Meta imeanzisha app yake mpya ambayo itashindana na app ya Twitter. Kwa muda wa miaka 11 Zuck alikuwa hajawahi kupost Twitter na leo amepost meme ya kutania kuhusu yeye kuiga Twitter.
⛔️ Mwaka 2011 Facebook iliiga WhatsApp kwa kutengeneza app ya Facebook Messenger
⛔️ Mwaka 2016 Facebook iliiga Snapchat ikaanzisha Instagram Stories
⛔️ Mwaka 2017 Facebook iliiga Snapchat ikaanzisha WhatsApp Status
⛔️ Mwaka 2020 Facebook iliiga TikTok ikaanzisha Reels
⛔️ Mwaka 2023 Facebook imeiga Twitter na kuanzisha Threads
Kweli maisha ni haya haya, usiogope kuiga idea ya mtu; cha msingi ongeza na ubunifu wako!
DOWNLOAD THREADS 👇👇
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.instagram.barcelona
#Apps #Instagram #Threads
CREDIT🥺 #POWER_VPN_UNLIMUTED

👍2