Naandaa Program Maalum Kwaajili Ya Wanawake, Naomba Nisaidie Kuchagua Jina Zuri
Anonymous Poll
79%
A. THE GOLDEN WOMAN
21%
B. SUCCESSFULL WOMAN
Nini Mfanye Ikiwa Kila Siku Mnalumbana...
1. Msishambuliane, Kishambulieni KINACHOSABABISHA MALUMBANO.
Shambulieni Tatizo, Sio Kushambuliana Ninyi Kwa Ninyi.
Malumbano Mara Nyingi Huzidi Kwa Sababu Kila Mmoja Anajihami Badala Ya Kutatua.
Wewe Na Mwenzi Wako Mnatakiwa Mkae Upande Ambao Kwa Pamoja,
...MTASIMAMA KINYUME Na Kila Kinachoondoa Amani na Maelewano Kati Yenu.
Jiulizeni "Nini Kinafanya Tulumbane, Nini Kinatukosesha Amani na Maelewano Mazuri Kati Yetu"
Mkishakijua Nyoote Elekezeni Nguvu Zenu Katika Kukishughulikia.
2. Tafuteni Msaada Kwa Mtu Ambaye NYOOTE MNAMUHESHIMU.
Mtu Huyu Anaweza Kuwa Ndugu Upande Wa Mwanamke Au Upande wa Mwanaume.
Anaweza Kuwa Mshenga Au Kiongozi Wa Kidini, Lakini Pia Anaweza Kuwa Mshauri, Mtu Mzima,
Au Hata Rafiki Mwenye Busara Anaeweza Kuwasaidia.
3. Kama Mmefanya Kila Jitihada Imeshindikana, TENGANENI KWA MUDA.
Kufanya "Temporal Seperation" Sio Mwisho Wa Uhusiano,
Bali Humpa Nafasi Kila Mmoja Ya Kutafakari,
Kutuliza Akili Na Kuona Thamani Ya Mwenzake.
Wakati Mwingine Inabidi Muachane Kwa Muda Kidogo,
Ili Mjue Kuwa Mnapendana Na Kila Mmoja ANAMUHITAJI MWENZAKE.
Wakati Mwingine, Kuachana Kwa Muda Siyo Mwisho Wa Upendo,
Bali Ni Nafasi Ya Kuthibitisha THAMANI YA KILA MMOJA.
Ni Pale Mnapokuwa Mbali Ndipo Mnatambua Jinsi MNAVYOPENDANA na KUHITAJIANA.
Mkiachana Kwa Muda Kidogo Na Kisha Baadaye Kurudiana,
Inaweza Kuwasaidia KUTHAMINIANA.
Hii Ni Baada Ya Kila Mmoja Kujaribu Kuishi Bila Mwenzake Kwa Muda Fulani...
Na Kugundua Kuwa Maisha Yanapungua Radha Bila Uwepo Wa Mwenzake.
Kama Mnalumbana Kila Siku, Peaneni Nafasi Ya Kila Mmoja KUUMISS UWEPO WA MWENZAKE.
By The Way, Kama Umeipenda Makala Hii Fanya Haya:
1. Comment Kitu Ulichojifunza
2. Follow Page Hii Kwa Ajili Ya Mafunzo Zaidi
3. Save Post Hii Kwa Matumizi Ya Baadaye
4. Share Post Hii Ili Iwasaidie Wengine Wengi
Isaack Nsumba
#Mapenzi #Mahusiano #DarEsSalaam #Tanzania #Uchumba #Ndoa

❤2
[VIDEO YOUTUBE]; Makosa Ya Kuepuka UNAPOMUOMBA MSAMAHA MWENZI WAKO
>>>https://youtu.be/AOkFYJ6Rxb4
Ukishatazama Video, USISAHAU KUSUBSCRIBE

Viashiria Vya Mwanaume Mwenye Malengo Nawewe...
1. Shauku Ya Kuijua Familia Uliyotoka.
Mwanaume Hawezi Kutaka Kuijua Familia Ya Mwanamke Asiye na Malengo Nae.
Hivyo, Ukiona Mwanaume Anamakinika Sana Kujua Kuhusu Familia Yenu Ni Kiashiria Kizuri.
2. Kukukosoa
Mwanaume Akifika Hatua Ya Kukukosoa Ujue Kuwa Ana Malengo.
Ukosoaji Tunaozungumzia Hapa Ni Ule Unaojenga (Constructive Criticism)
Hii Ni Aina Ya Ukosoaji Ambao Unalenga Kukufanya Uwe Bora Zaidi.
Anapokukosoa Manake Anakuchonga Uwe Vile Anatamani Mkewe Awe.
3. Anakuweka Kwenye Mipango Yake Ya Baadaye
Anazungumza kuhusu kesho akiwa na wewe ndani yake — ndoa, familia, kazi, au maisha kwa ujumla.
Mfano "Tukipata watoto...” au “Tutakaponunua nyumba...”
Katika Mazungumzo Yake Anatumia Uwingi Na Sio Umoja "Tu.."
4. Anakutambulisha Kwa Watu Wa Muhimu Maishani Mwake
Atakutambulisha kwa ndugu, Jamaa na marafiki wa karibu au hata wazazi wake.
Mwanaume Asiye na Malengo Nawewe Anakuficha.
Muhimu; Mwanaume Anaweza Kuja Katika Maisha Yako Akiwa na LENGO LA KUKUOA.
Lakini, Tabia Na Mienendo Yako Kiujumla IKAUGEUZA MOYO WAKE.
Kwahiyo, Mwanaume Kuja na Nia Njema Haitoshi,
Hivyo Unatakiwa Uendelee Kumpa Sababu Akuone WEWE NI CHAGUO LAKE BORA.

❤1
Tulianza Kama Utani, From Strangers, Tukaja Watu Tunaojuana, Kujuana Kukazaa Urafiki
Na Hatimae Penzi Halikuweza Kabisa Kufichika Pale Lilipoanza Kufuka Moshi Mioyoni Mwa Kila Mmoja.
Nagundua Kila Lenye Mwanzo Halikosi Mwisho Kama Ambavyo Hakuna Lililo Refu Likakosa Ncha...
Eti Leo Nimeingia Rasmi Katika List Ya Maex Zako.
Sijajua Kama Ukiulizwa Kuhusu Mimi Utasema Nini,
Ila Mimi Nikiulizwa Kuhusu Wewe Nitasema "Ni Mwanamke NILIYEWAHI KUBAHATIKA KUMPATA"
Ni Mimi Nawewe Tumeshindwana,
Lakini Haiondoi Ukweli Kwamba Umewahi Kuwa Sehemu Ya Maisha Yangu..
Na Kuna Wakati Ukawa Chanzo Cha Furaha Yangu Pia.
Ntakumiss Sanaa!

Penzi Lako Liko Hatarini, Kama Utaiona Dalili Hii Kutoka Kwa Mwanaume Wako...
(Hii Inawahusu Wanawake Ambao Hawajaolewa)
Unapokuwa Katika Mahusiano Unapaswa Kujua Kwamba,
Kuna Mambo Huwa Sio Sawa Na Ni Dalili Mbaya.
Yapo Mambo Mengi, Leo Nitagusia Hali Ya Mwanaume KUTOKUZUNGUMZIA HATMA YA UHUSIANO WENU.
Au Kutokuweka Bayana Lengo Lake Kwako Ni Lipi.
Wapo Wanawake Ambao Wamedumu Katika Mahusiano Kwa Muda Mrefu Sana,
Ila Hawajawahi Sikia Kabisa Wanaume Wao Wakizungumzia HATMA YA UHUSIANO WAO.
Ni Sawa Na Kusema, Wanakuwa Katika Uhusiano Wasiojua Unahusiana na Nini na UNAELEKEA WAPI.
Wakati Mwingine Wapo Wale Wanawake Ambao Wakiuliza
“Hivi Hatma Ya Uhusiano Wetu Ni Ipi? Tunaenda Wapi Na Tunataka Tufike Wapi?”
Mwanaume ANAKOSA AU ANASHINDWA KUTOA MAJIBU YANAYOELEWEKA
Na Wakati Mwingine Analikwepa Au Kulipuuzia Hilo Swali Au Linaweza Hata KUZUA UGOMVI.
Hii Inaonesha Wazi Kabisa Kuwa,
Mwanaume Ni Mzugaji Na Mwanamke Ndiye MWENYE MALENGO NA HUO UHUSIANO.
Yaani, Ni Kama Mwanaume Amefanya UWEKEZAJI WA MUDA MFUPI.
Huku Mwanamke Akiwa Amefanya UWEKEZAJI WA MUDA MREFU.
Ukiona Mwanaume Wako Anasuasua Kujibu Swali Linalohusiana Na Hatma Ya Uhusiano Wenu,
Ni Wazi Kuwa HANA MALENGO NA HAYO MAHUSIANO...Kwako Anazuga.
Inawezekana Anayo Mahusiano Mengine Ambayo Hayo Ana Malengo Nayo, Kwako Anabuy Time.
Siku Zote Mwanaume Mwenye Lengo La Uhusiano Wenu Kufika Hatua Ya Kuwa Mke Na Mume,
Na Hatimae Kutengeneza Familia HUWA HAFICHI LENGO LAKE.
Kwahiyo, Wakati Wowowte Uonapo Analikwepa Swali La Namna Hiyo NI DALILI MBAYA SANA!
Itakuumiza Sana Mbeleni Hasa Utakapokuja Kugundua Kuwa Wewe Uliweka Lengo Kwa Mtu Ambae Hakuwa Na Malengo Nawewe.
Leo Naomba Muulize Mwanaume Wako Kwa Lugha Ya Upole Ila Kwa Kumaanisha Na Kwa Mkazo.
"Darling, Natamani Kujua...Hatma Ya Huu Uhusiano Wetu Ni Ipi?" Kisha Majibu Yake Share Na Mimi.
By The Way, Kama Umeipenda Makala Hii Fanya Haya:
1. Comment Kitu Ulichojifunza
2. Follow Page Hii Kwa Ajili Ya Mafunzo Zaidi
3. Save Post Hii Kwa Matumizi Ya Baadaye
4. Share Post Hii Ili Iwasaidie Wengine Wengi
Isaack Nsumba
#Mapenzi #Mahusiano #DarEsSalaam #Tanzania #Uchumba #Ndoa
(Hii Inawahusu Wanawake Ambao Hawajaolewa)
Unapokuwa Katika Mahusiano Unapaswa Kujua Kwamba,
Kuna Mambo Huwa Sio Sawa Na Ni Dalili Mbaya.
Yapo Mambo Mengi, Leo Nitagusia Hali Ya Mwanaume KUTOKUZUNGUMZIA HATMA YA UHUSIANO WENU.
Au Kutokuweka Bayana Lengo Lake Kwako Ni Lipi.
Wapo Wanawake Ambao Wamedumu Katika Mahusiano Kwa Muda Mrefu Sana,
Ila Hawajawahi Sikia Kabisa Wanaume Wao Wakizungumzia HATMA YA UHUSIANO WAO.
Ni Sawa Na Kusema, Wanakuwa Katika Uhusiano Wasiojua Unahusiana na Nini na UNAELEKEA WAPI.
Wakati Mwingine Wapo Wale Wanawake Ambao Wakiuliza
“Hivi Hatma Ya Uhusiano Wetu Ni Ipi? Tunaenda Wapi Na Tunataka Tufike Wapi?”
Mwanaume ANAKOSA AU ANASHINDWA KUTOA MAJIBU YANAYOELEWEKA
Na Wakati Mwingine Analikwepa Au Kulipuuzia Hilo Swali Au Linaweza Hata KUZUA UGOMVI.
Hii Inaonesha Wazi Kabisa Kuwa,
Mwanaume Ni Mzugaji Na Mwanamke Ndiye MWENYE MALENGO NA HUO UHUSIANO.
Yaani, Ni Kama Mwanaume Amefanya UWEKEZAJI WA MUDA MFUPI.
Huku Mwanamke Akiwa Amefanya UWEKEZAJI WA MUDA MREFU.
Ukiona Mwanaume Wako Anasuasua Kujibu Swali Linalohusiana Na Hatma Ya Uhusiano Wenu,
Ni Wazi Kuwa HANA MALENGO NA HAYO MAHUSIANO...Kwako Anazuga.
Inawezekana Anayo Mahusiano Mengine Ambayo Hayo Ana Malengo Nayo, Kwako Anabuy Time.
Siku Zote Mwanaume Mwenye Lengo La Uhusiano Wenu Kufika Hatua Ya Kuwa Mke Na Mume,
Na Hatimae Kutengeneza Familia HUWA HAFICHI LENGO LAKE.
Kwahiyo, Wakati Wowowte Uonapo Analikwepa Swali La Namna Hiyo NI DALILI MBAYA SANA!
Itakuumiza Sana Mbeleni Hasa Utakapokuja Kugundua Kuwa Wewe Uliweka Lengo Kwa Mtu Ambae Hakuwa Na Malengo Nawewe.
Leo Naomba Muulize Mwanaume Wako Kwa Lugha Ya Upole Ila Kwa Kumaanisha Na Kwa Mkazo.
"Darling, Natamani Kujua...Hatma Ya Huu Uhusiano Wetu Ni Ipi?" Kisha Majibu Yake Share Na Mimi.
By The Way, Kama Umeipenda Makala Hii Fanya Haya:
1. Comment Kitu Ulichojifunza
2. Follow Page Hii Kwa Ajili Ya Mafunzo Zaidi
3. Save Post Hii Kwa Matumizi Ya Baadaye
4. Share Post Hii Ili Iwasaidie Wengine Wengi
Isaack Nsumba
#Mapenzi #Mahusiano #DarEsSalaam #Tanzania #Uchumba #Ndoa
❤1
Usije Ukamuamini Mwanamke Akikutataa...
Unapomuuzia Mteja Kitu Anaweza Kukataa, Sio Kwa Sababu Hakitaki, Ila Kwa Sababu Hajashawishika.
Kwahiyo, Majibu Yake Yooote Ya “Sina Hela, Bei Yako Kubwa, Nitakuja Wakati Mwingine, Ngoja Nikafikirie”...
Hayo Yoote Yana Maanisha Kuwa “Hujanishawishi Vya Kutosha Kiasi Cha Mimi Kukupa Hela Yangu”.
Ndio Maana Mteja Anaweza Akaacha Kununua Bidhaa Kwako Akaenda Kuinunua Kwa Massawe.
Hiyo Yoote Huthibitisha Kwamba Wewe Ulishindwa KUMSHAWISHI.
Hiyoo Ni Kwenye Kuuza Bidhaa, Na Kwenye Kumtongoza Mwanamke Iko Hivyohivyo,
Usije Ukaliamini Jibu Lake na Ukakata Tamaa.
Anaweza Kukambia “Nina Mtu, Sihitaji Kuwa Na Mahusiano Kwa Sasa, Naomba Tubaki Kuwa Marafiki, Siwaamini Wanaume Nk.”...
Majibu Yake Yoote Yanayoonesha Kutokukubaliana Nawewe Yanamaanisha Kitu Kimoja Tu!
Kitu Chenyewe Ni Hiki Hapa Chini...
Yanamaanisha Kuwa, “Hujanishawishi Vya Kutosha Kiasi Cha Mimi Kukubali Kuwa Mpenzi Wako”
Kwahiyo, Unatakiwa Kujua Kwamba…
…Hajakukataa Wewe, Ila Ameikataa Approach (Mbinu) Uliyotumia Na Namna Ulivyomuingia.
Ndio Maana Ni Vizuri Sana Kujifunza Namna Gani Unaweza Kuwa Ni Mwanaume Mwenye MVUTO Na USHAWISHI Kwa Mwanamke.
NB; Haimaanishi Kwamba, Kila Mwanamke Akikukataa Amekupa Nafasi Ya Kumshawishi Zaidi.
Bali Wengine Akikukataa Amemaanisha, Ni Vizuri Kujifunza Tofauti Ya Hao Wawili.

❤3
Vipingamizi 7 Utakavyokutana Navyo Unapotaka Kurudiana Na Ex Wako
1. Tayari Ana Mtu Mwingine (Ready Taken)
Ex Wako Ana Mahusiano Mapya Na Yupo Tayari Kuwekeza Hisia Huko.
Hili Linafanya Kurudiana Kuwa Gumu Zaidi.
2. Hana Imani Nawewe Tena (Lacking Belief)
Uaminifu Na Imani Vimepotea Kutokana Na Yaliyopita...
Hivyo Haoni Sababu Ya Kukupa Nafasi Tena.
3. Chuki Iliyokithiri (Strong Aversion)
Yamebaki Maumivu, Hasira Au Kinyongo Kinachomfanya Hata Asifikirie Kurudiana.
4. Kutokuwa Tayari Kwa Sasa (Not Ready For Now)
Anaweza Kuwa Bado Anaumia Au Hajamaliza Kuponya Moyo Wake,
Hivyo Hajajisikia Tayari Sasa Hivi.
...Anahitaji Muda.
5. Hayupo Tayari Kabisa (Not Ready At All)
Hata Kama Muda Utapita, Amefunga Kabisa Mlango Wa Hisia Na Hataki Kurudia Mahusiano.
6. Hapokei Simu Wala Hajibu Meseji
Anakataa Mawasiliano Moja Kwa Moja,
Akiionesha Kuwa Hana Mpango Wa Kuwasiliana Nawe.
7. Hakupi Nafasi Ya Kuonana Ili Mzungumze
Hata Jitihada Za Mazungumzo Ana Kwa Ana ZinakatalIwa...
Ikkionesha Hana Nia Ya Kufufua Mawasiliano.

[VIDEO YOUTUBE]; Sifa Kubwa 3 Za Mwanamke ASIYEFAA KUWA MKE WALA MAMA
>>>https://youtu.be/OEV3UmNCBtk
Ukishatazama Video USISAHAU KUSUBSCRIBE
>>>https://youtu.be/OEV3UmNCBtk
Ukishatazama Video USISAHAU KUSUBSCRIBE
YouTube
SIFA 3 ZA MWANAMKE ASIYEFAA KUWA MKE AU MAMA - ISAACK NSUMBA
je unazifahamu sifa tatu zinavo mfanya mwanamke asifae kuwa mke ? angalia sasa na ujifunze kwa undani zaidi ni muhimu maan inakupa kuzingatia kabla ya kuingia kwenye ndoa
Viashiria 5 Kuwa Upo Katika Mahusiano Sahihi...
1. Mnawasiliana Kwa Uwazi (You Communicate Openly)
Mawasiliano Yenu Ni Ya Heshima.
Ukweli Na Uwazi Bila Kuogopa Kuhukumiwa.
Unaweza Kuwasilisha Issue Yako Pasipo Kujihisi Hatia Au Kuhifadhi Moyoni.
2. Hamshindani, Bali Mnasaidiana (You Support Each Other, Not Competing)
Kila Mmoja Anamuinua Mwingine Badala Ya Kujaribu Kudhibitisha Kiwango.
Kila Mmoja Ana Shauku Ya Kumuona Mwenzake Akikua Bora Zaidi Ya Jana.
3. Mnaweka Juhudi Sawa (You Put In Equal Effort)
Mahusiano Yenu Yana Mizani;
Kila Mmoja Anawekeza Muda, Upendo Na Nguvu Kwa Usawa.
Hakuna Anaejihisi Kutumika Zaidi.
Hakuna Anaejihisi Kuelemewa
Wala Hakuna Anaejihisi Kama Anajitoa Zaidi.
Nyoote Mnafanya Kwa Usawa.
4. Unasikilizwa Na Kueleweka (You Are Heard And Understood)
Mawazo, Hisia Na Maumivu Yako Yanapewa Umuhimu Na Kueleweka Vizuri.
Unasikilizwa, Sio Ili Ujibiwe...Bali Ili Ueleweke Kile Unachokisema.
5. Yanachangia Katika Ukuaji Wako (It Contributes To Your Growth)
Mahusiano Yanaleta Amani, Furaha Na Yanakusaidia Kukuza Wewe Kama Mtu.
Hayawi Kikwazo Cha Ukuaji Wa Mtu.
Yanafanyika Chachu Ya Badiliko Chanya (Positive Change)
By The Way, Kama Umeipenda Makala Hii Fanya Haya:
1. Comment Kitu Ulichojifunza
2. Follow Page Hii Kwa Ajili Ya Mafunzo Zaidi
3. Save Post Hii Kwa Matumizi Ya Baadaye
4. Share Post Hii Ili Iwasaidie Wengine Wengi
Isaack Nsumba
#Mapenzi #Mahusiano #DarEsSalaam #Tanzania #Uchumba #Ndoa
1. Mnawasiliana Kwa Uwazi (You Communicate Openly)
Mawasiliano Yenu Ni Ya Heshima.
Ukweli Na Uwazi Bila Kuogopa Kuhukumiwa.
Unaweza Kuwasilisha Issue Yako Pasipo Kujihisi Hatia Au Kuhifadhi Moyoni.
2. Hamshindani, Bali Mnasaidiana (You Support Each Other, Not Competing)
Kila Mmoja Anamuinua Mwingine Badala Ya Kujaribu Kudhibitisha Kiwango.
Kila Mmoja Ana Shauku Ya Kumuona Mwenzake Akikua Bora Zaidi Ya Jana.
3. Mnaweka Juhudi Sawa (You Put In Equal Effort)
Mahusiano Yenu Yana Mizani;
Kila Mmoja Anawekeza Muda, Upendo Na Nguvu Kwa Usawa.
Hakuna Anaejihisi Kutumika Zaidi.
Hakuna Anaejihisi Kuelemewa
Wala Hakuna Anaejihisi Kama Anajitoa Zaidi.
Nyoote Mnafanya Kwa Usawa.
4. Unasikilizwa Na Kueleweka (You Are Heard And Understood)
Mawazo, Hisia Na Maumivu Yako Yanapewa Umuhimu Na Kueleweka Vizuri.
Unasikilizwa, Sio Ili Ujibiwe...Bali Ili Ueleweke Kile Unachokisema.
5. Yanachangia Katika Ukuaji Wako (It Contributes To Your Growth)
Mahusiano Yanaleta Amani, Furaha Na Yanakusaidia Kukuza Wewe Kama Mtu.
Hayawi Kikwazo Cha Ukuaji Wa Mtu.
Yanafanyika Chachu Ya Badiliko Chanya (Positive Change)
By The Way, Kama Umeipenda Makala Hii Fanya Haya:
1. Comment Kitu Ulichojifunza
2. Follow Page Hii Kwa Ajili Ya Mafunzo Zaidi
3. Save Post Hii Kwa Matumizi Ya Baadaye
4. Share Post Hii Ili Iwasaidie Wengine Wengi
Isaack Nsumba
#Mapenzi #Mahusiano #DarEsSalaam #Tanzania #Uchumba #Ndoa
❤3
Kuna Msemo Mmoja Unasema; "Success Is Like Being Pregnant Everyone Says Congratulations But Nobody Knows HOW MANY TIMES YOU WERE FUCKED"
(Mafanikio Ni Sawasawa Na Mimba, Ikishaanza Kuonekana Kila Mtu Atakwambia "HONGERA" Bila Kujua Ni Mara Ngapi "UMEGONGWA" Mpaka Mimba Ikapatikana)
Manake Ni Hii Hapa, Watu Wengi Huwa Wanazingatia "MATOKEO" Na Sio "MCHAKATO" Uliopelekea Kupatikana Kwa Matokeo.
Ukweli Ni Kwamba...Watu Hawajali Kabisa Kujituma Kwako, Kuhenyeka, Kujisulubisha Wala Kujinyima Kwako Ila Wanajali Na Kuzingatia MATOKEO ULIYONAYO.
Ndio Maana Mtu Mmoja Akasema "No One Cares About You, Until You Are RICH, FAMOUS Or DEAD"
Hakuna Atakaekuzingatia Mpaka Pale Utakapokuwa TAJIRI, Mtu MAARUFU Au UTAKAPOKUFA.
Tuendelee KUPAMBANA, BILA KUCHOKA!
By The Way, Kama Umeipenda Makala Hii Fanya Haya:
1. Comment Kitu Ulichojifunza
2. Follow Page Hii Kwa Ajili Ya Mafunzo Zaidi
3. Save Post Hii Kwa Matumizi Ya Baadaye
4. Share Post Hii Ili Iwasaidie Wengine Wengi
Isaack Nsumba
#Mapenzi #Mahusiano #DarEsSalaam #Tanzania #Uchumba #Ndoa
(Mafanikio Ni Sawasawa Na Mimba, Ikishaanza Kuonekana Kila Mtu Atakwambia "HONGERA" Bila Kujua Ni Mara Ngapi "UMEGONGWA" Mpaka Mimba Ikapatikana)
Manake Ni Hii Hapa, Watu Wengi Huwa Wanazingatia "MATOKEO" Na Sio "MCHAKATO" Uliopelekea Kupatikana Kwa Matokeo.
Ukweli Ni Kwamba...Watu Hawajali Kabisa Kujituma Kwako, Kuhenyeka, Kujisulubisha Wala Kujinyima Kwako Ila Wanajali Na Kuzingatia MATOKEO ULIYONAYO.
Ndio Maana Mtu Mmoja Akasema "No One Cares About You, Until You Are RICH, FAMOUS Or DEAD"
Hakuna Atakaekuzingatia Mpaka Pale Utakapokuwa TAJIRI, Mtu MAARUFU Au UTAKAPOKUFA.
Tuendelee KUPAMBANA, BILA KUCHOKA!
By The Way, Kama Umeipenda Makala Hii Fanya Haya:
1. Comment Kitu Ulichojifunza
2. Follow Page Hii Kwa Ajili Ya Mafunzo Zaidi
3. Save Post Hii Kwa Matumizi Ya Baadaye
4. Share Post Hii Ili Iwasaidie Wengine Wengi
Isaack Nsumba
#Mapenzi #Mahusiano #DarEsSalaam #Tanzania #Uchumba #Ndoa
👍2
Mtaalam Olumide Emmanuel Katika Kitabu Chake Cha Mambo 50 Ambayo Hautakiwi Kuyachukulia Kiwepesi Alisema...
“Many People Do Not Appreciate What They Have Until There Is A Threat Of Losing It Or They Actually Lose It.”
(Watu Wengi Huwa Hawavithamini Vitu Walivyonavyo Mpaka Pale Watapoanza Kuhisi Kuwa Wanakaribia Kuvipoteza Au Baada Ya Kuvipoteza Kabisa)
Katika Mahusiano, Watu Wengi Sana Bila Kujua Walijikuta Wanapoteza Watu Ambao Kimsingi Walitakiwa Kuwatunza,
Matokeo Yake Walikuja Kujua Kuwa Wamepoteza Watu Wa Thamani Mara Baada Ya Watu Hao KUTOWEKA JUMLA.
My Message; Mlinde, Mthamini, Mtunze, Mjali Na Kumhifadhi Uliyenaye Kabla Upendo Wake Kwako Haujageuka Na Kuwa Historia.
Kama Usipofanya Hivyo Neno "NAKUPENDA SANA" Litageuka Na Kuwa "NILIKUPENDA SANA" Ikifika Hiyo Hatua Utakuwa Na Maumivu Pamoja Na Majuto Ya Ningejua...

Jinsi Ya Kukabiliana Na Upweke Ndani Ya Mahusiano...
1. Tambua Chanzo Cha Hisia Zako (Identify The Source Of Your Feelings)
Jiulize: Je, Upweke Unatokana Na Kukosa Mawasiliano?
Kukosa Ukaribu Wa Kihisia? Au Kuna Kitu Kingine Kilichopungua?
Mtu Mmoja Alisema Tatizo Ukilielewa Vyema, Umelitatua Kwa Asilimia 50.
(Problem Well Defined, Is A Problem Half Solved).
2. Zungumza Kwa Uwazi Na Mwenza Wako (Communicate Honestly With Your Partner)
Eleza Jinsi Unavyojisikia Bila Lawama.
Tumia Lugha Ya “Nahisi” Badala Ya “Wewe Hunifanyi.”
Mfano: “Najihisi Mpweke Hata Tunapokuwa Pamoja.”
Mfanye Ajue Kuwa, Upo Nae Katika Mahusiano, Lakini Moyoni Ni Kama Bado Unahitaji Mtu.
Kwa Sababu Ya Upweke Unaokumbana Nao.
3. Ongeza Ukaribu Wa Kihisia (Build Emotional Intimacy)
Fanyeni Mambo Ya Pamoja Kama Vile Mazungumzo Ya Kina.
Kupeana Muda Wa Ubora, Au Kushiriki Ndoto Na Malengo Yenu.
Katika Mazingira Hayo...
Upweke Sio Kukosa Mtu, Bali Ni Kushindwa Kuconnect Na Mtu Uliyenae.
4. Toa Nafasi Ya Marekebisho (Give Room For Improvement)
Mambo Yanaweza Kubadilika Kama Wote Mpo Tayari Kufanya Kazi Pamoja Kuboresha Mahusiano.
5. Kubali Ukweli Kama Hakuna Mabadiliko (Accept Reality If Nothing Changes)
Ikiwa Umekuwa Wazi, Umejitahidi, Lakini Hali Haibadiliki.
Ni Kawaida, Na Ni Sawa Kama Utachukua Maamuzi Ya Kuondoka.

❤4
[VIDEO YOUTUBE]; Ufanye Nini MWANAMKE AKIKUKATAA
>>>https://youtu.be/CQGoIHll_s8
Ukishstazama Video, USISAHAU KUSUBSCRIBE

UFANYE NINI MWANAMKE AKIKUKATAA - ISAACK NSUMBA
mwanamke akikukataa haya ni mambo unayo paswakuyajua kabla ya kuchukua hatua usikose kusikiza haya na kuyafanyia kazii
Na Ndio Mapenzi Yalivyo, Mtu Ambae Anaumiza Vichwa Vya Wengine Yeye Anaumiza Kichwa Chake Kwaajili Yako.
Mtu Ambae Ni Very Expensive Kwa Wengine, Kwako Amekubali Kuwa Very Cheap And Affordable.
Yaani Mtu Ambae Anakazia Wengine Kwako Hakazi na Amekubali Kulegeza, Wengine Anawasumbua Kwako Katulia Tuliii.
Mtu Ambae Hapatikani Kabisa Kwa Wengine Kwako Anapatikana 24/7
Ana Misimamo Mikali Sana Kwa Wengine, Ila Kwako Kakubali Kuivunja Yoote...Ndo Mapenzi Yalivyo.
Kabla Hajafika Hatua Ya Kukutreat Wewe Kama Hao Wengine Basi APRECIATE Yale Anayafanya Kwako.
Kama Leo Kuna Watu Anawapuuzia Kwaajili Yako, Usimfanye Afike Hatua Ya Kukupuuzia Nawewe Kama Moja Ya Hao Wa Sasa.
By The Way, Kama Umeipenda Makala Hii Fanya Haya:
1. Comment Kitu Ulichojifunza
2. Follow Page Hii Kwa Ajili Ya Mafunzo Zaidi
3. Save Post Hii Kwa Matumizi Ya Baadaye
4. Share Post Hii Ili Iwasaidie Wengine Wengi
Isaack Nsumba
#Mapenzi #Mahusiano #DarEsSalaam #Tanzania #Uchumba #Ndoa
Mtu Ambae Ni Very Expensive Kwa Wengine, Kwako Amekubali Kuwa Very Cheap And Affordable.
Yaani Mtu Ambae Anakazia Wengine Kwako Hakazi na Amekubali Kulegeza, Wengine Anawasumbua Kwako Katulia Tuliii.
Mtu Ambae Hapatikani Kabisa Kwa Wengine Kwako Anapatikana 24/7
Ana Misimamo Mikali Sana Kwa Wengine, Ila Kwako Kakubali Kuivunja Yoote...Ndo Mapenzi Yalivyo.
Kabla Hajafika Hatua Ya Kukutreat Wewe Kama Hao Wengine Basi APRECIATE Yale Anayafanya Kwako.
Kama Leo Kuna Watu Anawapuuzia Kwaajili Yako, Usimfanye Afike Hatua Ya Kukupuuzia Nawewe Kama Moja Ya Hao Wa Sasa.
By The Way, Kama Umeipenda Makala Hii Fanya Haya:
1. Comment Kitu Ulichojifunza
2. Follow Page Hii Kwa Ajili Ya Mafunzo Zaidi
3. Save Post Hii Kwa Matumizi Ya Baadaye
4. Share Post Hii Ili Iwasaidie Wengine Wengi
Isaack Nsumba
#Mapenzi #Mahusiano #DarEsSalaam #Tanzania #Uchumba #Ndoa
Nini Kinachomvutia Mwanaume Kwa Mwanamke?...
1. Mwanamke Mwenye Malengo na Anayejitegemea (Ambitious And Independent Woman)
Mwanamke Anayejua Anachotaka Maishani.
Na Anafanya Jitihada Kukifikia...
Na Anaweza Kujisimamia Bila Kutegemea Wengine Kila Kitu.
Mwanaume Anataka Kutegemewa, Lakini Sio Kwa Asilimia 100.
2. Mwanamke Anayeanza Hatua Ya Kwanza (A Woman Who Makes The First Move)
Mwanaume Anathamini Ujasiri Wa Mwanamke Anayeonesha Hisia Zake...
Na Kuchukua Hatua Ya Kuanza Mazungumzo Au Kuonesha Uvutio.
Hata Tafiti Za Kisaikolojia Zimethibitisha Hili...
Kwamba Mwanaume Anapatwa Shauku Zaidi Katika Jambo Aliloanzisha Mwanamke.
Hata Katika Sex, Ikitokea Game Akaiomba Mwanamke...
Basi Upo Uwezekano Wa Mwanaume Kuperform Kwa KIWANGO CHA JUU ZAIDI.
3. Kumruhusu Akutunze na Kukuongoza (Allowing Him To Take Care Of You And Lead)
Ingawa Kujitegemea Ni Muhimu Kumruhusu Mwanaume Kuonesha Upendo Wake...
Kupitia Matendo Ya Kukutunza Na Kukujali Kunamfanya Ajihisi Kuthaminiwa.
Lakini Pia Unapompa Mwanaume Nafasi Ya Kukuongoza...
Unamuweka Katika Hali Ya Kujiona "MTU WA MAANA KABISA"
Hii Inamuongezea Uhuru na Confidence Mbele Yako, Na Inamfanya Azidi Kukupenda.

Hii Ndio Njia Itakayokusaidia Kumpata Mwanamke Anaekuzidi Hadhi...
Kama Imetokea Umempenda Mwanamke Lakini Unahisi Kama AMEKUZIDI HADHI.
Kuna Jambo Moja Muhimu Sana Unaweza Kufanya Na Ukampata.
Mwandishi Wa Kitabu Cha Falling In Love; Why We Choose Lovers We Choose.
(Kwanini Tunachagua Wenzi Tunaowachagua, Vitu Gani Hutusukuma Kuwachagua Wao)
Alikifafanua Hiki Kitu Kwa Kusema Hivi....
"We (Human) Tend To Prefer People Who Are Similar To Us, We Need To Feel Matchable And Familiar With Them"
Yaani, Sisi Binadamu Huwa Tunapendelea Kuwa Na Watu Wanaoendana Au Kufanana Na Sisi...
Ili Tujihisi Sisi Ni Wamoja Pamoja Nao Na Tunaendana.
Kwahiyo, Ni Ngumu Sana Kumpata Mtu Ambae HAUFANANI Nae Wala HAUENDANI Nae.
Na Ndio Maana Unatakiwa Ku..."LEVEL UP TO/ABOVE HER LEVEL"
Yaani, Hakikisha Unajijenga, Unajiimarisha Na Kujiongeza Ili Ufike Hadhi Yake Au Zaidi Ya Hadhi Aliyonayo...
Hii Ni Kwa Sababu...
Ni Lazima Uendane Nae Ili Akuone Wewe Kama Mwanaume Unaefaa Na Unaweza Kuwa Katika Mahusiano Nawewe.
Kufanya Hivyo Kuna Faida Kubwa Mbili.
1. Kumfanya Aone MNAENDANA, KUFANANA Na KUFAANA.
Si Tumeshaangalia Hapo Kuwa Mara Nyingi Binadamu Tunachagua Wenzi Tunaofanana Na Kuendana Nao?
Kwahiyo Kabla Hujamfuata Hakikisha Unajiweka Katika Mazingira Yatakayokufanya Uonekane Kama Unaendana Nae.
2. Kumfanya Akuone Wewe Kama Mwanaume UNAEMUWEZA.
Ukweli Ni Kwamba, Kila Mwanamke Anahitaji Mwanaume Mwenye Nguvu (Powerful Man) Yaani Ambae Anaweza Kumhandle.
Ikitokea Mwanamke Akakuzidi Vitu Atakuona Kama Mwanaume Ambae Huwezi Kumhandle.
Na Atakuwa Haihisi Ile Hali Ya Kumilikiwa (Sense Of Belonging)
Na Hata Wewe Mwenyewe, Kuna Wakati Utakosa Sauti Na Mamlaka Mbele Yake
Kwa Sababu Anakuzidi Vitu Hivyo Ni Sawa Na Kusema Ana Nguvu Zaidi Yako.
So Badala Ya Kuhangaika Nae... Work On Yourself King, Create A New Version Of You, Improve Master!
By The Way, Kama Umeipenda Makala Hii Fanya Haya:
1. Comment Kitu Ulichojifunza
2. Follow Page Hii Kwa Ajili Ya Mafunzo Zaidi
3. Save Post Hii Kwa Matumizi Ya Baadaye
4. Share Post Hii Ili Iwasaidie Wengine Wengi
Isaack Nsumba
#Mapenzi #Mahusiano #DarEsSalaam #Tanzania #Uchumba #ndoa

[VIDEO YOUTUBE]; Viashiria 5 Kuwa UPO KATIKA MAHUSIANO SAHIHI
>>>https://youtu.be/vlm0z21aDU4
Ukishatazama Video, USISAHAU KUSUBSCRIBE
>>>https://youtu.be/vlm0z21aDU4
Ukishatazama Video, USISAHAU KUSUBSCRIBE
YouTube
VIASHIRIA 5 KUWA UPO KATIKA MAHUSIANO SAHIHI - ISAACK NSUMBA
Kabla hujawekeza moyo wako kikamilifu, tambua ishara hizi 5 za mahusiano sahihi.
Makosa 5 Ya Kuepuka Unapotaka Kurudiana Na Ex Wako...
1. Kumuonesha Wewe Ni Yuleyule, Hujabadilika
Ikiwa Tabia Zilizomfanya Aondoke Hazijabadilika, Atahisi Hakuna Kitu Kipya Kitakachomvutia Kurudi.
So Mfanye Ajue Wewe Ni Kiumbe Kipya.
Mfanye Ajue Umebadilika, Mfanye Ajue Wewe Ni "A NEW VERSION"
2. Kumfanya Ajue Umeshindwa Kabisa Kuziba Pengo Lake.
Ukionekana Unamtafuta Kwa Kila Njia Kwa Sababu Hujapata Nafuu Bila Yeye...
Itamfanya Ajione Na Thamani Kubwa Zaidi Kuliko Ilivyo.
Na Sio Hivyo Tu, Bali Inaweza Kumfanya Akutese Hadi Ukajuta Kurudiana Nae.
3. Kumuonesha Umerudi Kwake Baada Ya Kuumizwa Ulipokwenda
Kurudi Kwa Sababu Mahusiano Mengine Yalikushinda
Au Uliumizwa Kunamfanya Ahisi Yeye Ni “Chaguo La Mwisho.”
4. Kumbembeleza Kupita Kiasi.
Kujishusha Mno Au Kuomba Msamaha Mara Zote Bila Mabadiliko Ya Vitendo Kunapunguza Heshima Yako.
5. Kutokubali Makosa Yaliyopita.
Kutochukua Uwajibikaji Kuhusu Sababu Za Kuachana Kunaonesha Bado Hujajifunza Cho Chote.
Rudi Kwake Huku Ukimuonesha Kuwa Umebadilika.
Rudi Huku Ukimuonesha Umegundua Yeye Ndiye Mtu Sahihi Kwako.
By The Way, Kama Umeipenda Makala Hii Fanya Haya:
1. Comment Kitu Ulichojifunza
2. Follow Page Hii Kwa Ajili Ya Mafunzo Zaidi
3. Save Post Hii Kwa Matumizi Ya Baadaye
4. Share Post Hii Ili Iwasaidie Wengine Wengi
Isaack Nsumba
#Mapenzi #Mahusiano #DarEsSalaam #Tanzania #Uchumba #Ndoa
1. Kumuonesha Wewe Ni Yuleyule, Hujabadilika
Ikiwa Tabia Zilizomfanya Aondoke Hazijabadilika, Atahisi Hakuna Kitu Kipya Kitakachomvutia Kurudi.
So Mfanye Ajue Wewe Ni Kiumbe Kipya.
Mfanye Ajue Umebadilika, Mfanye Ajue Wewe Ni "A NEW VERSION"
2. Kumfanya Ajue Umeshindwa Kabisa Kuziba Pengo Lake.
Ukionekana Unamtafuta Kwa Kila Njia Kwa Sababu Hujapata Nafuu Bila Yeye...
Itamfanya Ajione Na Thamani Kubwa Zaidi Kuliko Ilivyo.
Na Sio Hivyo Tu, Bali Inaweza Kumfanya Akutese Hadi Ukajuta Kurudiana Nae.
3. Kumuonesha Umerudi Kwake Baada Ya Kuumizwa Ulipokwenda
Kurudi Kwa Sababu Mahusiano Mengine Yalikushinda
Au Uliumizwa Kunamfanya Ahisi Yeye Ni “Chaguo La Mwisho.”
4. Kumbembeleza Kupita Kiasi.
Kujishusha Mno Au Kuomba Msamaha Mara Zote Bila Mabadiliko Ya Vitendo Kunapunguza Heshima Yako.
5. Kutokubali Makosa Yaliyopita.
Kutochukua Uwajibikaji Kuhusu Sababu Za Kuachana Kunaonesha Bado Hujajifunza Cho Chote.
Rudi Kwake Huku Ukimuonesha Kuwa Umebadilika.
Rudi Huku Ukimuonesha Umegundua Yeye Ndiye Mtu Sahihi Kwako.
By The Way, Kama Umeipenda Makala Hii Fanya Haya:
1. Comment Kitu Ulichojifunza
2. Follow Page Hii Kwa Ajili Ya Mafunzo Zaidi
3. Save Post Hii Kwa Matumizi Ya Baadaye
4. Share Post Hii Ili Iwasaidie Wengine Wengi
Isaack Nsumba
#Mapenzi #Mahusiano #DarEsSalaam #Tanzania #Uchumba #Ndoa
❤1
Nimependekezwa Kuwania Tuzo Ya "RELATIONSHIP EXPERT-MARRIAGE COACH OF THE YEAR."
Kama Unaguswa Na Kazi Zangu, Pengine Hii Ikawa Ndio Nafasi Yako Ya Kunipa Maua Yangu Niyanuse NINGALI BADO NIKO HAI.
Unaweza Kunipigia Kura Kadri Uwezavyo, Ili Kuhakikisha TUZO HII INABAKI KWETU.
Kama Unatamani Kuniona Napata Hii Tuzo, Hapa Chini Natoa Muongozo.

Nimependekezwa Kuwania Tuzo Ya "RELATIONSHIP EXPERT-MARRIAGE COACH OF THE YEAR." Kama Unaguswa Na Kazi Zangu, Pengine Hii Ikawa Ndio Nafasi Yako Ya Kunipa Maua Yangu Niyanuse NINGALI BADO NIKO HAI. Unaweza Kunipigia Kura Kadri Uwezavyo, Ili Kuhakikisha TUZO…
Jinsi Ya Kumpigia Kura ISAACK NSUMBA
(Relationship Expert | Marriage Coach)
>>>https://evopolls.com/polls/afriglomentz
Bonyeza Hiyo Link.
Ikifunguka Shuka Chini Kabisa Utakuta Category Ya MARRIAGE/FAMILY COACH
Bonyeza Jina La Pili (Isaack Nsumba)
Kisha Bonyeza "VOTE" IKifunguka Bonyeza "CONTINUE"
Ikifunguka Utaandika Idadi Ya Kura Unazonipigia (Kura 1 Ni 500)
Kisha Utachagua Njia Ya Malipo Ya Hiyo Hela Ya Kura (Inaweza Kuwa Kwa Simu)
Kisha Utabonyeza "COMPLETE PAYMENT" Kisha Utabonyeza "CONTINUE"
Kisha Utaingiza Namba Ambayo Ina Hicho Kiasi Cha Malipo Ya Idadi Ya Kura Ulizonipigia Kwa Kuanza Na Namba Bila 0 (Mfano 654 722 733)
Kisha Utabonyeza "PROCEED" Baada Ya Hapo Utaingiza Namba Ya Siri.
Kisha Utakatwa Hicho Kiasi Na Baada Ya Hapo Utakuwa Umenipigia Kura Tayari.
Unaweza Nipigia Kura Nyingi kadri Uwezavyo...Na Nitashukuru Sana!