JINSI YA KUMJUA MTU ALIE SOMA MESSAGE YAKO KWENYE GRUP LA WASAP,
🦠Hiki sio kitu kipya ila ni kizuri san na kinasaidia mtu kujua watu wangapi wameisoma mesej yako, watu wangapi wameipokea na watu wangapi bado wapo offline
🦠Fata maelekezo ya fuatayo kuweza kufanya hiyo trick
🦠Ingia kwenye grup la wasap, tuma message yoyote alaf ikisha deliver au kuweka tick ✓
🦠Hold ile message kama inataka kuifuta alafu click kwenye alama yenye duara na heruf " i " katikati, au Info
🦠Hapo utaona watu gani wame view message yako, wangapi wameipokea na wangapi bado wapo offline
📲Hii inafanya kazi kwenye grups za wasap peke ake, sio normal chat za mtu na mtu
🦠Kwisha🦠
-----------------------------------------------
@luhovero26code ✈️#Android

Steps

Note:

👍4