VIBES & WINES π°πͺπ°πͺ
β₯οΈ SECRETS β₯οΈ Season 03π₯ Episode 06π¦ Ni kama ni mimi nilikua siskii vizuri ju ya usingizi. Nikatoka bed nikanawa uso nikarudi Me : Yani ati unasema? Stesh : Ilifaa ninyeshe janaπ₯ Me : Sasa mbona unalia? Stesh : Beb i think I'm pregnantπ.. it's my firstβ¦
β₯οΈ SECRETS β₯οΈ
Sn 03
Episode 07π₯
Nilivaa toja mbio karibu zip ipite na chuma ya stainless steel ni cross dress kama flaqoππ. Tulishtuka manze nikashindwa hapa nasema niniπ
Tresh : Carl Whaatπ³π³π³..hii ni mambo gani siz
Cindy : Siz i can explain sio vile unafikiria
Tresh : Aje surely na nimewapata in the act..na Carl there's a time i asked you about my siz ukanidanganya ati there's nothing between the two of you.. Stesh anaweza feel aje akijua about this.. Cindy i told you Carl is dating our friend hii ni tabia gani surely hata hamuezi enda bedroom π
Cindy : This is my house nafanya chenye nataka unaumwa nikifk-kk na Carl kwani ni bwana yako
Tresh : Unikome kabisa I'm deleting your number you are not my sister anymore..na kuanzia leo staki hizo maprotection zako zaa watoto uwachunge mimi sio mtoto wako ushinde umenifata kila mahali kama mkia ya kondooπ .. Carl hii ni nini surely
Me : Tresh sisi ni watu wakubwa we can solve this..na hata sioni ubaya your siz akifanya anything na mtu anataka..so now you are judging others kwa vitu zenye hadi wewe unaweza jipata ukifanyaπ€
Tresh : Carl mumeniharibia siku for real..napanga anything yenye inaniita jina kwa hii nyumba hautawahi niona kwako tena Cindy..tell mum and dad we are done
Cindy : Siz hauwezi nisomea kwa nyumba yangu kama mtoto
Tresh : Ooh sasa umeamua kuchagua other people over your sister?π€¨
Cindy : Carl is mine na sitarudia naweza fanya anything nataka na yeye.. and yes najua Carl anadate lakini kuanzia leo anything that inahusu mambo yangu ikome kabisa..get out of my house
Tresh : Carl is this what you wanted?π₯..ni sawa wacha niende
Tresh akatokaπ
Cindy : Usishtuke Carl she's my siz na hakuna kitu anaweza fanya
Me : Zii mi staki nikue reason ya nyinyi kukosana you are family you know
Nikachomoka mbio nikajipin kwa dinga nikapata Tresh hajafika mbali. Nikatoka kwa dinga
Me : Tresh can we talk.. I'm sorry about all that
Tresh : Carl sio kwa ubaya but i was not expecting this.. plus Carl staki nikuwache ukifanya vitu mimi nilifanya na zikanileta shida kama sahi unaona hata nashindwa naanzia wapi kwa hii mambo ya Simon na Steveπ₯π..i know Cindy she's my sister na anataka kuharibu relationship yako na Stesh.. you love each other na staki kuona mumewachana na Stesh..i know her Carl kitu Cindy atakufanyia utajiua..i know her Carl please leave herπ
Me : She was tempting you know.. plus she's cute ni hard sana mse kusema no
Tresh : Carl you need self control..huyu ni moto ya kuotea mbali hata unaweza ona anakuja kwako mubreak up na Stesh ndo ubaki na yeye... she's very manipulative hata sijui alitumia method gani kukuwin
Me : Kwanza Tresh naskia you are pregnant..umenyamazia kabisa lakini wakati kitanuka ndo utakuja kunitafutaπ.
Tresh : ππ I'm not pregnant Carl huyu mzee nilimdanganya si unajua inafaa nimshow vitu zitafanya anipee hio pin.. nataka nifake niko ma ball anitrust nimtoke pesa kama nimeenda
Me : Yeah fanya faster Tresh hata next month haifai ikupate huku
Tresh : Yeah ju mambo inazidi kukua mbaya..jana Steve amelala kwangu na vile Simon hasemangi akikam.. Steve ameanza kuweka vitu open na naona soon watu wakitoana shingoπ
Me : Tresh hata unachelewa..but ukiona pesa zimekua ngumu kumtoka just leave sio lazima utoke na doo unaweza ishia hata home..sahi angalia maisha yako
Tresh : I'll see
Me : Then one last thing..manze staki kuona wewe na siz yako mkikosana juu yangu..nimem-cut off sahi sidai mambo yake sasa
Tresh : Atanitafuta namjua we usijali
Me : Manze nakuhurumia na hii story ya Simon jooh..jana amenicall anadai tuishie tusake bed ya mtoi
Tresh : My plan will work Carl wacha nijaribu
Me : Poa.. your friend is pregnant
Tresh : Whaatπ.. Stesh ama
Me : Yeah
Tresh : Heeeeπ€£.. congratulations Carlπ€£
Nikachomoka hadi kwa hao. Nikapata Stesh kwa bed anadoz
Me : Beb are you okay
Stesh : Nafeel tu msick
Me : Ni vile unajipea stress..we will take care of the kid together
Stesh : Thanks baby that's the only thing I wanted to hear todayπβ₯οΈπ«
Me : Don't worry.

Nikatoka kama kawaida usiku kuishia kupiga ile deal yenye Ras alinishow. Kina Cliff na Mike walikua washadunda but walikua na hired cars except Mike. Stesh kama kawaida yeye alijua mkuu naishia hosy kuona ule mgonjwa wetuπ. Ras akacall akanipea direction. Tukapatana na kina Denno tukafika. Bags zikapangwa kwa boots hata hatujui zilikua za nini. Tukaambiwa place inafaa zifike so sisi ni transporters tu. Before hata tutoke makarao wakadundaπ
TO BE CONTINUEDπ₯
Usipite bila Reactionsπ₯²
TO BE CONTINUEDπ₯
Usipite bila Reactionsπ₯²
VIBES & WINES π°πͺπ°πͺ
β₯οΈ SECRETS β₯οΈ Sn 03 Episode 07π₯ Nilivaa toja mbio karibu zip ipite na chuma ya stainless steel ni cross dress kama flaqoππ. Tulishtuka manze nikashindwa hapa nasema niniπ Tresh : Carl Whaatπ³π³π³..hii ni mambo gani siz Cindy : Siz i can explain sio vile unafikiriaβ¦
β₯οΈ SECRETS β₯οΈ
Season 3
Episode 8π¦
Nikashindwa leo kumeendaje hadi makarao wakatupiga crackdown kiundercover hivi kwani leo Ras hakukua keen amaπ€. Tukazungukwa. Kulikua kumefungana hadi huwezi pita na dinga uhepe maybe upite na makarao na hio ni suicide mission. Hapa nikajua Lulu Hassan lazima anipin pale kwa news Stesh ajue anadate mwiziππ.
Police : Kila mtu atoke nje mikono yote ju..weka mikono mahali naweza ona
Mzee kutoa kichwa nje shimo za bunduki karibu miambili nikarudi ndaniπ
Police : Kijana nasema toka nje unarudi ndani umeskia hii ni discoπ
Tukatolewa nje tukalalia tumbo kama nyoka. Boots nikafunguliwa hadi mbwa ya makarao ilikua mtaa mnanuswa kila mahali hadi kaa umeficha kitu kwa haga lazima itoleweπ. Bags zikatolewa nje nikajua leo nimeisha. Wakamwaga vitu zilikua kwa hizo bags chini. Nikacheki ni canned food nikajua baas hapa tumeponaπ. Na vile roho ilikua imetingika vibaya sanaππ
Police : Mnasafirisha chakula usiku kwa nini..hii ni canned chicken.. inaenda wapi
Cliff : Tumetoa kwa kampuni tunapeleka kwa sellers
Police : Kampuni yenu iko wapi na who are your clients?
Cliff akaanza ku stammer nikajua huyo ulimi itajikunja leoππ. Kampuni hata hatuijui sisi ni kubeba stuffs tuliambiwa tukuje kubeba
Police : Amka..fungua mkebe moja let me try this chicken
Cliff akaniangalia. Mike alikua amelalia tumbo uso kwa mchanga ungethani amedediππ. Cliff akaamka akapasua mkebe moja karao akachukua akamwaga chiniπ. Sachet flani ya white ikaanguka. Nikakumbuka kwa movies mambo ikifika hapa huwezi pona nikama umepata cancer kisubmarineππ.
Police : Afande we have a problem
Police 2 : Hii ni dawa ya kulevywa hawa ni walanguzi..tumbo chini kijana nitakupiga boot ya uso nikuharibie maisha
Manager mzima nimenaswa kwa drug business na manzi yangu ako na ball napoteza job na naishia prison niwache manzi yangu akiwa na ballπ. Nikiwa hapo down nilifikiria mambo mob sana. Napia siwezi hepa niwache dinga ya kampuni na iko na logo ya kampuni. Hapa ndo hua unaskia umeshikia maisha kwa mkono kama mayai. One bad move unanuka choo za kamitiπ. Nikajaribu kucheza na medulla kila hesabu inakataa. Hakuna formula ilikua inaingia hapa unatumia algebra lakini instead ya kupata jibu in digits unapata in Chinese languageππ. Bila interpreter hapa huwezi jitoa. Na nikitoka mbio naweza kula risasi. Denno aliamka mbio kama zombie hata hakuguza mkono chini impee support jamaa aliamka straight kama zombie akatoka mbio. Hata hakukua amefika mbali risasi ikaliaπ
TO BE CONTINUED π₯

β₯οΈ SECRETS β₯οΈ Season 3 Episode 8π¦ Nikashindwa leo kumeendaje hadi makarao wakatupiga crackdown kiundercover hivi kwani leo Ras hakukua keen amaπ€. Tukazungukwa. Kulikua kumefungana hadi huwezi pita na dinga uhepe maybe upite na makarao na hio ni suicideβ¦
β₯οΈ SECRETS β₯οΈ
Season 3
Episode 9π¦
Nduru flani mzito ikafataπ. Nikajua hapo Denno amemalizwa. Nikajua sasa mambo yangu imefika mwishoπ. Kuinua kichwa napata kumbe risasi ilipigwa kwa hewa Denno akathani imempataππ. Jamaa alikua hapo chini anatetemeka vibaya sana. Tukawekwa pingu hadi police station .
Police : Mkubwa wale watu tulikua tukifata the whole day ndo tumewashika sahi..lakini wale walikua waneleta bags hawajaonekana
OCS : Aah..this is a very special case..niwachie nitaendelea kutoka hapa
Police : Sir?..we need to write a statement..hawa ni walanguzi they are in drug business
OCS : That's why nasema niwachie I'll handle this
Police : Afande Bravin andika hio statement
OCS : Kijana nimesema aje..toka nje tutakabiliana badae
OCS na karao wakaanza kuletana hapo kidogo ngumi ziamke. Tukasundwa kwa cell
Mike : Buda leo kwani kumeendaje.. unaweza call huyo Ras?
Me : Simu zimechukuliwa mkuu namcall na nini
Mike : Ooh aah nimesahau
Cliff : Carl hapa tusipochunga ni 30 years ndani bila bond
Me : Sijui itakuajeπ..dinga yangu na ya Mike ziko na logo ya kampuni na zimebaki huko..by afternoon kesho zitakua zimeletwa hapa
Tulikaa hapo the whole night. The following day manze hakuna hata food ililetwa. Tulikua tunayawn hapo ndani kunanuka midomo. Ikafika afternoon.
Me : Excuse me mkubwa
Police : Semaπ
Me : Si mtuallow hata tupigie our family wakuje tujue itakua aje
Police : Hakuna kitu kama hio
Cliff : Mkubwa hatujakula toka jana what's going on.. nipee hata simu yako i call a friend akuje anione kindly
Police : Ooh sasa unajifanya unajua kizungu sana hata unatumia maneno mzito mzito kama kindly..wacha hio kizungu ikusaidie sasa
Afande akatoka akaishiaπ. Manze nikajua Stesh atathani nimehepa ballπ. Kwa job watasindwa mbona sijapull upπ. Mambo ilizidi kuchemka hapo ndani njaa ndo hio kisubmarine inakufanyia the unthinkable. Ikafika usiku manze hakuna dalili ya mse kukuja kutuona ama ya foodπ. The whole night nilikua yawning na vile hakuna hata bed floor ni baridi kama shietππ. Leo deals zimeniland kwa mikono ya serikali vibaya sanaπ. Hata Ras akicall hangenipata ju phone ziko na makarao. Tukachill pale hadi morning. Tukaskia footsteps. Kidogo tukaona makarao wawili wanakam. Damian akaingia π

β₯οΈ SECRETS β₯οΈ Season 3 Episode 9π¦ Nduru flani mzito ikafataπ. Nikajua hapo Denno amemalizwa. Nikajua sasa mambo yangu imefika mwishoπ. Kuinua kichwa napata kumbe risasi ilipigwa kwa hewa Denno akathani imempataππ. Jamaa alikua hapo chini anatetemeka vibayaβ¦
β₯οΈ SECRETS β₯οΈ
Season 3
Episode 10 π¦
Nikashindwa Damian anafanya nini hapaπ. Manze nilishtuka hadi nikaanza kujiuliza maswali mob sanaπ. I wasn't expecting someone like him akuje hapa
Damian : Manager mzimaππ..eh nilikuambia mimi ni mjanja kukuliko ukaona mimi ni mjinga ukasema aah haka kajamaa kananiambia nini banaπ..sahii you are inside I'm outsideπ..hio kampuni inataka watu kama mimi sio wewe..leo sasa sijui utaambia nini watuπ
Cliff : Kunaendaje hapa manze.. Damian manze si ututoe tuongelee nje
Damian : Ehee..a prize has to be paid..sasa hapa itadepend na Carl
Me : Unadai aje..na unafanya nini hapa
Akaleta dish ya food Denno akapewaπ. Tulikua njaa ingine mbaya sana
Damian : Family comes first.. Denno hebu kula hio food yote na usipee hizi kondoo hata kidogo
Mike : It's either tukule hio food wote ama kila mtu akoseπ
Damian : Aahπ.. Mike pia wewe uko huku.. nakumbuka i told you nikipea hii ngamia yako kazi itafanya kazi vile inafaa but what happened?..akanitupa nje na wewe ukaletwa..hio ni betrayal and I'm very happy pia wewe umejipata kwa hii shida Mike.. you were a good friend of mine toka highschool lakini ujanja mingi na kutembea na vijana wakora kama Carl sahi see your lifeπ
Police : Weweπ..weka hio chakula chini ama nikuharibu sura..
Cliff alikua ameanza kushare hio food na Denno kidogo atolewe machoππ. Denno alikula tukimuangalia manze na karao alikua anachunga asiombwe
Damian : Hahaaππ..kila nyani na siku yake lazima kieleweke leo
Me : Unataka nini
Damian : A good question...so iko hivi..na uskize kwa makino Carl because this is going to decide your fate and your life..
Me : Wacha kelele go straight to the point
Damian : Alaa sasa ati unabonda cheki huyu mseπ..hey afande pea yeye viboko tatu
Afande akajipin hapo ndani nikasundwa tatu mzito nikatuliaπ
Damian : Baasπ..we Cliff..juzi mkaingia mumesag long'i ati mnastrikeπ.. nowadays mnajiona eehπ
Cliff : Unataka aje mzee
Damian : Trevor did a good job lakini hakufata masharti yangu..hizo gari zote ilikua zitobolewe lakini yeye akajifanya Elon Musk sahi anaozea prison
Me : Whaaatπ³
Damian : Nyamaza ama afande arudi ndani..Ni mimi nili organize hio strike i was the mastermind behind it

β₯οΈ SECRETS β₯οΈ Season 3 Episode 10 π¦ Nikashindwa Damian anafanya nini hapaπ. Manze nilishtuka hadi nikaanza kujiuliza maswali mob sanaπ. I wasn't expecting someone like him akuje hapa Damian : Manager mzimaππ..eh nilikuambia mimi ni mjanja kukuliko ukaonaβ¦
β₯οΈ SECRETS β₯οΈ
Season 3 π₯
Episode 11π¦
Kumbe huyu mse ndo ali organize Trevor wapige ile strikeπ. Kisubmarine ningewachiliwa hata two minutes angegeuka kiweteπ
Me : Buda aki anani nikikushika hivi utabaki nyama kilo mbiliπ³
Damian : Sawa kujaπ..maisha yako iko kwa mikono yangu wewe mzee..leo ni leo unafeel aje?..hivo ndo nilifeel vile ulichukua kazi yangu
Me : πππ
Damian : I'll be back by the way to give you my terms and conditions
Jamaa akatoka akaishia π. Hapa nikaanza kuona kuna hesabu haiingii kabisa. Damian alijuaje tunapiga hio deal?π€..ju hio ambush ya makarao ilikua immediate nikama walikua tu ready wanatutegea
Me : Denno
Denno : Yes
Me : Damian is your brother..alijuaje uko cell ndo akaleta food?
Denno : Aii Carl bana hizo ni gani unaanza
Cliff : Buda ngojaπ€.. enyewe Denno mbona Damian anabonga nikama all this was planned?..the police crackdownπ€...
Mike : Hapo kuna hesabu haiingi manze i have a lot of questions
Police : Nikiskia kelele hapa ndani mtaumiaπ€¨
Me : Aah we kwenda hata hakuna kitu sijapitia kwa hii dunia wacha nikuambie wewe mzee wa kirauni na nitaongea upende usipende
Afande akaishiaππ. Kiasi hivi tukaona shadow kubwa. Manze makarao kama 30 wakaingia hapo ndani. Nilijengwa rungu ya kichwa kisogo ikaguza mgongoπ. Tukanyamaza kimya. Later on tukaendelea
Me : Denno tuambie everything ju tunaweza amua anything hapa ndani kwanza kumbuka umedishi na sisi tuko njaaπ
Denno : I swear majamaa I don't know anything
Mike : Alijuaje uko hapa?
Denno : Siwezi jua walahi
Me : Niliwaambia about hio deal tukiwa watu wanne..hakuna mse mwingine alikua hapo.. Damian was not there..hio information ilimfikia aje hadi tukangojewa site?
Cliff : Denno nilikua nimekuona kaa my bro lakini the way mambo inaenda naweza amua mbaya mbaya utoke hapa ikiingia jenezaπ
Mike : Denno kuna kitu hapa..hadi ile time ulitoka kukimbia ingefaa upigwe risasi mbona haukupigwa risasi?..unaona..guys hapa tumechezwa
Me : Denno uliambia Damian about our plan akaamua kunishikia hapo..akatuma makarao wakatutegea..all this was planned na hata usiku vile niliwacall kuwashow location ukatumia Damian hio information
Denno : Mi sijui hizo Story bana leave me alone
Mike : Buda hatuwezi wacha huyu Denno songa nikuongeze
Mike aliruka na heady flani international Denno kidogo atapike food aliletewaπ. Vurugu ikaamka hapo ndani kumbe huyu jamaa alituseti kwa Damian manze. Karao akaingia wakatoa Denno hapo wakamueka kwa cell different but opposite na yetu so tulikua tunaonana. Damian akarudi
Damian : Naambiwa mnataka kunimalizia brotherπ
Me : Wacha nikuambie buda..
Damian : Eeeh niambie niskieπ.. unajua Carl nafeel poa sana sasa umejua how powerful i am..
Cliff : Juzi Denno alinishow unakaa kwake..so you have been planning all this toka kitambo.. Denno nitakutoa kichwa i swear
Damian : Kwanza wewe Cliff I'll make sure umeozea prison kama Trevor
Me : π π π
Damian : Sasa Carl iko hivi..let me rule out the terms of service.. it's either nirudi kukua manager ama uende mbele

β₯οΈ SECRETS β₯οΈ Season 3 π₯ Episode 11π¦ Kumbe huyu mse ndo ali organize Trevor wapige ile strikeπ. Kisubmarine ningewachiliwa hata two minutes angegeuka kiweteπ Me : Buda aki anani nikikushika hivi utabaki nyama kilo mbiliπ³ Damian : Sawa kujaπ..maisha yakoβ¦
β₯οΈ SECRETS β₯οΈ
Season 3 π¦
Episode 12π₯
Me : Whaaatπ³
Damian: Yeah Carl mlipatwa na illegal drugs hii kesi yako ni kesi ya court so ni either ujitoe nirudi manager ama uende mbele..ukikubali sahi mnatoka sai with immediate effect..nafika pale kwa kampuni unasign makaratasi that you are resigning then unawachiliwa
Me : Wuuuehπ³π³π
Damian : Nitakupea hadi jioni uamue kama unataka kuendelea kuumwa na kunguni hapa ndani ama unataka kulala kwako
Cliff : Damian unacheza na moto mbaya sana
Damian : Aahπ..ama unamaanisha hako kajamaa kanaitwa Rasπ.. Denno ameniambia there's an imaginary guy huwapea illegal jobs..na pia gari za kampuni ndo zinafanya hio shuguli usiku.. aki Carl nakuhurumia sanaπ..gari za kampuni ndo unafanya nazo hii mambo?..hizo gari nimezileta hapa.. kampuni ikijua Carl unaweza wekwa ndani miaka mingi sana..nakupea hadi jioni.. nitarudi sasa elewaneni vile mnataka mnipee jibu jioni.. Cliff na Mike mjue Carl ndo anaamua maisha yenu..msikubali kukufa kwa makosa ya mse mwingine.. Carl aliwaharibia maisha na hamjui..he knows everything yenye anafanya so he manipulated you mkaona sasa yeye ndo boss mnampigia magoti kama King of England hahaahaπ...
Damian akatoka akaishia. Denno alifanya one big mistake akatoboa siri ya deals hapa sijui kama atapona unless Ras asijueπ. Hata tunaweza amka morning tupate alimalizwaπ
Mike : Man tunafanya aje
Cliff : I'm dying with you bro..niko na wewe hata if it means kuenda prison I'm ready
Me : Zii bro hii ni issue yangu nataka nione vile kutaenda
Mike : I have a family bro sijui itakuaje
Me : Family gani?
Mike : Niko na wife na mtoi
Me : Whaatπ³..bro hii time yote na huwezi niambia mbona unaweka ikue siri jooh?
Mike : Of course ningekushow bro
Me : So ulikua unataka kusema?
Mike : Manze siwezi enda prison bro..staki kuwacha wife na mtoi
Me : Do you on that my girlfriend is pregnant?
Denno : Hayaaπ..mnazaa tena?π
Cliff : Buda kama sio hio vichuma imekinga hapa sahi ungegeuka maiti
Denno : Damian is family manze.. hakuna vile ningekaa nione my bro ametokwa kwazi na Carl is enjoying.. imagine hadi ingekua wewe Cliff ungefanya the same thing..na wewe Carl vile Cliff anasema anaenda na wewe prison do you trust him?π..waah
Me : Unamaanisha?
Denno : Unaskianga your close friends are your enemies..
Mike : We nyamaza..so Carl mi nilikua naona aje..we ukubali ku resign hata kama ni deals tunaweza piga ukiwa nje
Me : Hio job ndo cover ya deals bro huku nje hata huwezi kaa two weeks ka haujashikwa.. Mike mbona unagive up haraka ivo
Cliff : Mike tusipokufa na Carl itakua kama betrayal..we have to support him..wewe uko na wife na mtoi na Carl manzi yake ako na ball so you share that in common you are not special.
Njaa ilikua imenipiga vibaya sana hadi nilikua nimeanza kushindwa kupumua. Tukaskia footsteps. Jessy akaingia π