VIBES & WINES π°πͺπ°πͺ
β₯οΈ SECRETS β₯οΈ Season 03π₯ Episode 06π¦ Ni kama ni mimi nilikua siskii vizuri ju ya usingizi. Nikatoka bed nikanawa uso nikarudi Me : Yani ati unasema? Stesh : Ilifaa ninyeshe janaπ₯ Me : Sasa mbona unalia? Stesh : Beb i think I'm pregnantπ.. it's my firstβ¦
β₯οΈ SECRETS β₯οΈ
Sn 03
Episode 07π₯
Nilivaa toja mbio karibu zip ipite na chuma ya stainless steel ni cross dress kama flaqoππ. Tulishtuka manze nikashindwa hapa nasema niniπ
Tresh : Carl Whaatπ³π³π³..hii ni mambo gani siz
Cindy : Siz i can explain sio vile unafikiria
Tresh : Aje surely na nimewapata in the act..na Carl there's a time i asked you about my siz ukanidanganya ati there's nothing between the two of you.. Stesh anaweza feel aje akijua about this.. Cindy i told you Carl is dating our friend hii ni tabia gani surely hata hamuezi enda bedroom π
Cindy : This is my house nafanya chenye nataka unaumwa nikifk-kk na Carl kwani ni bwana yako
Tresh : Unikome kabisa I'm deleting your number you are not my sister anymore..na kuanzia leo staki hizo maprotection zako zaa watoto uwachunge mimi sio mtoto wako ushinde umenifata kila mahali kama mkia ya kondooπ .. Carl hii ni nini surely
Me : Tresh sisi ni watu wakubwa we can solve this..na hata sioni ubaya your siz akifanya anything na mtu anataka..so now you are judging others kwa vitu zenye hadi wewe unaweza jipata ukifanyaπ€
Tresh : Carl mumeniharibia siku for real..napanga anything yenye inaniita jina kwa hii nyumba hautawahi niona kwako tena Cindy..tell mum and dad we are done
Cindy : Siz hauwezi nisomea kwa nyumba yangu kama mtoto
Tresh : Ooh sasa umeamua kuchagua other people over your sister?π€¨
Cindy : Carl is mine na sitarudia naweza fanya anything nataka na yeye.. and yes najua Carl anadate lakini kuanzia leo anything that inahusu mambo yangu ikome kabisa..get out of my house
Tresh : Carl is this what you wanted?π₯..ni sawa wacha niende
Tresh akatokaπ
Cindy : Usishtuke Carl she's my siz na hakuna kitu anaweza fanya
Me : Zii mi staki nikue reason ya nyinyi kukosana you are family you know
Nikachomoka mbio nikajipin kwa dinga nikapata Tresh hajafika mbali. Nikatoka kwa dinga
Me : Tresh can we talk.. I'm sorry about all that
Tresh : Carl sio kwa ubaya but i was not expecting this.. plus Carl staki nikuwache ukifanya vitu mimi nilifanya na zikanileta shida kama sahi unaona hata nashindwa naanzia wapi kwa hii mambo ya Simon na Steveπ₯π..i know Cindy she's my sister na anataka kuharibu relationship yako na Stesh.. you love each other na staki kuona mumewachana na Stesh..i know her Carl kitu Cindy atakufanyia utajiua..i know her Carl please leave herπ
Me : She was tempting you know.. plus she's cute ni hard sana mse kusema no
Tresh : Carl you need self control..huyu ni moto ya kuotea mbali hata unaweza ona anakuja kwako mubreak up na Stesh ndo ubaki na yeye... she's very manipulative hata sijui alitumia method gani kukuwin
Me : Kwanza Tresh naskia you are pregnant..umenyamazia kabisa lakini wakati kitanuka ndo utakuja kunitafutaπ.
Tresh : ππ I'm not pregnant Carl huyu mzee nilimdanganya si unajua inafaa nimshow vitu zitafanya anipee hio pin.. nataka nifake niko ma ball anitrust nimtoke pesa kama nimeenda
Me : Yeah fanya faster Tresh hata next month haifai ikupate huku
Tresh : Yeah ju mambo inazidi kukua mbaya..jana Steve amelala kwangu na vile Simon hasemangi akikam.. Steve ameanza kuweka vitu open na naona soon watu wakitoana shingoπ
Me : Tresh hata unachelewa..but ukiona pesa zimekua ngumu kumtoka just leave sio lazima utoke na doo unaweza ishia hata home..sahi angalia maisha yako
Tresh : I'll see
Me : Then one last thing..manze staki kuona wewe na siz yako mkikosana juu yangu..nimem-cut off sahi sidai mambo yake sasa
Tresh : Atanitafuta namjua we usijali
Me : Manze nakuhurumia na hii story ya Simon jooh..jana amenicall anadai tuishie tusake bed ya mtoi
Tresh : My plan will work Carl wacha nijaribu
Me : Poa.. your friend is pregnant
Tresh : Whaatπ.. Stesh ama
Me : Yeah
Tresh : Heeeeπ€£.. congratulations Carlπ€£
Nikachomoka hadi kwa hao. Nikapata Stesh kwa bed anadoz
Me : Beb are you okay
Stesh : Nafeel tu msick
Me : Ni vile unajipea stress..we will take care of the kid together
Stesh : Thanks baby that's the only thing I wanted to hear todayπβ₯οΈπ«
Me : Don't worry.

Nikatoka kama kawaida usiku kuishia kupiga ile deal yenye Ras alinishow. Kina Cliff na Mike walikua washadunda but walikua na hired cars except Mike. Stesh kama kawaida yeye alijua mkuu naishia hosy kuona ule mgonjwa wetuπ. Ras akacall akanipea direction. Tukapatana na kina Denno tukafika. Bags zikapangwa kwa boots hata hatujui zilikua za nini. Tukaambiwa place inafaa zifike so sisi ni transporters tu. Before hata tutoke makarao wakadundaπ
TO BE CONTINUEDπ₯
Usipite bila Reactionsπ₯²
TO BE CONTINUEDπ₯
Usipite bila Reactionsπ₯²