OBBY
Kuna mengi yanaongelewa kuhusu papa mweusi lakini ukweli kulingana na kanisa katoliki papa mweusi ni kiongozi tu wa shirika la yesu kristo, Jesuit. Nafasi ambayo kwa sasa inashikwa na Arturo Sosa.
Marehemu papa Francis alikua ndie papa wa kwanza kutoka kwenye shirika la Jesuit na kua papa. Wengi wa washauri wake walikua ni members wa Jesuits .
Kuhusu nani ananguvu kumzidi mwengine nadhani ni Vatcan wenyewe ndo wanao jua

Mfalme👑🇹🇿
Enemy of Africa is Africans themselves. https://twitter.com/AfricanHub_/status/1914023421274374482#m

Paul Bonaventure
Kardinali Robert Sarah, Mtumishi wa Mungu kutoka Moyoni mwa Afrika.
Karibu na milima ya Guinea, katika kijiji kidogo kiitwacho Ourous, mtoto alizaliwa mnamo tarehe 15 Juni 1945.
Alipewa jina la Robert Sarah, jina ambalo baadaye limepewa heshima na hofu kubwa ndani ya mipaka ya Kanisa Katoliki duniani.
Wazazi wake walikuwa wakulima wa kawaida, wakimlea kwa maadili ya unyenyekevu, maombi, na heshima kwa kazi.
Tangu akiwa mdogo alionyesha dalili za kuwa mtu wa rohoni. Alipenda utulivu, kusali kwa bidii, na mara nyingi alionekana kanisani hata nje ya saa za ibada.
Haya yote yalikuwa kama mafunzo ya kimya kimya ya safari yake ndefu na takatifu.
Akiwa na miaka 11 tu, alijiunga na seminari ya kwanza. Aliendelea na masomo ya theolojia na falsafa nchini Senegal, Ufaransa, na baadaye Roma.
Alipofikia umri wa miaka 34, aliteuliwa kuwa Askofu Mkuu wa Conakry na hapo akaweka historia kama askofu mwenye umri mdogo zaidi duniani wakati huo.

Karibu kwenye darasa la Meditation ujifunze na kujua mambo mbalimbali kukuhusu.
Utajifunza namna Meditation inavyo badilisha maisha yako ndani ya muda mfupi na kuongeza uelewa wako wa ndani.
Njoo Inbox nikupe utaratibu wa kujiunga na darasa hili la kipekee.
.

Alichukuliwa kama "ngome ya imani" wakati wa utawala wa kiimla wa Ahmed Sékou Touré, ambapo makanisa yalifungwa na waumini kuonewa.
Askofu Sarah alisimama kidete kama mlinzi wa imani na mtetezi wa haki, bila kuogopa vifungo, vitisho au mateso.
Mnamo mwaka 2001, alipelekwa Vatican na kuteuliwa kuwa Katibu wa Baraza la Kipapa la Uinjilishaji wa Watu.
Lakini nafasi yake ya kihistoria ilikuja mwaka 2010, alipoteuliwa na Papa Benedict XVI kuwa Kardinali.
Na baadaye akawa Mkuu wa Kongamano la Ibada Takatifu na Nidhamu ya Sakramenti, miongoni mwa nafasi za juu kabisa kwenye Kanisa Katoliki.
Katika wadhifa huu, Kardinali Sarah alisimama imara kama mtetezi wa ibada ya kiorthodox (kama vile misa ya Kilatini).
Akisisitiza utakatifu, unyenyekevu na heshima kwa Mungu katika kila tendo la kiibada.

Wengine, hasa wale wa mitazamo ya kisasa zaidi, wanahofia msimamo wake mkali kuhusu masuala ya imani na maadili.
Lakini jambo moja liko wazi, Sarah ana moyo wa kiaskofu wa kweli. Ana upendo kwa watu wa Mungu. Na anayo hofu ya Mungu isiyo na kificho.
Ikiwa Peter Turkson ni kioo cha haki ya kijamii na maendeleo ya watu, basi Robert Sarah ni alama ya ibada, unyenyekevu, na msimamo wa kiimani.
Wote wawili, kutoka bara lenye historia ya mateso na matumaini, wanaendelea kuonyesha kuwa Afrika ina sauti ndani ya Ukristo wa dunia.
Na katika harakati za kumtafuta Papa mpya, dunia inatazama, Je, ni wakati wa Afrika? Je, ni wakati wa Sarah?
Tukio hilo likitokea, basi historia haitabadilishwa tu, bali roho ya dunia itapata pumzi mpya ya kiroho kutoka barani Afrika.

Kardinali Sarah ni kama sauti ya nabii wa kale, anayeikemea dunia ya kisasa bila uoga.
Ameandika vitabu vikali kama “God or Nothing”, “The Power of Silence”, na “The Day is Now Far Spent”, ambavyo vimegusa mamilioni ya wasomaji duniani.
Katika vitabu hivyo, ameonya juu ya hatari ya ulimwengu kupoteza maadili, ameikemea dhambi ya ubinafsi wa kisasa, na ametoa mwito kwa Kanisa kurudi kwenye mizizi ya kweli ya injili.
Anaamini kuwa Kanisa linapaswa kuwa kama taa juu ya mlima, si kutafuta sifa za dunia, bali kuwa taa ya wokovu kwa walio gizani.
Kwa miaka kadhaa sasa, Kardinali Robert Sarah ametajwa mara kadhaa kuwa mmoja wa wagombea wakuu wa nafasi ya Papa.
Wapo wanaomuunga mkono kwa nguvu, wakiamini kuwa yeye ni mtu sahihi wa kuliongoza Kanisa katika enzi ya changamoto za kimaadili na kiimani.
Wanaompenda wanasema: “Huyu ndiye Mtakatifu wa kweli. Mnyenyekevu, mcha Mungu, na asiye na mchezo na mambo ya dunia.”

Papa huyu alileta mapinduzi ya huruma ndani ya Kanisa.
Alitetea masikini, alikemea ufisadi, alilaani unyonyaji wa mazingira, na akaonyesha moyo wa kibinadamu hata kwa wale waliotengwa na jamii.
Aliamini katika Kanisa la watu, si la mamlaka. Na kupitia maisha yake ya unyenyekevu, alionyesha kuwa ukuu si sauti kubwa, bali ni kusikiliza walio kimya.
Wakati Vatican ikiandaa kila kitu kwa mazishi hayo ya kihistoria, dunia inasubiri kwa heshima na maombi.
Jeneza lake litasafirishwa kwa heshima zote, likipitia njia alizopitia mara nyingi akiwahubiria watu, na hatimaye kuzikwa ndani ya maeneo ya Kanisa la Mtakatifu Petro, pembeni mwa makaburi ya mapapa waliotangulia.
Huu si mwisho wa hadithi ya Papa Francis. Ni mwanzo wa kumbukumbu isiyokufa, kwa mtu aliyeishi kama kiongozi, lakini akapendwa kama baba.
Na wakati pazia la historia likishuka taratibu, dunia itasubiri kwa shauku kujua. Ni nani atarithi viatu hivi vikubwa?
Papa huyu alileta mapinduzi ya huruma ndani ya Kanisa.
Alitetea masikini, alikemea ufisadi, alilaani unyonyaji wa mazingira, na akaonyesha moyo wa kibinadamu hata kwa wale waliotengwa na jamii.
Aliamini katika Kanisa la watu, si la mamlaka. Na kupitia maisha yake ya unyenyekevu, alionyesha kuwa ukuu si sauti kubwa, bali ni kusikiliza walio kimya.
Wakati Vatican ikiandaa kila kitu kwa mazishi hayo ya kihistoria, dunia inasubiri kwa heshima na maombi.
Jeneza lake litasafirishwa kwa heshima zote, likipitia njia alizopitia mara nyingi akiwahubiria watu, na hatimaye kuzikwa ndani ya maeneo ya Kanisa la Mtakatifu Petro, pembeni mwa makaburi ya mapapa waliotangulia.
Huu si mwisho wa hadithi ya Papa Francis. Ni mwanzo wa kumbukumbu isiyokufa, kwa mtu aliyeishi kama kiongozi, lakini akapendwa kama baba.
Na wakati pazia la historia likishuka taratibu, dunia itasubiri kwa shauku kujua. Ni nani atarithi viatu hivi vikubwa?
Paul Bonaventure
Karibu kwenye darasa la Meditation ujifunze na kujua mambo mbalimbali kukuhusu.
Utajifunza namna Meditation inavyo badilisha maisha yako ndani ya muda mfupi na kuongeza uelewa wako wa ndani.
Njoo Inbox nikupe utaratibu wa kujiunga na darasa hili la kipekee.
.
.
Karibu kwenye darasa la Meditation ujifunze na kujua mambo mbalimbali kukuhusu.
Utajifunza namna Meditation inavyo badilisha maisha yako ndani ya muda mfupi na kuongeza uelewa wako wa ndani.
Njoo Inbox nikupe utaratibu wa kujiunga na darasa hili la kipekee.
.
.
Miongoni mwa makardinali hao ni majina makubwa kama Peter Turkson kutoka Ghana na Robert Sarah kutok
🧵 Thread • FxTwitter
Paul Bonaventure (@Phbhimself)
Miongoni mwa makardinali hao ni majina makubwa kama Peter Turkson kutoka Ghana na Robert Sarah kutoka Guinea.
Wanaotajwa miongoni mwa wagombea wanaoonekana kuwa na nafasi ya kuchukua nafasi hiyo tukufu.
Kutoka Afrika Mashariki, Kadinali Polycarp Pengo (mstaafu)…

Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Nimepata heshima kubwa kama mwana historia kuhojiwa na kituo cha redio cha Bongo FM! Tulijadili historia ya Tanzania, matukio muhimu yaliyobadilisha taifa letu, na nafasi ya vijana katika kuitunza na kuieneza historia. Ilikuwa ni mazungumzo ya kina na yenye kufungua fikra. #lordnicky #tanzania #kenya #uganda #zanzibar #rwanda #lordnicky
Mwalimu Google TV:
URUSI YAIFUATA MAREKANI KWENYE "VICHOCHORO" VYAKE.
https://www.youtube.com/watch?v=4GOn7z-D02w

YouTube
URUSI YAIFUATA MAREKANI KWENYE "VICHOCHORO" VYAKE.
SupaPawa ni kuitawala BAHARI na ANGA
#mwalimugoogletv
#elimikausiwemsomi
#mwalimugoogletv
#elimikausiwemsomi
Paul Bonaventure
Kama atachaguliwa, atakuwa Papa wa kwanza Mwafrika katika karne ya sasa, na ishara kubwa ya Kanisa kufungua milango kwa bara lililotoa mchango mkubwa katika ukuaji wa Ukristo.
Kardinali Robert Sarah - Guinea
Mwenye sauti ya upole lakini ujumbe wa nguvu, Kardinali Sarah alizaliwa mwaka 1945 huko Ourous, Guinea.
Ana sifa ya kuwa mtu mwenye msimamo wa kihafidhina, hasa katika masuala ya liturujia (taratibu za misa) na maadili.
Alikuwa mkuu wa Baraza la Kipapa la Ibada na Nidhamu ya Sakramenti hadi alipostaafu mwaka 2021.
Ingawa anahesabiwa kuwa miongoni mwa makardinali wastaafu, ushawishi wake bado ni mkubwa.
Wengi humuona kama chaguo la kurudisha Kanisa kwenye mizizi ya kimapokeo ambako heshima, kimya na utakatifu vinatawala zaidi ya mageuzi.

Kardinali Matteo Zuppi - Italia
Huyu ni kipenzi cha wengi kwa sasa.
Akiwa Askofu Mkuu wa Bologna na Rais wa Baraza la Maaskofu wa Italia, Zuppi ni kati ya wachache waliowahi kuwa karibu sana na Papa Francis.
Anapenda kueleweka kama Papa wa watu, ni mpenda amani, na mwepesi wa kujenga madaraja kati ya makundi yanayopingana.
Zuppi aliongoza juhudi za Vatican za kupatanisha Ukraine na Urusi, na anaonekana kuwa na ujuzi mzuri wa kidiplomasia, jambo ambalo linaongeza nafasi yake kuwa kiongozi wa kiroho wa dunia nzima.
Kardinali Luis Antonio Tagle - Ufilipino
Tagle ni mmoja wa makardinali wachanga, mwenye mvuto mkubwa na sura inayopendwa na vijana.
Akiwa amewahi kuongoza Caritas Internationalis, taasisi ya misaada ya Kanisa.
Tagle anahesabiwa kama daraja kati ya Ulaya, Asia, na Dunia ya Tatu.
Ana wasifu mzuri wa kiacademia, upole wa ajabu, na moyo wa huduma. Wengi humfananisha na Papa John Paul II kwa namna alivyo na mvuto wa kimataifa na mpenzi wa vijana.