VIBES & WINES 🇰🇪🇰🇪
♥️ SECRETS ♥️ Season 03 Episode 20🔥 The way mambo ilikua inaenda ni kama sio kuzuri. Vita ya wealth inakuaga noma sana wasee wanaweza malizana😂 Me : Haina shida mum Sandy : No one should know about this..this is our secret sawa? Me : Sawa mum Manze sijui…
♥️ SECRETS ♥️
Season 03🦋
Episode 21🔥
Hapa mambo ikachemka 💔. Nilikua nafeel guilty vibaya sana. But Jessy alimuua ju ya mambo yao mimi siko involved 💔.
Me : Utaishia huko wakuone tena?.. Denno anaweza geuka aseme mlikua nayeye pia wewe uwekwe ndani..sahi probably report zishamfikia
Cliff : Bro tunaelekea wapi jooh😭..tuwachane na deals bro hii shida yote ni Ras ameleta
Me : Ras ndo ameua Damian?
Cliff : Huyu mse anabenefit sisi tukirisk.. angaliaga deal ya juzi hakuna pesa tumeunda na hadi sahi ahajacall kujua vile kuko
Me : Atacall wewe relax
Cliff : Man Niko scared vibaya sana💔
Me : Play low tuone vile kutaenda
Cliff : Poa😥
Hio day niliishia home niko heartbroken vibaya sana..tho nilikua na beef na Damian but killing him was nothing my option. Nikachill pale na Stesh
Stesh : Beb you don't look okay tufike hosy😥
Me : Hapana beb I'm okay
Stesh : Beb..beb
Mkurugenzi the next thing kuona ilikua bed ya hosy💔.
Stesh : Beb.. I'm happy you are alive..ulifaint..wanasema uko na pneumonia na malaria but everything will be okay
Me : Ooh🥹.. thanks honey
Nilikaa hapo hosy hadi afternoon nikasema mi siwezi lala hapa tena
Me : We need to go
Stesh : Zii beb bado uko under treatment
Me : Hapana I'm not sleeping here
Tukatoka nikafika home. The following day Stesh hakukua anadai nifike job lakini nikaamua kuishia. Ma 11am hapo Tresh akanicall 📱
Tresh : Uko kwa ofisi?
Me : Yeah
Tresh : Napitia hapo nimekua natoka mahali
Me : Wapi?
Tresh : Nakam kukuambia
Kiasi hivi akaingia
Me : Sasa
Tresh : Poa sana😊
Me : Niambie
Tresh : There's this guy nimetoka kumuona hua anasaidia watu kuenda Uganda illegally..so he can prepare a passport hadi ikae original na everything hadi fake IDs
Me : Eeh mlijuana aje
Tresh : Through a friend..nataka anisadie Carl niende Uganda nikae huko hii mambo ilikua successful ju hapa Kenya Simon anaweza nishika na makarao ju nitakua nimemuibia..she has my pics zinaeza wekwa kila mahali
Me : Do you trust this guy?😂
Tresh : Hakai mse mmbaya
Me : By the way i have news
Tresh : Good ama bad
Me : Bad
Tresh : Aiii kama ni mbaya usiniambie😒
Me : Kuna rumors ati Simon hataki kuwachia family yake wealth yake.. unajua toka umshow uko na ball so yeye anaamini utazaa na ataachia huyo mtoi wealth yake yote amemess up na family yake yote soon itakua The Fall of The House of Simon💔
Tresh : Baas Carl hio sio bad news ni good news ju sasa nitakua na access ya mali yake bila kutoa jasho
Me : Sijamaliza.. Sandy, his wife anasema anataka kufreeze mali ya Simon yote na ingine andikishe kwa jina ya watoi Steve na Lizz 💔..we need to move fast💔
Tresh : Whaat😥😥..na vile mimi najipanga kuhepa haraka before Simon aulize mbona ball haionekani💔
TO BE CONTINUED 🔥
Reactions🔥💯