TIME'S FOREX
1.66K subscribers
2.6K photos
174 videos
24 files
669 links
πŸ“ˆ | Free Trading Tips & Market Analysis
Disclaimer: Content shared here is for educational purposes only and should not be considered financial advice. Trading involves risk, and past performance is not indicative of future results trade responsebly
Download Telegram
Usdjpy setup
❀1
Wale wote tuliochukua USDJPY pips 40 move sl to entry
You missed me I will be back on Monday
Forwarded from THE MAN HIMSELF PREMIUM
Nasdaq au US100 KUNA SELL SETUP KWENYE 1HOUR JAPO NI RISK

TUKISUBIRI 4H ICONRFIM ITAKUWA POA ZAIDI BUT SL INAWEZA IKAWA IMEONGEZEKA


RISK TRADE SELL NOW SL PIPS 100. @25143.05
Forwarded from THE MAN HIMSELF PREMIUM
THE MAN HIMSELF PREMIUM
Photo
Tayari tuna more than 100pips drop
More pips to come ndo safari imeanza
Forwarded from THE MAN HIMSELF PREMIUM
Forwarded from THE MAN HIMSELF PREMIUM
Eurusd setup
πŸ”₯1
Forwarded from THE MAN HIMSELF PREMIUM
Kesho CPI saa tisa na nusu

Angalia time zone yako vizuri kwa wale ambayo hawapo East Africa
Hakikisha umepitia hii post na umesoma caption Pele Instagram

https://www.instagram.com/p/DWRPae7iDHc/?igsh=MTlneWp2NGd3OGRzag==
Forwarded from THE MAN HIMSELF PREMIUM
smell of money,i will make a lot of money

trust me or not
Forwarded from THE MAN HIMSELF PREMIUM
THE MAN HIMSELF PREMIUM
smell of money,i will make a lot of money trust me or not
ahead of nfp news on friday


below is my broker to use for news


1 : https://my.roboforex.com/en/?a=mhbvx

it can allow you to take trade 1 min before news with 1:2000 leverage


2: https://headway.partners/user/signup?hwp=65d6ba


3. https://affs.click/Gpb8p

reason for using this broker it’s best now and easy website to use even for beginners


see you on friday, lets trade together and make money
β€œ$50, $100 au $200 haziwezi kubadilisha maisha.”

Najua ukisikia hii kauli inaweza kukupandisha sukari kidogo, so naomba nikueleweshe vizuri.

Inawezekana kabisa.

Ila sio kwa ile njia ya haraka au ya moja kwa moja ambayo wengi wanatarajia.

Tatizo sio kiasi cha pesa.

Tatizo ni expectation na approach.

Kiasi kidogo kama hicho hakiwezi kukutajirisha haraka kwa sababu:

1. Risk management inakubana.

Kama uko disciplined kweli, unarisk 1–2% per trade.

Kwa account ya $100, unaongelea risk ya $1 mpaka $2.

Hata ukipata wins mfululizo, growth yake itakuwa ndogo sana kwa muda mfupi.

Sasa jiulize:

Je, gharama zako za maisha zinaweza kuwa covered na $5 mpaka $10 kwa mwezi huku bado unaendelea kukuza account?

Mara nyingi jibu ni hapana.

2. Pressure ya kutaka matokeo makubwa haraka.

Watu wengi wanachoma account ndogo sio kwa sababu trading haiwezekani, bali kwa sababu wanataka $100 iwe $1,000 ndani ya siku chache.

Hapo unaacha system.

Unaanza kubet.

Na kwenye kubet, ni wachache sana wanabaki salama kwa muda mrefu.

3. Leverage inakudanganya.

Leverage inakufanya uone kama unaweza kufanya makubwa ndani ya muda mfupi.

Lakini reality ni hii:

Leverage inaweza kukuharibia account faster kuliko inavyoweza kukuza account yako, kama huna mindset sahihi ya kuitumia.

Sasa point yangu ni hii:

Kama unaweza kui-maintain hiyo $50, $100 au $200 bila kuiblow, hapo ndipo maisha yanaanza kubadilika.

Sio kwa sababu ya hiyo pesa.

Bali kwa sababu ya identity unayojenga kama trader.

Kwa nini?

Kwa sababu account ndogo inakulazimisha kujifunza vitu muhimu:

1. Consistency, kitu ambacho hata baadhi ya watu wenye $10,000 hawana.

2. Discipline ya risk management.

3. Data halisi ya performance yako, sio fantasy.

4. Control ya emotions kama greed, fear na revenge trading.

Hiyo pesa ndogo haipo kukutajirisha leo.

Ipo kukufundisha skill ya kutengeneza pesa kesho.

Na ukweli ni huu:

Trader anayeweza ku-manage $100 vizuri ana uwezo wa ku-manage $100,000 vizuri.

Lakini trader anayeblow $100 kwa kukosa discipline, atablow hata $10,000.

So yesβ€”

$50, $100 au $200 haziwezi kukutajirisha moja kwa moja.

Lakini zinaweza kukujenga kuwa mtu ambaye baadaye ataweza kutajirika.
❀1πŸ‘1
Am back