VIBES & WINES ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช
7.38K subscribers
1.33K photos
143 videos
109 links
Memes na Stories za Nguvu, Vibe ya 254 iko hapa ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช Hapa raha ni ingine unstoppable,,kila cku kila day ๐Ÿ’ฏ
Download Telegram
VIBES & WINES ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช
โ™ฅ๏ธ SECRETS โ™ฅ๏ธ Chapter 63๐Ÿ”ฅ Nikashindwa Kunaendaje hapa๐Ÿ˜‚ Me : What's up Tresh : Mambo Carl Me : Poa sana Tresh : Carl juzi ulinishow siri zangu ni heavy sana๐Ÿ˜Ÿ kushinda life yako na hio statement iliniuma sana.. Me : Aii basi pole if i offended you Treshโ€ฆ
โ™ฅ๏ธ SECRETS โ™ฅ๏ธ

Chapter 64๐Ÿฆ‹

Me : What the...๐Ÿ’”
Steve : Ooh Siz i was not expecting you
Lizz : What is going on bro๐Ÿ˜
Steve : Nini
Tresh : Chill Lizz
Lizz : Nachill aje..hamkunisow huyu mjinga atakua hapa
"Beb who's this guy"
Lizz : Steve hii ni matharau gani..mbona uniite na umeita Carl hapa..i can't party with my ex

Mambo ikachemka ๐Ÿ’”. Hapa lazima katanuka๐Ÿ’”.

Me : Okay guys wacha mimi niende
Steve : Zii Carl stay
Tresh : Carl itabidi umejitoa
Lizz : Carl mbona unashinda umenifata fata kila mahali
"She's following my girlfriend"

Huyo boy wa Lizz akaamka. Pia mimi nikaamka

Lizz : Kev kaa chini I'll handle this
Kev : Hapana..beb unasema he has been following you..unataka aje mse๐Ÿ˜ก
Me : We unataka aje

Jamaa akarusha ngumi nikainama ikapata Steve ju alikua anaserve wine hapo๐Ÿ’”. Drama ikaamka. Nikarusha ngumi flani heavy 50kgs huyu Kev ama sijui Kevo akaskizia๐Ÿ’”. Tresh na Lizz wakaanza kupiga manduru pale. Mkono flani illegal iliamka hapo. Steve bado ako chini anajaribu kuamka Kev akamuangukia๐Ÿ’”. Kaliivana mbaya sana. Nikachukua chupa ya mzinga nimpige nayo kwa kichwa

Tresh : Please Carl don't
Lizz : Carl please utamuua

Nikatupa chupa kwando nikatoka hadi kwa Celine

Celine : Eii Carl umekuja na hasira sana kwani nini mbaya
Me : Tumefight..nilipitia kwa party mahali
Celine : Umeumia?๐Ÿ˜Ÿ
Me : Zii ni mimi nimeumiza mse๐Ÿ˜‚
Celine : Usicheke unaweza kujiwa na police
Me : Maybe mi niendee makarao๐Ÿ˜‚๐Ÿ’”

Mechi moja safi iliamka hio estate ni nduru tu neighbors walikua wanaskia๐Ÿ˜‚๐Ÿ’”๐Ÿ†. Nilizoza pale central hadi Celine akajua hii hasira nilikuja nayo ilikua worth it๐Ÿ˜‚๐Ÿ‘. The following morning nikachomoka mapema nikafika kwa hao

Stesh : Eii beb unanuka pombe how will you see my parents ha hio harufu?
Me : Nitapiga shower relax๐Ÿ˜‚
Stesh : Na utumie mint kwa hio mdomo staki my mom anukiwe pombe aanze kelele
Me : Okay๐Ÿ˜‚..na hizi ni nguo za nani
Stesh : Hizo ndo utavaa.. you need something formal
Me : Sasa nani anavaa hizo?
Stesh : Ni wewe..how was the party
Me : Ilikua poa
Stesh : Kulikua na madem?..najua ulilala nao๐Ÿ˜
Me : It was a private party infact we were three ju we ulikataa..tunatoka sangapi
Stesh : Home ni mbali tunatoka hapa 8.30 then tunarudi kesho ju ya job

Nikaishia nikapiga shower then nikaprepare

Stesh : Uko ready
Me : Yeah..na wewe hio time yote umekua unangoja nini
Stesh : Beb siwezi kuchelewesha๐Ÿ˜‚
Me : Na the way we hutake time kuvaa๐Ÿ˜
Stesh : 20 minutes nitakua ninemaliza๐Ÿ˜‚๐Ÿ’”

Nikachill pale nikimtegea. Phone ikaring na new number

Me : Who's this
"Niliumiza Loise because of you..i swear nitakushika"

To be continued โค
VIBES & WINES ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช
โ™ฅ๏ธ SECRETS โ™ฅ๏ธ Chapter 64๐Ÿฆ‹ Me : What the...๐Ÿ’” Steve : Ooh Siz i was not expecting you Lizz : What is going on bro๐Ÿ˜ Steve : Nini Tresh : Chill Lizz Lizz : Nachill aje..hamkunisow huyu mjinga atakua hapa "Beb who's this guy" Lizz : Steve hii ni matharau gani..mbonaโ€ฆ
โ™ฅ๏ธ SECRETS โ™ฅ๏ธ

Chapter 65๐Ÿฆ‹

Huyu bwanake Loise alikua amekuja vibaya sana na inafaa anyamazishwe๐Ÿ˜‚๐Ÿ’”. Ikabidi pia nikue simba kisubmarine ajue pia anadeal na nani

Me : You are not dealing with a weak man jua pia mwenye unaambia bro I'm not Loise I'll damage you
"You have the guts to insult me after sleeping with my wife ๐Ÿ˜ฌ"
Me : Nitakufikia before unifikie..i know where you stay

Jamaa akakata simu๐Ÿ˜‚. Hawezi leta jokes kwa mkurugenzi atafinywa mahali apige nduru. Stesh akatokea huko amepiga luku

Me : Eiishh๐Ÿ˜‚
Stesh : Look at me๐Ÿ˜

Tukatoka tukaweka travel bags kwa boot tukajipin kwa dinga yake

Stesh : I'll drive ju wewe haujui home๐Ÿ˜‚
Me : Okay๐Ÿ˜‚

Tukajipin kwa dinga tukatoka.

Stesh : Beb tukifika huko just behave you know how to handle things like this
Me : Things like this aje na ni first time
Stesh : We bora ubehave beb usifike huko ulete aibu
Me : I gatch you๐Ÿ˜‚

Hii safari nayo ilikua ndefu sana manze๐Ÿ˜‚. Hadi nikadoz aliniamsha wakati tumefika๐Ÿ’”. Nikajiunda pale. Nikaangalia envelope nilikua nimeweka kamlungula ya kuwachia maparo wake as a man huwezi toka kwa kina manzi bure wataona this is a broke dude๐Ÿ˜‚๐Ÿ’”. Soldier akafungua gate. Kuangalia nyumba hivi hadi nikaogopa kuingia. Zile hao flashy zenye hua unazicheki kwa movies unasema siwezi afford hizo. Tukafika. House help akakam kutubebea bag

Stesh : Selinaa๐Ÿ˜‚
Selina : Eeh my girl umekaa sana bila kukuja๐Ÿ˜‚

Boy flani hivi i bet 15 years akakam toka kwa hao

Me : Who's this..uko na a younger bro?
Stesh : This is Zein my cousin
Zein : Hey siz๐Ÿ˜Š
Stesh : Umekua mkubwa๐Ÿ˜‚

Tukajipin kwa hao. Tukachill

Stesh : Zein mum na dad wako wapi
Zein : Mum ako bedroom.. your dad ako huko kwa balcony ya nyuma
Stesh : Okay let me see them

Nikachill pale. Huyu kijanaa alikua ananisorora nikashindwa rada๐Ÿ˜‚๐Ÿ’”. Kiasi hivi Stesh akatokea huko na mathake.

Mama Stesh : Hello my son ๐Ÿ˜Š
Me : Hello mum๐Ÿ˜Š
Mama Stesh : Feel at home๐Ÿ˜Š
Me : Thank you๐Ÿ˜Š

Kiasi hivi baba Stesh akaingia

Baba Stesh : Aaah my daughter๐Ÿ˜‚..naona umeleta mgeni๐Ÿ˜‚
Stesh : Yeah dad๐Ÿ˜‚
Baba Stesh : My son๐Ÿ˜‚.. town iko namna gani.. you look a bit familiar...

To be continued โค๏ธ
Hustle zijipe Inshallah
Milango zifunguke
Mzazi asiteseke

Amen.
VIBES & WINES ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช
โ™ฅ๏ธ SECRETS โ™ฅ๏ธ Chapter 65๐Ÿฆ‹ Huyu bwanake Loise alikua amekuja vibaya sana na inafaa anyamazishwe๐Ÿ˜‚๐Ÿ’”. Ikabidi pia nikue simba kisubmarine ajue pia anadeal na nani Me : You are not dealing with a weak man jua pia mwenye unaambia bro I'm not Loise I'll damageโ€ฆ
โ™ฅ๏ธ SECRETS โ™ฅ๏ธ

Chapter 66๐Ÿฆ‹

Nikashindwa huyu mzee anabonga nini๐Ÿ˜‚. Ama huyu ndo Ras๐Ÿ˜‚๐Ÿ’”

Me : Ooh familiar๐Ÿ˜‚
Baba Stesh : Yeah anyway feel at home hapa ni kama nyumbani๐Ÿ˜‚
Me : Shukran๐Ÿ˜‚

Kiasi hivi dish zikaanza kuingi kwa meza food ikasema mkuu we gatch you๐Ÿง†๐Ÿฒ. Kidogo nijipin mnofu nikaskia

Mama Stesh : Our son ombea chakula๐Ÿ˜Š

Hata I can't remember the last time nikiomba๐Ÿ˜‚. But kisubmarine leo ikabidi nimeomba. Nilijikula ulimi pale nikaomba๐Ÿ˜‚. Tukajipin pale minofu mbaya sana๐Ÿ˜‚. After kudishi tukachill pale mastory kathaa the whole day then usiku sasa wine ikaletwa nikashindwa Kunaendaje hapa๐Ÿ˜‚

Baba Stesh : Do you use wine?
Me : Yeah
Baba Stesh : Aah that's my son in-law๐Ÿ˜‚
Mama Stesh : Soo my son my daughter here alituambia analeta mgeni nyumbani na tumefurahi sana you look like a good son na hio ni vizuri sana
Baba Stesh : Yeah lakini kuna shida
Stesh : Gani dad๐Ÿ˜ณ
Baba Stesh : Hajatuambia jina yake๐Ÿ˜‚
Me : Ooh๐Ÿ˜‚.. I'm carlymax lakini Carl sounds a bit easy kutamka
Mama Stesh : Ooh haina shida Carl.. unajua wewe ndo our daughter amechagua and she wants to stay with you the whole of her life as the father to her kids nafikiri ni hivo mlielewana?
Me : Yeah exactly mum
Baba Stesh : Yeah..so are you people planning for a wedding amaa ni mimi niko kwa giza
Stesh : Dad kila kitu ikiwa ready we will let you know
Baba Stesh : Ni sawa..na kijana ujue sijawahi guza huyu mtoto wangu ati namchapa....so protect my daughter like a baby
Me : I'll always protect her๐Ÿ˜Š

Hapa maswali kisubmarine ilikua inaelekea kwingine๐Ÿ˜‚. Nikapiga sip yangu ya wine tukaendelea ungethani ni job interview๐Ÿ˜‚

Baba Stesh : Na sasa where do you come from

Me : Stoki mbali sana na town ni hapo tu tao
Baba Stesh : What do you mean hapo tu tao i want an exact place
Mama Stesh : Heey Myles huyu ni mgeni wetu wacha kupeleka my son in-law haraka hivoo aah aah
Baba Stesh : My bad๐Ÿ˜‚..si nilithani ni introduction kijana atuambie penye anatoka, shule alisoma, wazazi wake ni kina nani na anafanya kazi gani
Mama Stesh : Okay my son Carl where do you work
Stesh : Where i work
Mama Stesh : Wow that's awesome.. which position?
Me : I'm the manager of one of the branches za kampuni
Baba Stesh : Aah hio ni mzuri sana

Mzee akatoka nje kureceive call

Mama Stesh : My son don't mind your father in-law ako hivo na maswali mingi wewe muelewe tu๐Ÿ˜‚
Me : Haina shida๐Ÿ˜‚

Mzee akarudi

Baba Stesh : My son..mimi nangoja tu mniite harusi nothing more..of course the dowry part we will talk about it later before the wedding..i do love my daughter na nataka muishi maisha mzuri
Me : Shukran ๐Ÿ˜Š
Mama Stesh : Yeah we just wanted to know you leo..mambo ingine kama vile mzee amesema itakuja badae usijipee haraka
Me : Haina shida
Mama Stesh : What about your brother
Stesh : Mum bro si unajua tu vile yeye hukua..we talked to the girl akasema hakuibia Blake, kutafuta Blake akaniblock Whatsapp kila mahali
Baba Stesh : Your brother amenisumbua sana
Mama Stesh : He's still your son.. Stesh peleka uoneshe my son penye atalala๐Ÿ˜Š....

To be continued โคโค

React โค
VIBES & WINES ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช
โ™ฅ๏ธ SECRETS โ™ฅ๏ธ Chapter 66๐Ÿฆ‹ Nikashindwa huyu mzee anabonga nini๐Ÿ˜‚. Ama huyu ndo Ras๐Ÿ˜‚๐Ÿ’” Me : Ooh familiar๐Ÿ˜‚ Baba Stesh : Yeah anyway feel at home hapa ni kama nyumbani๐Ÿ˜‚ Me : Shukran๐Ÿ˜‚ Kiasi hivi dish zikaanza kuingi kwa meza food ikasema mkuu we gatch you๐Ÿง†๐Ÿฒ.โ€ฆ
โ™ฅ๏ธ SECRETS โ™ฅ๏ธ

Chapter 67๐Ÿฆ‹

Stesh akanipeleka second floor huko juu

Stesh : Don't mind my dad beb yeye hua overprotective
Me : Sioni shida ๐Ÿ˜‚
Stesh : Siwezi lala na wewe leo watashindwa kwani son in-law ashaanza kutafuna bibi harusi๐Ÿ˜‚
Me : Goodnight beb we enda๐Ÿ˜‚.
Stesh : Give me a kiss(kissing๐Ÿ˜)

Mkuu nikajipin pale nikadoz. Wacha sasa usiku tumbo iharibike๐Ÿ˜‚๐Ÿ’”. Tumbo ilikua inanguruma kama simba wa yuda design flani illegal na niko kwa wenyewe. Nikatoka nikasaka loo the whole night sikupata๐Ÿ˜‚๐Ÿ’”. Househelp ni kama aliskia footsteps akakuja kuniokoa

Selina : Unatafuta nini๐Ÿ˜Š
Me : Loo ziko wapi
Selina : Ooh๐Ÿ˜‚ kuja nikuonyeshe

Kumbe nilikua napita loo na sizioni ju zinakaa fiti hadi unaweza thani ni bedroom ya mse๐Ÿ˜‚๐Ÿ’”. Kisubmarine nikajipin pale nikarudi nikadoz. The following morning nikaamshwa breakfast ikiwa ready

Stesh : Mum dad after this tunaishia..nataka tufike mapema juu ya job
Baba Stesh : Hautaki nikae na my son in-law hata two days
Me : Usijali tutarudi๐Ÿ˜‚
Stesh : Yeah mum tutarudi

Tukachill pale tukabonga everything then 10 am hapo tukatoka

Stesh : Beb do you want a wedding?..mi huona inakaa messy sana i hate weddings
Me : Kama maparo wanataka itabidi umefanya.. unajua maparo hubelieve kwa weddings do you know that๐Ÿ˜‚
Stesh : Beb nataka unipee ball nihepe hio part ya wedding
Me : ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ your dad atanimaliza
Stesh : He can't๐Ÿ˜‚

Late afternoon hapo tukafika home kaa tumechoka. Steve akanicall majioni

Steve : Bro manze sorry about the other day
Me : Bro nakam party yako then unaniitia Lizz that was bad.. you can't dine with your ex bana
Steve : nilimuuliza kama atakam akakataa so sikujua anaweza tupiga ambush
Me : Next time bro usifanye mistake kama hio
Steve : Usikonde mzee๐Ÿ˜‚๐Ÿ’”.

Tukachill pale na Stesh nikampeleka kwa ile hao yake akaleta some stuffs huku kwangu. Mausiku before nidoz Ras akacall ๐Ÿ“ฑ

Ras : Bro
Me : Yes man
Ras : Any updates
Me : Ile dinga naambiwa ni Cliff na Denno walifanya hio deal kuna hadi pics za evidence
Ras : Alaa..na wamekushow reason?
Me : Zii bado ndo nadai kupatana nao kesho
Ras : Eeh wameanza gani hizo.. unajua ikijulikana wanafutwa kazi
Me : Manze.. hadi sasa sijui nifanye aje..nataka kuwapea suspension
Ras : Don't do that๐Ÿ’”.....

To be continued โค๏ธ
WALE WA SECRETS โค 3 EPISODES REMAINING TUMALIZIE SEASON 2๐Ÿ‘€
โœฆHustle zijipe Inshallah
โœฆDeals ziivane
โœฆOpportunities zitupate tukitoka Leo

Amen.โค๏ธ
Forwarded from Jude Bellingham
๐—›๐—ผ๐˜„ ๐—ผ๐—น๐—ฑ ๐—ฎ๐—ฟ๐—ฒ ๐˜†๐—ผ๐˜‚?
Please open Telegram to view this post
VIEW IN TELEGRAM
VIBES & WINES ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช
โ™ฅ๏ธ SECRETS โ™ฅ๏ธ Chapter 67๐Ÿฆ‹ Stesh akanipeleka second floor huko juu Stesh : Don't mind my dad beb yeye hua overprotective Me : Sioni shida ๐Ÿ˜‚ Stesh : Siwezi lala na wewe leo watashindwa kwani son in-law ashaanza kutafuna bibi harusi๐Ÿ˜‚ Me : Goodnight beb weโ€ฆ
โ™ฅ๏ธ SECRETS โ™ฅ๏ธ

Chapter 68๐Ÿฆ‹

Nikashindwa kwani Ras anawatetea ama Kunaendaje๐Ÿ’”

Me : Aii bro mbona?
Ras : Carl Cliff wakiwa nje ya hio kampuni you are in danger they can report you na deals tumekua tunafanya๐Ÿ’”
Me : Explain bro siradi๐Ÿค”
Ras : Kuna kitu inaitwa reverse psychology.. unajua sahi cliff na Denno wanaamini I'll forgive them niwarudishe kwa job..so hio hope ndo inafanya bado wako around..we are keeping them around ju hizi deals tumefanya nao it's either you die or continue serving no retire ju ukijitoa then utuseti?..sijui kama unanielewa Carl
Me : Nakuget bro
Ras : Carl mimi hufanya vitu na logic sana ndo maana sijashikwa hadi sahi.. you need to be smart continue keeping them around..wapee fake promises to keep them worshipping you.. you are their boss
Me : Kama ni hivo then itabidi umewasamea bro.. they're broke na Cliff ameanza hata madeni๐Ÿ’”
Ras : I will never forgive them bro but I'll keep them around..they betrayed me Carl siwezi trust hao watu..wewe ukipata deals maybe uwapee but mimi I can't.. you can manipulate them ukue unawapea deals ngumu na pesa kidogo that's what the lion does in the jungle.. you rule with a fist
Me : Mzee umeiva psychology bana๐Ÿ˜‚
Ras : Na hio ndo inafanya naishi๐Ÿ˜‚..kesho back to businesses masaa ni ile ile.. and remember, Cliff na Denno wakitoka job you are going down.. they'll revenge

Hio kitu ilinipea hasira sana๐Ÿ’”. Denno na cliff wanafanya vile wanataka na hakuna vile naweza wafuta kazi. Lakini lazima wanishow mbona footage yao haiko kwa CCTV. The following day nikafika job. 9am nikatumana Cliff na Denno waitwe. Wakaingia

Cliff : Bro
Me : Shhh๐Ÿค..pesa zangu kwanza 10k
Denno : Bro unajua...
Cliff : Wacha nikutumie ndo tuendelee then
Denno : Then bro i was...
Me : I'm the one talking bro..mbona mkatoboa tyres
Cliff : ๐Ÿ™„๐Ÿ˜
Me : Manze hadi nikauliza but mkakataa kabisa ati mnadai evidence๐Ÿ’”..mbona mfanye hivo jooh
Denno : Kuna riots
Me : Wapi?..za?
Cliff : All drivers.. Trevor is the one organizing..wanasema Jack is mistreating them, wanafanya kazi mob na hatulipwi doo poa to match our work..poor working conditions na rules mingi..we did what Trevor told us man ju pia sisi ni madere na tumechoka
Me : Whaat๐Ÿ˜ณ..bro mi niko hapa hakuna dere hata moja shainiletea complaints
Cliff : Carl we ukikaa hapa ndani haujui vile tunaumia huko nje as drivers..tulitoboa hizo tyres as a sign of a cold war.. Trevor told us to do that
Me : Mbona CCTV haikucaptute hio stuff?
Denno : Sisi tulikam mapema after Trevor kutuita..alifika hapa mapema so hatujui kitu anaweza kua alifanya.. Carl that had nothing to do with you or Ras or the deals..hapo tulikua tumetarget kampuni exclusively
Me : Mbona manze
Cliff : Carl we ulikataa kutupanga toka upande bei ukaweka maringo deals unakula tu solo kama Mike sonko
Me : Deals gani bro..nikiwa dere nilikushow naweza toka na dinga anytime nowadays hio time sina na mnajua hivo
Denno : Just suspend us Carl tuishie penye tunaenda Trevor akiwasha moto inipate mbali

Hadi hakukua amemaliza kitu ikalia kama kofi๐Ÿ’”. Kelele zikaanza huko nje. Celine akajipiga kwa ofisi mbio

Celine : Carl ni kubaya watu wanafight huku nje wanapasua mawindow๐Ÿ˜ญ

Tukaruka mbio pale kwa balcony kuangalia...

To be continued โค๏ธ

Episodes will be dropping worry less ๐Ÿ˜‚
VIBES & WINES ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช
โ™ฅ๏ธ SECRETS โ™ฅ๏ธ Chapter 68๐Ÿฆ‹ Nikashindwa kwani Ras anawatetea ama Kunaendaje๐Ÿ’” Me : Aii bro mbona? Ras : Carl Cliff wakiwa nje ya hio kampuni you are in danger they can report you na deals tumekua tunafanya๐Ÿ’” Me : Explain bro siradi๐Ÿค” Ras : Kuna kitu inaitwaโ€ฆ
โ™ฅ๏ธ SECRETS โ™ฅ๏ธ

Chapter 69๐Ÿฆ‹

Huko nje ilikua ni mawe zinarushwa tu. Kwa ofisi kila mse amenyamaza ni macho wanatoa tu๐Ÿ˜‚๐Ÿ’”

"Haki yetu haki yetu..we want fair treatment, Jack atoke hapa na salary iongezwe with immediate effect... Carl pigia watu wako uwaambie tunachoma kampuni"

Cliff : Carl pigia Chris๐Ÿ’”
Celine : This was your deal Carl toa hawa watu nje wanaweza tugeuka watuchinje
Denno : Madam nyamaza ama uende nje

Me : Hello Chris
Chris : Yes bro
Me : Huku kameganda Trevor is leading a very dangerous demonstration ati wanataka fair treatment, Jack atoke na waongezwe mshahara..wanapasua everything wanataka kuchoma kampuni

Jack akakata call๐Ÿ’”. Huko nje tukaskia mse ametoa nduru tukajua amefinywa๐Ÿ˜‚๐Ÿ’”. Trevor alikua wrong number๐Ÿ˜‚๐Ÿ’”. After ten minutes hivi risasi ikalia huko nje kukanyamaza. Nikaskia kitu kama ngumi imetembea

"Afande sio mimi wa makosa ni huyu...waaaiii waaaaiii nisamee mkubwa sina ubaya ni huyo mwenye anatoroka na helmet"

Hio kama sio sauti ya Trevor siwezi jua. Tukafungua mlango. Makarao walikua wamejaa hapo nje kama nyuki vijanaa wanatembelewa vibaya sana๐Ÿ˜‚. Kuna jamaa aliwekelewa rungu ya kichwa akareset๐Ÿ’”.

Cliff : Carl usituseti manze please bro
Denno : Carl please usiseme we were part of the deal man

Police : Manager ya hii watu iko wapi
Me : Niko hapa
Police : Sasa amani narudi..ile vichwa ngumu yote naenda ndani wewe piga kazi sasa ile mutu naleta kelele ita sisi

But sasa hakuna vile job ingeendelea na madere hawako maybe hawa workers wengine wa kampuni wenye tuko kwa ofisi

Celine : After this Carl we need to talk๐Ÿ’”

Celine akarudi ndani. Chris akacall ๐Ÿ“ฑ

Chris : Carl kumepoa?
Me : Thanks bro kama sio makarao sijui
Chris : Kesho unda vacancy weka new drivers kwa kazi
Me : Okay bro
Chris : Then hio salary yao tutaangalia kama tutaongeza.. Jack is going nowhere because of stupid people wenye wamesindwa na kazi
Me : Ni sawa

Nikarudi kwa ofisi. Cliff wakanifata

Cliff : Thanks manze Carl hata sijui tunaweza kuambia nini man
Denno : Thanks bro
Me : Thanks for what..inafaa mkue kwa hio cruiser sahi muishie mpoeshe uji..manze Trevor anataka kutumaliza na mnamsaidia surely?
Cliff : Walikua madere wenzetu Carl you don't understand
Denno : Bro we can pay you back
Me : Aje
Cliff : Kuna mse anaweza tupea dinga..ni mse wa car hire..
Me : Dinga za?
Denno : Za deals bro..then pesa tutapata kwa first deal tunakupea zote kama payment
Me : ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚nani anawapea deals
Cliff : Think about it Carl it's the only way
Me : Since ni nyinyi tu ndo madere mumebaki chukueni hizo gari muanze kazi
Cliff : Aah that's my bro๐Ÿ˜‚

Kiasi hivi soldier moja akaingia. Jamaa alikua amefura macho unaweza thani amevaa specs nane๐Ÿ˜‚๐Ÿ’”

Me : Eii shida iko wapi na macho
Soldier : Kuna dereva aliniingia rungu boss
Me : Pole manze
Soldier : Nataka nitoke nifike hosy nitakuja kesho
Me : Ni sawa bro unaweza enda

Celine akaingia

Celine : I'm reporting your friends..natuma hio evidence kwa Chris

TO BE CONTINUED ๐Ÿ”ฅ