Assalāmu ‘alaykum warahmatullāhi wabarakātuh.
Jioni njema yenye baraka kwenu nyote. Katika siku hii tukufu ya Eid, nawatakia furaha , amani na mafanikio yenye kheri katika kila mnachokifanya.
Mwenyezi Mungu azikubali ibada zetu, azisamehe dhambi zetu, na atujaalie maisha yenye utulivu, upendo na mshikamano.
Eid Mubārak kwenu na familia zenu 🤍
🙏 🌄 ☺️ 💓 ✨️ 💛

1❤4🔥1
ISHARA 6 ZA MWANAMKE ANAYE DATE NA WEWE TU
1📌Yeye huwa yupo na wewe muda wote,
Hatoweki ghafla kwa muda mrefu. Huhitaji kujiuliza yuko wapi kwa siku kadhaa. Hukupigia au kukutumia ujumbe mara kwa mara kwa sababu hayuko busy kuongea na wanaume wengine.
2📌Hakutafuti tu usiku wa manane au kwa kujificha,
Yeye huwa huru kuwa na wewe muda wowote. Hafichi simu wala mazungumzo. Anataka uwe sehemu ya maisha yake ya kila siku.
3📌Anakutambulisha,
Kama anadate na wewe tu, hatakuficha. Atakutambulisha kwa familia yake, marafiki wake wa karibu na hata wafanyakazi wenzake.
4📌Hutumika neno “sisi”,
Anapoongea kuhusu maisha ya baadaye hata kama ni mwezi ujao, hutumia “sisi” badala ya “mimi”. Anakujumuisha kwenye mipango yake ya baadaye.
5📌Hafichi kitu chochote kwako,
Hafichi simu wala mazungumzo. Anakuwa huru kabisa unapokuwa naye.
6📌Anakuwa na furaha kukuona,
Yeye huwa anafurahia sana uwepo wako karibu naye.

1❤9🔥1
Habari! Umechoka na muwasho usioisha hasa usiku?
Inaweza kuwa UPELE (Scabies). Nimeweka video mpya YouTube nimeelezea dalili zake, jinsi unavyoambukizwa, na tiba ya haraka.
Usikae na mashaka. Tazama hapa
Share na familia yako.
https://youtu.be/lb-VS-fZK5s

🌹🌹TUJIFUNZE SOMO FUPI LA MAISHA🧏🏽♀️📚🌹🌹
🌹 Marafiki wa kweli ni kama
Nyota.Utawatambuwa wakati
Giza linapoingia.
*___*
🌹✓ Hakuna anae kuzuia kukua,
Kusonga mbele au kuchanua
Kama tu ukiamua ndani
ya Moyo wako.
*____*
🌹✓ Ukiona Kila kitu
kinachokuzunguka ni giza ujue
wewe ndiyo nuru.
*___*
🌹✓ Ukishinda vita vya nafsi
Yako hakuna atakae kushinda.
*__*
🌹✓ Watu watakupenda
kwasababu fulani ila ni Mungu
Tu ndiye anakupenda bila
sababu.
*__*
🌹✓ Usilazimishe mahusiano
na watu.Watu sahihi kwako
watakuja tu wenyewe maishani
mwako.
*_*
🌹✓ Kila kitu unachowafanyia
wengine jua tu na wewe ipo
siku utafanyiwa hata kama
sio leo wala kesho.
*____*
🌹✓ kuwa makini na makosa
madogo madogo.Maana
matundu madogo ndiyo
huzamisha meli.
*_*
🌹✓ Mafanikio sio tu pesa.
Huwezi kuitafuta au kuiwaza
kila siku pesa maishani mwako
lasivyo utakuwa mtumwa.
*____*
🌹 Marafiki wa kweli ni kama
Nyota.Utawatambuwa wakati
Giza linapoingia.
*___*
🌹✓ Hakuna anae kuzuia kukua,
Kusonga mbele au kuchanua
Kama tu ukiamua ndani
ya Moyo wako.
*____*
🌹✓ Ukiona Kila kitu
kinachokuzunguka ni giza ujue
wewe ndiyo nuru.
*___*
🌹✓ Ukishinda vita vya nafsi
Yako hakuna atakae kushinda.
*__*
🌹✓ Watu watakupenda
kwasababu fulani ila ni Mungu
Tu ndiye anakupenda bila
sababu.
*__*
🌹✓ Usilazimishe mahusiano
na watu.Watu sahihi kwako
watakuja tu wenyewe maishani
mwako.
*_*
🌹✓ Kila kitu unachowafanyia
wengine jua tu na wewe ipo
siku utafanyiwa hata kama
sio leo wala kesho.
*____*
🌹✓ kuwa makini na makosa
madogo madogo.Maana
matundu madogo ndiyo
huzamisha meli.
*_*
🌹✓ Mafanikio sio tu pesa.
Huwezi kuitafuta au kuiwaza
kila siku pesa maishani mwako
lasivyo utakuwa mtumwa.
*____*
❤5👍1
Furaha haitokani na kile ulicho nacho… bali namna unavyochagua kufikiri kuhusu kile ulicho nacho.
Wengine wana kila kitu lakini hawana amani, na wengine wana kidogo lakini wana furaha ya kweli.
Akili yako ndiyo chanzo ukijifunza kuthamini, kukubali, na kuishi sasa, furaha inakuwa sehemu yako, si kitu cha kusubiri.
Kwa sababu furaha si mahali pa kufika… ni hali unayochagua kuishi nayo kila siku.

1❤3🔥3
`Kwa vijana ambao HAWAJAOA au kuolewa
Wakati sahihi ukifika, kila kitu kitakaa mahali pake.
Usikimbie mahusiano kwa sababu ya maumivu ya zamani… tumia maumivu hayo kujifunza, sio kujifungia moyo.
Focus kwenye malengo yako, lakini usiue uwezo wako wa kupenda na kuamini watu.
Upweke ukiutunza sana unaweza kugeuka tabia, na mwisho ukaanza kuona kila anayekusogelea ni usumbufu.
Sio kila mtu anayekuja kwenye maisha yako anakuja kukuumiza… wengine wanakuja kukuponya 🥺
Jifunze kuwa busy kwa maendeleo, sio busy kwa kukimbia hisia zako.
Mwanaume wa kweli sio anayeficha feelings zake muda wote… bali anayejitambua na kujijenga bila kupoteza utu wake.
Na mwisho… usikubali tamaa ya muda mfupi ikaharibu future yako ya kudumu.
Discipline nayo ni upendo kwa maisha yako mwenyewe

1🔥4
Wakati mwingine unafikiri msaada wako ni mdogo
Lakini kwa mtu mwingine unaweza kuwa sababu ya kutabasamu tena kupata nguvu, au kuendelea kuishi kwa matumaini.
Usidharau maneno mazuri, moyo wa huruma, au kusaidia mtu kimya kimya.
Mema hayapotei huacha alama kwenye maisha ya watu hata kama huioni mara moja.

❤5👍2🥰1
*Anguko kubwa la wanaume wengi wanaojitafuta ni kushindwa kudhibiti tamaa zao.*
Wengine huanza safari ya mafanikio wakiwa na maono makubwa, lakini njiani hupoteza mwelekeo kwa kukimbizana na wanawake wengi badala ya kujenga ndoto zao.
Mwanaume mwenye maono hujenga thamani yake kwanza. Anajua kuwa mafanikio yanahitaji nidhamu, umakini, na uwezo wa kusema hapana kwa vitu vinavyopoteza muda na nguvu.
Usiruhusu tamaa ya muda mfupi iharibu maisha ambayo ungeweza kuyajenga kwa miaka mingi.
*Kama haujaelewa niambie nipunguze sauti 😅🙏

❤4🔥2🥰1
Maumivu yana uwezo wa kufanya kila kitu kionekane hakina matumaini. Lakini hisia za leo si utabiri wa maisha yako ya kesho.
Wakati mwingine kipindi kigumu unachopitia si mwisho wa safari yako, bali ni sehemu ya kukujenga kuwa imara zaidi.
Endelea kupambana. Endelea kuamini. Maumivu ni ya muda, lakini ukiamua kutokata tamaa, kesho yako bado ina nafasi ya kuwa bora kuliko jana.
*Usiruhusu maumivu ya muda mfupi yaibe ndoto ya maisha yako yote.*

❤7