β³ Mwanamke mwenye mzunguko wa siku 21: Sasa tunatoa siku 12 nyuma kabla ya kuingia hedhi (21 - 12 = 9) kisha toa nne nyuma (9-4=5) basi mwanamke huyu anaweza kutoa yai kati ya siku ya 5 na 9 katika siku zake.
Mwanamke mwenye mzunguruko wa siku 32: Tunaanza kutoa siku 12 nyuma kabla ya kupata hedhi yake (32-12=20) tonatoa siku nne tena nyuma (20-4=16) kwa hiyo mwanamke huyu anaweza kutoa yai kati ya siku ya 16 mpaka 20 katika siku zake.
MWISHO WA SEHEMU YA KWANZA...
β³ Usipange kukosa sehemu ya pili siku ya kesho asubuhi na mapema, Tutakwenda kuona (Sifa za siku za kupata mimba).
Chakufanya hakikisha umeni follow, Pia hakikisha umeturn on post notification.
SHARE FOR LOVE EACH OTHER....πͺ

π¨βπ« @Jitibu
βBila uvumilivu na kujitoa, huwezi kufanikiwa kwa chochote maishani. Iwe kazi, biashara au mahusiano.β - Neil Strauss
βBila uvumilivu na kujitoa, huwezi kufanikiwa kwa chochote maishani. Iwe kazi, biashara au mahusiano.β - Neil Strauss
Endelea kujifunza haya na mengine mengi katika Application ya AfyaChap.
Bofya Link Katika Bio.
#afyachapdaktarikiganjanimwako
Bofya Link Katika Bio.
#afyachapdaktarikiganjanimwako
π¨βπ« @Jitibu
Kuwapa nafasi vijana kuzungumza ni hatua muhimu katika kutatua changamoto zao mapema.
Kupitia jukwaa la , wanafunzi 3,236 walishiriki mijadala iliyowawezesha kujitambua, kujiamini, na kujiepusha na makundi hatarishi

Ukombozi wa Afya Yako Ni Sokoni, Usipo kula Chakula Kuimarisha Afya Yako Kama Dawa, Ipo Siku Utakula Dawa Kama Chakula.
Maziwa π₯β Hamu ya Tendo la ndoa.
Ndizi π β Tajiri wa viinilishe Mwili.
Almonds & Karanga π₯ β Testosterone.
Tende π§ β Husaidia kuupa mwili nguvu.
Vitunguu saumu π§ β Sumu mwilini (Detox)
Majiπ¦ β Kwa Ajili ya Figo!
Mayai π₯β Kwa Ajili ya Ubongo π§ !
Carrotsπ₯ β Kwa Ajili ya Macho!
Nanasi πβ Kwa Ajili ya Koo!
Cabbage π₯¬ β Kwa Ajili ya Utumbo!
Tango π₯ β Kwa Ajili ya Ngozi!
Tangawizi π₯ β Kwa Ajili ya Koo na Mapafu!
Parachichi & Nyanya π₯ β Kwa Ajili ya Afya ya Moyo π«!
Mazoezi exerciseποΈ β Kwa Ajili ya Afya imara na Kinga Bora ya Mwili...!
Mboga za Majani π₯¦π« β Kwa Ajili ya Kuongeza Kinga yako ya Mwili.
NB: Kila hatua unayochukua kwa ajili ya afya yako ni uwekezaji katika Maisha yako ya baadaye.
THANKS TO BE WITH ME THIS MORNING.... π©Ί

This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Jifunze haya na mengine mengi katika Application ya AFYACHAP.
Link katika BIO
#afyachapdaktarikiganjanimwako
Link katika BIO
#afyachapdaktarikiganjanimwako