VIBES & WINES ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช
7.25K subscribers
1.25K photos
134 videos
101 links
Memes na Stories za Nguvu, Vibe ya 254 iko hapa ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช Hapa raha ni ingine unstoppable,,kila cku kila day ๐Ÿ’ฏ
Download Telegram
Admin removed Judas Iscariot for betraying Jesus Christ
VIBES & WINES ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช
โ™ฅ๏ธ SECRETS โ™ฅ๏ธ Chapter 48๐Ÿฆ‹ Me : Si ukae tu kwa siz yako Tresh : Siwezi atanikazia sana๐Ÿ˜‚ Me : Okay๐Ÿ˜‚ Tresh : But Carl thanks for keeping my secrets Me : Siri zako ni mzito hata kushinda life yangu Nikamdrop kwa siz yake then nikatoka. Nikataka nipitie kwaโ€ฆ
โ™ฅ๏ธ SECRETS โ™ฅ๏ธ

Chapter 49๐Ÿฆ‹

Jamaa akatuma location nikatoka hadi hapo. Nikapata ni kijanaa flani hivi mdogo hadi kwangu๐Ÿ’”

Me : Yooh ingia kwa dinga
"I'm Jim"

Sikumjibu mi hapa nafanya kazi nimetumwa mambo ya kuongea sina๐Ÿ˜‚. Nikadrive

Jim : Bro I'm a bit scared
M : Mbona
Jim : This is my first time sijai fanya hizi stuff
Me : First time ya?๐Ÿ˜
Jim : Ooh nilithani unajua ju we ndo umenikujia i thought we huleta watu
Me : Watu wagani?..cheki bro sijui unabonga nini
Jim : Ooh ya hook-up
Me : ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚bro kama hauwezi ji explain save my time nikufikishe penye inafaa
Jim : I'm sorry man najua utanijudge but iko hivi..kuna this woman nilimeet kwa dating site
Me : Dating site๐Ÿค”
Jim : Yeah si unajua tinder?
Me : Yeah
Jim : I met this woman huko..huyu mwenye alinijenga number yako

Ndo nikashikanisha sasa. Kumbe hawa vijanaa Sandra huwatoa Tinder๐Ÿ˜‚๐Ÿ’”. That's why hajaitaka kuonekana nao in public๐Ÿ˜‚๐Ÿ’”. Mambo iko kwa hii dunia kisubmarine ni mazito๐Ÿ˜‚

Me : Na bro mbona ufanye hizi stuff bana you look modest haukai mse wa kufanya hizi vitu
Jim : Doo bro doo ni ngori life ilinitandika ikabidi nimekua esยฐcort boy๐Ÿ’”..ni life bro siwezi sema nilichoose hii path
Me : Sio kwa ubaya but sasa kwa hii stuff unamake kama how much
Jim : On a fine day naweza make hata 50k
Me : Sasa si mse hupiga moja unachukua hizo doo unaweka kwa biz na unasare hii maneno hivo ndo mse hufanya bro
Jim : You don't understand bro..inafaa nilipe fee na nilipe rent..my mum is fighting cancer na I'm the only child
Me : Iza man nakuget
Jim : Niko third year
Me : Haina noma
Jim : Nipee number yako bro one of this days tunaweza patana
Me : You will never see me again in your life bro mimi I'm only taking you there na nimade kazi yangu
Jim : Becky seems to trust you so much bro aliniambia if things work out utakua ukinipeleka
Me : Who is Becky?
Jim : This woman

Kumbe Sandy anajiita Becky kwa dating site๐Ÿ˜‚. Hii inamaanisha kuna siri mob zinginge zenye sijui na zitatoboka zote kiundercover. Nikajenga huyu mse number nikamfikisha kwa hio lodging nikachomoka nikarudi site. Cliff akakuja kwa ofisi

Cliff : Bro leo nimekam solo tuongee kama mabro
Me : Solo kiaje
Cliff : Sijakam na Denno.. for security purposes..i want to apologize Carl.. enyewe nimekaa chini nikaona sikufanya poa kuruka deal na tumetoka mbali..najua nilikukosea bro but it won't happen again..nimegundua tangu Denno aingie kwa deal azn toka nianze kuroll na Denno mambo yangu haikua inaenda fiti
Me : Bro mi sina noma..ni trust ya Ras kwako iliisha man toka umruke.. you need to apologies to Ras bro sio hata mimi
Cliff : Hapatikani bro maybe akiwahi kucall nikiwa karibu uniite nibonge na yeye..then mi nadai kuwachana na story za Denno
Me : Aje sasa
Cliff : Denno ni sniยฐtch na yeye hadi ndo alicome up na idea ati tusipee Ras zile doo..then anataka kisaidia bro wake Damian arudi job ati we utolewe
Me : ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚wataanza aje
Cliff : Sijui bro but we mzee make sure umenirudisha kwa system mzee niko broke man hata sijui naanzia wapi
Me : Sasa unataka kurudi kwa deals ju uko broke ama ju unafeel kurudi?
Cliff : Because i want this bro
Me : Sawa wacha tutegee Ras....

To be continued โค๏ธ
Hustle zijipe Inshallah
Kila hatua Dua
Tusiwai pungukiwa tukitafuta

Amen.
Forwarded from FUN ZONE (Frank Clein)
โค๏ธ CAMPUS LIFE โค๏ธ

SEASON 02๐Ÿ”ฅ

CHAPTER 01 ๐Ÿ”ฅ

Kisubmari. Ilikua late sana nikashindwa nitafanya aje nikajua hapa kimeumana๐Ÿ˜‚๐Ÿ’”. Kisubmarine nikashindwa nitafanya aje na vile ilikua late๐Ÿ˜‚๐Ÿ’”

Me : Hebu nipee ten minutes
Linda : Poa babe

Nikapiga hesabu pale kisubmarine hakuna vile naweza ambia Ted anagongewa kiundercover so nikachill tu hapo kwa bed kwanza. Nikatoka nje nikacall Dante

Me : Bro
Dante : Rada
Me : I need a favor man
Dante : Gani
Me : Nadai keja
Dante : Wueh si ungenishow mapema mzee๐Ÿ˜‚
Me : Imekam abruptly sijui itakuaje
Dante : Sasa where will i sleep
Me : Kam ulale huku
Dante : Wacha nikam hivo then

Nikavaa pale nikajipiga spray.

Me : Bro Dante anakam kudoz hapa
Ted : Umepata mechi ama..ni mgani huyo
Me : Dem flani wa daro ๐Ÿ˜‚
Ted : Usiangushe mbogi ๐Ÿ˜‚

Dante akafika akanijenga key nikatoka hadi kwa Linda. Nikamchukua hadi kwa Dante

Linda : Wow babe hao yako inakaa poa
Me : Thanks ๐Ÿ˜‚
Linda : Niko njaa babe
Me : Wacha tupike

Kuangalia kwa tray kuna eggs. Nikapika ugali. Wacha nisake kisu sioni sijui huyu mse aliweka wapi๐Ÿ˜‚๐Ÿ’”..nilisaka kisu one hour ikabidi nitumie kijiko kuchonga kitunguu๐Ÿ˜‚๐Ÿ’”. Tukadishy pale. Mkuu nikachange light nikaweka ya blue. Chuma ilitembea hio ploti najua neighbors walikua wanashidwa hapa nini inafanyika๐Ÿ˜‚. Chuma ilikua inaslide deep penetration anawaka kama indicator๐Ÿ˜‚๐Ÿ’”. Tulikulana the whole night. Morning akapanda juu akaride chuma kidogo aniwache na blisters๐Ÿ˜‚.

Linda : Babe can we spend the day together
Me : Niko na some stuffs inafaa nifanye so si ufike kwa hao nitakucall
Linda : Poa

Alikua anadai kubaki hapa afanye nini na hata sio kwangu๐Ÿ˜‚๐Ÿ’”. Nikamfikisha kwake nikatoka. Nikacall Dante

Me : Mzee
Dante : Yooh
Me : Shukran jooh nimetoka
Dante : Kam hivo na key

REACTโค๏ธ
VIBES & WINES ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช
โ™ฅ๏ธ SECRETS โ™ฅ๏ธ Chapter 49๐Ÿฆ‹ Jamaa akatuma location nikatoka hadi hapo. Nikapata ni kijanaa flani hivi mdogo hadi kwangu๐Ÿ’” Me : Yooh ingia kwa dinga "I'm Jim" Sikumjibu mi hapa nafanya kazi nimetumwa mambo ya kuongea sina๐Ÿ˜‚. Nikadrive Jim : Bro I'm a bitโ€ฆ
โ™ฅ๏ธ SECRETS โ™ฅ๏ธ

Chapter 50๐Ÿฆ‹

Loise akanitext

"Heey babyboy unaweza kam kwa ofisi yangu kindly?"

Nikatoka nikapanda huko juu

Me : Is everything okay
Loise : Zii I'm just missing you๐Ÿ˜‚
Me : Si ungekuja tu huko kwangu๐Ÿ˜‚
Loise : I noticed that your secretary ni kama hanitaki๐Ÿ˜‚..so i think huku kwangu kuko safe
Me : Aii uko sure?
Loise : Yeah very keen
Me : Don't worry I'll handle that

Tukachill pale na yeye kama amekalia mkuu tukiskia fiti๐Ÿ˜‚. Lunch time nikafika hivo kwa ofisi nikadishy . Celine alikua amegoma hawezi nibongesha๐Ÿ˜‚๐Ÿ’”. Kisubmarine mi nae sikua natambua. Majioni nikategea Jack ametoka na kila mse ameishia. Soldier akaingia shift yake ya usiku ndo Mike akatoka na dinga. Nikafika home nikahug Stesh nikapanda kwa balcony. Ras akacall ๐Ÿ“ฑ

Ras : Mzee uko ready
Me : Yeah
Ras : Unaweza tembea na anything kama kisu hivi we never know..tho hawa buyers sio wale wabaya hawana weapons but just carry a knife incase..then hizo cargo kuna watu watawaletea msiweke kwa boots, weka backseat na ufunike na kitu then location itakua inachange kila siku for security purposes
Me : Sawa
Ras : Immediately 11sharp ikifika inafaa ukue ukitoka kwa nyumba
Me : Poa

Nikashindwa nitaambia aje Stesh ati usiku sitakua. Nikacheza na medulla kisubmarine nikajua kitu nitamshow๐Ÿ˜‚. Mkuu sijaikosa ideas za kujitoa kwa noma call me Mr solution๐Ÿ˜‚. After kudishi supper sasa

Me : Beb Unakumbuka ule mse alipata accident..ule manager nili replace
Stesh : Yeah
Me : Condition yake imekua worse na hanaga family members ako tu na bro moja so as a team tunafanya something like support tu..so usiku tumesema tutakua tunafika huko kumkaisha kiasi then tunarudi
Stesh : Whaat๐Ÿค”..hajai pona
Me : Yeah amezidiwa naskia inafaa arudi open surgery tena
Stesh : That's worse..mi sina shida beb
Me : Yeah so this week yote cliff atakua anaishia 8pm-11 pm then mi naingia 11pm hadi anytime i think nitakua narudi past midnight
Stesh : Ni poa bora ukue keen hizo matime wezi hukua huko nje๐Ÿ˜‚
Me : Hawawezi nishika๐Ÿ˜‚

Hio ikaivana๐Ÿ˜‚

Stesh : But huwezi enda kuona mgonjwa empty handed inafaa upeleke food na some lemon water
Me : Yeah
Stesh : Lemon water I'll prepare it for you but food yake ni wewe utakua unapika
Me : Sure

9pm hapo Stesh akaniwekea lemonade kwa thermo flask na nikaprepare food๐ŸŒฎ๐Ÿฅ™ pale knowing very well hakuna mgonjwa ana exist๐Ÿ˜‚. 11 pm akaniwekea food na hio flask kwa dinga nikatoka๐Ÿ˜‚. Nikashtua Mike akakuja. Tukakaa tukadishy hio food yote na tukakunywa hio lemonade tukitegea signal ya Ras. Akanitumia message ya instructions na place inafaa tuishie. Tukafika hapo. Some guys kama watano wakatokea huko wakapack hizo cargo tukachomoka nazo hadi place Ras alisema. Tukapata some dudes hapo wakatujenga bags mbili tuka confirm ni doo original tukachomoka. Akatuma text ingine tena. Tukaishia a different location. Some guy akatokea huko akachukua bag moja akatuachia moja yangu na Mike. Tukachill kwa dinga kuhesabu ni 150k. Tukagawana 75k kila mse but nikafeel inafaa nipate mob kushinda mike ju mi ndo nilimleta kwa deal anyway nikawacha islide๐Ÿ˜‚.

Mike : Bro hapa naona nikiomoka na wiki moja๐Ÿ˜‚
Me : Bora uplay by the rules๐Ÿ˜‚..na kesho itabidi ufike mapema sana before Jack aingie
Mike : Poa bro.

Kila mse akatoka na route yake nikaishia kwa hao nikapata Stesh alidoz. The following day nikaamka

Stesh : Anaendelea aje beb
Me : Nani?
Stesh : Mgonjwa
Me : Ooh huyo ako mbaya sijui kama he'll make it
Stesh : Waah
Me : Yeah

Nikatoka nikadrop Stesh kwa branch yake nikaishia. Kufika kwa gate napata wasee wameshona na makarao wamezungusha ile yellow tape ya crime scene๐Ÿ’”

Reactions โค๐Ÿ˜‚๐Ÿ™๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
On this 4:20, allow yourself a moment to inhale deeply, embrace joy with uninhibited laughter, and let the rhythm of life decelerateโ€”after all, in a world of constant motion, true peace may well be the most profound form of rebellion,
Happy 4:20 fam๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ˜๐Ÿ˜‹
VIBES & WINES ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช
โ™ฅ๏ธ SECRETS โ™ฅ๏ธ Chapter 50๐Ÿฆ‹ Loise akanitext "Heey babyboy unaweza kam kwa ofisi yangu kindly?" Nikatoka nikapanda huko juu Me : Is everything okay Loise : Zii I'm just missing you๐Ÿ˜‚ Me : Si ungekuja tu huko kwangu๐Ÿ˜‚ Loise : I noticed that your secretaryโ€ฆ
โ™ฅ๏ธ SECRETS โ™ฅ๏ธ

Chapter 51๐Ÿ”ฅ

Kulikua kumeshona wasee vibaya sana hadi na makarao ๐Ÿ’”. Nikashindwa nini imehappen manze๐Ÿ’”. Nikapack dinga nje ya gate niingie. Nikaona Trevor nikafika

Me : Bro nini imehappen ๐Ÿ˜Ÿ
Trevor : Bro manze yani siamini soldier amemadwa๐Ÿ’”.. it's soo heartbreaking ๐Ÿ˜Ÿ
Me : Waah๐Ÿ™†..
Trevor : Wamepata amenyongwa kwa hio stall yake kwa gate usiku na haijulikani ni nani

Nikashindwa soldier anamadwa aje na hadi yeye hayuko directly involved kwa hizi form illegal. Hadi mi pia nikaanza kukua worried๐Ÿ’”. Hapa itabidi nikue na security๐Ÿ’”
Denno na cliff ni machozi tu ilikua inawatoka๐Ÿ’”. Nikafika kwa ofisi nikachill๐Ÿ’”. Jessy akanicall ๐Ÿ“ฑ

Jessy : Wewe Carl
Me : Nini
Jessy : Umeona kitu imehappen kwa soldier?.. you need to be very very keen
Me : Alaa yani umemada soldier ๐Ÿค”
Jessy : Zii nawatch kwa news sahi
Me : Na sasa soldier kuuwawa inahusu aje my safety?
Jessy : Ulisema mimi ndo niko in danger sasa sahi umeona sio mimi ni wewe?

Nikakua confused huyu Jessy anamaanisha nini?. Tension ilikua hapo kwa job hadi hakuna mse alifanya job hio siku. Manze mse anamadwa na hakuna kitu iliibiwa that was a message๐Ÿ’”. Denno na cliff wakaingia

Cliff : You need us bro
Me : For what???
Denno : Soldier hukua kwa hizi deals zetu na amemadwa in cold blood๐Ÿ’”..we are not safe bro kwanza wewe
Cliff : You need to call Ras bro umshow he needs us ni kubaya
Me : Nacall Ras namtoa wapi na mnajua exactly Ras ndo hucall
Cliff : But he needs us back to the game bro๐Ÿ’”..we need security next hatujui itakua nani

Hakuna kitu ilikua inamake sense hapa๐Ÿ’”. Kisubmarine nilikua stressed hadi nikashindwa kudishi. Nilikua tu nategea call ya Ras. But nikashindwa mbona soldier adedi after nimeambia Mike ati ye hukua na hint ya Ras?. Nikaita Mike

Mike : Unasemaje bro
Me : Bro mbona after nimekushow ile story ya soldier anadedi the same day?
Mike : Waah bro unaniblame kwa kifo ya soldier?..i swear bro before God man sijui nini imeua soldier bro Walahi you have to believe me..jana tumekua na wewe kwa deal bro usiku na tukatoka huko late na according na makarao wanasema soldier anaweza kua alimadwa before midnight
Me : Na si kuna CCTV?.. I'm not blaming you bro sahi niko confused vibaya sana๐Ÿ’”
Mike : CCTV cameras zilienda off before soldier kumalizwa hivo ndo report inasema๐Ÿ’”
Me : Aiii๐Ÿ™†..that means mse aliingia kwa system..na mse hawezi ingia kwa system unless anawork hapa..we have a problem bro..mse amemada soldier ako kwa hii building๐Ÿ’”.....

To be continued ๐Ÿ˜‚

๐Ÿ˜‚๐Ÿ”ฅ sijui leo niwaachie karibu Episodes tano ama ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚