Malindi Kenya
2.95K subscribers
844 photos
144 videos
42 files
168 links
A Place Where Malindi People Will Meet And Share Ideas On Different Fields.
Download Telegram
TANZIA GAHALENI MALINDI BAADA FAMILIA KUPOTEZA WATU WANNE KWA AJALI HAPO JANA JIONI...

Maafisa wawili wa usalama mandugu, bibi na mtoto wote wafariki baada ya ajali kufanyika huko Mbarak Nakuru...

James (GSU) na Wilngton (KDF) walikuwa wameendelea hospitali kumchukua Janet (mke wa KDF) aliyekuwa amejifungua... Walipata ajali walipokuwa wakirudi nyumbani na wote kuaga dunia hapo kwa hapo...

Ni huzuni sana kupoteza Mabrother wawili, bibi ya KDF na mtoto mchanga kwa wakati mmoja... Hawa wanatokea Kwa Makanda Gahaleni

Hili ni pigo kubwa kwa wakaaza wa Malindi na Kilifi kwa ujumla... Tuwashike kamilia familia wakati huu mgumu wa majonzi...

Mola ailaze roho zao mahali pema peponi... RIP 😭😭😭

More update follow πŸ‘‰ https://whatsapp.com/channel/0029VbB2ZKr4tRrk6a74Sd2I
❀6😭4
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Kanjo vs Manamba/ madereva... Imekuwa noma 😊
❀1
Huyu mama Amina Kirote Mathio yuko Malindi General hospital amelazwa na anasema anatokea upande wa Watamu... Mpaka saa hii hakuna mtu kwao amefika hospitali... 😭😭😭 Ako na kidonda kwa mguu, Anafaa kwenda theatre but before theatre kuna picha anafaa kupigwa, na ni Mpaka mtu wa kwao a-sign consent ya theatre... Hana mtu wa kumwangalia wala kumuosha... Kitambulisho inasema bara kwao ni; Mitine, Igoji, Meru... Tafadhali anaemjua, ama anataka kumsaidia, awasiliane na muuguzi kupitia hii namba πŸ‘‰ 0729894565... Tafadhali Sambazeni huu ujumbe watu wa kwao wapatikane na asaidike!!!

Don't forget to Follow our Malindi Kenya channel on WhatsApp: https://whatsapp.com/channel/0029VbB2ZKr4tRrk6a74Sd2I
❀8
https://whatsapp.com/channel/0029VbB2ZKr4tRrk6a74Sd2I

Guys JOIN our WhatsApp channel & turn on Notifications... We're on the right truck...
RIP JANUARIOUS ANWAR 😭
SHERIA MPYA ZA HOSPITALI YA KATA NDOGO YA MALINDI

Ili kulinda faraja, faragha na usalama wa wagonjwa na wafanyakazi wa hospitali ya Malindi, shughuli zifuatazo zimepigwa MARUFUKU kabisaaaaa ndani ya majengo ya hospitali:

1. Hawking au aina yoyote ya biashara ndani ya eneo la hospitali.

2. Kupiga video au picha bila idhini ya awali kutoka kwa wasimamizi wa hospitali.

3. Kubeba silaha za aina yoyote hospitalini.

4. Kuleta wanyama kama PETS ndani ya wodi au uwanja wa hospitali.

5. Kusababisha kelele zisizo za lazima zinazovuruga mapumziko ya wagonjwa na shughuli za hospitali.

6. Kunywa pombe au kuvuta sigara ndani ya maeneo ya hospitali au wadi...

#MjadalaWaziwaziMalindi
❀8
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
πŸ€”πŸ˜΅πŸ˜³
❀6
Nimegundua mabinti wengi sana huku Pwani haswa Malindi wanapenda kubeba vibeti vyeupe wakiwa mishe mishe zao... hivi ni kwa nini???
❀3😁2
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Cheki Soko La Malindi Lilivyokuwa Mwaka Wa 1993
❀7πŸ€”1
❀5
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Mwanamke afichua mwanamume aliejifanya kuwa na kifafa kisha anaomba michango kutoka kwa wasamaria wema baadaye...
❀3
Mambo vipi.. Nawakaribisha kwa mara nyingine kuburudika na wimbo wetu mpya #Monalisa kutoka kwa Sadi Øne ft Kennovelty Ke pale youtube na kwa digital platform zote....

Ninachoomba ni dakika zako tatu gusa hii link hutojutia...
πŸ‘‡

https://youtu.be/gvo0Lk-pce4?si=a-0afoLWH4uA3O1h
❀4
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
A Somali girl is hugging a tree untill their leaders come back from Nairobi where they live and build good schools, hospitals, roads etc in Northern Kenyan...
❀1
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Pastor ashikwa akipiga tamasha na kondoo wake
❀1
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Whose also experiencing this???
❀5πŸ‘1
πŸ”₯ MSANII DOUBLET LACS AACHIA β€œACHA NIAMINI” πŸ”₯

Msanii Doublet lacs 254 anayevunja mipaka licha ya changamoto za ulemavu, ameachilia rasmi ngoma yake mpya β€œAcha Niamini” β€” ikiwa ni track yake ya kwanza chini ya G Sound Records, chini ya mkono wa Producer Raj Medit. 🎢

Hii sio tu ngoma, ni ujumbe wa moyo, imani na kusimama imara bila kujali hali. Doublet Lacs anaonyesha wazi kuwa kipaji hakizuiliwi β€” ni moto mtupu! πŸ”ŠπŸ’₯

Tazama hapo chini, sikiliza, share na support kipaji cha nyumbani. Mtaa uamue! πŸ‘‡πŸ‘‡

https://youtu.be/QaaFId1c6rg?si=JPhKYUmtr9p9SyNj
❀1