VIBES & WINES ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช
7.25K subscribers
1.25K photos
134 videos
101 links
Memes na Stories za Nguvu, Vibe ya 254 iko hapa ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช Hapa raha ni ingine unstoppable,,kila cku kila day ๐Ÿ’ฏ
Download Telegram
Forwarded from FUN ZONE (Frank Clein)
โค๏ธ CAMPUS LIFE โค๏ธ

SEASON 02๐Ÿ”ฅ

CHAPTER 01 ๐Ÿ”ฅ

Kisubmari. Ilikua late sana nikashindwa nitafanya aje nikajua hapa kimeumana๐Ÿ˜‚๐Ÿ’”. Kisubmarine nikashindwa nitafanya aje na vile ilikua late๐Ÿ˜‚๐Ÿ’”

Me : Hebu nipee ten minutes
Linda : Poa babe

Nikapiga hesabu pale kisubmarine hakuna vile naweza ambia Ted anagongewa kiundercover so nikachill tu hapo kwa bed kwanza. Nikatoka nje nikacall Dante

Me : Bro
Dante : Rada
Me : I need a favor man
Dante : Gani
Me : Nadai keja
Dante : Wueh si ungenishow mapema mzee๐Ÿ˜‚
Me : Imekam abruptly sijui itakuaje
Dante : Sasa where will i sleep
Me : Kam ulale huku
Dante : Wacha nikam hivo then

Nikavaa pale nikajipiga spray.

Me : Bro Dante anakam kudoz hapa
Ted : Umepata mechi ama..ni mgani huyo
Me : Dem flani wa daro ๐Ÿ˜‚
Ted : Usiangushe mbogi ๐Ÿ˜‚

Dante akafika akanijenga key nikatoka hadi kwa Linda. Nikamchukua hadi kwa Dante

Linda : Wow babe hao yako inakaa poa
Me : Thanks ๐Ÿ˜‚
Linda : Niko njaa babe
Me : Wacha tupike

Kuangalia kwa tray kuna eggs. Nikapika ugali. Wacha nisake kisu sioni sijui huyu mse aliweka wapi๐Ÿ˜‚๐Ÿ’”..nilisaka kisu one hour ikabidi nitumie kijiko kuchonga kitunguu๐Ÿ˜‚๐Ÿ’”. Tukadishy pale. Mkuu nikachange light nikaweka ya blue. Chuma ilitembea hio ploti najua neighbors walikua wanashidwa hapa nini inafanyika๐Ÿ˜‚. Chuma ilikua inaslide deep penetration anawaka kama indicator๐Ÿ˜‚๐Ÿ’”. Tulikulana the whole night. Morning akapanda juu akaride chuma kidogo aniwache na blisters๐Ÿ˜‚.

Linda : Babe can we spend the day together
Me : Niko na some stuffs inafaa nifanye so si ufike kwa hao nitakucall
Linda : Poa

Alikua anadai kubaki hapa afanye nini na hata sio kwangu๐Ÿ˜‚๐Ÿ’”. Nikamfikisha kwake nikatoka. Nikacall Dante

Me : Mzee
Dante : Yooh
Me : Shukran jooh nimetoka
Dante : Kam hivo na key

REACTโค๏ธ
VIBES & WINES ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช
โ™ฅ๏ธ SECRETS โ™ฅ๏ธ Chapter 49๐Ÿฆ‹ Jamaa akatuma location nikatoka hadi hapo. Nikapata ni kijanaa flani hivi mdogo hadi kwangu๐Ÿ’” Me : Yooh ingia kwa dinga "I'm Jim" Sikumjibu mi hapa nafanya kazi nimetumwa mambo ya kuongea sina๐Ÿ˜‚. Nikadrive Jim : Bro I'm a bitโ€ฆ
โ™ฅ๏ธ SECRETS โ™ฅ๏ธ

Chapter 50๐Ÿฆ‹

Loise akanitext

"Heey babyboy unaweza kam kwa ofisi yangu kindly?"

Nikatoka nikapanda huko juu

Me : Is everything okay
Loise : Zii I'm just missing you๐Ÿ˜‚
Me : Si ungekuja tu huko kwangu๐Ÿ˜‚
Loise : I noticed that your secretary ni kama hanitaki๐Ÿ˜‚..so i think huku kwangu kuko safe
Me : Aii uko sure?
Loise : Yeah very keen
Me : Don't worry I'll handle that

Tukachill pale na yeye kama amekalia mkuu tukiskia fiti๐Ÿ˜‚. Lunch time nikafika hivo kwa ofisi nikadishy . Celine alikua amegoma hawezi nibongesha๐Ÿ˜‚๐Ÿ’”. Kisubmarine mi nae sikua natambua. Majioni nikategea Jack ametoka na kila mse ameishia. Soldier akaingia shift yake ya usiku ndo Mike akatoka na dinga. Nikafika home nikahug Stesh nikapanda kwa balcony. Ras akacall ๐Ÿ“ฑ

Ras : Mzee uko ready
Me : Yeah
Ras : Unaweza tembea na anything kama kisu hivi we never know..tho hawa buyers sio wale wabaya hawana weapons but just carry a knife incase..then hizo cargo kuna watu watawaletea msiweke kwa boots, weka backseat na ufunike na kitu then location itakua inachange kila siku for security purposes
Me : Sawa
Ras : Immediately 11sharp ikifika inafaa ukue ukitoka kwa nyumba
Me : Poa

Nikashindwa nitaambia aje Stesh ati usiku sitakua. Nikacheza na medulla kisubmarine nikajua kitu nitamshow๐Ÿ˜‚. Mkuu sijaikosa ideas za kujitoa kwa noma call me Mr solution๐Ÿ˜‚. After kudishi supper sasa

Me : Beb Unakumbuka ule mse alipata accident..ule manager nili replace
Stesh : Yeah
Me : Condition yake imekua worse na hanaga family members ako tu na bro moja so as a team tunafanya something like support tu..so usiku tumesema tutakua tunafika huko kumkaisha kiasi then tunarudi
Stesh : Whaat๐Ÿค”..hajai pona
Me : Yeah amezidiwa naskia inafaa arudi open surgery tena
Stesh : That's worse..mi sina shida beb
Me : Yeah so this week yote cliff atakua anaishia 8pm-11 pm then mi naingia 11pm hadi anytime i think nitakua narudi past midnight
Stesh : Ni poa bora ukue keen hizo matime wezi hukua huko nje๐Ÿ˜‚
Me : Hawawezi nishika๐Ÿ˜‚

Hio ikaivana๐Ÿ˜‚

Stesh : But huwezi enda kuona mgonjwa empty handed inafaa upeleke food na some lemon water
Me : Yeah
Stesh : Lemon water I'll prepare it for you but food yake ni wewe utakua unapika
Me : Sure

9pm hapo Stesh akaniwekea lemonade kwa thermo flask na nikaprepare food๐ŸŒฎ๐Ÿฅ™ pale knowing very well hakuna mgonjwa ana exist๐Ÿ˜‚. 11 pm akaniwekea food na hio flask kwa dinga nikatoka๐Ÿ˜‚. Nikashtua Mike akakuja. Tukakaa tukadishy hio food yote na tukakunywa hio lemonade tukitegea signal ya Ras. Akanitumia message ya instructions na place inafaa tuishie. Tukafika hapo. Some guys kama watano wakatokea huko wakapack hizo cargo tukachomoka nazo hadi place Ras alisema. Tukapata some dudes hapo wakatujenga bags mbili tuka confirm ni doo original tukachomoka. Akatuma text ingine tena. Tukaishia a different location. Some guy akatokea huko akachukua bag moja akatuachia moja yangu na Mike. Tukachill kwa dinga kuhesabu ni 150k. Tukagawana 75k kila mse but nikafeel inafaa nipate mob kushinda mike ju mi ndo nilimleta kwa deal anyway nikawacha islide๐Ÿ˜‚.

Mike : Bro hapa naona nikiomoka na wiki moja๐Ÿ˜‚
Me : Bora uplay by the rules๐Ÿ˜‚..na kesho itabidi ufike mapema sana before Jack aingie
Mike : Poa bro.

Kila mse akatoka na route yake nikaishia kwa hao nikapata Stesh alidoz. The following day nikaamka

Stesh : Anaendelea aje beb
Me : Nani?
Stesh : Mgonjwa
Me : Ooh huyo ako mbaya sijui kama he'll make it
Stesh : Waah
Me : Yeah

Nikatoka nikadrop Stesh kwa branch yake nikaishia. Kufika kwa gate napata wasee wameshona na makarao wamezungusha ile yellow tape ya crime scene๐Ÿ’”

Reactions โค๐Ÿ˜‚๐Ÿ™๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
On this 4:20, allow yourself a moment to inhale deeply, embrace joy with uninhibited laughter, and let the rhythm of life decelerateโ€”after all, in a world of constant motion, true peace may well be the most profound form of rebellion,
Happy 4:20 fam๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ˜๐Ÿ˜‹
VIBES & WINES ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช
โ™ฅ๏ธ SECRETS โ™ฅ๏ธ Chapter 50๐Ÿฆ‹ Loise akanitext "Heey babyboy unaweza kam kwa ofisi yangu kindly?" Nikatoka nikapanda huko juu Me : Is everything okay Loise : Zii I'm just missing you๐Ÿ˜‚ Me : Si ungekuja tu huko kwangu๐Ÿ˜‚ Loise : I noticed that your secretaryโ€ฆ
โ™ฅ๏ธ SECRETS โ™ฅ๏ธ

Chapter 51๐Ÿ”ฅ

Kulikua kumeshona wasee vibaya sana hadi na makarao ๐Ÿ’”. Nikashindwa nini imehappen manze๐Ÿ’”. Nikapack dinga nje ya gate niingie. Nikaona Trevor nikafika

Me : Bro nini imehappen ๐Ÿ˜Ÿ
Trevor : Bro manze yani siamini soldier amemadwa๐Ÿ’”.. it's soo heartbreaking ๐Ÿ˜Ÿ
Me : Waah๐Ÿ™†..
Trevor : Wamepata amenyongwa kwa hio stall yake kwa gate usiku na haijulikani ni nani

Nikashindwa soldier anamadwa aje na hadi yeye hayuko directly involved kwa hizi form illegal. Hadi mi pia nikaanza kukua worried๐Ÿ’”. Hapa itabidi nikue na security๐Ÿ’”
Denno na cliff ni machozi tu ilikua inawatoka๐Ÿ’”. Nikafika kwa ofisi nikachill๐Ÿ’”. Jessy akanicall ๐Ÿ“ฑ

Jessy : Wewe Carl
Me : Nini
Jessy : Umeona kitu imehappen kwa soldier?.. you need to be very very keen
Me : Alaa yani umemada soldier ๐Ÿค”
Jessy : Zii nawatch kwa news sahi
Me : Na sasa soldier kuuwawa inahusu aje my safety?
Jessy : Ulisema mimi ndo niko in danger sasa sahi umeona sio mimi ni wewe?

Nikakua confused huyu Jessy anamaanisha nini?. Tension ilikua hapo kwa job hadi hakuna mse alifanya job hio siku. Manze mse anamadwa na hakuna kitu iliibiwa that was a message๐Ÿ’”. Denno na cliff wakaingia

Cliff : You need us bro
Me : For what???
Denno : Soldier hukua kwa hizi deals zetu na amemadwa in cold blood๐Ÿ’”..we are not safe bro kwanza wewe
Cliff : You need to call Ras bro umshow he needs us ni kubaya
Me : Nacall Ras namtoa wapi na mnajua exactly Ras ndo hucall
Cliff : But he needs us back to the game bro๐Ÿ’”..we need security next hatujui itakua nani

Hakuna kitu ilikua inamake sense hapa๐Ÿ’”. Kisubmarine nilikua stressed hadi nikashindwa kudishi. Nilikua tu nategea call ya Ras. But nikashindwa mbona soldier adedi after nimeambia Mike ati ye hukua na hint ya Ras?. Nikaita Mike

Mike : Unasemaje bro
Me : Bro mbona after nimekushow ile story ya soldier anadedi the same day?
Mike : Waah bro unaniblame kwa kifo ya soldier?..i swear bro before God man sijui nini imeua soldier bro Walahi you have to believe me..jana tumekua na wewe kwa deal bro usiku na tukatoka huko late na according na makarao wanasema soldier anaweza kua alimadwa before midnight
Me : Na si kuna CCTV?.. I'm not blaming you bro sahi niko confused vibaya sana๐Ÿ’”
Mike : CCTV cameras zilienda off before soldier kumalizwa hivo ndo report inasema๐Ÿ’”
Me : Aiii๐Ÿ™†..that means mse aliingia kwa system..na mse hawezi ingia kwa system unless anawork hapa..we have a problem bro..mse amemada soldier ako kwa hii building๐Ÿ’”.....

To be continued ๐Ÿ˜‚

๐Ÿ˜‚๐Ÿ”ฅ sijui leo niwaachie karibu Episodes tano ama ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
VIBES & WINES ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช
โ™ฅ๏ธ SECRETS โ™ฅ๏ธ Chapter 51๐Ÿ”ฅ Kulikua kumeshona wasee vibaya sana hadi na makarao ๐Ÿ’”. Nikashindwa nini imehappen manze๐Ÿ’”. Nikapack dinga nje ya gate niingie. Nikaona Trevor nikafika Me : Bro nini imehappen ๐Ÿ˜Ÿ Trevor : Bro manze yani siamini soldier amemadwa๐Ÿ’”..โ€ฆ
โ™ฅ๏ธ SECRETS โ™ฅ๏ธ

Chapter 52๐Ÿ”ฅ

Kiundercover hapa itabidi nimekua bodyguard from Beijing kujiwekea security๐Ÿ’”. CCTV cameras haziwezi enda zote off unless mse amezi compromise from the building ndani kwa server room๐Ÿ’”. Makarao awakatoka na mse huwork kwa server room wakaishia na yeye. After sometimes akarudi

Trevor : We Slim we need answers wamesema aje?
Slim : Server room iko na two doors na hakuna yenye niliwacha ikiwa open.. I'm innocent guys mi sijui nini ilihappen but CCTV cameras nimepata zote zikiwa off morning๐Ÿ’”.. maybe walimess na hizo locks manze๐Ÿ’”..watu wa forensics wanakuja kufanya screening
Trevor : Soldier alikua mse mfiti manze sahi sijui wanatuletea mwingine mjiยฐnga kama vile walileta Jack
Jack : Toa jina yangu kwa hio mdogo yako ya mafegi we mbยฐwa naweza kuchafua sahi
Me : Eii eii guys that's enough kila mtu aende afanye kazi yake incase of anything I'll tell you

Chris akacall ๐Ÿ“ฑ

Chris : Niaje Carl
Me : Poa sana bro
Chris : Nimeskia mambo imefanyika huko
Me : Yeah yeah
Chris : Pole for that but this is what you will do..ukiulizwa anything na mapolisi just tell them ni wezi walibreak in wakajaribu kuiba na vile soldier alijaribu kudeal nao wakamuua.. bure mkisema ati hamjui ni nini imeua soldier itaharibia kampuni jina we can lose clients na stakeholders wote then kampuni ifungwe..be smart
Me : It's okay haina noma

Afternoon wasee wa forensics wakaingia na makarao kutoka morgue. Wakafanya some investigations hapo then wakakam kwa ofisi yangu

Police : Young man wewe ndo manager
Me : Yeah
Police : Tunaambiwa nothing was stolen..unanona sasa hio ni hatari kwa usalama wa wafanyikazi kwa hii kampuni
Me : Hapana..wezi walikua waibe but sasa soldier kujaribu kudeal nao wakamshinda nguvu
Police : Wewe ulijua aje ilikua wezi?
Me : This is not the first time wezi kukuja hapa na kumess na soldiers usiku
Police : Then kampuni inafaa kukua na tight security sio soldier moja kuchunga hii kampuni yote kubwa..wacha watu wa forensics wakuambie vile mambo iko
"Okay Mr carl tumefanya screening na inaonekana soldier alinyongwa na hakuna fingerprints..then your server room locks zilikua compromised na master keys..so your company needs to improve it's security system before the end of the month tukifanya uchunguzi"

Manze nilikua nimesweat vibaya sana. Jack akaingia

Jack : Carl we need to do something... soldier was one of us
Me : Yeah sure organize vile hio funeral itafanywa
Jack : Yeah nimebonga na watu wao we will fund the whole funeral session
Me : Ni sawa

Chris akatuma soldiers wawili so usiku wawili then mchana wawili pia. Hapa sasa deals zitakua noma Mike kutoka na dinga ju hawa soldiers hawatujui

Celine : Carl ni 4pm I'm really scared mi nimeenda
Me : Sawa take care hata mimi natoka sahi tu

Mike akaingia

Mike : Bro soldier amekataa nitoke na dinga sasa sijui deal tutapiga aje

Reactions โค
VIBES & WINES ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช
โ™ฅ๏ธ SECRETS โ™ฅ๏ธ Chapter 52๐Ÿ”ฅ Kiundercover hapa itabidi nimekua bodyguard from Beijing kujiwekea security๐Ÿ’”. CCTV cameras haziwezi enda zote off unless mse amezi compromise from the building ndani kwa server room๐Ÿ’”. Makarao awakatoka na mse huwork kwa serverโ€ฆ
โ™ฅ๏ธ SECRETS โ™ฅ๏ธ

Chapter 53๐Ÿฆ‹

Me : We utatokea tu dinga tutahire
Mike : Poa bro utanicall

Mike akatoka akaishia. Nikapiga survey kumake sure kila mse ameishia. Nikachomoka na dinga kwanza nikacheki hawa soldier wameletwa wako na sura ngumu kama ngozi ya mamba hawawezi taka ufala๐Ÿ˜‚๐Ÿ’”. Nikadrive hadi home.

Stesh : Weeh beb hii ni nini naskia?
Me : About soldier ama?
Stesh : Yeah๐Ÿ™†
Me : Ni wezi
Stesh : You need to be very keen honey๐Ÿ’”
Me : Yeah

Tukadishy supper then mausiku nikapanda kwa balcony nicall Loise

Me : Heey babygirl ๐Ÿ˜
Loise : Heey handsome ๐Ÿ˜..leo ulikua busy hata salamu tu
Me : Leo nilikua busy sana๐Ÿ˜‚..
Loise : I'm missing you๐Ÿ˜
Me : Missing you too..tutameet kesho jioni after job
Loise : I'm really missing it๐Ÿ˜๐Ÿ†

Kiasi hivi akakata call. New number ikacall

Me : Hello
"Why are you calling my wife eeh?๐Ÿ˜ณ..why do you want to ruin my marriage we mjinยฐga?"
Me : Who is this๐Ÿ˜ณ
"Stay away from Loise..nitakumaliza i swear kaa mbali kabisa na my wife tafuta bibi ukae chini wewe mjinยฐga haunijui wewe I'll destroy you nitakuharibia maisha๐Ÿ˜ก"

Wueh ๐Ÿ˜‚. Ni kama bwana wa Loise ameshika Loise sasa๐Ÿ˜‚๐Ÿ’”. Hapa kikaumana. Nikaweka phone nikaingia bedroom. Ras akacall nikatoka hamsa tena hadi kwa balcony. Stesh alikua anapanga nguo zake

Me : Ras nimekutegea sana
Ras : Nimeona kitu imefanyika bro.. someone is targeting us you need to be safe hata sasa hii deal nimekucall kukuambia let's give it a break mambo ipoe kwanza
Me : Na inaweza kua nani bro ama ni Damian?
Ras : Right now we can't just blame anyone unless tuko na evidence Carl
Me : Evidence aje bro
Ras : Inafaa tukue sure sio kusema tu ni Damian..this is a message Carl.. Damian hawezi ua soldier unless anajua deals si hufanya..na angekua anajua sahi ungekua prison.. Damian can't target someone like that soldier bro hii ni message
Me : Enyewe๐Ÿ’”
Ras : Damian akitaka kukufanyia kitu mbaya he'll do it directly hawezi tumia another person..tutajua tu just give it sometimes
Me : Sure

Nikarudi kwa hao nikadoz. Stesh akaniamsha midnight

Me : Aii kwani rada
Stesh : Beb the weekend is almost here my parents are waiting for us
Me : Yeah ulinishow
Stesh : Ukishaona maparo wangu I'll give you a kid beb๐Ÿ˜
Me : It's okay sawa goodnight
Stesh : Aii you can't even say something?..
Me : Beb niko usingizi hata sijui unasema nini
Stesh : Leo hauendi kuona mgonjwa hosy?
Me : Yeah leo someone else is going to see him

The more deals zinapunguka the more doo zinaisha. Nilikua nimepiga tu moja ile na Mike sasa doo za deals zilikua kidogo maybe nitegemee salary sasa๐Ÿ˜‚๐Ÿ’”. The following morning nikamka tukaprepare na Stesh tufike job. Sandy akacall ๐Ÿ“ฑ

Sandy : Mambo Carl
Me : Poa sana
Sandy : Nimesema nikujulie hali tu naskia kuna insecurities huko
Me : Aah kidogo tu but itaisha
Sandy : How is Stesh?

TO BE CONTINUED ๐Ÿ”ฅ
Forwarded from Jude Bellingham
๐—›๐—ผ๐˜„ ๐—ผ๐—น๐—ฑ ๐—ฎ๐—ฟ๐—ฒ ๐˜†๐—ผ๐˜‚?
Ombi letu ni Moja
Opportunities zitupate tukitoka hii wiki
Hustle zijipe Inshallah

Amen
VIBES & WINES ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช
โ™ฅ๏ธ SECRETS โ™ฅ๏ธ Chapter 53๐Ÿฆ‹ Me : We utatokea tu dinga tutahire Mike : Poa bro utanicall Mike akatoka akaishia. Nikapiga survey kumake sure kila mse ameishia. Nikachomoka na dinga kwanza nikacheki hawa soldier wameletwa wako na sura ngumu kama ngozi ya mambaโ€ฆ
โ™ฅ๏ธ SECRETS โ™ฅ๏ธ

Chapter 54๐Ÿ”ฅ

Manze kisubmarine nilishtuka sana๐Ÿ’”. Sandy anajua aje Stesh ๐Ÿค”

Me : Ati Stesh?..unamjua aje?
Sandy : Come on Carl๐Ÿ˜‚..i know everything about you๐Ÿ˜‚..i know she is your girlfriend kwani kuna shida?
Me : Hapana ni vile sikukua najua unamjua
Sandy : Namjua๐Ÿ˜‚..i even know all yours friends
Me : Aah
Sandy : Yeah.. anyway have a nice day

Nikakata call. Kumbe Stesh alikua hapo akiskiza

Stesh : Beb unajua sijai elewa nini huendelea between wewe na huyo mama
Me : Hua nambeba
Stesh : Ulikua unambeba sahi wewe ni manager mnabebana mkifanya nini?
Me : Come one hebu toka tuishie๐Ÿ˜‚

Nikadrop Stesh kwa branch yake. Nikaona Tresh amebeba files nikajua amerudi job. Sikutaka anione nikadrive nikaishia site. Nikaanza job. After some minutes Loise akajipiga kwa ofisi. Alikua amefura uso mzima๐Ÿ’”

Me : What's going on๐Ÿ˜ณ
Loise : Carl nilikua nimekukataza hii mambo jana nimepigwa the whole night๐Ÿ˜ญ
Me : Pole manze he called me akanisomea
Loise : Nataka kuenda hosy
Me : We should report him bana amekuumiza sana
Loise : He's my husband I can't report him staki kukua single mother mimi my kids need their father..stay away from me Carl ama he will kilยฐl you

Akatoka kama ameishia. Celine alikua anaskiza kila kitu nikajua amefurahi sana๐Ÿ’”. Tamara akacall ๐Ÿ“ฑ

Me : Hello
Tamara : Sasa Carl
Me : Poa sana
Tamara : Ile conference ya managers nilikuambia last time haitakua
Me : Mbona
Tamara : Sijui but imekua postponed.. ikiwa nitakuambia
Me : Poa

Denno na Cliff wakaingia

Cliff : Bro what's going on
Me : Kama?
Denno : Dinga zetu zimetobolewa tyre zote nne
Me : Aii nani anaweza kua amefanya hivo
Cliff : Leo sasa hatuwezi fanya kazi๐Ÿ’”
Denno : Leo ama hii mwezi yote ju Jack atataka kujua mbona ni dinga zetu mbili tu..we ndo manager bro tutetee tuundiwe hizi madinga
Me : Endeni mbonge na Jack then mkuje mnishow vile amesema

Kiasi hivi Chris akacall ๐Ÿ“ฑ

Chris : Carl
Me : Yes
Chris : Kuna vijana wanakuja hapo ku install CCTV cameras zingine micro na kumodify ile mlango ya server room
Me : Poa

Nikashindwa hizo dinga za kina Cliff nani amezimess๐Ÿ’”. Na kuna CCTV cameras hata ukiangalia hio footage haioneshi anyone akikuja in and out ya hizi buildings huyu lazima ni Ras๐Ÿ’”. Wakarudi na Jack

Jack : Carl hizo madinga itabidi tuunde na doo zetu ju ikifika kwa chris ataanza kusema hatufanyi kazi vizuri hadi watu wanabreak kwa kampuni let this be a secret
Me : It's okay
Jack : I'll pay the mechanics lakini Carl we have a traitor hapa ndani hii sio normal na kuna CCTV hapa na hata soldier wameletwa jana tu wanasema hawakuona anyone usiku wamekua hapa the whole night
Me : Kama kuna mkora hapa ndani tutamshika tu

Nikaendelea kupiga job kisubmarine nikitegea breakfast๐Ÿ˜‚. Celine akakuja

Celine : Carl nikikuambia mwenye alitoboa hizo tyres what will you give me in return?

TO BE CONTINUED ๐Ÿ”ฅ