VIBES & WINES ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช
7.38K subscribers
1.33K photos
143 videos
109 links
Memes na Stories za Nguvu, Vibe ya 254 iko hapa ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช Hapa raha ni ingine unstoppable,,kila cku kila day ๐Ÿ’ฏ
Download Telegram
Hustle zijipe Inshallah
Kazi zilipe
Madeni yaishe

Amen๐Ÿ™
Leteni maoni ya Secrets season 2๐Ÿ˜‚
โค๏ธ CARL AND MELINDA โค๏ธ

EPISODE 56๐ŸŒฆ

Nikashindwa sasa Wendy ametokea wapi tena na wamepatana aje๐Ÿ˜‚. Enyewe madem mko na akili ingine advanced sana๐Ÿ˜‚

Me : Oow Wendy?..huyo ndio nani
Melinda : Wacha kujifanya humjui...she is a model ๐Ÿ™„
Me : Oow that kalady
Melinda : Stop it carl she is not kalady...she is my friend na unamjua๐Ÿ˜...
Me : Oow amekua hapa?
Melinda : Yeah she was just passing by to say hi na akasema alikujua kupitia kwa carren...the model you are managing
Me : Aah Wendy...namjua lakini sio sana..so akasema nini ingine?
Melinda : Ooh was she supposed to tell me anything more than that?
Me : Nop am joking ๐Ÿ˜‚
Melinda : Well atarudi soon..nimemualika supper Monday
Me : Waah for what?..i hate her
Melinda : Whaaat?๐Ÿ˜ณ... really
Me : Ooh beb am sorry...am sorry
Melinda : Whaaat๐Ÿ˜ณ...hutaki wageni wangu wakuje hapa๐Ÿ˜ณ..kwani mlifanyana nini?...u hate her?.
Me : It was a mistake am sorry I don't hate wendy..
Melinda : Hata sina la kusema... Wendy anakuja Monday and she is going to sleep here coz she was my friend tukiwa campus and i do miss her that's why she is coming on Monday..fullstop
Me : Eiii beb leo uko mkali aje bana๐Ÿ™„..u wanna slap me?

Melinda aliniweka kofi moja hadi mate ikaruka๐Ÿ˜ฐ. Nikaona nyota na solar system mzima๐Ÿ˜ข.

Melinda : Ooh my God ๐Ÿ˜ฐ..carl am sorry... just understand how pregnant women behave...beb am sorry

Mkuu nikabonda ungethani nimedungwa baking powder. Nikaingia bedroom nikadoz. The following day after breakfast ๐Ÿฎ nikachomoka niiishie kwa Brenda tuishie outing

Melinda : Am going with you
Me : No no
Melinda : Huwezi niwacha hapa pekeangu
Me : No ur not going with me
Melinda : Carl please go with me๐Ÿ˜ฐ

Waaah๐Ÿ™†. Sasa hizi ni gani surely. Manzi akaingia kwa dinga na akatulia ndani. Nikarudi kwa hao nikacall Brenda kumshow rada imeharibika ๐Ÿ˜‚. Nikarudi nikadrive hadi tao nitembeze mamaa kwanza. Lunchtime tukaishia kwa restaurant flani pale tao. Tukatulia hapo

Me : Utakula nini?..here is the menu
Melinda : Nitakula chenye wewe utakula
Me : ๐Ÿ˜‚ningejua ningkuwacha home
Melinda : Really?..why๐Ÿ˜‚
Me : You are stubborn...u slapped me yesterday sijasahau..soon you are going to ki#ll me
Melinda : Nilikua provoked...am sorry beb

Food ikaletwa tukaanza kudish ๐Ÿฅž๐Ÿœ๐Ÿน. Nikamada kudish mbele yake. Mi kupindua shingo naona Velma amekaa huko nyuma๐Ÿ˜ณ. Nakwambia ile jasho ilitoka kwa armpits inaweza jaa 20 litres ๐Ÿ˜ณ.

Me : Beb hujashiba tuishie
Melinda : Why?๐Ÿคท...mbona uniharakishe
Me : We have to go...wachana na hio food

Nikaona Melinda ameangalia nyuma yangu like ameona something unusual

Me : What is it๐Ÿ™„

Mi kugeuka kumbe Velma kamekuja kamesimama nyuma yangu. Sharl akatokea huko akanipandia kwa miguu.

Velma : Woow Mr carl ehee long time
Me : Ooh Hello
Velma : Wow i guess this is Melinda..hello
Melinda : Hey๐Ÿ˜ถ
Velma : Nimekuona nikiwa huko so nikasema nikuje sharl akusalimie..she is missing you carl...oow Melinda am Velma

Nikajaribu kufinyia Velma macho awache kubonga mingi lakini mjinga akaendelea kupayuka๐Ÿ’”

Melinda : I think I'll live you two..hey unipate home
Me : No wait we are going together
Velma : Aah Melinda sina ubaya ni salamu tu
Melinda : Carl hebu amka nimechoka kukaa hapa
Me : Hey Velma am sorry...she needs to go home Bye... Bye sharl
Velma : Carl can we have a word
Me : Not today Velma...am sorry

Tukaingia kwa dinga na Melinda tukatulia. Hakuna mwenye alikua anabonga.

Me : Beb am sorry that this happened ๐Ÿคจ
Melinda : I understand nimejionea.. she is the problem...she has a kid already shida yake ni gani?
Me : Am trying to avoid her but...
Melinda : Hey look at me carl ..u have me... nilisema am not going to let you go ..we have everything carl...kama ni pesa tuko nazo wachana naye..she is just going to bring tragedy in your life...what if warudiane na bwanake...i know what you are going through beb...she is not of your level ndio maana anakupeleka mbio...she gat experience in this na wewe hauna hata mtoto currently...beb i hop u understand what am saying..drive let's go

Nikadrive tukaishia home.

๐ŸŒบ One week later ๐ŸŒบ
After one week Jane akakuja kwa ofisi
โค๏ธ๐—ฆ๐—˜๐—–๐—ฅ๐—˜๐—ง๐—ฆ โค๏ธ๐Ÿ”ฅ

๐—™๐—จ๐—Ÿ๐—Ÿ ๐—ฆ๐—˜๐—”๐—ฆ๐—ข๐—ก 1โฌ‡๏ธโฌ‡๏ธ

https://eu.docworkspace.com/d/sIEKz-JOdAdCV17oG

๐—™๐—จ๐—Ÿ๐—Ÿ ๐—ฆ๐—˜๐—”๐—ฆ๐—ข๐—ก 2โฌ‡๏ธโฌ‡๏ธ

https://eu.docworkspace.com/d/sIGCz-JOdAc782boG
Forwarded from Jude Bellingham
๐—›๐—ผ๐˜„ ๐—ผ๐—น๐—ฑ ๐—ฎ๐—ฟ๐—ฒ ๐˜†๐—ผ๐˜‚?