VIBES & WINES πŸ‡°πŸ‡ͺπŸ‡°πŸ‡ͺ
7.75K subscribers
1.75K photos
149 videos
127 links
Memes na Stories za Nguvu, Vibe ya 254 iko hapa πŸ”₯πŸ‡°πŸ‡ͺ Hapa raha ni ingine unstoppable,,kila cku kila day πŸ’―
Download Telegram
Hustle zijipe Inshallah
Tukitoka tusirudi mikono tupu

Amen
β™₯️ SECRETS β™₯️
VIBES & WINES πŸ‡°πŸ‡ͺπŸ‡°πŸ‡ͺ
β™₯️ SECRETS β™₯️ Season 03πŸ”₯ Episode 06πŸ¦‹ Ni kama ni mimi nilikua siskii vizuri ju ya usingizi. Nikatoka bed nikanawa uso nikarudi Me : Yani ati unasema? Stesh : Ilifaa ninyeshe janaπŸ˜₯ Me : Sasa mbona unalia? Stesh : Beb i think I'm pregnant😭.. it's my first…
β™₯️ SECRETS β™₯️
Sn 03
Episode 07πŸ”₯

Nilivaa toja mbio karibu zip ipite na chuma ya stainless steel ni cross dress kama flaqoπŸ˜‚πŸ’”. Tulishtuka manze nikashindwa hapa nasema niniπŸ˜‚

Tresh : Carl Whaat😳😳😳..hii ni mambo gani siz
Cindy : Siz i can explain sio vile unafikiria
Tresh : Aje surely na nimewapata in the act..na Carl there's a time i asked you about my siz ukanidanganya ati there's nothing between the two of you.. Stesh anaweza feel aje akijua about this.. Cindy i told you Carl is dating our friend hii ni tabia gani surely hata hamuezi enda bedroom 😏
Cindy : This is my house nafanya chenye nataka unaumwa nikifk-kk na Carl kwani ni bwana yako
Tresh : Unikome kabisa I'm deleting your number you are not my sister anymore..na kuanzia leo staki hizo maprotection zako zaa watoto uwachunge mimi sio mtoto wako ushinde umenifata kila mahali kama mkia ya kondoo😠.. Carl hii ni nini surely
Me : Tresh sisi ni watu wakubwa we can solve this..na hata sioni ubaya your siz akifanya anything na mtu anataka..so now you are judging others kwa vitu zenye hadi wewe unaweza jipata ukifanyaπŸ€”
Tresh : Carl mumeniharibia siku for real..napanga anything yenye inaniita jina kwa hii nyumba hautawahi niona kwako tena Cindy..tell mum and dad we are done
Cindy : Siz hauwezi nisomea kwa nyumba yangu kama mtoto
Tresh : Ooh sasa umeamua kuchagua other people over your sister?🀨
Cindy : Carl is mine na sitarudia naweza fanya anything nataka na yeye.. and yes najua Carl anadate lakini kuanzia leo anything that inahusu mambo yangu ikome kabisa..get out of my house
Tresh : Carl is this what you wanted?πŸ˜₯..ni sawa wacha niende

Tresh akatokaπŸ’”

Cindy : Usishtuke Carl she's my siz na hakuna kitu anaweza fanya
Me : Zii mi staki nikue reason ya nyinyi kukosana you are family you know

Nikachomoka mbio nikajipin kwa dinga nikapata Tresh hajafika mbali. Nikatoka kwa dinga

Me : Tresh can we talk.. I'm sorry about all that
Tresh : Carl sio kwa ubaya but i was not expecting this.. plus Carl staki nikuwache ukifanya vitu mimi nilifanya na zikanileta shida kama sahi unaona hata nashindwa naanzia wapi kwa hii mambo ya Simon na SteveπŸ˜₯πŸ’”..i know Cindy she's my sister na anataka kuharibu relationship yako na Stesh.. you love each other na staki kuona mumewachana na Stesh..i know her Carl kitu Cindy atakufanyia utajiua..i know her Carl please leave herπŸ˜–
Me : She was tempting you know.. plus she's cute ni hard sana mse kusema no
Tresh : Carl you need self control..huyu ni moto ya kuotea mbali hata unaweza ona anakuja kwako mubreak up na Stesh ndo ubaki na yeye... she's very manipulative hata sijui alitumia method gani kukuwin
Me : Kwanza Tresh naskia you are pregnant..umenyamazia kabisa lakini wakati kitanuka ndo utakuja kunitafutaπŸ’”.
Tresh : πŸ˜‚πŸ˜‚ I'm not pregnant Carl huyu mzee nilimdanganya si unajua inafaa nimshow vitu zitafanya anipee hio pin.. nataka nifake niko ma ball anitrust nimtoke pesa kama nimeenda
Me : Yeah fanya faster Tresh hata next month haifai ikupate huku
Tresh : Yeah ju mambo inazidi kukua mbaya..jana Steve amelala kwangu na vile Simon hasemangi akikam.. Steve ameanza kuweka vitu open na naona soon watu wakitoana shingoπŸ’”
Me : Tresh hata unachelewa..but ukiona pesa zimekua ngumu kumtoka just leave sio lazima utoke na doo unaweza ishia hata home..sahi angalia maisha yako
Tresh : I'll see
Me : Then one last thing..manze staki kuona wewe na siz yako mkikosana juu yangu..nimem-cut off sahi sidai mambo yake sasa
Tresh : Atanitafuta namjua we usijali
Me : Manze nakuhurumia na hii story ya Simon jooh..jana amenicall anadai tuishie tusake bed ya mtoi
Tresh : My plan will work Carl wacha nijaribu
Me : Poa.. your friend is pregnant
Tresh : WhaatπŸ˜‚.. Stesh ama
Me : Yeah
Tresh : Heeee🀣.. congratulations Carl🀣

Nikachomoka hadi kwa hao. Nikapata Stesh kwa bed anadoz

Me : Beb are you okay
Stesh : Nafeel tu msick
Me : Ni vile unajipea stress..we will take care of the kid together
Stesh : Thanks baby that's the only thing I wanted to hear today😭β™₯οΈπŸ«‚
Me : Don't worry.
VIBES & WINES πŸ‡°πŸ‡ͺπŸ‡°πŸ‡ͺ
β™₯️ SECRETS β™₯️ Season 03πŸ”₯ Episode 06πŸ¦‹ Ni kama ni mimi nilikua siskii vizuri ju ya usingizi. Nikatoka bed nikanawa uso nikarudi Me : Yani ati unasema? Stesh : Ilifaa ninyeshe janaπŸ˜₯ Me : Sasa mbona unalia? Stesh : Beb i think I'm pregnant😭.. it's my first…
Nikatoka kama kawaida usiku kuishia kupiga ile deal yenye Ras alinishow. Kina Cliff na Mike walikua washadunda but walikua na hired cars except Mike. Stesh kama kawaida yeye alijua mkuu naishia hosy kuona ule mgonjwa wetuπŸ˜‚. Ras akacall akanipea direction. Tukapatana na kina Denno tukafika. Bags zikapangwa kwa boots hata hatujui zilikua za nini. Tukaambiwa place inafaa zifike so sisi ni transporters tu. Before hata tutoke makarao wakadundaπŸ’”

TO BE CONTINUEDπŸ”₯

Usipite bila ReactionsπŸ₯²
β™₯️ SECRETS β™₯️
VIBES & WINES πŸ‡°πŸ‡ͺπŸ‡°πŸ‡ͺ
β™₯️ SECRETS β™₯️ Sn 03 Episode 07πŸ”₯ Nilivaa toja mbio karibu zip ipite na chuma ya stainless steel ni cross dress kama flaqoπŸ˜‚πŸ’”. Tulishtuka manze nikashindwa hapa nasema niniπŸ˜‚ Tresh : Carl Whaat😳😳😳..hii ni mambo gani siz Cindy : Siz i can explain sio vile unafikiria…
β™₯️ SECRETS β™₯️
Season 3
Episode 8πŸ¦‹

Nikashindwa leo kumeendaje hadi makarao wakatupiga crackdown kiundercover hivi kwani leo Ras hakukua keen amaπŸ€”. Tukazungukwa. Kulikua kumefungana hadi huwezi pita na dinga uhepe maybe upite na makarao na hio ni suicide mission. Hapa nikajua Lulu Hassan lazima anipin pale kwa news Stesh ajue anadate mwiziπŸ’”πŸ˜‚.

Police : Kila mtu atoke nje mikono yote ju..weka mikono mahali naweza ona

Mzee kutoa kichwa nje shimo za bunduki karibu miambili nikarudi ndaniπŸ’”

Police : Kijana nasema toka nje unarudi ndani umeskia hii ni disco😠

Tukatolewa nje tukalalia tumbo kama nyoka. Boots nikafunguliwa hadi mbwa ya makarao ilikua mtaa mnanuswa kila mahali hadi kaa umeficha kitu kwa haga lazima itoleweπŸ˜‚. Bags zikatolewa nje nikajua leo nimeisha. Wakamwaga vitu zilikua kwa hizo bags chini. Nikacheki ni canned food nikajua baas hapa tumeponaπŸ˜‚. Na vile roho ilikua imetingika vibaya sanaπŸ˜‚πŸ’”

Police : Mnasafirisha chakula usiku kwa nini..hii ni canned chicken.. inaenda wapi
Cliff : Tumetoa kwa kampuni tunapeleka kwa sellers
Police : Kampuni yenu iko wapi na who are your clients?

Cliff akaanza ku stammer nikajua huyo ulimi itajikunja leoπŸ˜‚πŸ’”. Kampuni hata hatuijui sisi ni kubeba stuffs tuliambiwa tukuje kubeba

Police : Amka..fungua mkebe moja let me try this chicken

Cliff akaniangalia. Mike alikua amelalia tumbo uso kwa mchanga ungethani amedediπŸ˜‚πŸ’”. Cliff akaamka akapasua mkebe moja karao akachukua akamwaga chiniπŸ’”. Sachet flani ya white ikaanguka. Nikakumbuka kwa movies mambo ikifika hapa huwezi pona nikama umepata cancer kisubmarineπŸ˜‚πŸ’”.

Police : Afande we have a problem
Police 2 : Hii ni dawa ya kulevywa hawa ni walanguzi..tumbo chini kijana nitakupiga boot ya uso nikuharibie maisha

Manager mzima nimenaswa kwa drug business na manzi yangu ako na ball napoteza job na naishia prison niwache manzi yangu akiwa na ballπŸ’”. Nikiwa hapo down nilifikiria mambo mob sana. Napia siwezi hepa niwache dinga ya kampuni na iko na logo ya kampuni. Hapa ndo hua unaskia umeshikia maisha kwa mkono kama mayai. One bad move unanuka choo za kamitiπŸ’”. Nikajaribu kucheza na medulla kila hesabu inakataa. Hakuna formula ilikua inaingia hapa unatumia algebra lakini instead ya kupata jibu in digits unapata in Chinese languageπŸ˜‚πŸ’”. Bila interpreter hapa huwezi jitoa. Na nikitoka mbio naweza kula risasi. Denno aliamka mbio kama zombie hata hakuguza mkono chini impee support jamaa aliamka straight kama zombie akatoka mbio. Hata hakukua amefika mbali risasi ikaliaπŸ’”

TO BE CONTINUED πŸ”₯
VIBES & WINES πŸ‡°πŸ‡ͺπŸ‡°πŸ‡ͺ
β™₯️ SECRETS β™₯️ Season 3 Episode 8πŸ¦‹ Nikashindwa leo kumeendaje hadi makarao wakatupiga crackdown kiundercover hivi kwani leo Ras hakukua keen amaπŸ€”. Tukazungukwa. Kulikua kumefungana hadi huwezi pita na dinga uhepe maybe upite na makarao na hio ni suicide…
β™₯️ SECRETS β™₯️
Season 3
Episode 9πŸ¦‹

Nduru flani mzito ikafataπŸ’”. Nikajua hapo Denno amemalizwa. Nikajua sasa mambo yangu imefika mwishoπŸ’”. Kuinua kichwa napata kumbe risasi ilipigwa kwa hewa Denno akathani imempataπŸ˜‚πŸ’”. Jamaa alikua hapo chini anatetemeka vibaya sana. Tukawekwa pingu hadi police station .

Police : Mkubwa wale watu tulikua tukifata the whole day ndo tumewashika sahi..lakini wale walikua waneleta bags hawajaonekana
OCS : Aah..this is a very special case..niwachie nitaendelea kutoka hapa
Police : Sir?..we need to write a statement..hawa ni walanguzi they are in drug business
OCS : That's why nasema niwachie I'll handle this
Police : Afande Bravin andika hio statement
OCS : Kijana nimesema aje..toka nje tutakabiliana badae

OCS na karao wakaanza kuletana hapo kidogo ngumi ziamke. Tukasundwa kwa cell

Mike : Buda leo kwani kumeendaje.. unaweza call huyo Ras?
Me : Simu zimechukuliwa mkuu namcall na nini
Mike : Ooh aah nimesahau
Cliff : Carl hapa tusipochunga ni 30 years ndani bila bond
Me : Sijui itakuajeπŸ’”..dinga yangu na ya Mike ziko na logo ya kampuni na zimebaki huko..by afternoon kesho zitakua zimeletwa hapa

Tulikaa hapo the whole night. The following day manze hakuna hata food ililetwa. Tulikua tunayawn hapo ndani kunanuka midomo. Ikafika afternoon.

Me : Excuse me mkubwa
Police : Sema😏
Me : Si mtuallow hata tupigie our family wakuje tujue itakua aje
Police : Hakuna kitu kama hio
Cliff : Mkubwa hatujakula toka jana what's going on.. nipee hata simu yako i call a friend akuje anione kindly
Police : Ooh sasa unajifanya unajua kizungu sana hata unatumia maneno mzito mzito kama kindly..wacha hio kizungu ikusaidie sasa

Afande akatoka akaishiaπŸ’”. Manze nikajua Stesh atathani nimehepa ballπŸ’”. Kwa job watasindwa mbona sijapull upπŸ’”. Mambo ilizidi kuchemka hapo ndani njaa ndo hio kisubmarine inakufanyia the unthinkable. Ikafika usiku manze hakuna dalili ya mse kukuja kutuona ama ya foodπŸ’”. The whole night nilikua yawning na vile hakuna hata bed floor ni baridi kama shietπŸ˜‚πŸ’”. Leo deals zimeniland kwa mikono ya serikali vibaya sanaπŸ˜‚. Hata Ras akicall hangenipata ju phone ziko na makarao. Tukachill pale hadi morning. Tukaskia footsteps. Kidogo tukaona makarao wawili wanakam. Damian akaingia πŸ’”

TO BE CONTINUED πŸ”₯