VIBES & WINES ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช
7.55K subscribers
1.61K photos
148 videos
122 links
Memes na Stories za Nguvu, Vibe ya 254 iko hapa ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช Hapa raha ni ingine unstoppable,,kila cku kila day ๐Ÿ’ฏ
Download Telegram
VIBES & WINES ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช
โค๏ธ SECRETS โค๏ธ Season 03 ๐Ÿฆ‹ Episode 41๐Ÿ”ฅ Kisubmarine the way mambo ilikua inaenda hadi mimi mwenyewe nikaogopa๐Ÿ˜‚๐Ÿ’”. Yani watu wanakupigia hesabu flani illegal na wewe hauradi bana๐Ÿ’”. Celine akanitenda Me : Whaat๐Ÿ˜ณ..so hii yote ni plan ya Celine Loise : Yeah..โ€ฆ
โค๏ธ SECRETS โค๏ธ
Season 03 ๐Ÿฆ‹

Episode 42๐Ÿ”ฅ

Huyu manzi kidogo nikaona something ain't right๐Ÿ˜‚๐Ÿ’”. Mambo sio mzuri hapa๐Ÿ˜‚

Loise : Wachana na before..nasema juzi na jana.. you didn't realize you were making a mistake Carl?..uliniuliza kama niko safe days ama anything like that?.. you can't be risking it Carl hata kama unanipenda you need to be very keen
Me : Loise go straight to the point
Loise : We did it juzi, jana kwa ofisi yangu na it was all raw..na i don't think niko safe days๐Ÿ’”..i really wanted a kid vibaya sana and i think God has answered my prayers

Niliamka kwanza nijue kama napumua bado๐Ÿ’”

Me : Whaat๐Ÿ˜ณ..do you know that's a crime
Loise : We are dating Carl crime aje
Me : Loise niskize..we are not dating
Loise : Jana usiku umeniuliza kama bado nakupenda ama hapana?..kumbuka hio call?๐Ÿ˜’.. Carl you knew what you were doing hatuwezi ra'w then you expect nothing zii I'm not a stone I'm a woman and one bad move I'm pregnant
Me : You'll have to take the pills๐Ÿคจ
Loise : Mayb uniue..no pills no anything i want to see my third born๐Ÿคจ.. Carl my kids need someone..a father figure for them that's why i got back to you
Me : Baba yao ako so mimi unitoe kwa mdomo yako
Loise : Carl talk to me as your woman wacha kuniongelesha hivo๐Ÿฅน
Me : Loise unakua wazimu manze what are you talking about bana
Loise : I'm your woman Carl appreciate hata come on wacha kunishoutia kindly for my peace
Me : You can't have my kid.. your ex husband will come for his kids unajua
Loise : He'll never come back
Me : Why
Loise : We broke up for good
Me : Either utumie pills ama sijui utafanya aje lakini you can't carry my baby

Nikachomoka nikatoka. Nikadrive hadi kwa Celine. Nikaingia. Maya akafungua mlango

Me : Hey
Maya : Hi๐Ÿ˜Š
Me : Where is she?
Maya : Ameenda suppa kuleta house supply anarudi
Me : Okay I'll wait
Maya : Okay..what will you drink
Me : Nothing
Maya : I'll give you mango juice.. one of my favorite๐Ÿ˜Š
Me : Okay ๐Ÿ˜‚..siko kwa mood ya juice tho
Maya : Usijali I'll get you in the mood
Me : Pardon?
Maya : Nasema I'll get you the juice๐Ÿ˜Š

Juice ikaletwa

Me : Thanks
Maya : Okay by the way najua this will sound strange lakini hebu niulize.. are you two dating or anything?
Me : Mmh not really dating but we have ka-something you know
Maya : Ooh nakuget.. something like a situatioship
Me : Exactly ๐Ÿ˜‚
Maya : Oow why don't you date her tu kabisa
Me : It's a long story..what about you..unadate?
Maya : Zii..but if you give me a reason to.. I'll date
Me : Ati if i, yani mimi nikupee reason?.. reason gani sasa.. people date for fun, kuhepa loneliness, for seยฐx na vitu mob tu i think you know that๐Ÿ˜‚

Celine akaingia ๐Ÿ’”

Celine : Did someone mention the word seยฐx?๐Ÿค”
Maya : Yeah we are having it๐Ÿ˜‚
Me : She's joking wee๐Ÿ˜‚
Celine : I know why you are here Carl sio lazima niulize
Me : Unajua kitu ulifanya
Celine : Maya can you leave us kindly..beb nilikua nataka kukusaidia i had to do it..nilitumia Stesh message with a different line๐Ÿ’”

TO BE CONTINUED ๐Ÿ”ฅ

Weka like ๐Ÿ˜Š
VIBES & WINES ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช
โค๏ธ SECRETS โค๏ธ Season 03 ๐Ÿฆ‹ Episode 42๐Ÿ”ฅ Huyu manzi kidogo nikaona something ain't right๐Ÿ˜‚๐Ÿ’”. Mambo sio mzuri hapa๐Ÿ˜‚ Loise : Wachana na before..nasema juzi na jana.. you didn't realize you were making a mistake Carl?..uliniuliza kama niko safe days ama anythingโ€ฆ
โค๏ธ SECRETS โค๏ธ
Season 03 ๐Ÿฆ‹

Episode 43๐Ÿ”ฅ

Me : Aii sasa mbona ufanye ivo unajua shida umeleta wewe?
Celine : Atarudi poa tu don't worry
Me : She also complained umenisave na love emojis
Celine : My bad nilimpea phone yangu..she also gave me her number
Me : Ya nini?๐Ÿค”
Celine : Carl ulikua hauonekani she gave it to me so that nikipata intel about you nimshow
Me : You made a very bad move kuambia Stesh about the bracelet
Celine : Carl nilijua mambo yako na Loise kitambo ni vile sikutaka kuleta maneno plus pia nakuogopa unakuaga mkali๐Ÿ’”.. the rumors had it that aliwachana na bwanake na wewe umeingia huko..huyo jamaa akijua Carl hawezi kuwacha.. kumbuka that's someone's wife not a girlfriend
Me : Why are you trying to save me?
Celine : Because i love you.. and for your information her kids kila mtoto na babake๐Ÿ˜‚
Me : Whaat๐Ÿค”
Celine : Yeah..na huyo mse sio biological father wao ni kuwekwa alikua amewekwa usicheze na Loise wewe she'll be your downfall
Me : Heee๐Ÿ™†
Celine : Unakaa worried kwani what's going on
Me : Aah zii niko poa
Celine : Loise ni wrong number..wacha hio body yake ikudanganye..we unathani ni wewe peke yako unamuona ameiva?๐Ÿ˜‚...she interacts with a lot of men na wanamkatia obvious.. and if she likes them baas...fanya background check yake you'll know..niliamua nitumie hio story ya bracelet Stesh ajue ndo at least uwachane na Loise..mumewachana? Amaaa..
Me : Yeah yeah tumewachana
Celine : Alafu Carl Maya is my cousin hizo Story naskia mnapiga staki kuskia
Me : Story gani
Celine : Wewe unajua kitu nasema.. anyway your girlfriend trusts me now hata tukifanya mambo yetu hawezi nishuku๐Ÿ˜‚
Me : You bought your trust by betraying me๐Ÿ’”
Celine : You betray me with Loise.. revenge?..yeah kabisa.

Nikachill pale kwa Celine then nikatoka hadi home

Me : Beb sasa you won't talk to me?
Stesh : Enda ongea na Loise ๐Ÿ’”..yani bado unafata madem wameolewa..mabibi za watu..strange ๐Ÿ’”
Me : It's over baby i was not chasing her tulikua na something like a friendship thing
Stesh : Ndo ukaamua kumpea bracelet yangu?๐Ÿ˜
Me : We jua tomorrow I'm taking you home
Stesh : Lakini Carl you never apologize..kwani shida yako hukua wapi..yani nimengoja hata niskie I'm sorry beb nimekukosea bla bla bla..lakini wewe ni kubonga tu stuffs zako๐Ÿ’”
Me : Beb hio tu ndo unataka kuskia.. okay.. I'm sorry beb nilikukosea it won't happen again i promise..but mbona Celine akakutumia message?
Stesh : She is concerned hawezi kaa aone manzi mwenzake anachezwa na anyamaze.. infact from today she's my best friend..na beb if we don't save Tresh she's going to diยฐe

TO BE CONTINUED ๐Ÿ”ฅ
VIBES & WINES ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช
โค๏ธ SECRETS โค๏ธ Season 03 ๐Ÿฆ‹ Episode 43๐Ÿ”ฅ Me : Aii sasa mbona ufanye ivo unajua shida umeleta wewe? Celine : Atarudi poa tu don't worry Me : She also complained umenisave na love emojis Celine : My bad nilimpea phone yangu..she also gave me her number Meโ€ฆ
โค๏ธ SECRETS โค๏ธ
Season 03 ๐Ÿ”ฅ

Episode 44๐Ÿ”ฅ

Me : How?

Sikutaka Stesh aingilie hii story kabisa ju kisubmarine ukikua involved direct huwezi wachwa wakati kimeumana. Tresh alikua slow sana na accounts ni kufreeze wanafreeze.

Stesh : At least tumshow awachane na huyo mzee
Me : It's too late maybe awachane nao wote ju mzee hawezi kubali kupata ati kitu alikua anadishi ndo kijana wake analeta kama wife๐Ÿ˜‚
Stesh : Sasa unacheka nini?.. what's funny๐Ÿ˜
Me : Beb i thought we are good
Stesh : Unajua bado najiuliza uliona nini kwa Loise..ama ni matako?..hata mimi yangu ndio hii kubwa kama yake what's wrong with you kwani ako na nini?..ama ni dimples ๐Ÿ˜..look at me uniambie ni nini ako nayo..wewe ile madawa umekorogewa nitakuwacha hapa ukichizi peke yako
Me : Beb nilisema it's over.
Stesh : Sasa kesho you are taking me home?..uko prepared?
Me : Yeah I'm ready..na wewe?
Stesh : Naenda tu for the sake of your parents but not you๐Ÿ˜’

Nilimchocha nilicall home kuwashow tunaenda na hata sikua nimecall nilitaka kisubmarine ikue surprise. But nilikua stressed hio story ya Loise kukua na ball yangu. Sasa sijui alipata ile juzi kitambo kiasi ama ile tukiwa kwa ofisi. Usiku Stesh akiwa bedroom yake nikatoka pole pole kaguu ju ningewasha dinga angeskia. Nikafika kwa Loise . Househelp akafungua mlango

Me : Ako?
Sarah : Analala
Me : Poa
Sarah : Nimuamushe amaa
Me : Zii wacha niingie huko

Nikaingia bedroom nikapata amedoz. Ka ningekua nadai kumada ningefanya sahi

Me : Amka
Loise : Ooh Carl
Me : Cheki Loise manze if you really love me vile unasema kindly terminate that thing ๐Ÿ’”
Loise : Carl it's too late..nataka ningoje some weeks ndo nipime ball
Me : Sio late please do it for me
Loise : I don't have a reason to...
Me : Wewe ni muongo sana..nimeambiwa these kids sio wa huyo mse..kila mtoi hapa ako na babake..so pia hao uliwafanyia vile umenifanyia ama?
Loise : Who told you that๐Ÿ˜ณ..umetoa wapi hio information na kwanza sahi ni sangapi unakuja kwangu Carl
Me : You said we are dating so naweza kuja kwako time nataka
Loise : Carl nikipima nipate niko na ball nitafurahi sana๐Ÿ˜‚.. and yes huyo mse alikua tu wa kunikeep company infact he was jobless i was paying all his bills..then yeah hawa watoi wangu kila moja aka na babake different ... mwenye alikuambia amefanya vizuri sana so that nisikue na kazi ya kuexplain.. that's why i told you he is not coming back hakuna kitu yake imebaki hapa
Me : My girlfriend is pregnant na staki watoi nje mimi
Loise : Wacha uoga Carl๐Ÿ˜‚.. our kid will be very cute..look at us
Me : I don't care about any kids..ukizaa huyo mtoi ni wako sio wangu mimi nimejitoa
Loise : DNA test umeiwacha wapi..usijaribu kufanya kitu kama hio Carl you don't know what I'm capable of

TO BE CONTINUED ๐Ÿ”ฅ
VIBES & WINES ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช
โค๏ธ SECRETS โค๏ธ Season 03 ๐Ÿ”ฅ Episode 44๐Ÿ”ฅ Me : How? Sikutaka Stesh aingilie hii story kabisa ju kisubmarine ukikua involved direct huwezi wachwa wakati kimeumana. Tresh alikua slow sana na accounts ni kufreeze wanafreeze. Stesh : At least tumshow awachaneโ€ฆ
โค๏ธ SECRETS โค๏ธ
Season 03 ๐Ÿฆ‹

pisode 45๐Ÿ”ฅ

Hapa kikaumana vibaya sana๐Ÿ’”. Huyu manzi enyewe alinisoma๐Ÿ’”. Mambo na DNA nikajua hio itakua child support and stuff. Na Stesh akijua niko na mtoi nje itakua mbaya

Loise : Get out Carl
Me : Please meza hata p2 basi Incase..๐Ÿ’”
Loise : Huyu nabeba 9 full months๐Ÿ’”
Me : Loise
Loise : Hapana kaa huko please please don't touch me..i said don't touch me Carl I'll scream๐Ÿ˜ญ

Nikasema kama Celine alimada Damian na sahi ako na peace si ni made tu huyu manzi nimalizane..shida watoi wake wataenda wapi๐Ÿ’”. Sperยฐยฐms hukaa kwa pudesh for a couple of days.. ovulation ikianza then zipatane huyu manzi atapata ball..ama hadi amepata already ๐Ÿ’”.nikatoka huko manze nikafika home nikaingia pole pole. Nikadoz. The following morning tukaamka 5 kuprepare tufike home. Tukapack mavitu pale

Stesh : Huwezi enda home mikono tupu.. you need to buy stuffs
Me : Tupitie mall basi

Tukapitia mall nikapiga shopping moja genje tukatoka๐Ÿ˜‚

Me : Tukifika huko beb make sure wamejua uko na ball so that they don't get hard on me unajua nimepotea for a couple of years
Stesh : If you have a sister nitamshow you are cheating on me
Me : Beb don't..utanichomea

Tukafika home 9am. Nikapata a lot has changed kisubmarine hadi gate iliwekwa mpya๐Ÿ˜‚. Hadi soldier akaletwa hawa watu ni kama waliomoka๐Ÿ˜‚๐Ÿ’”

Soldier : Unasemaje kijana
Me : Hapa ni home..beb come in
Soldier : Wait..sikujui kijana
Me : Look at me..my mum's photocopy.. angalia hii sura๐Ÿ˜‚
Soldier : Aah wacha nifungue gate uweke gari ndani
Me : Poa

Tukadunda home. Main door ilikua wazi. Sasa hapa kuingia kwanza ni kujibu mashtaka nimekua wapi all those years. Before hata tuingie kwa mlango mathe akatokea huko. Akanijenga kofi flani heavy kidogo kichwa izunguke

Me : Aiii mum๐Ÿคจ
Mum : A very stupid man...four years?
Me : Mum i can explain
Mum : Hio utaambia babako..yani four years no calls no anything
Me : I know mum..meet Stesh, my..
Mum : Ooh your girlfriend?..hello๐Ÿ˜Š..pole kama nimekuumizia bwana
Stesh : Hapana mum๐Ÿ˜‚..muongeze kofi ingine๐Ÿ˜‚

Mzee ni kama aliskia mse akilishwa kibare akaamka

Me : Mum kwani dad aliwacha kuishia church?
Mum : Maneno ya babako ilinishinda
Me : Hey dad
Dad : A very useless son..the prodigal son

The way mzee alikua ananikujia nikasema hapa inaweza kua kofi ingine ๐Ÿ˜‚. Nikasonga kando

Dad : Welcome son long time..na huyu ni nani?..is this your daughter?๐Ÿ˜‚
Stesh : Yees๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ’”

Tukajipin pale kwa hao

Me : What happened to your car dad
Dad : Four years nakaa na gari kwani ni kofia๐Ÿ˜‚.. hio ilikufa iko huko kwa garage
Me : Na kwani hapa mnakaa tu wawili..watu walienda wapi?
Mum : They're sleeping leo ni Sunday what do you expect..uko na bahati sana.. your siz Ayra and Jaden Walikuja two weeks ago lakini wanaenda leo..Amber was expelled
Me : Whaat?..sahi ako class?
Dad : ๐Ÿ˜form four
Me : Mbona alikua expelled?
Mum : Drugs
Me : She's a girl..drugs aje
Mum : It's a boarding school anapatana na watu wengi..alishikwa na vape
Me : Eeh mum unajua hadi vape๐Ÿ˜‚๐Ÿ’”
Mum : Kwani unathani nimezeeka..i was a teacher i know things
Me : Na anatoa wapi pesa za drugs
Mum : Your brother Jaden can answer that


๐Ÿ”ฅTO BE CONTINUED ๐Ÿ”ฅ
VIBES & WINES ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช
โค๏ธ SECRETS โค๏ธ Season 03 ๐Ÿฆ‹ pisode 45๐Ÿ”ฅ Hapa kikaumana vibaya sana๐Ÿ’”. Huyu manzi enyewe alinisoma๐Ÿ’”. Mambo na DNA nikajua hio itakua child support and stuff. Na Stesh akijua niko na mtoi nje itakua mbaya Loise : Get out Carl Me : Please meza hata p2 basiโ€ฆ
โค๏ธ SECRETS โค๏ธ
Season 03 ๐Ÿ”ฅ

Episode 46๐Ÿ”ฅ.

Me : Mum, dad meet my girlfriend Stesh
Stesh : Your pregnant girlfriend i mean๐Ÿ˜‚
Mum : ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚akipata mimba sio girlfriend tena she's your wife son๐Ÿ˜‚
Dad : Like father like son๐Ÿ˜‚
Mum : Hio sasa imetoka wapi๐Ÿ˜’
Dad : Ooh aah like son like a mother .. aah sorry I mean like mother like..like son yeah
Me : ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ’”

Nikachill pale na maparo siz last born akatokea huko

Amber : Eeeiiish bro๐Ÿ˜‚..long time umenona hadi
Me : Kunona tena๐Ÿ˜‚๐Ÿ’”
Amber : Yeah you have changed..hello๐Ÿ˜Š
Stesh : Sasa๐Ÿ˜Š
Amber : Poa sana..
Me : Amber this is my..
Amber : I know right ๐Ÿ˜‚.. she's cute by the way
Stesh : Thanks ๐Ÿ˜Š
Amber : Wacha niamshe big bro na siz
Me : Wait..naskia nowadays umekua drug lord.. you know that's wrong right?
Amber : Waah mum huwezi nyamazia kitu?๐Ÿ˜’
Mum : Alipatwa na vape
Amber : Someone planted it on me kwa dorm sio ati ilikua yangu
Mum : You were caught smoking it with a gang of spoilt girls๐Ÿ’”
Me : Amber that's not how we do things here
Jaden : We mzee๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ’”
Me : Aah huyu ni nani๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Jaden : Nakutafuta kila mahali nikathani ulidedi๐Ÿ˜‚
Me : Nilifufuka๐Ÿ˜‚..meet Stesh โ™ฅ๏ธ
Jaden : Mambo๐Ÿ˜Š
Stesh : Poa sana

Siz akaingia

Ayra : Waah waah waah huyu ni wa wapi๐Ÿ˜‚.. Carl wewe leo ndo unajua we exist
Me : My bad nilikua busy ๐Ÿ˜‚
Ayra : Busy for your family wacha mchezo๐Ÿ˜‚

Tukachill pale nikapiga Stesh intro pale. Nikatoka nje nikachill na bro na mzae

Jaden : Carl umechange sana ama unaibia watu huko penye uko
Me : Zii maisha huchange tu๐Ÿ˜‚
Dad : Na ulipata kazi ama bado unalala the whole day
Me : I'm a manager dad
Jaden : Wacha๐Ÿ˜‚
Me : I swear
Jaden : Hii ni dinga ya nani?
Me : Ya Stesh
Jaden : Uliangukia richkid wewe๐Ÿ˜‚
Dad : Huyu alipenda msichana ju kwao kuna pesa..i know carl very well he's like a parasite..watakula pesa zote wauze hio gari then apotee
Me : Aii dad mi sio conman๐Ÿ˜‚
Jaden : You are one bro๐Ÿ˜‚..what happened before utoke hapa unakumbuka?
Dad : We gave you a lot of money to start anything you wish ukapotea nazo
Me : Dad nilikua na stuffs mob sana na mlikua mumenieka pressure
Jaden : Bro hapo haukufanya fiti
Me : I'm sorry manze lakini i changed my life unaona.. you still a doctor?
Jaden : Yeah i have my own clinic by the way
Me : Wow that's good..what about Ayra?
Dad : Huyo anafanya upuzi huko Nairobi bure kabisa

TO BE CONTINUED ๐Ÿ”ฅ
VIBES & WINES ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช
โค๏ธ SECRETS โค๏ธ Season 03 ๐Ÿ”ฅ Episode 46๐Ÿ”ฅ. Me : Mum, dad meet my girlfriend Stesh Stesh : Your pregnant girlfriend i mean๐Ÿ˜‚ Mum : ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚akipata mimba sio girlfriend tena she's your wife son๐Ÿ˜‚ Dad : Like father like son๐Ÿ˜‚ Mum : Hio sasa imetoka wapi๐Ÿ˜’ Dad : Ooh aahโ€ฆ
โค๏ธ SECRETS โค๏ธ
Season 03 ๐Ÿฆ‹

Episode 47๐Ÿ”ฅ

Jaden : No dad she's into modelling and it's paying ๐Ÿคจ.. recently amekua USA..two months ago she was in Asia
Dad : Hapana.. modelling promotes immorality I wanted her to be a doctor, a nurse ama kitu ingine ya maana..Carl, Amber na Ayra ndio watu vichwa maji kwa hii familia
Me : Dad i changed..now I'm running a company dad.. Ayra on the other hand naona ako tu sawa she's after her passion..mtu inafaa aongeleshwe ni Amber ๐Ÿ’”
Jaden : Carl ako right dad.. unajua Ayra has been complaining that you hate her
Dad : No I don't.. alafu sasa wewe unaoa ama unataka kukua kama huyu Jaden..Jade hawezi kaa na mwanamke moja..leo ni huyu kesho ni ule
Jaden : Dad hio ilikua kitambo.. I have a kid now
Me : You have a kid?๐Ÿ˜ณ
Jaden : Yeah๐Ÿ˜‚
Dad : Two kids.. different mothers ambia ndugu yako ukweli
Me : Bro you need to settle๐Ÿ˜‚
Jaden : I settled man
Dad : When?..hii mwaka ameleta three different girls for introduction and we are tired sasa kama Carl umeamua ni huyu wacha ikue huyu mambo mingi wachana nayo sijui hii tabia mlitoa wapi๐Ÿ’”
Me : So ulisema like father like son๐Ÿ˜‚

Tukachill pale na mzae akatutusi kila kitu akaturoast tukaingia kwa hao๐Ÿ˜‚. Ayra alikua kitchen na Stesh

Mum : So when is the wedding?
Me : Ako na ball already mum
Mum : I asked you a question ๐Ÿ˜’
Me : Hatutaki wedding mum we are okay
Mum : What about her family?
Me : Wanata wedding
Mum : Prepare..
Me : Mum zii mi siwezi vaa suti ati..
Amber : I want to see her in a wedding gown๐Ÿ˜Š
Dad : Yeah na keki lazima nikule hii mchezo yenu ya kuleta hapa some girls then mnapotea miaka tisa ikome watu waoe wazae watoto tunataka wajukuu.. don't be like Ayra ananiambia hana bwana na hataki watoto.. wasted
Mum : That's your eldest daughter..choices zake ni zake this is a different generation
Amber : Yes mum you are right
Me : Right?.. Amber haifai uchangie hii conversation we need to talk by the way
Amber : Okay

Nikaingia kitchen na Amber nimpee advice mbili tatu๐Ÿ˜‚. After hapo nikapatana na big siz pale kitchen

Me : Siz
Ayra : Yees๐Ÿ˜Š
Me : You don't look happy
Ayra : It's dad..manze ako against everything i do
Me : Assume him yeye sahi ni old school why do you care..i mean look at me๐Ÿ˜‚.. I'm back๐Ÿ˜‚
Ayra : Stop cheating on her Carl
Me : Nani?
Ayra : Stesh.. she's the best you'll ever have mbona ufanye hivo..unataka kukua kama Jaden?๐Ÿ˜‚
Me : Siz we don't need to talk about this
Siz : I'm your big siz hata kama tunafatana๐Ÿ˜‚.. advice lazima

Phone ikaring. Kuangalia ni number flani hapo weird inaanza na 8

Me : Hello
"Carl ni Denno"

TO BE CONTINUED ๐Ÿ”ฅ
Forwarded from Jude Bellingham
๐—›๐—ผ๐˜„ ๐—ผ๐—น๐—ฑ ๐—ฎ๐—ฟ๐—ฒ ๐˜†๐—ผ๐˜‚?
VIBES & WINES ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช
โค๏ธ SECRETS โค๏ธ Season 03 ๐Ÿฆ‹ Episode 47๐Ÿ”ฅ Jaden : No dad she's into modelling and it's paying ๐Ÿคจ.. recently amekua USA..two months ago she was in Asia Dad : Hapana.. modelling promotes immorality I wanted her to be a doctor, a nurse ama kitu ingine ya maana..Carlโ€ฆ
โค๏ธ SECRETS โค๏ธ
Season 03 semi Finale๐Ÿ‚

Episode 48๐Ÿ”ฅ

Nikashindwa kwani Denno ananicall na phone ya Uganda ama ya wapi๐Ÿ’”. Na kwani hakushikwa?๐Ÿ™†. Huyu jamaa kama hayuko ndani inabidi nimehama

Me : What's up kwani kunaendaje
Denno : Niko prison..we need to talk
Me : About?..uliniseti mzee hatuwezi patana hio ni set-up
Denno : It's urgent..the earlier you come the better

Jamaa akanishow prison ako na akasema nifike huko with immediate effect. Tukadoz hio day home. Tukapanga stuff na wedding tho i was against it๐Ÿ˜‚. The following day morning nikachomoka nikarudi mtaa

Stesh : I'm sorry.. niliambia siz yako
Me : Beb private matters kama hizo mtu hua hasemi
Stesh : Your siz looks reasonable that's why i told her aliniambia hio tabia haujaanza sahi๐Ÿ’”
Me : Whaat?๐Ÿ˜
Stesh : Seems like wewe na bro yako ni ngumu kusettle kwa relationship marriage utawezana kweli Carl?..mimi staki mtu ataniwacha single mother
Me : I can't do that beb count on me.
Stesh : I'll try
Me : Okay beb si nifike mahali hivi kiasi narudi
Stesh : Okay..i hope you are not going to see Loise
Me : Sasa aje

Nikaingia dinga nikachoma lami vibaya sana hadi kwa ile prison. Sasa sijui Denno anadai kunishow nini๐Ÿ’”. Nikadunda pale nikapeana information akaitwa. Nika imagine pia mimi ningekua hapa ndani๐Ÿ˜‚๐Ÿ’”. Denno akaingia

Denno : Heard that my bro was killed ๐Ÿ’”
Me : Jooh
Denno : Carl nilikushow Jessy was a snake sahi ona bro wangu amededi
Me : Siko involved kwa hio
Denno : Hapa ndani niko safe hata kuliko huko nje.. Jessy hangeniwacha hai
Me : You wanted this man ni wewe ulijiletea hii shida yote
Denno : Sina regrets Carl kwanza hapa nafeel niko home.. unajua before nikuje kwa hio kampuni nilikua nimetoka jela..nimezoea..huko nje pia Ras hangeniwacha ju nilitoboa siri๐Ÿ’”
Me : Of course
Denno : Jessy alikua anapenda Damian ju ya doo..na nilikua nimeambia bro wangu Jessy will be the end of him akaniona ni kama nataka manzi yake ona sasa he's no more.. unajua kwetu tulikua tu wawili mimi na Damian..now we are wasted..amededi na mimi niko prison.. consequences Carl.. Jessy hakuna penye anaenda.. she'll pay for what she has done..najua sahi anahepa lakini payback inakuja.. naweza kua prison lakini niko more connected huko nje๐Ÿ’”
Me : Bro hizi ni kelele tu unapiga
Denno : Wachana nayo..by the way kuna jamaa hapa ndani niliwaambia story ya Ras wakasema Ras is not a person... it's an organization controlled by cartels๐Ÿ’”

TO BE CONTINUED ๐Ÿ”ฅ