ˜น๏ธ..na wacha nikuambie Carl, haujaniยฐpanua enough my body still needs you
Stesh : Whaaat?๐Ÿ˜ณ
Tresh : Carl nilikushow utoe Stesh hapa before kuharibike ukakataa now see your life

Episode 22๐Ÿฆ‹

Mambo ilichemka wasee wakajaa hapo kisubmarine ungethani kuna pastor anaperform miracles๐Ÿ’”. Cindy alikua anachemsha mambo kama supu ya kichwa ya ng'ombe ๐Ÿ’”. Manzi alianika hadi maneno haifai watu waskie. Stesh hasira ikapanda but singewacha aingie kwa vita, Cindy alikua mse mmbaya sana anaweza piga Stesh kwa tumbo kudamage mtoi

Cindy : Carl I'm not leaving you nataka unipee mimba the way ulipea Stesh..hata kama unaweza nipea sahi mbele ya watu
Mama mboga : Aiii hii hapana sasa imezidi..watoto wako hapa msichana ni mambo gani hio unasema mnataka kufanya kwa umati
Cindy : Carl nipee mimba sahi mbele ya Stesh ajue vile hua unaifanya ukiwa kwangu

Hapa ni kama nilikua naskiza podcast ya pยฐrn๐Ÿ˜‚๐Ÿ’”. Nikashika Stesh mkono tuingie kwa gari

Cindy : Funga boy wako kamba kwa mguu awache kunusanusa paยฐnty za madem wengine.. Carl anajua panty colors nimevaa zote and yes he has been sleeping at my place..we have been doing it raยฐw and i like it
VIBES & WINES ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช
๐Ÿ‚ SECRETS ๐Ÿ‚ Season 4๐Ÿ’ฆ Episode 19&20๐Ÿฆ‹ Tresh kutoka tu hivi Cliff ameingia. Jamaa alikua amesweat vibaya sana ๐Ÿ’” Me : Bro kwani unatoka morning run๐Ÿ˜‚๐Ÿ’” Cliff : Bro kuna kitu imenikimbiza๐Ÿ’” Me : Kitu gani Cliff : Sielewi but nafeel ni kama kuna mse ananifataโ€ฆ
Tukajipin kwa dinga. Stesh alikua amelia hadi machozi imepotea. Sijui Cindy alikua amelewa ama nini ju i didn't expect aseme vitu kama hizo manze๐Ÿ’”. Tresh akafika kwaa dinga.

Tresh : Aki I'm really sorry Stesh Cindy amelewa ๐Ÿ’”.. actually i think uliskia harufu ya pombe ndo ukawacha kujibizana na yeye..she was at a friend's house walikua na party huko akalewa๐Ÿ’”.. I'm really sorry Stesh
Stesh : Beb๐Ÿ˜ญ.. have you been sleeยฐping with Cindy..ju vitu anasema zinakaa ukweli..the other day alikua kwetu mkasema vile mnajuana..mlijuania wapi?
Tresh : Hio maneno Cindy anasema yote ni uongo.. Carl knew Cindy from me..tushaikutana na Carl nikiwa na yeye.. for real Stesh Cindy is just jealous she's my sister kama angekua analala na Carl ningejua.

Hata hio mboga hatukubuy. Tukatola hadi kwa mall nikabuy mavitu kathaa hapo hadi ikabidi nibuy fruits za supa ju hatuwezi rudi huko penye Cindy wako.

Me : Beb utanipeleka nipee a friend this fruits kwa hosy ju you don't trust me nataka leo ujue i always tell you the truth
Stesh : You have been sleeping with her Carl๐Ÿ’”
Me : Mbona useme hivo beb๐Ÿ’”
Stesh : Alisema Carl I'm not leaving you..manzi amelewa hawezi connect words hivo
Me : I swear beb sijai patana na Cindy mimi nimemuona mara mbili, akiwa na siz yake na ile time alikua kwetu

Tukaingia hosy. Nikapata Cliff amefungwa kamba kwa bed

Me : What's going on
Nurse : He's experiencing psychotic episodes
Me : Why?.. Cliff uko fiti
Cliff : Bro help me wanataka kunimaliza
Me : Relax bro
Nurse : Nataka kumpea dawa..atalala then akiamka ndo mtaongea ju atakua amepoa
Me : Ni sawa

TO BE CONTINUED ๐Ÿฆ‹

Reactions
Forwarded from The Nairobian
๐—›๐—ผ๐˜„ ๐—ผ๐—น๐—ฑ ๐—ฎ๐—ฟ๐—ฒ ๐˜†๐—ผ๐˜‚?
๐Ÿ’ฆ SECRETS ๐Ÿ’ฆ