VIBES & WINES π°πͺπ°πͺ
β₯οΈ SECRETS β₯οΈ Chapter 59π¦ Cliff hakujua nilikua natumia hio story pia kama trap kisubmarineπ. Nilikua nataka kujua kama anaweza mada mse na nikaproveπ Me : Relax bro Cliff : We jua I'm hunting her down Carl Hawezi jua penye Jessy anakaa ju Jessy sioβ¦
β₯οΈ SECRETS β₯οΈ
Chapter 60π¦
Nilikaa chini kwanza ndo niload hio information kwa systemπ
Me : Whaaat?π
Celine : Yeah huyo mtu wa tatu ndo simjui jina but he looks familiar i think pia ni driver hapa..cheki Carl nilikuja hapo kwa balcony hawakuangalia juu ju walithani hatujakuja..na usiseme ni mimi nilikuambia..i know they're your friends.. I'm sorry for that
Nikashindwa sasa mbona Cliff na Denno waharibu dinga zenye ni hao wanatumia?π. Ndo maana nilikua nashindwa sasa kama sio Ras nani mwingine anaweza fanya kitu kama hio. Kumbe ni hawa majamaa wenyeweπ. Nikafika kwa Jack nikapata hajarudi nikamcall
Me : Bro unda hizo madinga
Jack : Yeah but ulinishow kuna something beyond it
Me : Nimefanya survey hakuna anything we unda tu
Jack : Poa wacha nikirudi
Nikaingia kwa ofisi nikacall Denno hakupick. Nikacall Cliff
Me : Uko wapi
Cliff : Mbona
Me : Saka Denno mkuje mrudi kazi nimeunda madinga already
Cliff : Baas rada safiπ..but wacha tuingie Monday
Me : Zii nimekua questioned na wakubwa mbona haziwork hizo madinga sasa nataka mkuje sahi muanze kazi wasishikanishe
Cliff : Ziko ready sahi sahi?
Me : Dinga ziliundwa morning bro
Cliff : Sawa wacha nipitie kwa Denno tukam
Me : Poa
Celine akaingia. Nilikua nadai kuwashikia hapo kisubmarine
Celine : Carl unaweza kua unajua mbona walifanya hivo?
Me : Celine manze mi hadi sijui for real I'm confusedπ
Celine : Hata mimi I'm trying to figure things out sielewi..but make sure Chris amejua na watolewe job they are dangerous
Me : Chill usiambie anyone hii informationπ
Celine : Mbona?.. Carl hawa watu ni dangerous ama hauskii
Me : Nimesema tell no one I'll figure things out bana ukiambia watu Cliff ataambiwa ni wewe ulisema and he'll kill you
Celine : Ooh
Me : Yeah unathani cliff ni mjinga that guy is very smart
Celine : Okay siwezi ambia mtu but make sure justice is served
Me : Celine sometimes we don't do justice but we do the right thing
Celine : What do you mean
Me : Utaelewa tu..nimewaita wakuje nijue shida yao ni gani
Celine akatoka. Huyu angetoboa hio mambo huko nje ni yeye angekua anafata soldier sasaππ. Cliff na Denno wakaingia..
To be continued β€οΈ