Fortunatus Buyobe
Kwa nini nguo za Damascene zilifuliwa na kuanikwa na mtu wa ajabu usiku?
Bunduki 60 ndani ya nyumba ya Mwl. Leonard zilitoka wapi?
Karatasi nyeupe yenye alama ya waasi wa RPF ilijikutaje chumbani kwa Mwl. Leonard
Where are they?
Parents, Imaculèe, Vianney and Damascene?

BONGO FASTA:
HUWEZI AMINI WATU WALIKUWA WANAVAA GLOVES ZENYE CHUMA NA MISUMARI, ILIKUA BALAA, HII NDIO HISTORIA
https://www.youtube.com/watch?v=sJWlcu1lmXE

YouTube

This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM

Mfalme👑🇹🇿
3. Lala
Usitarajie kuwa na testosterone ya kutosha kama hupati usingizi wa kutosha usiku.
Testosterone huzalishwa zaidi ukiwa umelala hasa kama utafanya mazoezi asubuhi.
Hakikisha unalala masaa 7+ kila usiku.
Wengi hawajui jinsi ya kupata usingizi bora.
- Acha kutumia mwanga wa blue light (kifaa chochote) saa moja kabla ya kulala.
-Kula vyakula vinavyoongeza melatonin kama ndizi saa moja kabla ya kulala

4. Tawala stress.
Najua ni ngumu kuepuka stress.
Hasa unapokuwa kijana na unataka kupata kila kitu maishani kwa mara moja.
Stress nyingi hupelekea testoaterone kushuka.
Wengi hawajui jinsi ya kuondoa stress.
-Fanya meditation kila asubuhi kwa dakika 10
-Andika kuelezea hisia zako na malengo jinsi unavyojisikia
-Jaribu kushukuru haijalishi maisha yako yamejaa stress kiasi gani
Hizi ndio hatua za kuongeza testosterone.
Niamini mimi, utajishukuru.
Nifollow @MfalmewaX1

Mwanaume anaweza kuongeza vipi Testosterone?
Kulinganisha na mwaka 1999 testosterone imeshuka kwa 25%.
Baada ya miaka 40+ testosterone kwa wanaume hupungua zaidi:
Kuna njia 4 rahisi za kuongeza testosterone;
1. Kula vyakula vya afya.
Sukari ni chanzo namba moja cha kushuka kwa testosterone—kisukari & unene.
Kula protini na mafuta mazuri itasaidia kuongeza uzalishaji wa testosterone.
Kula vyakula vyenye zinc na vitamin D.
Protini-Kama mayai, nyama, kuku
Mafuta mazuri- Kama kiini cha yai, parachichi, samaki & nuts kila chakula
Zinc-Kama nyama, oyster & mbegu za maboga
Vitamin D - Kama mwanga wa jua na mayai.

2. Fanya mazoezi
Ni muhimu kuongeza testosterone.
Testosterone hupungua sana kama huna misuli,
Ukiwa na upungufu wa misuli maana yake utakuwa na mafuta mengi.
Fanya mazoezi x3-5 kwa wiki.
Fanya resistance -weight & calisthenics
Fanya cardio - tembea, ogelea, kimbia
Usifanya mazoezi kupitiliza huongeza cortisol ambayo ni stress.
Stress hushusha testosterone.
Resistance hukuongezea misuli na cardio kuondoa mafuta.
Usifanye mazoezi ya cardio sana itakufanya upoteze mafuta na misuli pia.
Kujenga misuli unahitaji kula protini zaidi na kufanya resistance training.
Kupunguza mafuta tembea na acha kutumia sukari.
Mazoezi huchosha, hivyo usipuuzie namba 3.

Davistar Mata Media:
HUSNA ALIEINGIZWA KWENYE UCHAWI NA KUJIKUTA AKIONA JINSI WATOTO WACHANGA WANAVYOLIWA NYAMA
https://www.youtube.com/watch?v=hd2MkC41sfk

Paul Bonaventure
Unapofikiria nchi tajiri, Korea Kusini mara nyingi huingia kwenye orodha.
Wana teknolojia ya hali ya juu, makampuni makubwa kama Samsung, Hyundai, na LG, na wana uchumi wa viwanda unaoshindana na mataifa ya Magharibi.
Lakini unaposogea kwenye suala la fedha, unaweza kushangaa. Pamoja na maendeleo yao yote, thamani ya fedha ya Korea Kusini haipo mbali sana na ile ya Tanzania.
Katika nchi nyingi zilizoendelea, ukiwa na shilingi milioni 10 za Tanzania na ukaenda Marekani, Uingereza, Ujerumani, au Japan, utashangaa jinsi unavyoweza kuzitumia haraka bila hata kujua zilienda wapi.
Lakini ukiwa na hizo milioni 10 na ukaenda Korea Kusini, bado utajiona kama milionea.
Kwa mfano, Tsh 20,000 ni sawa na won 12,000 za Korea Kusini.
Vitu vinanunulika kwa bei ambayo inakaribiana na ile ya nyumbani, na bado unaweza kuishi maisha ya kifahari kwa muda mrefu kuliko ukiwa Ulaya au Marekani.

Kwa mtazamo wa nje, unaweza kudhani kuwa thamani ndogo ya fedha inamaanisha kwamba Korea ni masikini, lakini huo si ukweli.
Korea ina pato kubwa la taifa (GDP) kwa sababu ya viwanda vikubwa.
Wastani wa kipato cha Mmarekani au Mwingereza ni mkubwa zaidi ya Mkorea wa kawaida, lakini gharama za maisha Korea zinafanana na Afrika, hivyo bado wanaweza kuishi maisha mazuri.
Mfumo wao wa uchumi unawafanya wapate mshahara wa juu, lakini thamani ya fedha yao inaifanya ionekane kuwa ndogo ukilinganisha na nchi zilizo na sarafu imara.
Kama unawaza kusafiri, kufanya biashara, au hata kuwekeza Korea Kusini, jua kwamba gharama za maisha si tofauti sana na za Tanzania, na ukiwa na mshahara mzuri Tanzania, huwezi kuhangaika ukiwa Korea.
Labda kinachobaki ni wewe kuamua, utakwenda lini!

Karibu kwenye darasa la Meditation ujifunze na kujua mambo mbalimbali kukuhusu.
Utajifunza namna Meditation inavyo badilisha maisha yako ndani ya muda mfupi na kuongeza uelewa wako wa ndani.
Njoo Inbox nikupe utaratibu wa kujiunga na darasa hili la kipekee.
.
.
Karibu kwenye darasa la Meditation ujifunze na kujua mambo mbalimbali kukuhusu.
Utajifunza namna Meditation inavyo badilisha maisha yako ndani ya muda mfupi na kuongeza uelewa wako wa ndani.
Njoo Inbox nikupe utaratibu wa kujiunga na darasa hili la kipekee.
.
.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Fortunatus Buyobe
Haka kaandishi kalikokondeana kanachomfanyia interview PK kapo hapa X kanaitwa @MarioNawfal
Huyo ni kama PS wa @elonmusk
Kamefunga safari kimkakati hadi Rwanda kwa sababu Us inataka kuingia deal la madini na Congo na Pk atakuwa ni dalali

Je, hizo pesa zinatumika wapi? Kwanini njia mbadala za kuhiji zilipojaribiwa, zilihujumiwa?
Waturuki walipojaribu kujenga reli ili waumini waende kuhiji kwa gharama nafuu, ilihujumiwa! Kwa nini?
Kwa sababu watu fulani waliona imeharibu biashara yao. Yaani mpaka ibada nayo inatazamwa kama fursa ya biashara.
Lakini usidhani hili lipo Uislamu pekee, hapana. Hata katika Ukristo ni hivyohivyo. Makanisa yamekuwa mashirika ya kibiashara, yamegeuzwa kampuni.
Wachungaji wanamiliki mahekalu, wanaendesha magari ya kifahari, huku waumini wao wakiteseka na njaa.
Leo hii, ili upate maombi maalum, lazima utoe sadaka kubwa. Ili upate ushauri wa mchungaji, unapaswa kuwa na bahasha.
Na bado watu wanakimbilia humo wakiamini wanamsogelea Mungu.
Tatizo kubwa tulilonalo sisi Waafrika ni kwamba dini ziliingizwa kwetu kama dawa ya kutufanya tusione mambo kwa uhalisia wake.
Wametuwekea "dripu" yenye dawa iitwayo "dini," na sasa tunashindwa kufikiria nje ya hizo imani tulizofundishwa.

Hivi unadhani wachungaji na masheikh hawana ndugu ambao ni machoko?
Hebu jiulize, mbona tunaona viongozi wa dini wanabeti?
Mbona tunawaona wakifanya mambo ambayo dini zao zinakataza?
Kama wao wenyewe hawawezi kufuata sheria za dini wanazohubiri, kwa nini wewe umwamini kila kitu anachokuambia?
Ndugu yangu, kabla hujaenda msikitini au kanisani, tafuta kwanza akili yako.
Dini ni mwongozo, si kifungo. Mtu yeyote anaweza kuwa na tabia yoyote bila kujali dini yake.
Tuache unafiki wa kuamini kwamba kila anayejifunika kwa dini ni msafi. Ukishajua hilo, utaweza kuabudu bila upofu.
Na mwisho kabisa, Usiruhusu mtu yeyote alupelekee dini mfukoni. Ukiona mtu anatumia dini kupiga pesa, jua huyo si wa Mungu.
Ukiona mtu anataka uende kanisani au msikitini kwa masharti ya pesa, jua huyo ni tapeli wa kiroho.
Ulimwengu umejaa unafiki. Usikubali kuwa sehemu ya ujinga huo.

Tumeaminishwa kwamba mtu anayesali kanisani au msikitini hawezi kuwa na tabia mbaya. Lakini ukweli ni upi?
Tunawaona wezi, majambazi, wauza unga, lakini bado wanakimbilia misikitini na makanisa kila Ijumaa na Jumapili.
Tunawaona watu waovu kabisa, lakini kwa sababu wanavaa kanzu au suti safi na kushika Biblia, tunafikiri ni watu wa Mungu.
Tunawasikia watu wakiwasifia mashehe na wachungaji kwa ucha Mungu wao, lakini hawa watu hao hao wanafanya mambo mabaya nyuma ya pazia.
Sasa mtu akisema "fulani ni shoga," ghafla watu wanaruka na kusema "usiseme hivyo, huyo ni kiongozi wa dini!".
Hebu acha ujinga ndugu yangu, Ushoga ni tabia ya mtu binafsi, haijalishi ni mchungaji, sheikh, au padre.
Kama tunasali pamoja na wezi, wazinzi na mafisadi, kwa nini tunashindwa kusali na machoko?
Kumbuka, dini zinakataza vitendo hivi, lakini haziwezi kuzuia mtu mwenyewe kuwa na tabia hizo.
Hivi unadhani machoko hawapo makanisani na misikitini?
Ushahidi upo.
Wanahudhuria ibada, wanapewa......