VIBES & WINES ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช
7.29K subscribers
1.25K photos
140 videos
102 links
Memes na Stories za Nguvu, Vibe ya 254 iko hapa ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช Hapa raha ni ingine unstoppable,,kila cku kila day ๐Ÿ’ฏ
Download Telegram
VIBES & WINES ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช
โ™ฅ๏ธ SECRETS โ™ฅ๏ธ Chapter 55๐Ÿ”ฅ Me : Huh๐Ÿ˜ณ Celine : Yeah..i need something in return..aaahh hata mbona nikubembeleze Akatoka akaishia Me : Wait...what do you want in return Celine : I want you back, i want you to treat me as your girlfriend na nataka ukueโ€ฆ
โ™ฅ๏ธ SECRETS โ™ฅ๏ธ

Chapter 56๐Ÿฆ‹

Hawa walicheza na Ras sahi kisubmarine wanalia kulia๐Ÿ˜‚๐Ÿ’”

Me : Loan?
Cliff : Yeah bro..leo hata i thought naweza run deal pale tao lakini dinga zimeharibiwa
Me : Eiii loan bro hapo itakua tricky now that haupigi deals how will you pay me?
Cliff : I'll make sure bro..sijadishy toka jana mzee
Me : Unataka how much na inalipwa lini
Cliff : I need 10k man nakupea Monday
Me : Sure thing?..hio Monday ikipita hata na two minutes nakutoa interest ya 20% daily
Cliff : Siwezi kuangusha

Nikamtumia 10k

Cliff : Thanks man..then bro ju hata sifanyi kazi leo si niishie nirudi kesho ju hata Denno aliishia kitambo
Me : Anaishia bila permission?..
Cliff : Jooh๐Ÿ’”
Me : Wacha nitadeal na yeye

Nikaendelea kupiga job kisubmarine kama kawaida. Afternoon huko nikatoka nipigwe na kajua ju nimekaa kwa ofisi the whole day. Jack akaingia sijui alikua ameishia wapi. Manze nacheki wanatoka kwa dinga na Jessy๐Ÿ’”. Nikashindwa Kunaendaje. Na sikutaka kuonekana na Jessy ju just incase ile maneno yake iharibike nisikue included. Nikajitupa kwa ofisi kumbe aliniona๐Ÿ’”. After 30 minutes hivi namcheki anaingia

Jessy : Unaniangalia vibaya Carl i know sifai hata kukua hapa but it's not what you think
Me : Hio ni poa pia wewe kujua you are in the wrong place..cheki Jessy mi staki kuonekana na wewe๐Ÿ˜
Jessy : Niskize kwanza Carl unajua umeniona na Jack and you need an explanation
Me : I don't care๐Ÿ˜‚
Jessy : I had to Carl.. I'm a lady i need to pay my bills Carl.. Damian was sick kwa hosy akapoteza job hakukua na doo plus he was not there for me
Me : Yeah sikatai lakini kumbuka Jack is the reason Damian ako crippled sahi..na unamdate seriously who does that?
Jessy : Carl you don't understand.. I don't love jack that much nataka tu kulipa bills zangu Carl i really love Damian
Me : Eeh na sasa ju sahi amekua kiwete haumtaki tena . Jessy we ni kaa uko na laana.. nakumbuka ukiniseti kwa Damian ati nakudai karibu tumalizane na yeye, the second time ndo huyo ukaseti Jack kidogo Damian apate accident.. you have bad blood Jessy ๐Ÿ˜ณ
Jessy : If that's how you see me Carl pole sana..we are humans manze and i need to fight to survive๐Ÿ˜Ÿ
Me : Hio ni yako.. date Jack wako vile unataka but vile katalipuka utaona
Jack : Do you know that Jack alifurahi vile Damian alipata accident ndo abaki na mimi?..hata amenishow ati amefurahi sana Damian kutoka job ndo akue na mimi
Me : ๐Ÿ˜‚ Jessy you are not okay๐Ÿ’”..sasa hio unaniambia ju pia you are supporting amaa?
Jessy : Mi nakushow kitu Jack ameniambia
Me : ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ’”sijai ona manzi mjinga kama wewe Jessy.. ningekua manzi walahi ningemake risky moves with logic..what you have done is nonยฐsense... Damian na Jack watamalizana sasa..na Damian atajua ukweli.. he'll know why he got that accident
Jessy : So what do you want me to do
Me : Just disappear Jessy..potea kabisa enda mbali go start a new life ..najua we ni mse hua hataki kukufa solo..kikiumana you'll mention my name kwa hii mambo na wote tutaenda ndani๐Ÿ’”..cheki..nilipata hii job not because of your deal but ju ya ujinga ya Damian..na pia i was the second in command
Jessy : Carl..hakuna mtu atataka kuskia hio story yako..as long as nilikuguzia about kuambia Damian about Jack you were part of the deal.. Nilikuambia i was doing this for you na ukakubali๐Ÿ’”. Sema tu ni vile the results turned out different but all in all you got what you wanted plus more
Me : ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
Jessy : Carl ulikua unahepa na gari ya job ukiwa driver unaishia nayo kwako na unaroll nayo weekend sasa hebu nishow sahi ukiulizwa ulikua unafanya aje hivo na dinga ziko na security locks?..can you explain that to me

Reactions โค๏ธ
Truth Watchdog wants all Guys who were with Tamara arrested.He says they abused Tamara๐Ÿ™Š๐Ÿ‘๐Ÿ’ฆ๐Ÿ˜ข.

๐Ÿ˜‚You can Rewatch All Tamara Videos here and judge for yourself if she was abused๐Ÿ‘‡โœ….
WATCH PINNED VIDEO
Forwarded from Premium Folder
๐—›๐—ผ๐˜„ ๐—ผ๐—น๐—ฑ ๐—ฎ๐—ฟ๐—ฒ ๐˜†๐—ผ๐˜‚?
VIBES & WINES ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช
โ™ฅ๏ธ SECRETS โ™ฅ๏ธ Chapter 56๐Ÿฆ‹ Hawa walicheza na Ras sahi kisubmarine wanalia kulia๐Ÿ˜‚๐Ÿ’” Me : Loan? Cliff : Yeah bro..leo hata i thought naweza run deal pale tao lakini dinga zimeharibiwa Me : Eiii loan bro hapo itakua tricky now that haupigi deals how will youโ€ฆ
โ™ฅ๏ธ SECRETS โ™ฅ๏ธ

Chapter 57๐Ÿฆ‹

Mambo ikaanza kuchemka๐Ÿ˜‚๐Ÿ’”. Hapa kisubmarine nilisweat kiasi lakini siwezi wacha islide manze huyu anaweza niweka ndani na sina makosa๐Ÿ˜‚. I made a deal with the wrong person.

Me : Cheki Jessy..umekuja kuni threaten but jua unadeal na nani..what do you want?
Jessy : Nilikua natamani uniulize hio swali sana..najua Carl I'm the root course wa kila kitu hapa..my ignorance and stupidity ndo ilifanya ukapata hii job.. I'm the reason you are a manager sahi Carl tuseme tu ukweli
Me : Nauliza what do you want
Jessy : I want a lot of things
Me : Eiii?
Jessy : Yeah..i want to be part of all your deals..sijui kama ushai watch zile movies where a character ako involved in some multimillion business lakini there's this woman wanafanya na yeye some illegal stuffs kwa hio organization to make some extra cash
Me : ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ this is not a movie Jessy hii ni reality and you are going mad hizo movie zinakudanganya I'm out.. madness
Jessy : Carl it's either nikue part of this or not..ukifanya hivo nitaachana na Jack
Me : An why should i do that?
Jessy : One because i need money, a lot of it and two, because you must do it to protect your job and your name
Me : Unajua i don't understand exactly the part of the deal you are talking about..kua clear..deal gani hii unataka nikuweke
Jessy : Unajua to protect our little secret here Carl we need to work together๐Ÿ˜Œ
Me : Aje
Jessy : Make me a ghost worker..niongeze kwa payroll..fix me there but sitakua nafanya kazi but nalipwa.. account number yangu ndo hio hapo..hapa Carl we'll be getting 50/50 ndo ikue balanced remember i was part of the deal huwezi niwacha nje wewe unakula vizuri na mimi nakosa food kwa fridge

Akanijenga karatasi ameandika account number yake ya bank๐Ÿ’”. Akachomoka๐Ÿ’”. Mkuu nilibaki na stress ingine illegal. Nikatoka.

Me : Can you drive?
Jessy : Yeah
Me : Take me home
Jessy : Carl are you okay?
Me : Take me home uniwache kwa gate

Akanidrive hadi kwa gate. Akatoka akaishia nikaingiza dinga nikaingia kwa hao nikapiga shower. Stesh akaingia

Stesh : Beb leo unakaa different.. you don't look okay what's wrong honey๐Ÿฅน
Me : Kuchoka tu..leo nimekua na kazi mob

Hakuna vile ningeongeza Jessy kwa payroll. Auditors wangekuja wafanye analysis wapate jina yake kwa system na she's not a worker hapo ningelala kamiti maximum prison๐Ÿ˜‚๐Ÿ’”. Hapa bila plan B siwezi toboa๐Ÿ˜‚.

Me : Kesho Steve na Tresh wanahold party na tuko invited
Stesh : Siwezi enda
Me : It's a private party
Stesh : Beb siwezi enda party moja na manzi amedate bro wangu tena akadate mtu mwingine it doesn't make sense beb.. nitakua nacelebrate nini?..ju amewacha bro wangu ama ju amerudiana na Steve si hata we unaona beb haimake?
Me : By the way๐Ÿ˜‚.. I'm just going ju ya Steve
Stesh : Mimi nitabaki nikaprepare si unajua sato tunaishia home
Me : Yeah yeah siwezi sahau

Nikampin kwa ukuta pale kitchen nitoe stress๐Ÿ˜‚๐Ÿ†. Chuma ilikua na hasira manze kidogo abaki wounded๐Ÿ‘. Mkuu nilislide pale central vile nyi huslide dm nikacheza na mali vibaya sana๐Ÿ˜‚. Nikapanda upstairs nikadoz. The following day naamka nashangaa nacheki jua kwa window kuguza guza Stesh hayuko kwa bed๐Ÿ’”. Kuangalia time ni 11am

To be continued โค
Forwarded from Premium Folder
๐Ÿ’ฌ Who are you?
VIBES & WINES ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช
โ™ฅ๏ธ SECRETS โ™ฅ๏ธ Chapter 57๐Ÿฆ‹ Mambo ikaanza kuchemka๐Ÿ˜‚๐Ÿ’”. Hapa kisubmarine nilisweat kiasi lakini siwezi wacha islide manze huyu anaweza niweka ndani na sina makosa๐Ÿ˜‚. I made a deal with the wrong person. Me : Cheki Jessy..umekuja kuni threaten but jua unadealโ€ฆ
โ™ฅ๏ธ SECRETS โ™ฅ๏ธ

Chapter 58๐Ÿฆ‹

Niliruka toka kwa bed nikagonga ukuta ikanirudisha kwa bed๐Ÿ’”. Nikatoka mbio nikateleza pale kwa mlango nikajipata kwa stairs๐Ÿ’”. Nikaprepare mbio nikafika job

Celine : Check your phone nimekucall more than ten times i was worried๐Ÿค”
Me : Ooh yeah

Kuangalia nimesahau key ya ofisi kwa hao๐Ÿ˜‚. Tena nikarudi home nikakuja na key. Sijui mbona Stesh hakuniamsha๐Ÿ’”

Celine : ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚hebu enda kwa tap unawe uso๐Ÿ˜‚.. and what's wrong with your trouser?

Kuangalia toja nilivaa mbele imeangalia nyuma๐Ÿ˜‚๐Ÿ’”. Nikajipiga kwa ofisi nikajiunda nikaanza kazi๐Ÿ˜‚. Kisubmarine leo nilikua confused vibaya sana๐Ÿ˜‚. Matime hapo mse akanicall ๐Ÿ“ฑ

Me : Hello
"Hello man ni Jim"
Me : Ooh niaje bana
Jim : Niko poa bro
Me : Is everything okay
Jim : Yeah man unaweza save hii ni number yangu
Me : Okay.. how's she?
Jim : Mum ama snider?
Me : ๐Ÿ™†๐Ÿ™†wote
Jim : Wako poa๐Ÿ˜‚..mum is going for chemotherapy next week..na Snyder alinishow ati akinitaka tena he'll tell you unipeleke
Me : Okay bro
Jim : Bro niko na request
Me : Nishow
Jim : Nataka kuwacha hii job..like hizi stuff kama zenye mi hufanya na hawa wamathe i want to focus bro
Me : Sounds like a good move
Jim : Unaweza pata mahali bro ama hata kajob hivi uniconnect
Me : Usiwache hio yako kwanza we ipige nikipata hassle nitakushow
Jim : Thanks man that's solidโœ…

Huyu boy anakaa smooth hawezi piga hizi deals zetu hizi zinataka hard skin๐Ÿ˜‚๐Ÿ’”. Streets hazinaga huruma๐Ÿ˜‚. Once you get your craft unaichapa to the maximum ilete doo. Kitu ilikua inasumbua this guy ni ati alikua anafeel guilty kupiga hio biz anafanya badala aangalie doo anapata kwani anathani mi nafanya legal hassle๐Ÿ˜‚.
Breakfast pale Celine akaniletea nikajipin ju nilitoka kwa hao bila kudishi. Ras akacall ๐Ÿ“ฑ. Hakuna call hukua important kama ya huyu mse

Me : Bro๐Ÿ”ฅ
Ras : Yes man..uko fiti?
Me : Yeah bro niko freshi
Ras : Back to businesses bro ile deal we are resuming next week
Me : Haina noma
Ras : Hio story ya soldier inakaa ndefu sana..i have deployed some guys wanafatilia tho hakuna leads
Me : Hata kama itachukua two months bro bora tupate ni kina nani..then jana dinga ya Cliff na Denno ilitobolewa tyres mkuu sasa sijui kama ni wewe unacheza na form amaa๐Ÿ˜‚
Ras : Carl umepiga na mimi job unajua mimi I don't waste my energy kwa vitu ndogo ndogo kama hizo..mimi sitoboi tyre natoboa dinga mzima
Me : ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Ras : Hao maybe they have other enemies huwezi jua
Me : Yeah
Ras : But wewe piga kazi bila pressure usikue na uoga i gatch you
Me : Haina noma
Ras : Ambia jamaa wako akue ready.. Monday tunaendelea
Me : Poa

Nikataka kuambia Ras story ya Jessy but nikasena hakuna haja akue involved anaweza finya Jessy๐Ÿ˜‚. Celine akaingia

Me : I'm not ready yet
Celine : Mi sijakuja hizo vitu unafikiria..nataka kukushow kuna employees who don't sign in and out of the log book wakiingia na wakitoka job..juzi i saw some of them wakitoka before 4pm..italeta shida
Me : I'll write a memo usijali
Celine : Okay

Nilikua nimefikiria about hio story ya Jessy. Nikasema wacha nicall Cliff nimchapie nione tutaifanya aje. Nikamcall nikamshow ju hakukua amekam job ju dinga iko na issues

Cliff : Bro what do you mean ati alikua anajua deals tunapiga na hizo madinga?๐Ÿค”
Me : Hadi sijaambia Ras manze
Cliff : So anataka aje

Nikaona nikiambia Cliff ati Jessy anataka akue ghost worker pia Cliff anaweza ona ni kama ni possible aanze kunisumbua nimfanyie hivo๐Ÿ˜‚๐Ÿ’”. Kisubmarine nakuanga ahead of time

Me : She's threatening me hadi sielewi anataka nini exactly
Cliff : Anataka doo
Me : haeleweki
Cliff : Bro huyo dem anaenda kukuwacha pabaya sooner or later..kwake ni wapi niende nimnyamazishe
Me : Bro we are dealing with a lot of things right now siwezi taka another murder case
Cliff : It's the only thing Carl huyo Jessy hukua crazy na mdomo sana sahi niko sure more than ten people know about this
Me : Zii hajaambia mse niko sure
Cliff : Zii bro wewe niambie penye anaishi unajua akituseti sisi wote tunaenda ndani๐Ÿ’”

๐—ฅ๐—˜๐—”๐—–๐—ง๐—œ๐—ข๐—ก๐—ฆ โœ…โค๏ธ

๐Ÿ”ฅ
Forwarded from FUN ZONE (Frank Clein)
Wakuu si mnisaidie kushare our channel link to your friends and groups ๐Ÿ˜Ž๐Ÿซก hapa vibe na stories ni ingine unstoppable ๐Ÿ˜Š๐Ÿฅณ let's join na msisahau kushare โค

https://t.me/+aDhSoAOsWDs2MjRk
https://t.me/+aDhSoAOsWDs2MjRk
https://t.me/+aDhSoAOsWDs2MjRk
โค๏ธSECRETSโค๏ธ tulisema ni series si story๐Ÿ˜‚ STAY TUNED๐Ÿ”ฅ
VIBES & WINES ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช
โ™ฅ๏ธ SECRETS โ™ฅ๏ธ Chapter 58๐Ÿฆ‹ Niliruka toka kwa bed nikagonga ukuta ikanirudisha kwa bed๐Ÿ’”. Nikatoka mbio nikateleza pale kwa mlango nikajipata kwa stairs๐Ÿ’”. Nikaprepare mbio nikafika job Celine : Check your phone nimekucall more than ten times i was worried๐Ÿค”โ€ฆ
โ™ฅ๏ธ SECRETS โ™ฅ๏ธ

Chapter 59๐Ÿฆ‹

Cliff hakujua nilikua natumia hio story pia kama trap kisubmarine๐Ÿ˜‚. Nilikua nataka kujua kama anaweza mada mse na nikaprove๐Ÿ’”

Me : Relax bro
Cliff : We jua I'm hunting her down Carl

Hawezi jua penye Jessy anakaa ju Jessy sio mse hukua public sana ni mjanja๐Ÿ˜‚๐Ÿ’”. Sahi i was going to do what it takes bora nikue safe manze toka soldier amalizwe bana๐Ÿ˜‚๐Ÿ’”. Nikatoka nikaingia kwa Celine

Me : Babygirl ๐Ÿ˜
Celine : Yes
Me : Nimekaa chini nikaona let me give in kwa deal yako so it's a yes
Celine : Really?๐Ÿ˜
Me : Of course honey.. I'll treat you more than a princess.. you are mine now..so niambie hao watu walitoboa dinga
Celine : Aah sio haraka hivo๐Ÿ˜‚๐Ÿ’”.. you have to show me that I'm yours ndo nitakuambia.. siwezi kuambia tu immediately unaweza kua unanipima then uniwache

Huyi akaponea๐Ÿ˜‚. Kisubmarine nilikua nataka aniambie tu hivi na namruka tena๐Ÿ˜‚. Hapa sasa nikageuka Maguire nikajipiga own goal ikageuka penalty๐Ÿ˜‚๐Ÿ’”. Tukatoka na yeye nikamfikisha pale tao tukadishy nikambuyia necklace pale๐Ÿ˜‚. Tukazunguka kiasi then tukarudi๐Ÿ˜‚. Huyu hajui I'm just buying time kisubmarine kumfunika anipee information nataka๐Ÿ˜‚โœ…. Tukarudi site. Tukapatana na Jessy na Jack kwa gate wakitoka na dinga. Sahi Jack anapewa mapenzi hajui anacheza na mtoto wa nyoka๐Ÿ˜‚. Akiumwa asilie๐Ÿ˜‚๐Ÿ’”. Chris akacall ๐Ÿ“ฑ

Chris : Mr Carl
Me : Yes Chris
Chris : Naambiwa kuna gari mbili huko haziko kwa movement what's going on
Me : Ooh those two drivers walikua wagonjwa sana nikawapea leave out
Chris : Ooh wasiporudi haraka pea watu wengine kazi
Me : Ni sawa lakini watarudi
Chris : I know lakini haifai gari zikae idle more than a day those driver should know the rules
Me : Yeah

Nikatoka nikaingia kwa Celine

Me : We have a problem..napigiwa na Chris anagombana mbona gari mbili ziko idle..niambie manze hizi dinga zianze kazi
Celine : I don't trust you Carl..wewe unanitumia tu then uniwache after nimekupea information unataka
Me : Fanya aje..kaa na hio information wacha mimi niunde dinga zirudi kwa kazi I don't care
Celine : Ni Cliff na Denno walitoboa hizo dinga.. and there was a third guy alikua anawaangalilia kama mtu anakuja๐Ÿ’”...

Reactionsโค๏ธโค๏ธ
VIBES & WINES ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช
โ™ฅ๏ธ SECRETS โ™ฅ๏ธ Chapter 59๐Ÿฆ‹ Cliff hakujua nilikua natumia hio story pia kama trap kisubmarine๐Ÿ˜‚. Nilikua nataka kujua kama anaweza mada mse na nikaprove๐Ÿ’” Me : Relax bro Cliff : We jua I'm hunting her down Carl Hawezi jua penye Jessy anakaa ju Jessy sioโ€ฆ
โ™ฅ๏ธ SECRETS โ™ฅ๏ธ

Chapter 60๐Ÿฆ‹

Nilikaa chini kwanza ndo niload hio information kwa system๐Ÿ’”

Me : Whaaat?๐Ÿ™†
Celine : Yeah huyo mtu wa tatu ndo simjui jina but he looks familiar i think pia ni driver hapa..cheki Carl nilikuja hapo kwa balcony hawakuangalia juu ju walithani hatujakuja..na usiseme ni mimi nilikuambia..i know they're your friends.. I'm sorry for that

Nikashindwa sasa mbona Cliff na Denno waharibu dinga zenye ni hao wanatumia?๐Ÿ’”. Ndo maana nilikua nashindwa sasa kama sio Ras nani mwingine anaweza fanya kitu kama hio. Kumbe ni hawa majamaa wenyewe๐Ÿ’”. Nikafika kwa Jack nikapata hajarudi nikamcall

Me : Bro unda hizo madinga
Jack : Yeah but ulinishow kuna something beyond it
Me : Nimefanya survey hakuna anything we unda tu
Jack : Poa wacha nikirudi

Nikaingia kwa ofisi nikacall Denno hakupick. Nikacall Cliff

Me : Uko wapi
Cliff : Mbona
Me : Saka Denno mkuje mrudi kazi nimeunda madinga already
Cliff : Baas rada safi๐Ÿ˜‚..but wacha tuingie Monday
Me : Zii nimekua questioned na wakubwa mbona haziwork hizo madinga sasa nataka mkuje sahi muanze kazi wasishikanishe
Cliff : Ziko ready sahi sahi?
Me : Dinga ziliundwa morning bro
Cliff : Sawa wacha nipitie kwa Denno tukam
Me : Poa

Celine akaingia. Nilikua nadai kuwashikia hapo kisubmarine

Celine : Carl unaweza kua unajua mbona walifanya hivo?
Me : Celine manze mi hadi sijui for real I'm confused๐Ÿ’”
Celine : Hata mimi I'm trying to figure things out sielewi..but make sure Chris amejua na watolewe job they are dangerous
Me : Chill usiambie anyone hii information๐Ÿ’”
Celine : Mbona?.. Carl hawa watu ni dangerous ama hauskii
Me : Nimesema tell no one I'll figure things out bana ukiambia watu Cliff ataambiwa ni wewe ulisema and he'll kill you
Celine : Ooh
Me : Yeah unathani cliff ni mjinga that guy is very smart
Celine : Okay siwezi ambia mtu but make sure justice is served
Me : Celine sometimes we don't do justice but we do the right thing
Celine : What do you mean
Me : Utaelewa tu..nimewaita wakuje nijue shida yao ni gani

Celine akatoka. Huyu angetoboa hio mambo huko nje ni yeye angekua anafata soldier sasa๐Ÿ˜‚๐Ÿ’”. Cliff na Denno wakaingia..

To be continued โค๏ธ