VIBES & WINES ๐ฐ๐ช๐ฐ๐ช
โค๏ธ SECRETS โค๏ธ Season 03๐ฅณ pisode 29๐ฅ Huyu Cindy sijui alikua ametumwa na nani ju hii yake nayo ilikua imezidi hata kama ni kukua lonely yeye amezidi. Kisubmarine mi nikasema wacha nichill nisome hizi moves zake Me : Wueh๐ Tresh : Carl my siz hua hagive up...naโฆ
โค๏ธ SECRETS โค๏ธ
Season 03๐ซ
Episode 30๐ฆ
Wueh nilikua nimezoea zile hotel za kibanda inaingia kama umeinama but huku leo things are different๐. Nikatoka nje nikacall mathe
Me : Naambiwa siwezi ingia
Sandy : Pole ningoje hapo
Kiasi hivi akatokea hapo tukaingia ndani๐. Huyu receptionist hajui kisubmarine mimi ni manager๐. Sandy akanipeleka kwa meza flani hapo. There was aguy slightly older than me
Sandy : Carl meet Phoenix my lawyer
Me : Ooh hey man
Phoenix : What's up bro you good?
Me : I'm good man
Sandy : Chukua hio tablet uangalie menu you can order anything you want in this world Carl this is one of the best hotels in the world hapa ndo presidents na billionaires hukula๐
Me : I see๐
Nikapiga order ya Chinese sea food pale niskzie๐๐ฅ๐ฆ๐. Huyu lawyer sasa sijui ako na kazi gani hapa. Tukajipin food pale. Hapa kwanza menu zinakua update online kwa hio tablet sio hizo magazeti za hoteli ya ghetto mnaita menu๐
Sandy : So Carl huyu ndo lawyer atatusaidia kwa ile maneno nilikuambia..amesomea Oxford university and he knows everything about law..he is the best
Me : Hio ni poa manze
Sandy : He's also my boyfriend ๐..is he handsome๐
Phoenix : ๐๐๐
Me : More than handsome bro you are magical
Phoenix : Thanks Carl i gat that a lot
Mambo ya huyu mathe kisubmarine pia hunishangaza๐. Tukachill pale tukadishy. Nilikaa nao hadi 9pm. Nikacall Stesh nikamshow nitachelewa kiasi. Alikua insecure anaona ni kama nahepa ball๐๐
Sandy : Okay beb unaweza ningoja huko juu kwa room nakuja
Phoenix : Okay honey
Sandy : Carl I'm taking Simon to court
Me : Why mum
Sandy : I think amepata mwanamke mahali anamdanganya apewe mali.. nowadays vitu Simon anaongea Carl he's not the same๐
Me : Wueh
Sandy : Hii ya court I'll not involve you hii iko very serious..by the way this is my new catch mwenye nilikuambia ๐
Me : Unajua kuchagua๐
Sandy : Asante..but Carl I'm heartbroken..i feel betrayed.. Lizz is pregnant
Me : She told me about it nikamshow akuchapie kwanza.. cheki mimi sioni hio ikiwa na shida.. Lizz has money mtoi wake hawezi kosa good life hata kama boy wake ameruka ball
Sandy : Carl I'm not ready kuitwa grandmother..siko ready kukua na wajukuu Carl..
Me : Sasa ishafanyika..she wanted to aยฐbort nikamshow achill kwanza
Sandy : Hio ndio best option lakini i don't want to kill my grandchild
Me : Ni hivo life hukua vitu zinahappen hadi unashindwa kwani kunaendaje ๐.. Simon anajua?
Sandy : Sijui kama amemuambia lakini she loves her dad lazima atamuambia
Me : It's okay kubali tu utazoea mambo itakua poa
Sandy : Hata I'm regretting heri hio ball ingekua yako Carl
Me : Zii mum you did what was right
Sandy : Nasema vile nilikukataza usidate Lizz.. heri ningewawacha tu
Me : ๐ don't regret mum everything happens for a reason..na sasa niulize aje.. unapeleka Simon kwa court then?
Sandy : I'm her wife nataka wealth yake tugawane kati kati, Steve na Lizz are old enough kupewa share yao..court ndo itaamua naona amekua kiburi sana..kwanza ni kufreeze accounts zake zote niko na details zake zote hata pins and everything assets zake zote niko na documents.. by next week nitakua nimemaliza kufreeze..nimefreeze funds za hio factory yake hawezi pata hata sumuni๐.
TO BE CONTINUED ๐ฅโค๏ธ

โค๏ธ SECRETS โค๏ธ Season 03๐ซ Episode 30๐ฆ Wueh nilikua nimezoea zile hotel za kibanda inaingia kama umeinama but huku leo things are different๐. Nikatoka nje nikacall mathe Me : Naambiwa siwezi ingia Sandy : Pole ningoje hapo Kiasi hivi akatokea hapo tukaingiaโฆ
โค๏ธ SECRETS โค๏ธ
Season 3 ๐ซ
Episode 31๐ฅ
Vile kulikua kuaenda kisubmarine ni kama Tresh anaweza toka bure๐๐. Mathe ameanza kufreeze accounts bila jokes
Me : Mum na si hapo umepeleka mambo mbio sana๐..mpee one month anaweza change
Sandy : Hawezi Carl
Me : Tuliishia huko kwa ofisi yake i convince him na vile naona ni kama he's changing his mind..alisema atapea Steve share yake
Sandy : Carl uko sure?๐ณ.. Simon moja ama mwingine
Hapa nilikua natetea Tresh ndo mathe adelay Tresh apate time ya kutoka hawa watu doo. Simon alikua na doo mingi na pia Sandy was very rich so hata Tresh akiwatoka kitu kidogo sio mbaya kiundercover ๐
Me : Yeah nakwambia
Sandy : Alaa kwani amebadilika aje are you sure hakukua amelewa๐คฃ๐คฃ
Me : He was sober infact sasa hata Steve is happy after Simon kusema hivo
Sandy : Hee lakino Carl unajua nisipofreeze hizo accounts wewe hautapata ile 20% yako๐..20% ya mali ya Simon ni more than 50 millions.. you know you are like my son na nakumbuka ukianza hii kazi ya driver ulikua chini sana Carl you have changed na nataka nikusaidie.. huwezi jua maybe after hio drama ya inheritance i can be no more Carl nani atakua anakupea tukazi na tupesa pesa๐
Hapa sasa kikaumana. It's either nijiundie maisha ama niundie Tresh๐. Mathe akifreeze hizo account nimepata utajiri. Lakini akidelay ni Tresh atabenefit. Kiundercover nikashindwa hapa nafanya aje..niokoe Tresh ama nijiokoe. After all hizo mashida za Tresh ni yeye alijiletea. Nikaamua
Me : Freeze the accounts mum
Sandy : Poa Carl I'll walk you out..ulale salama na usalimie my daughter in law๐
Me : Poa mum๐. Nikiwa kwa njia Stesh akacall ๐ฑ
Stesh : Beb kama bado uko tao niletee matumbo๐
Me : Unataka inuke kwa nyumba๐..toka lini ukakula matumbo๐
Stesh : Beb ni cravings za ball๐..then uniletee apple juice
Me : Poa
Nikazunguka hivo tao nikabuy matumbo na apple juice nikaishia kwa hao. Manze medulla ilikua tu inapiga hesabu ya hio 20% yangu. Sasa sijui Stesh namsaidia aje. Maybe kwa hio 20% yangu nimpee za kupotea ju ni kama ameshindwa kutoka huyu mzee doo alikua slow sana๐. Nikaingia kwa hao
Stesh : Wacha niboil immediately niko na cravings hata naweza kula mbichi๐
Me : Huwezi kula mbichi
Stesh : Nigerians na Asians hukula mbichi
Me : Matumbo?๐..wacha jokes
Stesh : Beb then before nisahau..mlijuana aje na Cindy
Me : Beb hio sio swali ni siz ya Tresh so automatically namjua
Stesh : The way she was looking at you tho
Me : See who's jealous๐..beb pika you are going to be my baby mama wacha story mingi
Stesh : You need to take me to your parents
TO BE CONTINUED ๐ฅ

This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Aty 16gb plus 4gb expandable ๐๐๐
VIBES & WINES ๐ฐ๐ช๐ฐ๐ช
โค๏ธ SECRETS โค๏ธ Season 3 ๐ซ Episode 31๐ฅ Vile kulikua kuaenda kisubmarine ni kama Tresh anaweza toka bure๐๐. Mathe ameanza kufreeze accounts bila jokes Me : Mum na si hapo umepeleka mambo mbio sana๐..mpee one month anaweza change Sandy : Hawezi Carl Me :โฆ
โค๏ธ SECRETS โค๏ธ
Season 03๐ซ
Episode 32๐ฅ
Hapa kidogoo akanipata off-grid kisubmarine ๐. Mambo ya kupeleka manzi home sio mchezo๐๐
Me : When?
Stesh : Next week
Me : Na job?๐
Stesh : Next week kuna two holidays zimefatana..haujaangalia calendar ya kampuni beb?..so kampuni imeamua instead ya kufanya kazi for three days wanatupea leave ya one week
Me : Wow na sijajua..kesho ni Friday so which means weekend inaanza kesho hadi next week๐
Stesh : Yeah that's why i wanna meet your family.. uliniambia it's a long story.. niambie sahi
Me : Nikitoka home we disagreed na mum, dad, bro and sister so that's why I don't call them, they don't call me
Stesh : And why is that beb..mlikosana aje hivo vibaya
Me : Walinipea job nikakataa i wanted to live my own life wakasema I'm not focused and all that..tukagombana kiasi pale kwa family gathering nikatoka hadi leo sijairudi home..i keep on changing my number so hawana my recent numbers
Stesh : Beb that's bad they're family huwezi fanya hivo..tutaishia huko I talk to them.. obviously kama bado kuna beef wakiniona watachill๐. Ulipotea home na sahi unarudi na manzi na ako na ball already ๐
Me : A real man๐
Stesh :Woi matumbo yangu inaungua kwa gas
Me : Leta tukule๐
Stesh : Beb hio hauonji๐
Nikacheki phone kwa meza inaring. Kuangalia ni Loise. Nikapanda kwa balcony
Loise : My baby sasa๐
Me : Poa sana honey how's you
Loise : Siko poa.. imagine niko bed peke yangu i wish you were here๐
Me : I'll be there soon don't worry
Loise : I want to spend this holiday with you
Me : Me too baby and I'll be there
Loise : Yeah nataka my kids wakujue wakuzoee
Me : So utawaambia mimi ni nani?
Loise : Uncle๐คฃ..they are kids siwezi wachanganya niwaambie wewe ni kama baba yao watashindwa wako na baba wangapi๐
Me : Ni sawa I'm dying to meet them
Loise : Poa baby soon you'll see themโฅ๏ธ
Tukabonga pale nikarudi kwa hao. Nikachill pale na Stesh then tukaishia kudoz. The following morning nikaprepare kufika job Jessy akacall ๐ฑ

Forwarded from Jude Bellingham
๐๐ผ๐ ๐ผ๐น๐ฑ ๐ฎ๐ฟ๐ฒ ๐๐ผ๐?