Mwanzo TV
1.1K subscribers
19.1K photos
3.57K videos
33 files
8.15K links
The Official Telegram channel of East Africa's Premier News Source with Top Stories,Special Features and more
Download Telegram
#CONGO: SADC KUONDOA MAJESHI YA SAMIDRC KWA AWAMU NCHINI DRC
Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) imesitisha majukumu ya Ujumbe wa SADC katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (SAMIDRC).
Uamuzi huu ulitolewa wakati wa mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa SADC hii leo katika mkutano wa pamoja uliolenga kutatua mgogoro nchini DRC.
Kuondolewa kwa majeshi ya SAMIDRC kutafanyika kwa awamu ili kuhakikisha mchakato wa mpito unafanyika kwa utulivu na kudumisha utulivu katika eneo hilo.
#KENYA: RUTO: 'MTANIUA NA MAJINA'
'Mtaniua na majina. Mlianza na hustler, mkaenda Zakayo alafu kasongo. Tena Elchapo?" Rais William Ruto wa Kenya ajibu jina la utani alilopewa na wakenya baada ya kutoa ahadi ya kufadhili mashine ya kupika chapati Milioni moja
#ETHIOPIA: MOHAMUD SHEEKH APPOINTED SPOKESPERSON TO AUC CHAIR MAHMOUD YOUSSOUF
The African Union Commission (AUC) has announced the appointment of Nuur Mohamud Sheekh as the new Spokesperson to the AU Commission Chairperson, Mahmoud Ali Youssouf.
Nuur Mohamud Sheekh brings a wealth of experience in diplomacy, mediation, and humanitarian affairs, having previously served as the Spokesperson for the Inter-Governmental Authority on Development (IGAD).
#ETHIOPIA: MOHAMUD SHEEKH ATEULIWA KUWA MSEMAJI WA MWENYEKITI WA AUC MAHMOUD YOUSSOUF
Nuur Mohamud Sheekh ameteuliwa kuwa msemaji mpya wa Mwenyekiti wa Tume ya Umoja wa Afrika (AUC), Mahmoud Ali Youssouf.
Nuur Mohamud Sheekh ni mwanadiplomasia mwenye uzoefu mkubwa katika masuala ya diplomasia, upatanishi, na masuala ya kibinadamu.
Kabla ya uteuzi huu, alikuwa msemaji wa Mamlaka ya Kiserikali ya Maendeleo (IGAD).
#KENYA: KENYA, IRAN SET TO STRENGTHEN PARLIAMENTARY RELATIONS
Speaker of the National Assembly Moses Wetang’ula has reaffirmed his commitment to enhancing parliamentary engagements between Kenya and Iran.
During a courtesy call by the Iranian Ambassador to Kenya, Dr. Ali Gholampour, Wetang’ula emphasized the importance of collaboration through the Kenya-Iran Parliamentary Group.
They discussed various areas of cooperation, including trade, education, agriculture, and pharmaceuticals, and agreed to explore additional opportunities for collaboration.
Both leaders acknowledged the long-standing and cordial relationship between Kenya and Iran, marked by active cooperation in trade, education, agriculture, and pharmaceuticals. They agreed to explore additional areas of collaboration, including enhancing direct market access for key commodities such as oil, tea, and coffee.
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
#KENYA: 🔥🔥BONDE LA MAUTI LAREJEA TENA
Wimbi la mauaji ambalo lilikuwa likishuhudiwa Baragoi, Kaunti ya Samburu limerejea tena baada ya zaidi ya watu 16 kufa chini ya miezi miwili kwenye visa vipya vya ujangili na wizi wa kimabavu. Baragoi, kwa sasa inakabiliwa na taharuki baada ya majangili kuwaua watu sita siku ya jumanne na kuwajeruhi wengine wanane katika kisa cha hivi punde cha umwagikaji wa damu.
ZAIDIhttps://youtu.be/VOeVExnichI
#ANGOLA: LISSU, SEMU, SIFUNA & OTHER POLITICAL LEADERS DENIED ENTRY INTO ANGOLA
Angolan immigration authorities have denied entry to several high-profile African political leaders, including Chadema chairman Tundu Lissu, ACT Wazalendo leader Dorothy Semu, Nairobi Senator Edwin Sifuna, Ugandan opposition leader Bobi Wine, and Tanzania’s First Vice President of Zanzibar Othman Masoud.
The leaders had traveled to Luanda for the Platform for African Democrats (PAD) Dialogue, hosted by The Brenthurst Foundation, but were stopped at Quatro de Fevereiro International Airport without explanation
The incident raises diplomatic and political concerns, particularly as many of those denied entry are opposition leaders in their respective countries. Angolan authorities have yet to provide a clear reason for barring the leaders from entering the country.
#ANGOLA: LISSU, SEMU NA BOBI WINE KATI YA VIONGOZI WA KISIASA AMBAO WAMEZUIWA KUINGIA ANGOLA
Mamlaka ya uhamiaji nchini Angola imewanyima viongozi kadhaa wa kisiasa wa Afrika, kuingia nchini humo.
Viongozi hao ni pamoja na mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu, kiongozi wa ACT Wazalendo Dorothy Semu, Seneta wa Nairobi Edwin Sifuna, kiongozi wa upinzani nchini Uganda Bobi Wine, na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Tanzania Zanzibar Othman Masoud.
Kulingana na taarifa ya baadi ya viongozi hao ni kwamaba walikuwa wamesafiri hadi Luanda kwa ajili ya Majadiliano ya Jukwaa la Wanademokrasia wa Afrika (PAD), iliyoandaliwa na The Brenthurst Foundation, lakini walizuiliwa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Quatro de Fevereiro bila maelezo.
Tukio hilo linazua wasiwasi wa kidiplomasia na kisiasa, haswa kwani wengi wa waliokataliwa kuingia ni viongozi wa upinzani katika nchi zao.
Mamlaka ya Angola bado haijatoa sababu ya wazi ya kuwazuia viongozi hao kuingia nchini humo.
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
#KENYA: WHAT A RELIEF TO KENYANS! RUTO SAYS 'NO FEE TO OWN AN ID CARD!'
President William Ruto has announced the free issuance of national Identity Cards (IDs). Speaking during his tour of Kibra on Thursday, March 13, Ruto noted that Kenyans should not be charged for the ID cards. "I also want to announce here in Kibra that IDs should be issued without any charges and any bias," the Head of State announced.
MORE: https://youtu.be/Z72T-WqlRO4
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
#CONGO: KIMEUMANA DRC! SADC KUONDOA VIKOSI VYAKE
Wakuu wa nchi za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) wamekubaliana kusitisha zoezi la kutuma vikosi vya kijeshi nchini DR Congo katika mkutano uliofanyika leo Zimbabwe. Uamuzi huu unahitimisha operesheni ya Umoja wa SADC nchini DRC, iliyokuwa na lengo la kusaidia vikosi vya kijeshi vya Congo kudhibiti hali ya usalama katika mikoa ya Mashariki mwa nchi hiyo.
ZAIDI: https://youtu.be/bBCvRP-KYFY
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
#KENYA: MKONDO MPYA WA KISIASA WA RAILA! AAPA KUTETEA HAKI YA WAPIGANAJI WA MAU MAU
Kiongozi wa upinzani kenya Raila Odinga ameahidi kuangazia maslahi ya baadhi wazee wa mau mau waliokuwa kati ya wapiganiaji uhuru nchini kenya. Odinga amesema ataakikisha serikali imetekeleza wajibu wake wa kuwalipia fidia kama walivyoahidiwa.
ZAIDI: https://youtu.be/paB3kcFu_g0
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
#EUROPE: ARSENAL TO FACE REAL MADRID IN SEMIS AFTER THE GUNNERS ELIMINATED PSV
Arsenal will play Real Madrid in the quarter-finals of the Champions League at the start of next month after sealing a 9-3 aggregate win over PSV Eindhoven.
MORE: https://youtu.be/49C-dtWBBo0
LISSU, SEMU, SIFUNA NA VIONGOZI WENGINE WA KISIASA WAZUIWA KUINGIA ANGOLA

Viongozi hao walizuiwa kuingia nchini bila maelezo yoyote kutoka kwa mamlaka za Angola. Pata taarifa zaidi hapa: https://mwanzotv.com/lissu-semu-sifuna-na-viongozi-wengine-wa-kisiasa-wazuiwa-kuingia-angola/
#UPDATE: SIFUNA FORCED TO LEAVE ANGOLA, CALLS FOR RELEASE OF DETAINED LEADERS


Nairobi Senator Edwin Sifuna @edwinsifuna has confirmed that he is safely back in Addis Ababa after being forced to leave Angola, but revealed that over 20 leaders from various countries remain detained in Luanda.
The leaders had traveled to Angola for the Platform for African Democrats (PAD) Dialogue, a conference focused on democracy and governance. However, upon arrival at Quatro de Fevereiro International Airport, they were denied entry by immigration officials, despite having official invitations.

Among those affected were Zanzibar’s First Vice President Othman Masoud Othman, Chadema chairman Tundu Lissu, ACT Wazalendo leader Dorothy Semu, and Ugandan opposition leader Bobi Wine.

The detained leaders include 9 Tanzanians, 5 from Botswana, 3 from Lesotho, 2 Malawians, 1 from eSwatini, 1 German, 2 from the UK, and 2 South Africans.
#YANAYOJIRI: SENETA WA NAIROBI EDWIN SIFUNA ALAZIMISHWA KUONDOKA ANGOLA, ATOA WITO KUACHILIWA KWA VIONGOZI WALIOZUIWA


Seneta wa Nairobi Edwin Sifuna amethibitisha kuwa amerudi salama Addis Ababa baada ya kulazimishwa kuondoka Angola, lakini amesema kuwa zaidi ya viongozi 20 kutoka mataifa mbalimbali bado wanazuiwa kuondoka jijini Luanda.

Viongozi hao walikuwa wameelekea Angola kushiriki mazungumzo ya Jukwaa la Demokrasia Afrika. Hata hivyo, walipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Quatro de Fevereiro, walizuiliwa na maafisa wa uhamiaji licha ya kuwa na mialiko rasmi.

Miongoni mwa waliozuiwa kuingia nchini Angola na Mamlaka za Serikali ya Angola ni Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Othman Masoud Othman, Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu, Kiongozi wa ACT Wazalendo Dorothy Semu, na Kiongozi wa Upinzani wa Uganda Bobi Wine. Viongozi waliobaki kizuizini ni Watanzania 9, Wabotswana 5, Walesotho 3, Wamalawi 2, Mswazi 1, Mjerumani 1, Waingereza 2, na raia wa Afrika Kusini 2.
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
'EL CHAPO' AMERUKWA! KALONZO DENIES RUMOURS OF WORKING WITH RUTO!

Wiper leader Stephen Kalonzo Musyoka slams rumors linking him to President William Ruto, calling it “pure propaganda.”
Get the full details of his response to these claims here: https://youtu.be/4Vt5-zxDr8M
#YANAYOJIRI: KIONGOZI WA ACT WAZALENDO DOROTHY SEMU AZUNGUMZA BAADA YA KUZUIWA KUINGIA ANGOLA


Kiongozi wa ACT Wazalendo, Dorothy Semu amezungumza baada ya kuzuiwa kuingia Angola licha ya kusafiri kwa zaidi ya masaa 20 kutoka Dar es Salaam hadi Benguela, Angola.
Kupitia taarifa aliyochapisha kwenye X, Semu alieleza kusikitishwa na hatua hiyo.

"Zaidi ya masaa 20 ya kusafiri kutoka Afrika- Dar es Salaam kuelekea Afrika- Benguela, Angola. Sikuiona Benguela bali nimeendelea nimeyashuhudia ya Afrika. Ndani ya masaa hayo nimepokwa hati yangu ya kusafiria kwa maelezo kuwa mamlaka ya Uhamiaji ya Angola imenizuia nisiingie nchini humo," alieleza.
Semu ni miongoni mwa viongozi wa kisiasa waliozuiwa kuingia Angola, akiwemo Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Othman Masoud Othman, Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu, Seneta wa Nairobi Edwin Sifuna, na Kiongozi wa Upinzani wa Uganda Bobi Wine.