Deep Web:
59 subscribers
5.43K photos
5.54K videos
26 files
18.9K links
Jua Zaidi Ya Unacho Kijua
Download Telegram
Paul Bonaventure

Je, Atakuwa Papa wa Kwanza Mwafrika wa Karne Hii?, Matarajio Makubwa kwa Kardinali Peter Turkson.

Katika ukumbi wenye kuta za karne nyingi ndani ya jiji la Vatican, kunakochaguliwa kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani.

Sauti za utulivu, maombi ya dhati, na matarajio makubwa yanatawala.

Na jina moja linanong’onwa kwa heshima na matumaini makubwa zaidi barani Afrika na hata nje ya mipaka yake ni Kardinali Peter Turkson.

Mwana wa Ghana, Peter Turkson si tu mmojawapo wa makardinali mashuhuri wa wakati wetu.

Bali ni mtu anayevutia kwa historia yake, msimamo wake wa maadili, na mtazamo wake wa dunia wa kipekee.

Katika mchakato wa kumtafuta Papa mpya kufuatia kifo cha Baba Mtakatifu Francis, jina lake limeanza kung’aa kama nyota ya alfajiri ikitoa tumaini jipya, kuwa huenda wakati umefika kwa dunia kupata Papa Mwafrika.

Kardinali Peter Kodwo Appiah Turkson alizaliwa tarehe 11 Oktoba, 1948 katika mji mdogo wa Nsuta, Ghana.

Mama yake alikuwa mkatoliki, na baba yake, ambaye......
Paul Bonaventure

Kwa haya yote, amekuwa kipenzi cha wengi, si tu Afrika, bali pia Amerika Kusini, Asia, na Ulaya.

Ambapo anaheshimiwa kwa busara yake, unyenyekevu na uelewa mpana wa changamoto za dunia ya sasa.

Uteuzi wa Papa hufanyika kwa utaratibu wa siri ndani ya Kanisa Kuu la Sistine.

Makardinali walio chini ya umri wa miaka 80 wanaketi kwa siku kadhaa, wakisali, wakijadiliana na hatimaye kupiga kura.

Ni kura hizi zitakazoamua nani atavaa viatu vya Mtakatifu Petro.

Ingawa Turkson haelezi wazi kuwa anataka kuwa Papa, jina lake lipo miongoni mwa majina matano yanayopewa nafasi kubwa zaidi kwa sasa.

Kuna wanaosema yeye ndiye anayekubalika kwa urahisi kati ya makundi mbalimbali ndani ya Kanisa, kutokana na uwezo wake wa kuunganisha watu, kuelewa mahitaji ya ulimwengu wa leo, na kuzungumza kwa uwazi bila kuogopa.

Katika historia ya Kanisa Katoliki, bado hakuna Papa kutoka Afrika katika enzi za kisasa, ingawa karne nyingi zilizopita kulikuwa na Mapapa watatu kutoka Afrika Kaskazini.
Paul Bonaventure

Karibu kwenye darasa la Meditation ujifunze na kujua mambo mbalimbali kukuhusu.

Utajifunza namna Meditation inavyo badilisha maisha yako ndani ya muda mfupi na kuongeza uelewa wako wa ndani.

Njoo Inbox nikupe utaratibu wa kujiunga na darasa hili la kipekee.
.
.
Paul Bonaventure

Kwa hiyo, ikiwa Kardinali Turkson atachaguliwa, itakuwa tukio la kihistoria si kwa bara la Afrika tu, bali kwa dunia nzima.

Wengi wanaona uteuzi wake kuwa na maana kubwa, ushahidi kuwa Kanisa Katoliki linaendelea kuwa la dunia nzima.

Lisilozingatia rangi, kabila au bara, bali lenye kufuata roho ya Mungu na kiu ya haki.

Wakati macho ya waumini na wadadisi wa dunia yakiielekea Vatican kusubiri moshi mweupe utakapotoka, ishara ya Papa mpya kuchaguliwa, mioyo mingi inamuombea Turkson.

Si kwa sababu tu ya kuwa Mwafrika, bali kwa sababu ya moyo wake, historia yake, na maono yake ya kanisa linalowagusa wote.

Maskini, wagonjwa, waliovunjika moyo, na walioachwa nyuma.

Ikiwa kweli atachaguliwa, historia mpya itaandikwa.

Na hata kama hatakuwa yeye, jina lake litaendelea kupenya katika vitabu vya kumbukumbu kama mmoja wa wana wa Afrika waliowahi kuikaribia kilele cha kiroho duniani na kuonyesha kuwa Afrika nayo ni taa ya kiroho, si kivuli.
Paul Bonaventure

Anza na Mungu 🙏🏾
Mfalme👑🇹🇿

Wachambuzi utaratibu wa kumsapoti Mzawa awe Mfungaji bora bado unaendelea? Naona mpo kimya kwenye hili - kama mlivyofanya kwa BOCO na GEORGE MPOLE tunaomba mbinu zile zile zifanyike kwa MZIZE huyu ni MZAWA pia. Kijana asipochukua kiatu basi hata achangiwe.
Paul Bonaventure

Ni hatua ambayo haijazoeleka kwa viongozi wa dini kutoka nje ya Marekani.

Lakini Trump amesisitiza kuwa kifo cha Papa Francis ni pigo kwa ulimwengu mzima, si kwa Wakatoliki pekee.

Bali kwa binadamu wote wanaoamini katika maadili ya huruma, amani, haki na udugu.

Hii siyo tu stori ya amri ya kushusha bendera.

Ni stori ya mwanasiasa ambaye mara nyingi amekuwa akionekana kuwa mkosoaji wa taasisi mbalimbali.

Akiwaacha wengi wakishangazwa na uamuzi wake wa kuonyesha heshima ya kina kwa kiongozi wa kidini.

Kwa Trump, ambaye wakati huu wa urais wake anasifika kwa misimamo mikali kuhusu uhamiaji, biashara, na uhuru wa Marekani.

Hatua hii ya kuelekeza taifa lote kushusha bendera kwa heshima ya Papa ni picha mpya ya Donald Trump.

Akisimama kama mzalendo lakini pia kama mtu anayekubali nguvu ya kiroho inayovuka mipaka ya siasa.
Paul Bonaventure

Hii ni lugha ya pamoja inayoweza kuzungumzwa na mamilioni bila kutoa sauti hata moja.

Na sasa, kwa Papa Francis, mtu ambaye sauti yake ilihubiri amani zaidi ya siasa, tabasamu lake likavutia hata waliokata tamaa, bendera hizo zitapepea kwa unyenyekevu na ukimya kama dua.

Na kama historia ina nafasi ya kupumua kwa muda, basi leo hii inapumua kwa upole, ikitafakari maisha ya Papa Francis.

Na heshima aliyopewa na mtu ambaye wengi hawakutarajia angewahi kutoa heshima hiyo kwa namna hiyo.

Wakati bendera hizo zitakapopepea nusu mlingoti, dunia nzima itakuwa kimya, lakini mioyo ya wengi itasema kwa sauti isiyoonekana, “Amani iwe nawe, Baba Mtakatifu.”
Paul Bonaventure

Katika maisha yake, Papa Francis (ambaye jina lake halisi lilikuwa Jorge Mario Bergoglio), alijulikana kwa mtazamo wake wa upendo kwa waliopuuzwa.

Watu masikini, wakimbizi, wafungwa, na watu wa dini na tamaduni tofauti.

Alikemea ubinafsi wa kisasa, uharibifu wa mazingira, na alisisitiza Kanisa kuwa "hospitali ya roho" kwa waliojeruhiwa na maisha.

Alikuwa Papa wa kwanza kutoka Amerika ya Kusini, na alikuwa kiongozi aliyejaribu kuunganisha dunia inayogawanyika kwa chuki, fedha na itikadi.

Kwa heshima hiyo kubwa aliyopewa na Marekani kupitia uamuzi wa Trump, ujumbe ni mmoja, ulimwengu ulimgusa, na yeye aliugusa ulimwengu.

Katika mila ya Marekani, kushusha bendera nusu mlingoti ni alama ya maombolezo, heshima, na kutafakari.

Bendera inayoning’inia katikati ya mlingoti huwasilisha ujumbe wa kimya unaopita maneno, kuwa taifa lote limesimama na kuomboleza pamoja.
Paul Bonaventure

Karibu kwenye darasa la Meditation ujifunze na kujua mambo mbalimbali kukuhusu.

Utajifunza namna Meditation inavyo badilisha maisha yako ndani ya muda mfupi na kuongeza uelewa wako wa ndani.

Njoo Inbox nikupe utaratibu wa kujiunga na darasa hili la kipekee.
.
.
Paul Bonaventure

Katika dunia ya siasa kali, migawanyiko ya kimtazamo, na mabishano yasiyokwisha baina ya dini na serikali.

Ni mara chache sana tunashuhudia tukio ambalo linawabeba watu wote bila kujali tofauti zao.

Lakini mara hii, tukio moja limesimama juu ya yote, tendo la heshima lililotoka kwa Rais wa Marekani, Donald J. Trump.

Siku moja tu baada ya kutangazwa kwa msiba mzito wa kidunia, kifo cha Papa Francis, kiongozi mkuu wa Kanisa Katoliki.

Aliyeheshimiwa kama mjumbe wa amani, mpenda maskini, na daraja kati ya dini na ubinadamu.

Donald Trump, kwa mamlaka aliyokuwa nayo kama Rais wa Marekani na kama sauti kubwa ndani ya taifa lenye nguvu duniani, ametoa amri.

Kupitia tamko rasmi, Trump ameamuru kuwa bendera zote za Marekani.

Kuanzia zile zinazo pepea juu ya Ikulu ya White House, hadi ofisi zote za serikali, maeneo ya kijeshi, balozi za Marekani duniani kote.

Na hata kwenye meli, vituo vya anga na vifaa vya ulinzi, zishushwe nusu mlingoti siku ya maziko ya Papa Francis.
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Mfalme👑🇹🇿

Kama unasumbuliwa na Ishu ya metabolic syndrome anza kuzingatia kutembea peku.

OBBY

1. Anasimamia vatcan secret archive.

Hii wao vatcan wanaiita Vatcan apostolic archive. Ni maktaba iliyohifadhi documents nyingi za historia pamoja na maagizo kutoka kwa papa. Inasemekana black pope ndie msimamizi hasa wa maktaba hii.

Swali wengi wanalojiuliza kama maktaba hii inadocument tu za kihistoria kwanini inazungukwa na siri kubwa ni nini hasa kilichomo ndani ya maktaba hii kiasi watu wasiruhusiwe kuingia au kuona kilichomo ndani.

Wataalamu wa mambo wanasema ndani ya maktaba hii kuna historia halisi ya dunia, na teknolojia kutoka kwa aliens ambayo kwa namna moja ama nyingine inatumika na kanisa kucontrol dunia.

https://twitter.com/obby__davinci/status/1879100516120105321
OBBY

Please usisahau kunifollow
OBBY

Kwa kawaida mara nyingi papa hua anaonekana akiwa na mavazi meupe (au cream) ingawaje kuna muda anavaa mavazi ya pink au kijani lakini vazi analoonekana nalo mara nyingi ni jeupe hivyo kuitwa white pope.

Black pope ni nicknane ya kiongozi wa shirika la kikatoliki la Jesuit (society of Jesus) . Jina rasmi ni supreme general of Jesuit lakini huitwa black pope kutokana na kuvaa mavazi meusi kinyume na papa.
OBBY

4. Jesuit ni kanisa ndani ya kanisa.

Shirika la Jesuit linajitegemea kwa mambo mengi ikiwapo sheria na vyeo vyake pekeyake vinavyotofautinana na vyeo vya kawqida vya kanisa. Uwepo wa papa mweusi unafanya Jesuit kuonekana kama ni kanisa ndani ya kanisa

Nguvu ya ushawishi aliyonayo papa mweusi inafanya papa wa kawaida kuonekana hana nguvu kumzidi na kufanya papa mweusi aonekane anaongoza kanisa lake mwenyewe lililondani ya kanisa katoliki
OBBY

Jesuit ni shirika ndani ya kanisa katoliki linaloshughulikia maswala ya Elimu, umisheni, filosofia na theolojia.

Shirika hili ndo wamiliki wa shule kaka loyola high school, st. Peters clever, Gonzaga na zingine hapa nnchini. Kwenye documents za kawaida haya ndio yanayoonekana yanafanyika na shirika hili lakini nyuma ya pazia kuna mengi ambayo yanakua yamejificha.
OBBY

3. Uhusiano na makundi ya Siri.
Inasemekana papa mweusi huunganishwa na mashirika ya siri hasa freemasons na illuminati kutengeneza kitu kinaitwa Vatcan-masonic-illuminati triad.
Utatu huu usio mtakatifu unasimamia maswala yote ya kidunia, vatcan wakisimamia dini, freemason wakisimamia new world order wakati huo illuminati wakisimamia uchumi wa dunia, na vyombo vya habari

Uhusiano huu inasemekana ulitokana na ukweli kwamba mwanzilishi wa illuminati, Adam weishaupt alikua ni mjesuit kabla ya kuanzisha illuminati hivyo waliwaingiza free mason kutokana na ushawishi wao.

Utatu huu unampa nguvu papa mweusi kumzidi papa mweupe