Paul Bonaventure
Kuna binti mmoja, aitwaye Nuru alipotea mitaani miaka mitatu iliyopita.
Si kwa sababu ya ajali, bali kwa sababu jamii haikuwa na muda wa kusikiliza kilio chake.
Aliugua msongo wa mawazo, na kila alipojaribu kusema, watu walimcheka. Alisema, “Nimechoka,” wakasema, “Kila mtu kachoka.”
Siku aliporudi akiwa kachoka kweli, waligundua alikuwa tayari ameandika ujumbe wake wa mwisho, kwenye ukurasa wa Facebook.
Ilikuwa post ya kawaida tu, ila ya mwisho kabisa.
Hili ni tukio halisi. Linaloonesha kuwa jamii yetu imeanza kuishi kwa mwonekano badala ya mshikamano.
Tumejaa maneno mazuri kwenye caption, lakini mioyo yetu ni kama mitaa ya jiji usiku, baridi, giza, na haina nafasi kwa mtu anayepotea njia.

Karibu kwenye darasa la Meditation ujifunze na kujua mambo mbalimbali kukuhusu.
Utajifunza namna Meditation inavyo badilisha maisha yako ndani ya muda mfupi na kuongeza uelewa wako wa ndani.
Njoo Inbox nikupe utaratibu wa kujiunga na darasa hili la kipekee.
.

Kuna wakati mtu huamka asubuhi, anapiga mswaki, anakunywa chai ya rangi, halafu anatoka kwenda kutafuta maisha.
NB: Huu ni ujumbe kwa watu wote wanaotaka kukua zaidi.
Bila kujua kuwa yeye ndiye mhusika mkuu wa filamu inayoitwa "Jamii."
Jamii ya sasa imebadilika. Zamani mtaa ulikuwa familia. Mama mmoja alipotoka kwenda sokoni, majirani walikuwa ‘cameras’ zake.
Mtoto akilia, mama Mlewa alikuwa wa kwanza kumkumbatia. Sasa hivi? Mtoto akilia, watu wanapiga picha kutafuta "likes", sio suluhisho.
Tulikuwa watu. Sasa tumekuwa "followers".
Unaweza kukaa nyumba moja, ukashindwa kumjua hata jirani yako anaitwa nani.
Watu wamejenga kuta badala ya madirisha.
Tunafungia roho ndani ya "password", na upendo unakufa polepole kama mshumaa unaoungua bila mtu kuuzima.

Jamii inayojengwa na misingi ya “mimi kwanza” ni jamii inayobomoka polepole.
Lakini bado kuna tumaini. Bado kuna mama mkongwe anayepika uji kwa watoto wa jirani.
Bado kuna kijana anayemshikia mlemavu mzigo bila kutafuta kamera na kumpiga picha.
Bado kuna walimu wa moyo wanaofundisha zaidi ya somo, wanafundisha maisha.
Swali ni moja, Je, na wewe bado ni sehemu ya jamii hiyo ya kweli au wewe ni mmoja wa watazamaji kwenye hadithi ya jamii inayojikanyaga?

Mwalimu Google TV:
PESA YA URUSI ( RUSSIAN RUBLE ) IMEKUWA NA NGUVU KULIKO DOLLAR YA MAREKANI NA DHAHABU , KWA NINI ?
https://www.youtube.com/watch?v=4vNU6H19g9k

YouTube

Siku zote "MADIKTETA" wanajali raia wao na huwa hawa kubali raia wao kudalaliwa na MABEPARI.
#mwalimugoogletv
#elimikausiwemsomi
#mwalimugoogletv
#elimikausiwemsomi
Mfalme👑🇹🇿
1. STATUS
Huu ni ukweli mchungu,
Kuvutiwa kwa wanawake sio chaguo kwao, kama wewe ni Mwanaume na huna Status yeyote utakutana na wanawake jeuri, viburi na wengine watakufanya uhisi duniani umekuja kuteseka.
Hata kama anataka kuvutiwa na wewe lakini akili yake inamwambia kuwa huna Hadhi yeyote kamwe hatokuvutiwa.
Hii ndio sababu utaona wasanii na mastaa wakiabudiwa na wasichana bila ya kuwafanyia chochote.
Mwanaume anaweza kuwa kawaida tu, unaweza Usiwe na muonekano mzuri na unaweza kuwa na kitambi na huna hela wala misuli lakini ukiwa na hadhi kila msichana atatamani kuwa karibu na wewe.
Kina dada watakuita handsome hata kama una sura mbuzi lakini wao hawajali muonekano wako ila Hadhi yako.
Ukielewa hili hutakiwi kuwa mkali na hasira dhidi ya asili ya Mwanamke lakini huyo Mwanamke aliyekuwa anakuletea kiburi anaweza kubadilika na kuwa mpole, mtiifu Kama anakutaka.
Sikia, sijasema unatakiwa kuwa mwanamuziki au muigizaji ili kuwavutia wanawake. Status inapatikana mahali popote pa kijamii - Mfano kama msichana akienda Gym atamchagua yule Mwanaume mwenye hadhi kubwa kuliko wote pale Gym, ataona wanawake wengine na wanaume wengine wanavyomkubali na hii itamfanya na yeye kuvutiwa.
Kila mtu anaweza kuwa na STATUS mahali Fulani. Na mitandao imetusaidia kupata status kirahisi na itumie hiyo kujinufaisha.

2. UTAWALA
Wanawake wengine wanavutiwa kingono na wanaume wenye mamlaka. Tafiti zimefanyika kuwa wanawake wanapenda kushikiriki tendo zaidi na wanaume wenye utawala wa kikatili.
Sikia, sijasema uanze kupigana na watu mtaani au umpige Mwanamke- utafungwa. Kuhusu vitu gani wanawake wanapenda linapokuja suala la ngono huo ni UZI mwingine - Nifollow @MfalmewaX1 kisha kaa kwa kusubiri.
Elewa kuwa wanawake wanapenda wanaume watawala sehemu zote namaanisha kitandani na kwenye maisha.
Utaona wanaume wengi wa siku hizi wanaongea kila kitu ni mademu zao, wanauliza Mwanamke anataka nini, au anataka kufanya nini, au ana mtazamo gani juu ya jambo fulani na kuomba msaada wa mawazo kwenye kila kitu anachokifanya.
Ukweli ni kwamba wanawake hawapendi kufanya maamuzi. Wanawake mwanaume imara anayeweza kuongoza njia.
Siku hizi utaona vijamaa haviwezi hata kuamua kula nini, HOVYO KABISA - Haitakiwi kuchukua hata sekunde 10 Mwanaume kuchagua anakula nini.
Ukweli ni kwamba UTAWALA unaweza......

Nilisema hii siri hata Vatican hawawezi kuificha milele 😂😂 https://twitter.com/MfalmewaX1/status/1895148065092444548#m

Papa Francis amefariki Jumatatu ya pasaka, Tarehe 21/4 miaka 88 huko Vatican. Lakini Uhalisia alishafariki Tarehe 2/2/2025. Huwezi kuficha kifo kwa Taarifa zilizovuja na ushahidi upo. Watanzania tuendelee kudili na udaku wa watoto wa 2000 kumgombania Mwijaku. Hizi Ngumu sana.

Katika miezi ya mwisho, alionekana zaidi akiwa faraghani, akipunguza hadhira na safari.
Vatican ikaanza kujiandaa, kimya kimya, kwa siku ambayo dunia isingependa ije na sasa imefika.
Matarajio ni kuwa mamilioni watafika Rome katika siku zijazo kuaga mwili wa Papa Francis.
Mazishi yake yanatarajiwa kuwa ya aina yake, yakiwa yamejaa heshima, utulivu, na tafakari juu ya maisha ya mtu aliyebeba Kanisa kwa mikono ya huruma badala ya fimbo ya mamlaka.
Baraza la Makardinali tayari limeanza maandalizi ya konklave, ambapo papa mpya atachaguliwa.
Lakini kwa sasa, dunia imesimama kidogo, ikisikiliza ukimya uliobeba historia ya mtu ambaye hakutaka sifa, bali mabadiliko ya kweli.

“Ninapenda Kanisa maskini kwa ajili ya maskini” aliwahi kusema Papa Francis
Maneno haya yataendelea kuishi katika mioyo ya wengi.
Amefariki akiwa na miaka 88, lakini ujumbe wake wa upendo, usawa, na huruma hauwezi kufa.
Dunia imepoteza kiongozi, lakini imeachiwa urithi wa thamani zaidi, mfano wa maisha yanayoishi kwa ajili ya wengine.
Pumzika kwa amani, Baba Mtakatifu Francis. Dunia inalia, lakini pia inashukuru.
“Ninapenda Kanisa maskini kwa ajili ya maskini” aliwahi kusema Papa Francis
Maneno haya yataendelea kuishi katika mioyo ya wengi.
Amefariki akiwa na miaka 88, lakini ujumbe wake wa upendo, usawa, na huruma hauwezi kufa.
Dunia imepoteza kiongozi, lakini imeachiwa urithi wa thamani zaidi, mfano wa maisha yanayoishi kwa ajili ya wengine.
Pumzika kwa amani, Baba Mtakatifu Francis. Dunia inalia, lakini pia inashukuru.
Paul Bonaventure
Karibu kwenye darasa la Meditation ujifunze na kujua mambo mbalimbali kukuhusu.
Utajifunza namna Meditation inavyo badilisha maisha yako ndani ya muda mfupi na kuongeza uelewa wako wa ndani.
Njoo Inbox nikupe utaratibu wa kujiunga na darasa hili la kipekee.
.
.
Karibu kwenye darasa la Meditation ujifunze na kujua mambo mbalimbali kukuhusu.
Utajifunza namna Meditation inavyo badilisha maisha yako ndani ya muda mfupi na kuongeza uelewa wako wa ndani.
Njoo Inbox nikupe utaratibu wa kujiunga na darasa hili la kipekee.
.
.
Paul Bonaventure
Mwisho wa kipindi kipya na tarehe iliyobeba historia, Papa Francis amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 88.
Habari hii imethibitishwa na msemaji wa Vatican kwa sauti ya huzuni iliyodhibitiwa, lakini iliyobeba uzito wa dunia nzima. Alimesem,
“Baba Mtakatifu, Papa Francis, amefariki dunia leo saa 7:35 asubuhi kwa saa za Rome, akiwa amezungukwa na mapadre wake wa karibu, na wafanyakazi wa afya waliomhudumia hadi dakika ya mwisho.”
Kwa wengi, Papa Francis hakuwahi kuwa tu kiongozi wa kidini.
Alikuwa ni sura ya mapinduzi ya kiroho, mwanaharakati wa amani, na sauti ya wanyonge katika dunia inayotikiswa na vurugu, ubaguzi, na ubinafsi.
Alikuwa papa wa kwanza kutoka Amerika ya Kusini, mzaliwa wa Buenos Aires, Argentina, ambaye jina lake la kuzaliwa lilikuwa Jorge Mario Bergoglio.
Alipopanda kiti cha Mtakatifu Petro mwaka 2013, mara tu baada ya Papa Benedict XVI kung’atuka kwa hiari, jambo ambalo lilikuwa halijatokea kwa zaidi ya miaka 600, alileta pumzi mpya.
Alikuwa ni......

Akimaanisha Kanisa linalojishughulisha na maisha ya watu wa kawaida, sio kushikilia utawala wa kifalme.
Wakati wa utawala wake, alikemea ufisadi ndani ya Vatican, akasimama dhidi ya ukatili wa vita, na kuwa mtetezi mkubwa wa mazingira.
Akiandika waraka maarufu Laudato Si’ kuhusu jinsi wanadamu wanavyopaswa kutunza dunia.
Alikumbukwa pia kwa ushujaa wake wa kisiasa na kijamii, alipowatembelea wakimbizi kwenye kambi zao.
Alipowahimiza viongozi wa dunia kufungua milango kwa wanaohitaji msaada, na aliposhika mikono ya waathirika wa virusi vya ukoma, bila kuogopa.
Lakini alipofikisha umri wa miaka 85, afya yake ilianza kudhoofu.
Ilianza kwa magoti na mgongo, hali iliyomfanya kutumia kiti cha magurudumu mara kwa mara.
Alibaki mtulivu, akiongea kwa hekima, hata alipokuwa akihubiri akiwa ameketi.

Wakati tupo busy na kubishana nani alikuwa sahihi juu ya kufa Papa huku madaktari mnatakiwa kutafuta kazi zingine ndani ya miaka 10 ijayo, ni distractions juu ya distractions. Hawa jamaa wanamiliki matajiri, mastaa, viongozi, vyombo Vya habari na kila unachokiamini ikiwemo dini.