Paul Bonaventure
Ni hatua ambayo haijazoeleka kwa viongozi wa dini kutoka nje ya Marekani.
Lakini Trump amesisitiza kuwa kifo cha Papa Francis ni pigo kwa ulimwengu mzima, si kwa Wakatoliki pekee.
Bali kwa binadamu wote wanaoamini katika maadili ya huruma, amani, haki na udugu.
Hii siyo tu stori ya amri ya kushusha bendera.
Ni stori ya mwanasiasa ambaye mara nyingi amekuwa akionekana kuwa mkosoaji wa taasisi mbalimbali.
Akiwaacha wengi wakishangazwa na uamuzi wake wa kuonyesha heshima ya kina kwa kiongozi wa kidini.
Kwa Trump, ambaye wakati huu wa urais wake anasifika kwa misimamo mikali kuhusu uhamiaji, biashara, na uhuru wa Marekani.
Hatua hii ya kuelekeza taifa lote kushusha bendera kwa heshima ya Papa ni picha mpya ya Donald Trump.
Akisimama kama mzalendo lakini pia kama mtu anayekubali nguvu ya kiroho inayovuka mipaka ya siasa.

Hii ni lugha ya pamoja inayoweza kuzungumzwa na mamilioni bila kutoa sauti hata moja.
Na sasa, kwa Papa Francis, mtu ambaye sauti yake ilihubiri amani zaidi ya siasa, tabasamu lake likavutia hata waliokata tamaa, bendera hizo zitapepea kwa unyenyekevu na ukimya kama dua.
Na kama historia ina nafasi ya kupumua kwa muda, basi leo hii inapumua kwa upole, ikitafakari maisha ya Papa Francis.
Na heshima aliyopewa na mtu ambaye wengi hawakutarajia angewahi kutoa heshima hiyo kwa namna hiyo.
Wakati bendera hizo zitakapopepea nusu mlingoti, dunia nzima itakuwa kimya, lakini mioyo ya wengi itasema kwa sauti isiyoonekana, โAmani iwe nawe, Baba Mtakatifu.โ

Katika maisha yake, Papa Francis (ambaye jina lake halisi lilikuwa Jorge Mario Bergoglio), alijulikana kwa mtazamo wake wa upendo kwa waliopuuzwa.
Watu masikini, wakimbizi, wafungwa, na watu wa dini na tamaduni tofauti.
Alikemea ubinafsi wa kisasa, uharibifu wa mazingira, na alisisitiza Kanisa kuwa "hospitali ya roho" kwa waliojeruhiwa na maisha.
Alikuwa Papa wa kwanza kutoka Amerika ya Kusini, na alikuwa kiongozi aliyejaribu kuunganisha dunia inayogawanyika kwa chuki, fedha na itikadi.
Kwa heshima hiyo kubwa aliyopewa na Marekani kupitia uamuzi wa Trump, ujumbe ni mmoja, ulimwengu ulimgusa, na yeye aliugusa ulimwengu.
Katika mila ya Marekani, kushusha bendera nusu mlingoti ni alama ya maombolezo, heshima, na kutafakari.
Bendera inayoningโinia katikati ya mlingoti huwasilisha ujumbe wa kimya unaopita maneno, kuwa taifa lote limesimama na kuomboleza pamoja.

Karibu kwenye darasa la Meditation ujifunze na kujua mambo mbalimbali kukuhusu.
Utajifunza namna Meditation inavyo badilisha maisha yako ndani ya muda mfupi na kuongeza uelewa wako wa ndani.
Njoo Inbox nikupe utaratibu wa kujiunga na darasa hili la kipekee.
.

Katika dunia ya siasa kali, migawanyiko ya kimtazamo, na mabishano yasiyokwisha baina ya dini na serikali.
Ni mara chache sana tunashuhudia tukio ambalo linawabeba watu wote bila kujali tofauti zao.
Lakini mara hii, tukio moja limesimama juu ya yote, tendo la heshima lililotoka kwa Rais wa Marekani, Donald J. Trump.
Siku moja tu baada ya kutangazwa kwa msiba mzito wa kidunia, kifo cha Papa Francis, kiongozi mkuu wa Kanisa Katoliki.
Aliyeheshimiwa kama mjumbe wa amani, mpenda maskini, na daraja kati ya dini na ubinadamu.
Donald Trump, kwa mamlaka aliyokuwa nayo kama Rais wa Marekani na kama sauti kubwa ndani ya taifa lenye nguvu duniani, ametoa amri.
Kupitia tamko rasmi, Trump ameamuru kuwa bendera zote za Marekani.
Kuanzia zile zinazo pepea juu ya Ikulu ya White House, hadi ofisi zote za serikali, maeneo ya kijeshi, balozi za Marekani duniani kote.
Na hata kwenye meli, vituo vya anga na vifaa vya ulinzi, zishushwe nusu mlingoti siku ya maziko ya Papa Francis.

โ
OBBY
1. Anasimamia vatcan secret archive.
Hii wao vatcan wanaiita Vatcan apostolic archive. Ni maktaba iliyohifadhi documents nyingi za historia pamoja na maagizo kutoka kwa papa. Inasemekana black pope ndie msimamizi hasa wa maktaba hii.
Swali wengi wanalojiuliza kama maktaba hii inadocument tu za kihistoria kwanini inazungukwa na siri kubwa ni nini hasa kilichomo ndani ya maktaba hii kiasi watu wasiruhusiwe kuingia au kuona kilichomo ndani.
Wataalamu wa mambo wanasema ndani ya maktaba hii kuna historia halisi ya dunia, na teknolojia kutoka kwa aliens ambayo kwa namna moja ama nyingine inatumika na kanisa kucontrol dunia.
https://twitter.com/obby__davinci/status/1879100516120105321

vxTwitter / fixvx
๐ 224 ๐ 14
๐ 224 ๐ 14
OBBY (@obby__davinci)
6. MAKTABA YA SIRI YA VATIKAN, VATIKANI (VATICAN SECRET ARCHIVES)
Maktaba ya Siri ya Vatikani ni moja ya sehemu zenye ulinzi mkali sana duniani.
Maktaba hii inanyaraka za kale zinazoenda mpaka karne ya 8.
Maktaba hii ya ajabu ipo chini ya ardhi, naโฆ

Kwa kawaida mara nyingi papa hua anaonekana akiwa na mavazi meupe (au cream) ingawaje kuna muda anavaa mavazi ya pink au kijani lakini vazi analoonekana nalo mara nyingi ni jeupe hivyo kuitwa white pope.
Black pope ni nicknane ya kiongozi wa shirika la kikatoliki la Jesuit (society of Jesus) . Jina rasmi ni supreme general of Jesuit lakini huitwa black pope kutokana na kuvaa mavazi meusi kinyume na papa.

4. Jesuit ni kanisa ndani ya kanisa.
Shirika la Jesuit linajitegemea kwa mambo mengi ikiwapo sheria na vyeo vyake pekeyake vinavyotofautinana na vyeo vya kawqida vya kanisa. Uwepo wa papa mweusi unafanya Jesuit kuonekana kama ni kanisa ndani ya kanisa
Nguvu ya ushawishi aliyonayo papa mweusi inafanya papa wa kawaida kuonekana hana nguvu kumzidi na kufanya papa mweusi aonekane anaongoza kanisa lake mwenyewe lililondani ya kanisa katoliki

Jesuit ni shirika ndani ya kanisa katoliki linaloshughulikia maswala ya Elimu, umisheni, filosofia na theolojia.
Shirika hili ndo wamiliki wa shule kaka loyola high school, st. Peters clever, Gonzaga na zingine hapa nnchini. Kwenye documents za kawaida haya ndio yanayoonekana yanafanyika na shirika hili lakini nyuma ya pazia kuna mengi ambayo yanakua yamejificha.

3. Uhusiano na makundi ya Siri.
Inasemekana papa mweusi huunganishwa na mashirika ya siri hasa freemasons na illuminati kutengeneza kitu kinaitwa Vatcan-masonic-illuminati triad.
Utatu huu usio mtakatifu unasimamia maswala yote ya kidunia, vatcan wakisimamia dini, freemason wakisimamia new world order wakati huo illuminati wakisimamia uchumi wa dunia, na vyombo vya habari
Uhusiano huu inasemekana ulitokana na ukweli kwamba mwanzilishi wa illuminati, Adam weishaupt alikua ni mjesuit kabla ya kuanzisha illuminati hivyo waliwaingiza free mason kutokana na ushawishi wao.
Utatu huu unampa nguvu papa mweusi kumzidi papa mweupe

BLACK POPE KIONGOZI WA KANISA KATOLIKI MWENYE NGUVU KULIKO PAPA.
Kwa taratibu za kanisa katoliki papa ndiye kiongozi mkuu wa kanisa na mwakilishi wa Yesu kristo duniani (vicar of christ on earth) lakini wataalamu wa mambo wanasema cheo chake ni kidogo ukilinganisha na mtu anaejulikana kama black pope (papa mweusi).
Thread๐งต

2. Nguvu ya ujasusi ya Jesuit order.
Jesuit ni moja ya mashirika yenye nguvu kubwa zaidi za kijasusi. Mara nyingi ukiambiwa utaje mashirika makubwa zaidi ya kijajusi watu wanaishia kutaka CIA au MOSSAD. lakini ukweli ni kwamba Jesuit ni shirika kubwa la kijasusi kubwa zaidi kuliko hata haya mashirika tunayoyajua.
Wingi wa taarifa zinazokusanywa zinafanya Black pope kua na ushawishi mkubwa kwenye maswala ya siasa, elimu, vyombo vya habari na mashirika ya kijasusi. Ushawishi huu unatokana na ujasusi unaofanywa na mabrother wa kijesuit.
Kwenye dunia ya sasa ambayo information is power, papa mweusi ananguvu kubwa inayomsaidia kuweza kushawishi namna baadhi ya mambo kutokea.
Mfano karne ya 16 nnchini Japan shirika la Jesuit lilitumika kushawishi kutokea kwa mapinduzi ya serikali wakati huo pia wakitumika kama majasusi waliopeleka taarifa muhimu kuhusu nchi ya Japani kwa mabeberu wa ulaya .
Hali kama hii ilitokea china pia na kupelekea mabadiriko mengi ndani ya serikali ya kifalme.

Kuna mengi yanaongelewa kuhusu papa mweusi lakini ukweli kulingana na kanisa katoliki papa mweusi ni kiongozi tu wa shirika la yesu kristo, Jesuit. Nafasi ambayo kwa sasa inashikwa na Arturo Sosa.
Marehemu papa Francis alikua ndie papa wa kwanza kutoka kwenye shirika la Jesuit na kua papa. Wengi wa washauri wake walikua ni members wa Jesuits .
Kuhusu nani ananguvu kumzidi mwengine nadhani ni Vatcan wenyewe ndo wanao jua

Mfalme๐๐น๐ฟ
Enemy of Africa is Africans themselves. https://twitter.com/AfricanHub_/status/1914023421274374482#m