Isaack Nsumba
6.4K subscribers
1.44K photos
15 videos
141 links
Expert & Competent Teacher In Love, Relationship and Marriage.
Download Telegram
Kuna Msemo Mmoja Unasema; "Success Is Like Being Pregnant Everyone Says Congratulations But Nobody Knows HOW MANY TIMES YOU WERE FUCKED"

(Mafanikio Ni Sawasawa Na Mimba, Ikishaanza Kuonekana Kila Mtu Atakwambia "HONGERA" Bila Kujua Ni Mara Ngapi "UMEGONGWA" Mpaka Mimba Ikapatikana)

Manake Ni Hii Hapa, Watu Wengi Huwa Wanazingatia "MATOKEO" Na Sio "MCHAKATO" Uliopelekea Kupatikana Kwa Matokeo.

Ukweli Ni Kwamba...Watu Hawajali Kabisa Kujituma Kwako, Kuhenyeka, Kujisulubisha Wala Kujinyima Kwako Ila Wanajali Na Kuzingatia MATOKEO ULIYONAYO.

Ndio Maana Mtu Mmoja Akasema "No One Cares About You, Until You Are RICH, FAMOUS Or DEAD"

Hakuna Atakaekuzingatia Mpaka Pale Utakapokuwa TAJIRI, Mtu MAARUFU Au UTAKAPOKUFA.

Tuendelee KUPAMBANA, BILA KUCHOKA!

By The Way, Kama Umeipenda Makala Hii Fanya Haya:

1. Comment Kitu Ulichojifunza

2. Follow Page Hii Kwa Ajili Ya Mafunzo Zaidi

3. Save Post Hii Kwa Matumizi Ya Baadaye

4. Share Post Hii Ili Iwasaidie Wengine Wengi

Isaack Nsumba

#Mapenzi #Mahusiano #DarEsSalaam #Tanzania #Uchumba #Ndoa
👍2
Mtaalam Olumide Emmanuel Katika Kitabu Chake Cha Mambo 50 Ambayo Hautakiwi Kuyachukulia Kiwepesi Alisema...

“Many People Do Not Appreciate What They Have Until There Is A Threat Of Losing It Or They Actually Lose It.”

(Watu Wengi Huwa Hawavithamini Vitu Walivyonavyo Mpaka Pale Watapoanza Kuhisi Kuwa Wanakaribia Kuvipoteza Au Baada Ya Kuvipoteza Kabisa)

Katika Mahusiano, Watu Wengi Sana Bila Kujua Walijikuta Wanapoteza Watu Ambao Kimsingi Walitakiwa Kuwatunza,

Matokeo Yake Walikuja Kujua Kuwa Wamepoteza Watu Wa Thamani Mara Baada Ya Watu Hao KUTOWEKA JUMLA.

My Message; Mlinde, Mthamini, Mtunze, Mjali Na Kumhifadhi Uliyenaye Kabla Upendo Wake Kwako Haujageuka Na Kuwa Historia.

Kama Usipofanya Hivyo Neno "NAKUPENDA SANA" Litageuka Na Kuwa "NILIKUPENDA SANA" Ikifika Hiyo Hatua Utakuwa Na Maumivu Pamoja Na Majuto Ya Ningejua...

By The Way, Kama Umeipenda Makala Hii Fanya Haya:

1. Comment Kitu Ulichojifunza

2. Follow Page Hii Kwa Ajili Ya Mafunzo Zaidi

3. Save Post Hii Kwa Matumizi Ya Baadaye

4. Share Post Hii Ili Iwasaidie Wengine Wengi

Isaack Nsumba

#Mapenzi #Mahusiano #DarEsSalaam #Tanzania #Uchumba #Ndoa
Jinsi Ya Kukabiliana Na Upweke Ndani Ya Mahusiano...

1. Tambua Chanzo Cha Hisia Zako (Identify The Source Of Your Feelings)

Jiulize: Je, Upweke Unatokana Na Kukosa Mawasiliano?

Kukosa Ukaribu Wa Kihisia? Au Kuna Kitu Kingine Kilichopungua?

Mtu Mmoja Alisema Tatizo Ukilielewa Vyema, Umelitatua Kwa Asilimia 50.

(Problem Well Defined, Is A Problem Half Solved).

2. Zungumza Kwa Uwazi Na Mwenza Wako (Communicate Honestly With Your Partner)

Eleza Jinsi Unavyojisikia Bila Lawama.

Tumia Lugha Ya “Nahisi” Badala Ya “Wewe Hunifanyi.”

Mfano: “Najihisi Mpweke Hata Tunapokuwa Pamoja.”

Mfanye Ajue Kuwa, Upo Nae Katika Mahusiano, Lakini Moyoni Ni Kama Bado Unahitaji Mtu.

Kwa Sababu Ya Upweke Unaokumbana Nao.

3. Ongeza Ukaribu Wa Kihisia (Build Emotional Intimacy)

Fanyeni Mambo Ya Pamoja Kama Vile Mazungumzo Ya Kina.

Kupeana Muda Wa Ubora, Au Kushiriki Ndoto Na Malengo Yenu.

Katika Mazingira Hayo...

Upweke Sio Kukosa Mtu, Bali Ni Kushindwa Kuconnect Na Mtu Uliyenae.

4. Toa Nafasi Ya Marekebisho (Give Room For Improvement)

Mambo Yanaweza Kubadilika Kama Wote Mpo Tayari Kufanya Kazi Pamoja Kuboresha Mahusiano.

5. Kubali Ukweli Kama Hakuna Mabadiliko (Accept Reality If Nothing Changes)

Ikiwa Umekuwa Wazi, Umejitahidi, Lakini Hali Haibadiliki.

Ni Kawaida, Na Ni Sawa Kama Utachukua Maamuzi Ya Kuondoka.

By The Way, Kama Umeipenda Makala Hii Fanya Haya:

1. Comment Kitu Ulichojifunza

2. Follow Page Hii Kwa Ajili Ya Mafunzo Zaidi

3. Save Post Hii Kwa Matumizi Ya Baadaye

4. Share Post Hii Ili Iwasaidie Wengine Wengi

Isaack Nsumba

#Mapenzi #Mahusiano #DarEsSalaam #Tanzania #Uchumba #Ndoa
4
Na Ndio Mapenzi Yalivyo, Mtu Ambae Anaumiza Vichwa Vya Wengine Yeye Anaumiza Kichwa Chake Kwaajili Yako.

Mtu Ambae Ni Very Expensive Kwa Wengine, Kwako Amekubali Kuwa Very Cheap And Affordable.

Yaani Mtu Ambae Anakazia Wengine Kwako Hakazi na Amekubali Kulegeza, Wengine Anawasumbua Kwako Katulia Tuliii.

Mtu Ambae Hapatikani Kabisa Kwa Wengine Kwako Anapatikana 24/7

Ana Misimamo Mikali Sana Kwa Wengine, Ila Kwako Kakubali Kuivunja Yoote...Ndo Mapenzi Yalivyo.

Kabla Hajafika Hatua Ya Kukutreat Wewe Kama Hao Wengine Basi APRECIATE Yale Anayafanya Kwako.

Kama Leo Kuna Watu Anawapuuzia Kwaajili Yako, Usimfanye Afike Hatua Ya Kukupuuzia Nawewe Kama Moja Ya Hao Wa Sasa.

By The Way, Kama Umeipenda Makala Hii Fanya Haya:

1. Comment Kitu Ulichojifunza

2. Follow Page Hii Kwa Ajili Ya Mafunzo Zaidi

3. Save Post Hii Kwa Matumizi Ya Baadaye

4. Share Post Hii Ili Iwasaidie Wengine Wengi

Isaack Nsumba

#Mapenzi #Mahusiano #DarEsSalaam #Tanzania #Uchumba #Ndoa
Nini Kinachomvutia Mwanaume Kwa Mwanamke?...

1. Mwanamke Mwenye Malengo na Anayejitegemea (Ambitious And Independent Woman)

Mwanamke Anayejua Anachotaka Maishani.

Na Anafanya Jitihada Kukifikia...

Na Anaweza Kujisimamia Bila Kutegemea Wengine Kila Kitu.

Mwanaume Anataka Kutegemewa, Lakini Sio Kwa Asilimia 100.

2. Mwanamke Anayeanza Hatua Ya Kwanza (A Woman Who Makes The First Move)

Mwanaume Anathamini Ujasiri Wa Mwanamke Anayeonesha Hisia Zake...

Na Kuchukua Hatua Ya Kuanza Mazungumzo Au Kuonesha Uvutio.

Hata Tafiti Za Kisaikolojia Zimethibitisha Hili...

Kwamba Mwanaume Anapatwa Shauku Zaidi Katika Jambo Aliloanzisha Mwanamke.

Hata Katika Sex, Ikitokea Game Akaiomba Mwanamke...

Basi Upo Uwezekano Wa Mwanaume Kuperform Kwa KIWANGO CHA JUU ZAIDI.

3. Kumruhusu Akutunze na Kukuongoza (Allowing Him To Take Care Of You And Lead)

Ingawa Kujitegemea Ni Muhimu Kumruhusu Mwanaume Kuonesha Upendo Wake...

Kupitia Matendo Ya Kukutunza Na Kukujali Kunamfanya Ajihisi Kuthaminiwa.

Lakini Pia Unapompa Mwanaume Nafasi Ya Kukuongoza...

Unamuweka Katika Hali Ya Kujiona "MTU WA MAANA KABISA"

Hii Inamuongezea Uhuru na Confidence Mbele Yako, Na Inamfanya Azidi Kukupenda.

By The Way, Kama Umeipenda Makala Hii Fanya Haya:

1. Comment Kitu Ulichojifunza

2. Follow Page Hii Kwa Ajili Ya Mafunzo Zaidi

3. Save Post Hii Kwa Matumizi Ya Baadaye

4. Share Post Hii Ili Iwasaidie Wengine Wengi

Isaack Nsumba

#Mapenzi #Mahusiano #DarEsSalaam #Tanzania #Uchumba #Ndoa
3
Hii Ndio Njia Itakayokusaidia Kumpata Mwanamke Anaekuzidi Hadhi...

Kama Imetokea Umempenda Mwanamke Lakini Unahisi Kama AMEKUZIDI HADHI.

Kuna Jambo Moja Muhimu Sana Unaweza Kufanya Na Ukampata.

Mwandishi Wa Kitabu Cha Falling In Love; Why We Choose Lovers We Choose.

(Kwanini Tunachagua Wenzi Tunaowachagua, Vitu Gani Hutusukuma Kuwachagua Wao)

Alikifafanua Hiki Kitu Kwa Kusema Hivi....

"We (Human) Tend To Prefer People Who Are Similar To Us, We Need To Feel Matchable And Familiar With Them"

Yaani, Sisi Binadamu Huwa Tunapendelea Kuwa Na Watu Wanaoendana Au Kufanana Na Sisi...

Ili Tujihisi Sisi Ni Wamoja Pamoja Nao Na Tunaendana.

Kwahiyo, Ni Ngumu Sana Kumpata Mtu Ambae HAUFANANI Nae Wala HAUENDANI Nae.

Na Ndio Maana Unatakiwa Ku..."LEVEL UP TO/ABOVE HER LEVEL"

Yaani, Hakikisha Unajijenga, Unajiimarisha Na Kujiongeza Ili Ufike Hadhi Yake Au Zaidi Ya Hadhi Aliyonayo...

Hii Ni Kwa Sababu...

Ni Lazima Uendane Nae Ili Akuone Wewe Kama Mwanaume Unaefaa Na Unaweza Kuwa Katika Mahusiano Nawewe.

Kufanya Hivyo Kuna Faida Kubwa Mbili.

1. Kumfanya Aone MNAENDANA, KUFANANA Na KUFAANA.

Si Tumeshaangalia Hapo Kuwa Mara Nyingi Binadamu Tunachagua Wenzi Tunaofanana Na Kuendana Nao?

Kwahiyo Kabla Hujamfuata Hakikisha Unajiweka Katika Mazingira Yatakayokufanya Uonekane Kama Unaendana Nae.

2. Kumfanya Akuone Wewe Kama Mwanaume UNAEMUWEZA.

Ukweli Ni Kwamba, Kila Mwanamke Anahitaji Mwanaume Mwenye Nguvu (Powerful Man) Yaani Ambae Anaweza Kumhandle.

Ikitokea Mwanamke Akakuzidi Vitu Atakuona Kama Mwanaume Ambae Huwezi Kumhandle.

Na Atakuwa Haihisi Ile Hali Ya Kumilikiwa (Sense Of Belonging)

Na Hata Wewe Mwenyewe, Kuna Wakati Utakosa Sauti Na Mamlaka Mbele Yake

Kwa Sababu Anakuzidi Vitu Hivyo Ni Sawa Na Kusema Ana Nguvu Zaidi Yako.

So Badala Ya Kuhangaika Nae... Work On Yourself King, Create A New Version Of You, Improve Master!

By The Way, Kama Umeipenda Makala Hii Fanya Haya:

1. Comment Kitu Ulichojifunza

2. Follow Page Hii Kwa Ajili Ya Mafunzo Zaidi

3. Save Post Hii Kwa Matumizi Ya Baadaye

4. Share Post Hii Ili Iwasaidie Wengine Wengi

Isaack Nsumba

#Mapenzi #Mahusiano #DarEsSalaam #Tanzania #Uchumba #ndoa
3
Makosa 5 Ya Kuepuka Unapotaka Kurudiana Na Ex Wako...

1. Kumuonesha Wewe Ni Yuleyule, Hujabadilika

Ikiwa Tabia Zilizomfanya Aondoke Hazijabadilika, Atahisi Hakuna Kitu Kipya Kitakachomvutia Kurudi.

So Mfanye Ajue Wewe Ni Kiumbe Kipya.

Mfanye Ajue Umebadilika, Mfanye Ajue Wewe Ni "A NEW VERSION"

2. Kumfanya Ajue Umeshindwa Kabisa Kuziba Pengo Lake.

Ukionekana Unamtafuta Kwa Kila Njia Kwa Sababu Hujapata Nafuu Bila Yeye...

Itamfanya Ajione Na Thamani Kubwa Zaidi Kuliko Ilivyo.

Na Sio Hivyo Tu, Bali Inaweza Kumfanya Akutese Hadi Ukajuta Kurudiana Nae.

3. Kumuonesha Umerudi Kwake Baada Ya Kuumizwa Ulipokwenda

Kurudi Kwa Sababu Mahusiano Mengine Yalikushinda

Au Uliumizwa Kunamfanya Ahisi Yeye Ni “Chaguo La Mwisho.”

4. Kumbembeleza Kupita Kiasi.

Kujishusha Mno Au Kuomba Msamaha Mara Zote Bila Mabadiliko Ya Vitendo Kunapunguza Heshima Yako.

5. Kutokubali Makosa Yaliyopita.

Kutochukua Uwajibikaji Kuhusu Sababu Za Kuachana Kunaonesha Bado Hujajifunza Cho Chote.

Rudi Kwake Huku Ukimuonesha Kuwa Umebadilika.

Rudi Huku Ukimuonesha Umegundua Yeye Ndiye Mtu Sahihi Kwako.

By The Way, Kama Umeipenda Makala Hii Fanya Haya:

1. Comment Kitu Ulichojifunza

2. Follow Page Hii Kwa Ajili Ya Mafunzo Zaidi

3. Save Post Hii Kwa Matumizi Ya Baadaye

4. Share Post Hii Ili Iwasaidie Wengine Wengi

Isaack Nsumba

#Mapenzi #Mahusiano #DarEsSalaam #Tanzania #Uchumba #Ndoa
1
Nimependekezwa Kuwania Tuzo Ya "RELATIONSHIP EXPERT-MARRIAGE COACH OF THE YEAR."

Kama Unaguswa Na Kazi Zangu, Pengine Hii Ikawa Ndio Nafasi Yako Ya Kunipa Maua Yangu Niyanuse NINGALI BADO NIKO HAI.

Unaweza Kunipigia Kura Kadri Uwezavyo, Ili Kuhakikisha TUZO HII INABAKI KWETU.

Kama Unatamani Kuniona Napata Hii Tuzo, Hapa Chini Natoa Muongozo.
Isaack Nsumba
Nimependekezwa Kuwania Tuzo Ya "RELATIONSHIP EXPERT-MARRIAGE COACH OF THE YEAR." Kama Unaguswa Na Kazi Zangu, Pengine Hii Ikawa Ndio Nafasi Yako Ya Kunipa Maua Yangu Niyanuse NINGALI BADO NIKO HAI. Unaweza Kunipigia Kura Kadri Uwezavyo, Ili Kuhakikisha TUZO…
Jinsi Ya Kumpigia Kura ISAACK NSUMBA

(Relationship Expert | Marriage Coach)

>>>https://evopolls.com/polls/afriglomentz

Bonyeza Hiyo Link.

Ikifunguka Shuka Chini Kabisa Utakuta Category Ya MARRIAGE/FAMILY COACH

Bonyeza Jina La Pili (Isaack Nsumba)

Kisha Bonyeza "VOTE" IKifunguka Bonyeza "CONTINUE"

Ikifunguka Utaandika Idadi Ya Kura Unazonipigia (Kura 1 Ni 500)

Kisha Utachagua Njia Ya Malipo Ya Hiyo Hela Ya Kura (Inaweza Kuwa Kwa Simu)

Kisha Utabonyeza "COMPLETE PAYMENT" Kisha Utabonyeza "CONTINUE"

Kisha Utaingiza Namba Ambayo Ina Hicho Kiasi Cha Malipo Ya Idadi Ya Kura Ulizonipigia Kwa Kuanza Na Namba Bila 0 (Mfano 654 722 733)

Kisha Utabonyeza "PROCEED" Baada Ya Hapo Utaingiza Namba Ya Siri.

Kisha Utakatwa Hicho Kiasi Na Baada Ya Hapo Utakuwa Umenipigia Kura Tayari.

Unaweza Nipigia Kura Nyingi kadri Uwezavyo...Na Nitashukuru Sana!
Jinsi Ya Kumtunza Na Kumlinda Mwanaume, Ili Aendelee Kubaki Kwako...

1. Yajue Mahitaji Na Matarajio Yake Na Uyatimize Ipasavyo

Watu Huingia Na Hukaa Katika Mahusiano Kwa Manufaa Yao Binafsi.

Kinachomleta Mwanaume Kwako Ni Matarajio Anayotegemea Kuyapata Akiwa Na Wewe.

Yajue Na Umtimizie, Hawezi Baki Sehemu Ambapo Hapati Alichotarajia... Ataondoka!

2. Kuwa Chachu Ya Mabadiliko Yake Kimaisha

Msaidie Kuwa Bora Zaidi Bila Kumshinikiza Kwa Njia Hasi.

Mpe Msukumo Wa Kufanikisha Malengo Yake Kwa Kumtia Moyo...

Kumsaidia Kupanga, Na Kusherehekea Hatua Anazofanikisha.

Kuwa Mfano Wa Nidhamu, Maadili Na Bidii Ya Kazi, Mabadiliko Mazuri Yanaambukiza.

Hakuna Namna Mwanaume Anaweza Kumtupa Mwanamke Ambaye Ni Chachu Ya Yeye Kufanikiwa.

Kuwa Aina Hiyo Ya Mwanamke Sasa.

3. Mtengenezee Hofu Ya Kukupoteza

Hii Haimaanishi Kumtisha Au Kumfanya Ajisikie Vibaya,

Bali Kuendeleza Mvuto Wako Na Thamani Yako.

Kuwa Na Maisha Yenye Kusisimua, Kujijali, Na Kulinda Heshima Yako Binafsi.

Mwanaume Anayejua Kuwa Unajithamini Na Una Mchango Mkubwa Hutaka Kulinda Uhusiano.

Mfanye Ajue Alibahatika Kuwa Na Wewe Na Kama Asipokulinda Atakupoteza.

Na Endapo Akikupoteza Hatobahatika Kukupata Tena.

4. Mlinde Kwa Namna Ya Rohoni (Muhimu Sana!)

Ombea Afya Yake, Kazi Yake, Na Uhusiano Wenu.

Mpe Maneno Ya Faraja Na Nguvu Katika Nyakati Za Changamoto.

Kuwa Mtu Wa Siri Zake Na Msaada Wa Kiroho, Kiakili Na Kihisia.

Biblia Imesema "Mwanamke Atamlinnda Mwanaume" (Yeremia 31:22).

Manake, Ukifanya Hayo Mengine Pasipo Hili La Kiroho Unaweza Kumpoteza.

So Binuka, Jibebishe, Katika, Msaidie Lakini Usisahau Kumlinda Pia Kwa Jinsi Ya Rohoni.

By The Way, Kama Umeipenda Makala Hii Fanya Haya:

1. Comment Kitu Ulichojifunza

2. Follow Page Hii Kwa Ajili Ya Mafunzo Zaidi

3. Save Post Hii Kwa Matumizi Ya Baadaye

4. Share Post Hii Ili Iwasaidie Wengine Wengi

Isaack Nsumba

#Mapenzi #Mahusiano #DarEsSalaam #Tanzania #Uchumba #Ndoa
1
Jinsi Ya Kumtengenezea Mwanaume HOFU YA KUKUPOTEZA...

Thamani yako Kwake Inategemeana na Kiasi Cha Hofu Aliyonayo.

Asipokuwa na Hofu Atakutreat Vyovyote Atakavyoona Inafaa.

Ndio Maana, Nimekusudia Kukusaidia Uweze Kumtengenezea Hiyo Hofu.

1. Muoneshe Wanaume Wanaokutaka Wanamzidi Yeye

Hii Haitakiwi Kwa Kiburi Wala Dhihaka,

Bali Kwa Namna Yenye Busara.

Mwanaume Akiona Wanaume Wengine Wanathamini Thamani Yako,

Anaanza Kujua Ana Kitu Cha Thamani Mkubwa Ambacho Anatakiwa Kulinda.

2. Muoneshe Thamani Yako Katika Maisha Yake

Uwe Mchango Mkubwa Katika Furaha, Utulivu, Na Maendeleo Yake.

Mwanaume Asiyeona Thamani Yako Atadhani Hata Ukiondoka Maisha Yake Yataendelea Kama Kawaida.

Mfanye Atambue Wewe Ni Sehemu Muhimu Ya Ufanisi Wake.

Mfanye Ajue na Aone Anakuhitaji Uendelee Kuwepo Kwa Sababu Ya Thamani Yako.

3. Mfanye Ajue Kama Akikupoteza Hatokupata Tena

Kuwa Mwanamke Wa Kipekee Kwa Matendo, Nidhamu, Na Mvuto.

Mfanye Atambue Yeye Kubaki Na Wewe Ni Bahati Ambayo Si Kila Mwanaume Anaipata.

Na Akikupoteza, Hatapata Tena Mtu Kama Wewe.

Kama Akijua Ukiondoka Utarudi, Akikupoteza Anaweza Kukupata Tena Hatokuthamini.

By The Way, Kama Umeipenda Makala Hii Fanya Haya:

1. Comment Kitu Ulichojifunza

2. Follow Page Hii Kwa Ajili Ya Mafunzo Zaidi

3. Save Post Hii Kwa Matumizi Ya Baadaye

4. Share Post Hii Ili Iwasaidie Wengine Wengi

Isaack Nsumba

#Mapenzi #Mahusiano #DarEsSalaam #Tanzania #Uchumba #Ndoa
1
Aina Ya Mwanamke ASIYEFAA KUWA MKE NA MAMA...

1. Asiyeweza Kuvumilia Nyakati Ngumu.

Ushirikiano Wa Ndoa Na Malezi Ya Familia Una Changamoto Nyingi.

Mwanamke Asiye Tayari Kusimama Imara Kwenye Misukosuko Ya Maisha Ataathiri Ustawi Wa Familia.

Ni Muhimu Sana Mwanamke Awe Na Uwezo Wa Kusurvive Katika Nyakati Ngumu.

Nguvu Yake Inaweza Kukusaidia Wewe Pia Kama Mumeo.

Asiwe Mwanamke Ambaye Unapopitia Katika Kipindi Kigumu Badala Ya Kuwa Mfariji Anakuwa Tatizo Jingine.

2. Mwenye Matumizi Mabaya Ya Fedha.

Familia Inahitaji Nidhamu Ya Kifedha.

Mwanamke Anayependa Anasa Kupita Kipato Au Asiyepanga Matumizi Anaweza Kuiweka Familia Kwenye Matatizo Ya Kifedha.

Mwanamke Ni Msaidizi Kwa Mwanaume.

Anatakiwa Akusaidie Kudhibiti Matumizi Holela Ya Mwanaume.

Akiwa Na Matumizi Mabaya Ni Ngumu Sana Nyie Kutoboa.

3. Asiyetaka Kujifunza Na Kubadilika.

Maisha Hubadilika Na Changamoto Mpya Hujitokeza.

Mwanamke Asiye Tayari Kujifunza, Kusikiliza Ushauri, Au Kubadilisha Tabia Hafai.

Hakikisha Mkeo Anakuwa Ni Yule Mwanamke Aliye Tayari Kujifunza.

Aliye Tayari Kubadilika, Aliye Tayari Kukosolewa Na Kuboresha... Kama Hana Hii Sifa HAFAI HUYO.

By The Way, Kama Umeipenda Makala Hii Fanya Haya:

1. Comment Kitu Ulichojifunza

2. Follow Page Hii Kwa Ajili Ya Mafunzo Zaidi

3. Save Post Hii Kwa Matumizi Ya Baadaye

4. Share Post Hii Ili Iwasaidie Wengine Wengi

Isaack Nsumba

#Mapenzi #Mahusiano #DarEsSalaam #Tanzania #Uchumba #Ndoa
4
Mambo 3 Yanayosukuma UTOAJI WA MWANAUME....

Haiwezekani Wanaume Woote Wakajitoa Sawa Kila Mtu Katika Mahusiano Yake.

Kila Utoaji Wa Mwanaume Anaoufanya Unakuwa Umesukumwa Na Mambo 3:

1. UWEZO Wake Wa Kujitoa

Uwezo Wa Kifedha Wa Mwanaume Ndio Unaoamua Ajitoe Kwa Kiasi Gani.

Hivyo Si Vizuri Kumfosi Ajitoe Zaidi Ya Uwezo Alionao.

Kubaliana Na Ule Uwezo Wake, Pokea Kujitoa Kwake Na Muoneshe Kuwa Unathamini.

2. MVUTO Wa Mwanamke

Mwanaume Anaweza Kujitoa Kwa Aisha 20,000 Ila Kwa Mwajuma Akatoa 100,000

Kwa Sababu Ya Tofauti Ya Mvuto Wao.

Kadri Mwanamke Anavyokuwa Na Mvuto,

Ndivyo Inavyomsukuma Mwanaume Kujitoa Zaidi.

Kwa Maneno Mengine, Katika Mazingira Haya Mwanaume...

Anajitoa Kulingana Na Jinsi Alivyomthaminisha Mwanamke Huyo.

Lakini Pia, Katika Mazingira Haya Mwanaume Anajitoa Kwa Hofu,

Akiamini Kuna Wanaume Wengine Wanaoweza Kujitoa Kwa Mwanamke Huyo Kwa Kiwango Kikubwa.

3. UPENDO Wa Mwanaume Kwa Mwanamke

Kuna Wakati Ambapo Mwanaume Anajitoa Kwa Kusukumwa Na Upendo.

Kwahiyo, Kule Kujitoa Kwake Kunawakilisha Kiasi Cha Upendo Alionao Kwa Huyo Mwanamke.

Ndio Maana, Mwanaume Anaweza Asiwe Na Uwezo Mkubwa,

Lakini Akajibidiisha Kujitoa Kwa Kiasi Kikubwa Kwa Sababu Ya Ule Upendo Alionao.

Kwa Namna Nyingine, Ni Sahihi Kusema:

Akipenda Kidogo Atajitoa Kidogo (Hata Kama Ana Uwezo Mkubwa),

Na Akipenda Sana Atajitoa Sana (Hata Kama Ana Uwezo Mdogo).

Na Hili Sio Geni, Hata Mungu Alifanya...

Anasema..."Kwa Maana JINSI HII Mungu Aliupenda Ulimwengu... Hata Akamtoa Mwanae Wa Pekee." Yohana 3:16

Anatuonesha Kwamba, Aliupenda Ulimwengu Kwa Kiasi Kikubwa Hadi Akaona Amtoe Tu Mwanae.

Kwahiyo Kilichousukuma Moyo Wa Mungu Kujitoa Si Kingine,

Bali Ni Ule Upendo Aliokuwa Nao Kwa Ulimwengu.

Hiyo Ndio Saikolojia Iliyojificha Nyuma Ya Kujitoa Kwa Mwanaume.

By The Way, Kama Umeipenda Makala Hii Fanya Haya:

1. Comment Kitu Ulichojifunza

2. Follow Page Hii Kwa Ajili Ya Mafunzo Zaidi

3. Save Post Hii Kwa Matumizi Ya Baadaye

4. Share Post Hii Ili Iwasaidie Wengine Wengi

Isaack Nsumba

#Mapenzi #Mahusiano #DarEsSalaam #Tanzania #Uchumba #Ndoa
3
Maeneo 4 Muhimu Kuyajadili Kwa Uwazi Kama Wanandoa...

1. Fedha

Jadilini Mapato, Matumizi, Mipango Ya Uwekezaji, Na Vipaumbele Vya Kifedha.

Uwazii Katika Fedha Unaondoa Migongano Ya Baadaye.

Jadilini Tabia Za Kila Mmoja Wenu Linapokuja Suala la Kifedha.

Jadilini Malengo Ya Kifedha, Vipaumbele na Mahali Pa Kuelekeza Nguvu Zenu.

2. Sex

Zungumzieni Matarajio, Mara Za Kushiriki,

Na Njia Za Kuhakikisha Kila Mmoja Anaridhika.

Kutozungumza Kuhusu Tamaa Na Matamanio Kunaweza Kuleta Umbali Kihisia.

Kila Mmoja Anatakiwa Kusema, Nini Huwa Kinamfurahia na Nini Huwa Hakimfurahishi.

Kila Mmoja Anatakiwa Kusema, Nini Anatamani Kufanyiwa.

Nini anadhani Akifanyiwa Atalifurahia Tendo.

Uwazi Katika Hili Eneo Unasaidia Kujua Mahali Pa Kuboresha.

3. Kusaidia Ndugu Na Wazazi

Muwe Wazi Kuhusu Mipaka,

Kiasi Cha Msaada, Na Njia Za Kusaidia Bila Kuharibu Bajeti Yenu.

Msisahau, Moja Ya Sababu Ya Kwanini Baadhi Ya Ndoa na Familia ni Maskini Ni KWA SABABU YA MISAADA.

Hivyo Ni Muhimu Kuwa Na Hekima, Utaratibu na Muongozo Katika Kusaidia.

Ili Msijikute Kwamba, Mnasaidia Huku Ninyi Mkikaukiwa.

4. Tabia Za Kila Mmoja

Jadilini Tabia Zinazowakwaza,

Zinazowafariji, Na Njia Za Kuboreshana.

Tabia Zikiwekwa Wazi Mapema, Husaidia Kuepuka Migongano Mikubwa.

Kumbuka, Kulingana na Law Of Evaluation, Inayotaka Kujikagua na Kufanya Tathmini Kila Baada Ya Muda Fulani.

Ni Vigumu Kufanya Tathmini Itakayosaidia Kuboresha Ikiwa Haya Maeneo 4 Hamuwezi Kuyajadili Kwa Uwazi.

By The Way, Kama Umeipenda Makala Hii Fanya Haya:

1. Comment Kitu Ulichojifunza

2. Follow Page Hii Kwa Ajili Ya Mafunzo Zaidi

3. Save Post Hii Kwa Matumizi Ya Baadaye

4. Share Post Hii Ili Iwasaidie Wengine Wengi

Isaack Nsumba

#Mapenzi #Mahusiano #DarEsSalaam #Tanzania #Uchumba #Ndoa
2
[VIDEO YOUTUBE]; Ngazi Kubwa 3 Za MAWASILIANO KATIKA MAHUSIANO

>>>https://youtu.be/l1P6BA9T2TM

Ukishatazama Video, USISAHAU KUSUBSCRIBE
Nafasi 3 Ulizonazo Kama Mwanamke Kwa Mwanaume Wako...

1. Nafasi Yako Kama Mama Kwake

Kumlinda, Kumfariji, Kumsaidia, Na Kumpa Utulivu Wa Nyumbani.

Hii Ni Pamoja na Kujali Afya Yake.

Lakini Pia Kuhakikisha Amekula na Ameshiba Chakula Akipendacho.

Hii Pia Ni Nafasi Yako Ya Kuhakikisha Muda Woote Ni Msafi.

Muda Wa Kupumzika Pamoja na Kumkumbusha Mambo Muhimu.

Mwanaume Kama Mtoto Anahitaji Kulelewa.

NB; Unafanya Kwa Hekima, Sio Kwa Kumshurutisha.

2. Nafasi Yako Kama Mke Na Mpenzi

Kumvutia, Kumthamini, Kumjenga Kihisia Na Kimapenzi.

Kuhakikisha Anaridhika, Anafurahia Penzi.

Unapokuwa Katika Nafasi Hii Unakuwa Mfano Wa Kahaba.

Yaani Unajiweka Katika Nafasi Ya Kumhudumia Mwanaume Katika Namna Itskayomridhisha.

Hapa Usilete Umama, Usilete Udada, Usiwe Church Lady N.k

3. Nafasi Yako Kama Mtoto Wake Wa Kike

Kumfanya Ajisikie Wajibu Wa Kukutunza, Kukulinda, Na Kukuangalia Kwa Upendo.

Kumpa Nafasi Ya Kukulea, Kukuelekeza na Kukufundisha.

Katika Nafasi Hii Usisahau Kumuonesha Kuwa Unatambua Mamlaka Aliyonayo Kwako.

Usisahau Kumuonesha Kuwa Upo Chini Ya Uangalizi Wake

Muhimu; Hekima Sio Kuzijua Hizo Nafasi, Hekima Ni Kujua Jinsi Ya Kuswitch.

Yaani Kujua Uwe Nani Katika Wakati Upi.

Usiwe Mama Wakati Unapotakiwa Kuwa Mpenzi.

Usiwe Mtoto Wakati Unapotakiwa Kuwa Mama.

By The Way, Kama Umeipenda Makala Hii Fanya Haya:

1. Comment Kitu Ulichojifunza

2. Follow Page Hii Kwa Ajili Ya Mafunzo Zaidi

3. Save Post Hii Kwa Matumizi Ya Baadaye

4. Share Post Hii Ili Iwasaidie Wengine Wengi

Isaack Nsumba

#Mapenzi #Mahusiano #DarEsSalaam #Tanzania #Uchumba #Ndoa
👏1
Namna Sahihi Ya Kuishi Na Mwanaume Mwenye Ukuu...

Ipo Tofauti Kati Ya Kuishi na Mwanaume Wa Kawaida (Ordinary Man) na Mwanaume Mkuu (Extra-Ordinary)

1. Mheshimu

Toa Heshima Katika Maneno Yako, Matendo Yako, Na Mienendo Yako.

Mpe Heshima 2, Ya Kwanza Ni Kama Mwanaume Wako.

Na Heshima Ya Pili Ni Kulingana na Ukuu Alionao.

2. Muunge Mkono

Simama Naye Katika Maamuzi Yake, Changamoto Zake, Na Mafanikio Yake.

Katikati Ya Changamoto Onesha Kusimama Nae.

Onesha Kuwa Hata Ulimwengu Uende Kinyume Nae, Wewe Upo Pamoja Nae.

3. Msikilize

Heshimu Maoni Yake Na Uoneshe Utayari Wa Kusikia Na Kuelewa.

Na Usiishie Tu Kusikiliza, Bali Nenda Mbali Kiasi Cha Kufanya Sawasawa na Maelekezo.

4. Mthamini

Onyesha Shukrani Kwa Juhudi Zake Na Thamani Yake Katika Maisha Yako.

5. Kuwa Smart Kichwani

Mara Nyingi, Aina Hii Ya Wanaume Huwa Wana Mawazo Mapana.

Ndoto Kubwa na Mambo Yanayohitaji Kuchakatwa Kwa Kutumia Akili Kubwa.

So Ni Muhimu Uwe Vizuri Kichwani,

Ili Akilileta Jambo Lake Kwako Liwe Limeisha.

6. Jitahidi Kuendana Nae.

Hili Nitalizungumza Kwa Namna 2.

Ya Kwanza Ni Kuendana Kimatendo Na Mitazamo.

Lakini Pia Kuendana Nae Kwa Jinsi Ya Nje.

Umebeba Heshima Yake, Hivyo Uwapo Nae Public Hakikisha Hauharibu.

Namna Ya Pili Ni Kukua Pamoja Nae, Yaani Usikubali Kuwepo na Gape.

Ukiruhusu Gape Watu Wataanza Kuona Kama Hamuendani.

Taratibu Nayeye Ataona Ni Kweli Hamuendani na Mnaweza Kuachana.

Kwa Jinsi Hii Wanawake Wengi Hupoteza Wanaume, Wakati Wao Wanakuwa Wenyewe Wamebweteka.

7. Muheshimishe.

Usikubali Kuwa Sababu Ya Mumeo Kuaibika, Aibu Za Wanaume Wakuu Huwa Zinavuma Sana!

Hivyo Mlindie na Kumtunzia Heshima, Linda Udhaifu Wake na Kutunza Siri Zake.

Maneno na Matendo Yako Uwapo Huko Nje Yasiwe Sababu Ya Aibu Kwake.

By The Way, Kama Umeipenda Makala Hii Fanya Haya:

1. Comment Kitu Ulichojifunza

2. Follow Page Hii Kwa Ajili Ya Mafunzo Zaidi

3. Save Post Hii Kwa Matumizi Ya Baadaye

4. Share Post Hii Ili Iwasaidie Wengine Wengi

Isaack Nsumba

#Mapenzi #Mahusiano #DarEsSalaam #Tanzania #Uchumba #Ndoa
1