Isaack Nsumba
6.46K subscribers
1.44K photos
15 videos
138 links
Expert & Competent Teacher In Love, Relationship and Marriage.
Download Telegram
Akiwa Anahutubia Nchi Yake Siku Chache Kabla Ya Kwenda Vitani

Alitamka Maneno Haya "I am Going At The Battlefield,

One Thing I Can Promise You Is That, I WILL BE BACK.

I will be back Either after HOISTING the tri-colour,

Or..I will be back WRAPPED in it, but I will be back for sure"

Ninakwenda Vitani, Kitu Kimoja Naweza Kuwaahidi Ni Kwamba MIMI NITARUDI.

NItarudi Huku Nikipeperusha Bendera Ya Nchi Yangu Kwa Furaha Kama Ishara Ya USHINDI,

Ama Nitarudi Nikiwa Ndani Ya Jeneza Huku Nikiwa Nimefunikwa Bendera Kama Ishara Ya SHUJAA ALIYEFIA VITANI

Ila ama Hakika MIMI NITADURI"

Guess What? Hiyo Vita Alishinda Akiwa kama Captain Aliyeongoza Kikosi Cha Upiganaji Vitani.

Hayo Ni Maneno Mazito Yaliyotamkwa na Keptain Wa Kikosi Cha Kivita Nchini India

Si Mwingine ni Captain Vikram Batra

Binafsi Najifunza Kwamba, Kuna Wakati Mambo Makubwa Hayatokei Hadi UJITOE MZIMAMZIMA Katika Unachofanya.

Kwamba Afe Kipa Ama Afe Beki.

Kwamba Nipambane Hadi Niupate Ushindi Ama Nife Nikiwa Ulingoni,

Lakini Hakuna Kukimbia.

Kuna wakati unachokifanya kitahitaji kitu akinaitwa "100% Commitment"

Kwamba, Ujidhabihu na Ujitoe Kwelikweli,

UJILIPUE Kama Mtu Asiye na La Kupoteza.

Ukienda vitani na akili ya "Mambo Yakikaza Nalala Mbele"

Utashindwa Hadi Zile Vita Ambazo Kimsingi Ulitakiwa Kushinda

(Soma Tena)

Ndio Maana Mushashi Myamoto Akasema "To Wij Any Battle, You Must Fight As If You Arleady Dead"

(Ili Ushinde Vita Yoyote Ile ,ni Lazima Upambane Kama Mtu Ambae Hana Cha Kupoteza)

Utafanikiwa Sana Pale Ambapo, Shauku yako Kufanikiwa Ikiwa Kubwa Kuliko Hofu Yako Ya Kufeli.

Kwa Sababu...

1. Utajitoa Sana

2. Utainuka Hata Baada Ya Kuanguka Mara Kadhaa

3. Utawekeza Nguvu Zako Bila Kujali ni UNARISK Kiasi Gani?

Kwanini? Kwa Sababu...

Shauku yako Ya Kufanikiwa Ni Kubwa Kuliko Hofu Ya Kufeli.

So..Dont Accept Failure To Be an Option.

Mimi Nawewe Tuwe Kama Captain Vikram Batra.

Kwamba Turudi tukiwa Matajiri

Ama Umauti Utukute Tukiwa Tunapambana.

Ila Hatutakata Tamaa Tukiwa Hai.

Hebu Niandikie Hapa👇

Mfano "Mimi isaack Nsumba, Sitakata Tamaa...Nitafanikiwa Sana na Mafanikio Yangu Yatakuwa Chanzo cha Hamasa Kwa Wengine"

Nakutakia Kila La Kheri Unapomaliza Mwezi August na Kuingia Mwezi September.
👍87🔥3
Sababu Za Kwanini Mahusiano Mengi Ya Vyuo Huvunjika Mara Baada Ya Wahusika Kuhitimu Masomo Yao

Tafiti Zinaonesha Kwamba 78% Ya Mahusiano Ya Chuo Yanakufa Mara Baada Ya Wahusika Kuhitimu Masomo Yao.

Yani Wakihitimu tu Na Penzi Linakufa.

16% Yanakufa Miaka 2 Hadi 4 Baada Ya Kuhitimu.

4% Yanakufa Miaka 5 Na Kuendelea na ni 2% Pekeake ambayo Huwa Yanaweza Kufika Hatua Ya Ndoa.

Zipo Sababu Nyingi Zinazopelekea Hali Ya Namna Hiyo.

Hizi 5 Ni Zile Tunaita "Main Reasons"

1. Life Battles After Graduation

Baada ya chuo wahusika huingia Katika mapambano ya maisha.

Ambayo Kwa Namna Fulani Yanawaweka Bize.

Ule Ubize Unawafanya Wanashindwa Kuyapa Mahusiano Yao "Attention"

Na Hatimae Yanakufa.

Kwa Maneno mengine Ni Kwamba, Wengi Wakimaliza Chuo Wanaenda "KUJITAFUTA"

Katika Harakati Za Kujitafuta Wanajikuta WAMEPOTEZA PENZI LAO.

2. Distance Concerns

Wapo ambao, mwanaume kwao ni Kigoma Mwanamke Ni Nachingwea.

Wakimaliza Chuo Kwa Sababu Ya Umbali Penzi Linakufa Automatically.

Na Hii Hutokana na Ukweli Kwamba, Watu Wengi Hawana Ujuzi Wa Jinsi Ya Kulea, Kulinda na Kutunza Penzi La Mbali

Kwa Sababu Hiyo Linakufa.

Mara Nyingi, Wanaume Ndio Huongoza Kushindwa Kudumisha Mahusiano Ya Mbali (Distant Relationhip)

Sababu Ni Umbali Unawafanya WANAKOSA VITU MUHIMU KWAO.

3. No Link Again

Baada Ya Kuhitimu Masomo, Wengi Wanakosa Kitu Kinachowaunganisha na Kuwafanya Waendelee Kuwa Pamoja.

Kwa Sababu Kilichowaleta Pamoja ni Masomo, Kwa Sababu yameisha Na Bond Yao Inavunjika.

Hii ni kusema Kwamba...

Wengi wao huwa wanadate Kwa Wakati Huo (Dating At a Time) sababu wapo eneo moja.

Wakitengana ni kama wanakosa sababu ya Kwanini Waendelee Kuwa Pamoja.

4. Lack Of Preparation

2% Ya Mahusiano Ambayo Yanaanziaga Chuo na Yanafika Hatua Ya Ndoa Ni Ya Watu ambao Walijiandaa.

Walijiandaa kuendeleza mahusiano yao hata baada ya kumaliza masomo, walijiandaa kuja kuwa mke na mume (baba na mama)

Manake ni kwamba...

Hao ambao wakimaliza masomo huwa wanaachana ni Kwa Sababu Ya KUKOSA MAANDALIZI ya Jinsi Ya Kukabiliana na Hatua Inayofuata.

5. Having No Future

94% Ya Wanachuo Huwa Wanakuwa Katika Mahusiano Tunayaita "A Meaningless Relationship" (Mahusiano Yasiyo na Maana)

Ni Kwamba...

Wanakuwa hawajui wanataka penzi lao lifike wapi.

Wanakuwa hawajui jinsi gani wataliendeleza baada ya kuhitimu masomo.

They Are Just Dating For Fun.

Cha Ajabu.

Pamoja na Kwamba, Wengi Hawana Future Katika Mahusiano Yao Wakiwa Chuo.

Baada Ya chuo Yakivunjika Kuna Watu Wanaumia Kabisa!

Naomba Unambie.

Mahusiano Yenu Yalivunjika Baada Ya Kuhitimu chuo?

1. Unaweza Kujua Nini Kilisababisha?

2. Baada Ya Kuvunjika Ulichukua Hatua Gani?

3. Unadhani Ni Sababu gani sijaitaja, Lakini Ni Chanzo Cha Mahusiano Kuvunjika Baada Ya Wahusika Kumaliza Chuo?

Its Me Isaack Nsumba.
Expert and Competent Teacher In Love, Relationship and Marriage.
👍10👏51🔥1
Kama Una Mtaji Wa Kuanzia 20,000,000 Na Unatamani TUFANYE BIASHARA.

Njoo Inbox,

Nitakuuliza Maswali Machache Kuona Kama TUNAWEZA KUFANYA.

Whatsapp 0654 722 733
👍3
Kama Una Mtaji Wa Kuanzia 20,000,000 Na Unatamani TUFANYE BIASHARA.

Njoo Inbox,

Nitakuuliza Maswali Machache Kuona Kama TUNAWEZA KUFANYA.

Whatsapp 0654 722 733
👍3
Kama Umenifahamu Miaka 3 Kurudi Nyuma,

...Basi Utakuwa Unanijua Mimi Kama MWALIMU WA MAHUSIANO Na Sio Vinginevyo.

Ni Baada Ya Kuwepo Katika Field Hiyo Nikawa Napokea Cases Kadhaa Za Watu Ambazo..

Zinaathiri Mahusiano Yao Kwa Namna Moja Ama Nyingine.

Cases Kama;

1. Uke Kutoa Harufu

2. Uume Kuwa Mdogo

3. Uume Kutokusimama Imara

4. Kushindwa Kushiriki Tendo Kikamilifu

5. Kuwahi Kumwaga

N.k

Na Zoote Zinazofanana na Hizo.

"Inaonekana Watu Wengi Wanasumbuliwa na Hizi Changamoto, Ninawezaje Kufanya Hii Iwe Moja Kati Ya Biashara Zangu?"

Siku Moja Nikajiuliza

Hivyo..Niliamua Kuanza Kuuza Dawa Kwa Sababu 3

1. Ninapokea Cases Nyingi Nikiwa Kama Mshauri wa Mahusiano

2. Napenda Kusaidoa Watu Kutatua Changamoto

3. Nahitaji Hela

Hizo Sababu 3 Zikanisukuma Mimi Kuanziaha NSUMBA HERBAL CLINIC Unayoijua Wewe.

Nilianza Pekeangu Kama Mtu Binafsi.

Lakini Hivi Sasa Ni Taasisi Yenye Watu Kadhaa

Lakini, Kitu Kimoja Nilichogundua Ni Kwamba.

Kilichonisaidia Mimi sio Mtaji, Kuna Vitu Vingi Vimechangia Kuifikisha NSUMBA HERBAL CLINIC Mahali Ilipo.

Ndio Maana, Natamani Nikufundshe Wewe Ambae Unaguswa Kufanya Biashara Inayohusu Masuala Ya Afya.

Lengo Ni Ili Uweze Kukua Kwa Kasi Pasipo Kuishia Njiani Wala Kupoteza Mtaji

Tena Bila Kupoteza Muda Kwa Kufanya Mambo Ambayo Hayawezi Kukufanya Ukue.

Nawajua Watu Wengi Sana Ambao Walianzisha na Leo Wameacha.

Kwa Sababu KUNA VITU HAWAVIJUI Ambavyo Kama Wangevijua VINGEWASAIDIA Kukua.

Unahitaji Vitu 2 Ili Mimi Nikufundishe Wewe.

1. Mtaji Wa Shilingi 1,000,000 (Yes, Million Moja)

2. Ada 200,000 Utakayonilipa Mimi Kukufundisha Wewe.

Hiyo, 1,000,000 Ni Hela Utakayoanzia Kama Mtaji Wa Kuchukulia Dawa Kwetu.

Na Tutakusimamia Kuhakikisha DAWA ZAKO ZINATOKA (Kama Utachukua Kwetu)

So Kwa Shilingi 200,000 Utapata;

1. Lifetime Mentorship (Utakiwa Familia Yangu)

2. Trade Secrets (Siri Zinazonisaidia Mimi Kukua)

3. How To Build Strong Brand (Jinsi Unaweza Kujenga Jina Imara Litakalokusaidia Kuuza)

Kumbuka; Jina Linajengwa, Nitakufundisha JINSI YA KULIJENGA

4. How To Build a Strong Winning Team

Ili Ufanikiwe Sana Unahitaji Kuwa na TIMU IMARA YA USHINDI

Nitakufundisha Jinsi Ya Kuijenga (Ni Muhimu Sana)

5. How To Become Among 20% Of Market Leaders

Katika Kila Field Kuna 20% ya watu ambao wanatawala soko,

Yaani Wao Wanauza Zaidi Ya 80% ya waliobaki.

Nitakufundisha Jinsi Unavyoweza Kupenyeza Mpaka Kuingi Katika 20% ya watu wanaotawala soko la Biashara Unayofanya.

6. How To Use Others People Money

Nitakufundisha Jinsi Unavyoweza Kutumia Fedha Za Watu Wengine Kwaajili Ya Kukuza Biashara Yako.

7. Nitakufundisha Jinsi Ya Kupata Dawa Nzuri Zitakazolitangaza Jina Lako Au Jina La Biashara Yako.

Kumbuka, Kama Huna Dawa Nzuri Huwezi Kukua.

Hayo Mambo 7 Ukiyajua Hautaishia Njiani Kama Wengine.

Njoo, Lipia Ada Nikupe Shule.

(Hii Ni Kwa Mnaofanya Biashara Ya Afya Au Mnaotamani Kufanya Hiyo Biashara)

[9/9, 4:20 PM] Isaack Nsumba: Shilingi 200,000 Ni Nyingi Sana Eeh?

So..Kama Uko Tayari.

Naomba Nitumie Meseji Yenye Neno "NIPO TAYARI"

Nitakuuliza Maswali Machache Ili Kuona Kama Unanifaa Au Hunifai.

Its Me Isaack Nsumba.

CEO Nsumba Herbal Clinic.

Cheers🥂
👍102🔥2