VIBES & WINES 🇰🇪🇰🇪
💦 SECRETS 💦 Season 4 🔥 Episode 13&14🦋 Me : One, Mike is a good guy hawezi rat out deal akijua niko ndani, two Denno ako prison so risk ya kutuseti iko minimal.. another thing.. nilikua huko na kama angekua mse mmbaya angeniuza kwa makarao🙂 Ras : Shidako…
❤️ SECRETS❤️
Season 04 💦
Episode 15&16🦋
Kunaendaje hapa😂. Kiundercover ni hivo 20% yangu imejaa mfuko😂.
Me : Sasa what's the next move
Sandy : I'm going to force him aandikishe mali yake yote kwa watoto wake Steve apate share yake stress iishe then Wewe mimi nitafix mambo upate share yako si ilikua kwa deal?
Me : Yeah..but why are you doing this mum..like helping me
Sandy : Actually Carl mimi nakupenda sana kusema ukweli ni vile tu you know a lot about me na pia ulikua rafiki ya Steve but.. you know😂
Me : Mum wacha😂😂
Sandy : Hayaa utashtuka😂.. you were part of the deal na umeniwekea siri mingi sana..kama kuna mtu ananijua nje na ndani ni wewe na haujai ambia mtu that's why i trust you 😊
Me : Wow
Sandy : Nimewacha Lizz huko mimi leo nalala lodging ju najua huko kinaweza umana😂
Mathe akatoka akaishia. Tresh amepigwa ten nill. Nikasea siwezi muambia kwanza wacha askie yeye mwenyewe😂. Sasa sijui Simon atamake move gani kwa hii maneno. Kama marriage ni ngumu hivi na mimi ndo naanza maisha sasa itakua aje😂💔. Hapa sijui kisubmarine nikasema wacha nikae nijionee vituko😂. Celine akaingia
Celine : Carl i have been thinking.. between mimi na Maya one has to resign.. hatuwezi fanya job place moja na hii beef💔
Me : No one is resigning.. Maya ako huko juu wewe uko hapa na mimi💔
Celine : How sure are you that this will work
Me : It will work trust me
Hawa walibomoana the whole night vibaya sana😂. Loise akaingia 💔. Celine akatoka
Loise : Files for the week.. actually pia nataka kutoka kidogo😂
Me : 💁💁
Loise : Naenda clinic
Me : Kudo?
Loise : Unauliza tena?.. it's about your kid to be
Akaniongeza stress ingine💔. Akatoka akaishia. Wacha sasa time ya kutoka job Maya atoke huko juu uso imefura hadi amekua mweusi uso na shingo ni brown
Me : Whaaat😧.. Celine what did you do to her
Celine : Ngumi
Me : Hapana manze hio hapana walahi Celine this is your cousin
Celine : a cousin who wants to take my boyfriend
Me : I'm not your main boyfriend Celine huwezi umiza cousin yako ivo ati ju yangu..sasa leo analala wapi?
Celine : Sijui lakini sio kwangu
Celine akaingia kwa dinga. Tukapita Maya kwa njia hadi nikamhurumia jooh💔.
Celine : I can't sleep alone tonight Carl😧
Me : Celine Stesh hawezi kubali nilale nje
Celine : Kaa uishie badae
Nikakaa hapo kwa Celine tukachill hadi 6.30 huko nikaishia kwangu
Stesh : Guess what beb
Me : Yes
Stesh : Blake is around💔😂..amenicall akanishow na mi nikakata call😂
Me : He's your bro beb blood is thicker than water just talk to him..anakaa wapi sahi
Stesh : Kwa ile hao yangu i think
Me : Just talk to your bro soon he's going to be the uncle to my kid😂💔
Stesh : Yeah lakini staki kukua close na mkora mimi he killed my trust
Nikadishy supper pale nikaingia kwa laptop kubalance hesabu za job kiasi. Phone ikaring kuangalia ni Maya.
Me : What's up
Maya : I need your help Carl😭😰
Episode 16🦋
Nikashindwa ni help gani Maya anadai kwani amelemewa anadedi ama💔. Kuangalia kwa phone ni 10 pm
Me : Nini mbaya?
Maya : Carl sina mahali pa kulala nimepigwa na baridi plus jana vile tulipigana ni kama niliumia i just feel sick..nitafutie tu place naweza lala..najua siwezi kuja kwako ju Celine told me you live with your girlfriend😰💔
Me : Waah sasa sahi na vile ni late nakusaidia aje Maya..uko wapi
Maya : Niko tu huku kwa street.. si unajua siwezi lala kwa Celine after all that happened...
Nikapiga hesabu hawezi lala kwa Tresh ju maybe ako na Steve ama Simon, hawezi ishia kwa Loise ju staki Loise atumie hio kama chance ya ku reconcile😂💔. Hawezi enda kwa Cindy. Amelemewa hawezi pata time ya kusaka house to let. My only option was Lizz ju ako kwao solo but siwezi mcall ju itabidi nipeleke Maya huko na naweza patana na Simon aanze kunililia shida zake vile account zimechora😂💔. Stesh alikua bedroom anadoz. Na siwezi call Celine ati kumshow asamehe Maya ataona ni kama I'm supporting her cousin kisubmarine hii ilikua maneno ingine tu😂💔. Nikacall Lizz

Me : Hey sasa
Lizz : Poa sana hata nilikua nalala
Me : I need your help.. there's a female friend of mine it's a long story I'll explain later nataka akam apirate hapo hadi morning
Lizz : Okay if you trust her ni sawa mlete
Me : Lakini siwezi ingia.. nikupate kwa gate
The way Maya alikua wounded alifaa tu kudoz na mse usiku that's why sikutaka alale kwa lodging😂💔. Uso ilikua inakaa avocado imeoza side moja💔. Aki mapenzi wewe😂. Nikaamka. Kufika tu kwa mlango Stesh ametoka bedroom
Stesh : Safari ya wapi sahi?..unaenda?
Me : I need to help someone real quick
Stesh : Okay I'm going with you
Stesh alikataa kabisa hadi sasa ikabidi nicall Lizz aishie apick Maya tao💔. Hakuna vile Stesh angejua hio deal😂💔.
The following morning Tresh akanicall 📱
Tresh : Carl naweza shikwa na hasiara niamue kitu mbaya i swear
Me : Kitu mbaya?
Tresh : Naweza ua simon na poison nibaki na Steve..mali yote itabaki ya Steve and I'll win
TO BE CONTINUED🔥
Reactions nione kaa naweza wapea next Episodes ❤