VIBES & WINES 🇰🇪🇰🇪
♥️ SECRETS ♥️ Season 03 Episode 20🔥 The way mambo ilikua inaenda ni kama sio kuzuri. Vita ya wealth inakuaga noma sana wasee wanaweza malizana😂 Me : Haina shida mum Sandy : No one should know about this..this is our secret sawa? Me : Sawa mum Manze sijui…
♥️ SECRETS ♥️
Season 03🦋
Episode 21🔥
Hapa mambo ikachemka 💔. Nilikua nafeel guilty vibaya sana. But Jessy alimuua ju ya mambo yao mimi siko involved 💔.
Me : Utaishia huko wakuone tena?.. Denno anaweza geuka aseme mlikua nayeye pia wewe uwekwe ndani..sahi probably report zishamfikia
Cliff : Bro tunaelekea wapi jooh😭..tuwachane na deals bro hii shida yote ni Ras ameleta
Me : Ras ndo ameua Damian?
Cliff : Huyu mse anabenefit sisi tukirisk.. angaliaga deal ya juzi hakuna pesa tumeunda na hadi sahi ahajacall kujua vile kuko
Me : Atacall wewe relax
Cliff : Man Niko scared vibaya sana💔
Me : Play low tuone vile kutaenda
Cliff : Poa😥
Hio day niliishia home niko heartbroken vibaya sana..tho nilikua na beef na Damian but killing him was nothing my option. Nikachill pale na Stesh
Stesh : Beb you don't look okay tufike hosy😥
Me : Hapana beb I'm okay
Stesh : Beb..beb
Mkurugenzi the next thing kuona ilikua bed ya hosy💔.
Stesh : Beb.. I'm happy you are alive..ulifaint..wanasema uko na pneumonia na malaria but everything will be okay
Me : Ooh🥹.. thanks honey
Nilikaa hapo hosy hadi afternoon nikasema mi siwezi lala hapa tena
Me : We need to go
Stesh : Zii beb bado uko under treatment
Me : Hapana I'm not sleeping here
Tukatoka nikafika home. The following day Stesh hakukua anadai nifike job lakini nikaamua kuishia. Ma 11am hapo Tresh akanicall 📱
Tresh : Uko kwa ofisi?
Me : Yeah
Tresh : Napitia hapo nimekua natoka mahali
Me : Wapi?
Tresh : Nakam kukuambia
Kiasi hivi akaingia
Me : Sasa
Tresh : Poa sana😊
Me : Niambie
Tresh : There's this guy nimetoka kumuona hua anasaidia watu kuenda Uganda illegally..so he can prepare a passport hadi ikae original na everything hadi fake IDs
Me : Eeh mlijuana aje
Tresh : Through a friend..nataka anisadie Carl niende Uganda nikae huko hii mambo ilikua successful ju hapa Kenya Simon anaweza nishika na makarao ju nitakua nimemuibia..she has my pics zinaeza wekwa kila mahali
Me : Do you trust this guy?😂
Tresh : Hakai mse mmbaya
Me : By the way i have news
Tresh : Good ama bad
Me : Bad
Tresh : Aiii kama ni mbaya usiniambie😒
Me : Kuna rumors ati Simon hataki kuwachia family yake wealth yake.. unajua toka umshow uko na ball so yeye anaamini utazaa na ataachia huyo mtoi wealth yake yote amemess up na family yake yote soon itakua The Fall of The House of Simon💔
Tresh : Baas Carl hio sio bad news ni good news ju sasa nitakua na access ya mali yake bila kutoa jasho
Me : Sijamaliza.. Sandy, his wife anasema anataka kufreeze mali ya Simon yote na ingine andikishe kwa jina ya watoi Steve na Lizz 💔..we need to move fast💔
Tresh : Whaat😥😥..na vile mimi najipanga kuhepa haraka before Simon aulize mbona ball haionekani💔
TO BE CONTINUED 🔥
Reactions🔥💯

♥️ SECRETS ♥️ Season 03🦋 Episode 21🔥 Hapa mambo ikachemka 💔. Nilikua nafeel guilty vibaya sana. But Jessy alimuua ju ya mambo yao mimi siko involved 💔. Me : Utaishia huko wakuone tena?.. Denno anaweza geuka aseme mlikua nayeye pia wewe uwekwe ndani..sahi…
♥️ SECRETS ♥️
Season 03🦋
pisode 22🔥
Hapa nikashindwa niasadie nani niwache nani. Naweza delay hio process ya Sandy ndo Tresh atoke doo ahepe. Pia naweza saidia Sandy haraka before Tresh aibe hizo doo💔. Lakini sasa kisubmarine nikasema nitasaidia nani niwache nani.
Tresh : Umenivunja moyo Carl
Me : Zii sasa hapa ni wewe umove na speed..umefika wapi by the way
Tresh : Niko on hold ya account yake moja lakini haina pesa mob iko na 20k..na ni kama sio rahisi atumie hio..ako na different accounts
Me : So tumia hizo details za first account unaweza fikia hizo zingine
Tresh : Yeah
Me : Alafu unaweza leta kisirani kidogo kumchokora ndo akue insecure unajua sahi you are everything in his life wewe fanya faster before wife wake afreeze hizo accounts 💔
Tresh : Ni sawa
Sikutaka kuambia Tresh bed ya mtoi inapelekwa leo ju mzee alisema ni surprise 😂💔. Nikachill pale nikifanya mambo yangu after ameishia. Majioni nikafika home. Nikapata Stesh hajafika. Nikachill pale nitajaribu number zote za Ras hakuna yenye inaenda through. Stesh akafika tukachill pale
Stesh : Beb can i ask you something
Me : Yeah
Stesh : Nilienda kwa branch yako then there's this girl Celine
Me : What about him?
Stesh : Nilikua nacall haiendi through nikathani umeniblock akanipea phone yake nikucall nikaona amekusave na love emoji 😒.. what's going on huko kwa job?
Me : Maybe she has a crush on me ju huyo manzi hadi sio rahisi tuongee na yeye💔
Stesh : Of course nilijua utakataa but that girl loves you
Me : Maybe mi ni secret admirer wake siwezi jua
Stesh : Beb hio kitu inaniuma sana..i just feel like kuna mambo we unafanya huko kwa kazi na huyo dem..i know she's cute
Me : Beb huyo manzi there's nothing between us
Stesh : You are going to be a father na nataka ukue modest
Me : Of course baby I promise.
The following day nikafika hivo job kama kawaida. Mike akaingia
Mike : Bro ule manzi hakutoa 600k..alichora na almost pesa zote zenye zimebaki hadi hazifiki 400k
Me : Whaat?..na sahi ashaenda hata tunampata wapi
Mike : Tho she helped us man wacha tu aishie nazo.. alafu man mi nilikua naona tujipee break kiasi na hizi deals mambo ipoe kwanza bana niliona kifo na macho😂💔
Me : Worry less man deals sio sahi
Nikaendelea kupiga job. Maithaa hivi Ras akacall 📱
Me : Bro i have been waiting for this call vibaya sana
Ras : Man yani hadi nachoka sana..hio deal iliendaje
Me : Huskii Denno alituseti kwa Damian tukaletewa makarao nimekaa cell three days
Ras : Whaat🙆😳..ndo maana i tried calling you haupatikani kabisa
Me : Manze ilikua rough sana💔..ni manzi flani anaitwa Jessy ndo alitutoa
Ras : Huyo Damian atajua hajui
Me : Bro uko nyuma sana.. Damian is no more💔..huyo manzi alimfinya ju ya love triangles zao
TO BE CONTINUED 🔥
I really appreciate on how mumenieka your Number 1 plug wa stories 🙏
Mchanue wasee pia😁