AFYA YAKO LEO
2.48K subscribers
16K photos
6.72K videos
32 files
16.4K links
Download Telegram
๐Ÿ‘จโ€๐Ÿซ @Jitibu

Muongozaji wa mjadala wetu kwenye ni Bi @CKapilima.

Jiandae kufuatilia Spaces yenye maarifa, ujuzi na fursa.
๐Ÿ‘จโ€๐Ÿซ @Jitibu

Sekta ya kilimo ina fursa lukuki.

Unafahamu kuwa unaweza kuingia kwenye mnyororo wa thamani bila kulima au kufuga na ukanufaika?

Usikose kufuatilia Spaces, @MalemboLE atazungumza.
๐Ÿ‘จโ€๐Ÿซ @Jitibu

Hatua za mafanikio ni pamoja na kuwekeza kwenye ardhi.

Ungana na mshauri wa masuala ya uwekezaji @Thommunkondya kwenye Spaces kufahamu unavyoweza kumiliki ardhi.
๐Ÿ‘จโ€๐Ÿซ @Jitibu

Fursa zipo, lakini je, vijana wanazifikia kwa urahisi?

Ungana na @RahmaMwita akichambua mbinu za kuzitambua, kuzifikia na kunufaika nazo kwenye Spaces jumamosi hii.

Usikose kufuatilia.
๐Ÿ‘จโ€๐Ÿซ @Jitibu

ELIMIKA WIKIENDI SPACES ๐ŸŽ™

Jiunge nasi jumamosi hii kuanzia saa 3:00 - 5:00 Asubuhi kufahamu zaidi kuhusu ๐— ๐—ถ๐—ฐ๐—ต๐—ผ๐—ป๐—ด๐—ผ ๐—ป๐—ฎ ๐—™๐˜‚๐—ฟ๐˜€๐—ฎ ๐—ธ๐˜„๐—ฎ ๐—ฉ๐—ถ๐—ท๐—ฎ๐—ป๐—ฎ
๐Ÿ‘จโ€๐Ÿซ @Jitibu

Je, masoko ya fedha mtandaoni yanaweza kukutoa kimaisha?

Mshauri na mtaalam wa fedha @Mike_Dastan atatoa elimu jinsi ya kuingia, kuwekeza na namna ya kunufaika.

Usikose kufuatilia Spaces Jumamosi hii.
๐Ÿ‘จโ€๐Ÿซ @Jitibu

Karibuni kwenye Spaces kuanzia muda hadi hapo saa 5:00 Asubuhi.

Mada kuu: Michongo na Fursa kwa Vijana.
Shiriki nasi: twitter.com/i/spaces/1ypJdZrdzgVKW
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
๐Ÿ‘จโ€๐Ÿซ @Jitibu

Aloevera capsules TZS 40,000/= 60 CAPSULES 0673402024
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
๐Ÿ‘จโ€๐Ÿซ @Jitibu

LIVER DETOX 60 CAPSULES TZS 45,000/= 0673402024
Namba 4 had 7 ziko Apuni.
Link ipo katika BIO
#afyachapdaktarikiganjanimwako
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Kipimo hiki ni muhimu sana katika kuchunguza sehemu ya haja kubwa na utumbo mpana.

Utaingiziwa mpira maalumu katika eneo la haja kubwa,ambapo mpira huo unakua na kamera ambayo ndo inasaidia kupaangalia ndani palivyo.

Kipimo kinatumika kuchunguza saratani za utumbo mpana ,Vidonda na michubuko katika utumbo.

Inashauriwa unapofikisha miaka 40 kufanya kipimo hiki walau mara moja kwa mwaka.

Gharama yake ni kati ya Tsh laki 3 hadi laki 5.

Ulishafanya kipimo hiki?
#afyachapdaktarikiganjanimwako
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
MAFUTA YA SAMAKI ( OMEGA - 3). Mafuta ya samaki ni product nzuri sana inafaa kwa watoto watu wazima pamoja na wazee Mafuta ya samaki yanasaidia vitu vifuatavyo kwenye mwili โœจHusaidia kuondoa pressure ya kupanda na kushuka โœจHuondoa cholesterol kwenye mishipa ya damu โœจHusaidia kukukinga na magonjwa ya moyo โœจHusaidia kuongeza kinga ya mwili na kulisha cell kwa kiwango cha juu โœจHusaidia ukuaji wa ubongo na kutunza kumbukumbu โœจKwa wamama wajawazito husaidia mtoto kuzaliwa akiwa na afya njema โœจKuongeza uwezo wa kuona โœจKupunguza kasi ya uzee โœจHuimarisha afya ya ngozi โœจHusaidia kuimarisha viungo yaan mifupa โœจHusaidia kuondoa allergy kwa watoto โœจHusaidia kuondoa constipation โœจHusaidia kurudisha ute ute kwenye maungio Kopo moja lina supplement 100 Jinsi ya kutumia โœ…Unatakiwa kutumia supplement mbili kwa siku moja asubuhi na nyingine jioni Bei:35000 Location: Wasiliana nasi kwa namba ๐Ÿ’šDar es salaam Goba njia nne 0673402024 na 0688820050 ๐Ÿ’šArusha Kaloleni mnara wa mwenge, 0766607688 ๐Ÿ’šMwanza...

View original post