Isaack Nsumba
6.41K subscribers
1.44K photos
15 videos
141 links
Expert & Competent Teacher In Love, Relationship and Marriage.
Download Telegram
Kama Una Mtaji Wa Kuanzia 20,000,000 Na Unatamani TUFANYE BIASHARA.

Njoo Inbox,

Nitakuuliza Maswali Machache Kuona Kama TUNAWEZA KUFANYA.

Whatsapp 0654 722 733
👍3
Kama Umenifahamu Miaka 3 Kurudi Nyuma,

...Basi Utakuwa Unanijua Mimi Kama MWALIMU WA MAHUSIANO Na Sio Vinginevyo.

Ni Baada Ya Kuwepo Katika Field Hiyo Nikawa Napokea Cases Kadhaa Za Watu Ambazo..

Zinaathiri Mahusiano Yao Kwa Namna Moja Ama Nyingine.

Cases Kama;

1. Uke Kutoa Harufu

2. Uume Kuwa Mdogo

3. Uume Kutokusimama Imara

4. Kushindwa Kushiriki Tendo Kikamilifu

5. Kuwahi Kumwaga

N.k

Na Zoote Zinazofanana na Hizo.

"Inaonekana Watu Wengi Wanasumbuliwa na Hizi Changamoto, Ninawezaje Kufanya Hii Iwe Moja Kati Ya Biashara Zangu?"

Siku Moja Nikajiuliza

Hivyo..Niliamua Kuanza Kuuza Dawa Kwa Sababu 3

1. Ninapokea Cases Nyingi Nikiwa Kama Mshauri wa Mahusiano

2. Napenda Kusaidoa Watu Kutatua Changamoto

3. Nahitaji Hela

Hizo Sababu 3 Zikanisukuma Mimi Kuanziaha NSUMBA HERBAL CLINIC Unayoijua Wewe.

Nilianza Pekeangu Kama Mtu Binafsi.

Lakini Hivi Sasa Ni Taasisi Yenye Watu Kadhaa

Lakini, Kitu Kimoja Nilichogundua Ni Kwamba.

Kilichonisaidia Mimi sio Mtaji, Kuna Vitu Vingi Vimechangia Kuifikisha NSUMBA HERBAL CLINIC Mahali Ilipo.

Ndio Maana, Natamani Nikufundshe Wewe Ambae Unaguswa Kufanya Biashara Inayohusu Masuala Ya Afya.

Lengo Ni Ili Uweze Kukua Kwa Kasi Pasipo Kuishia Njiani Wala Kupoteza Mtaji

Tena Bila Kupoteza Muda Kwa Kufanya Mambo Ambayo Hayawezi Kukufanya Ukue.

Nawajua Watu Wengi Sana Ambao Walianzisha na Leo Wameacha.

Kwa Sababu KUNA VITU HAWAVIJUI Ambavyo Kama Wangevijua VINGEWASAIDIA Kukua.

Unahitaji Vitu 2 Ili Mimi Nikufundishe Wewe.

1. Mtaji Wa Shilingi 1,000,000 (Yes, Million Moja)

2. Ada 200,000 Utakayonilipa Mimi Kukufundisha Wewe.

Hiyo, 1,000,000 Ni Hela Utakayoanzia Kama Mtaji Wa Kuchukulia Dawa Kwetu.

Na Tutakusimamia Kuhakikisha DAWA ZAKO ZINATOKA (Kama Utachukua Kwetu)

So Kwa Shilingi 200,000 Utapata;

1. Lifetime Mentorship (Utakiwa Familia Yangu)

2. Trade Secrets (Siri Zinazonisaidia Mimi Kukua)

3. How To Build Strong Brand (Jinsi Unaweza Kujenga Jina Imara Litakalokusaidia Kuuza)

Kumbuka; Jina Linajengwa, Nitakufundisha JINSI YA KULIJENGA

4. How To Build a Strong Winning Team

Ili Ufanikiwe Sana Unahitaji Kuwa na TIMU IMARA YA USHINDI

Nitakufundisha Jinsi Ya Kuijenga (Ni Muhimu Sana)

5. How To Become Among 20% Of Market Leaders

Katika Kila Field Kuna 20% ya watu ambao wanatawala soko,

Yaani Wao Wanauza Zaidi Ya 80% ya waliobaki.

Nitakufundisha Jinsi Unavyoweza Kupenyeza Mpaka Kuingi Katika 20% ya watu wanaotawala soko la Biashara Unayofanya.

6. How To Use Others People Money

Nitakufundisha Jinsi Unavyoweza Kutumia Fedha Za Watu Wengine Kwaajili Ya Kukuza Biashara Yako.

7. Nitakufundisha Jinsi Ya Kupata Dawa Nzuri Zitakazolitangaza Jina Lako Au Jina La Biashara Yako.

Kumbuka, Kama Huna Dawa Nzuri Huwezi Kukua.

Hayo Mambo 7 Ukiyajua Hautaishia Njiani Kama Wengine.

Njoo, Lipia Ada Nikupe Shule.

(Hii Ni Kwa Mnaofanya Biashara Ya Afya Au Mnaotamani Kufanya Hiyo Biashara)

[9/9, 4:20 PM] Isaack Nsumba: Shilingi 200,000 Ni Nyingi Sana Eeh?

So..Kama Uko Tayari.

Naomba Nitumie Meseji Yenye Neno "NIPO TAYARI"

Nitakuuliza Maswali Machache Ili Kuona Kama Unanifaa Au Hunifai.

Its Me Isaack Nsumba.

CEO Nsumba Herbal Clinic.

Cheers🥂
👍102🔥2
Brother, Kiasili Wanawake Wameumbwa na Hali Ya KUTOKUJIAMINI na KUJITILIA MASHAKA (Self Doubting)

Hali Ambayo Inawasababisha...

Watilie Mashaka Uwezo Wao, Watilie Mashaka Mawazo Yao na Watilie Mashaka Uwezekano Wa Wao Kufanikiwa Katika Maeneo Fulanifulani.

Jitahidi Wewe Kwa Mwanamke Wako Uwe Tofauti.

Kuwa Shabiki Namba Moja Wa Kile Anafanya, Kuwa Shabiki Namba Moja Wa Ndoto Zake.

Muoneshe Kwamba, Unamuamini, Unaamini Katika Mawazo Yake,

Unaamini Katika Ndoto Zake, Unaamini Katika Ideas Zake

Na Mwisho Kabisa Muoneshe Kwamba...

Unaamini Katika UWEZEKANO WA YEYE KUFANIKIWA Katika Ndoto aliyonayo.

Njia Rahisi Ya Kufanya Hivyo Ni Kumpa Uhuru wa Yeye Kuwa Yeye (Freedom Of Being Her)

Mpe Uhuru wa Yeye Kuchase Dreams Zake Huku....

Ukimpongeza Kwa UJASIRI WA KUTHUBUTU, Ujasiri Wa KUENDELEA KUFANYA

bila Kusahau Kumtia Moyo Katika Nyakati Ngumu Anazopitia.

Kama Uwezo Unao, Jaribu Kumpa/Kumuongezea Mtaji

Hii ni Njia Yenye Nguvu Zaidi Ya Kumwambia...

"Naamini Katika Wazo Lako, Naamini katika Uwezo Wako na Katika Uwezwkano Wa Wewe Kufanikiwa"

Na Hata Ikitokea Amefanya na Akafeli...

Kaa Nae Chini.

Mtie Moyo, Muulize Anahisi Alikosea Wapi

Kisha Mpe Nafasi Ya Kufanya Tena Au Kujaribu Jambo Jipya.

Wanaume Wengi Hatuwawezeshi Wanawake Zetu Kwa Sababu Kadhaa

1. Hatuamini Katika Uwezo Wao

2. Tunaamini Wakifanikiwa Watatukimbia.

Mtu Mmoja Aliwahi Kusema

"Be Aperson Who Can Be Replaced, But Not Simply"

Yaani...

Kuwa mtu ambae nafasi yako inaweza kuchukuliwa na pengo lako kuzibwa, ila isiwe kirahisi.

So..Jitahidi Uwe Mwanaume wa tofauti.

Mwanaume ambae unaamini katika ndoto za mwanamke wako,

Mwanaume ambae unamshika mkono.

Mwanaume ambae unaamini katika uwezekano wa kufanikiwa.

Mwanaume ambae unasimama nae hata katika nyakati ambazo anajihisi kuanguka na kukosa nguvu.

Trust Me

Wanaume Kama Hao Tupo Wachache Sana!

Ikitokea Kakukimbia

Itamchukua Muda Kukupata Kama Wewe

Au Asipate Mwingine Kabisa!
7👍5👏5
Kila Mtu Unaomuona Anapigana Vita Fulani Ambayo Wewe Huijui.

Every Person You Meet Is Fighting Certain Battle You Know Nothing About It

Kuna Watu Ambao Wanatabasam Ila Ndani Yao Wameelemewa na MIZIGO MIZITO SANA!

Wapo Wengine Ni Madeni Yanawasumbua, Kuna Ambao Biashara Haziendi Vizuri.

Bila Kuwasahau Wale Ambao Mapenzi Yameenda Mrama.

Kuna watu wana furaha kwa nje, ila vita yao kubwa ni Ugonjwa aunaowatesa muda mrefu.

Wamefika point ya kupoteza tumaini.

Wengine wao wanapigana vita ya kupanda juu huku wengine wanapigana vita ya kuhakikisha hawashuki kutoka juu walipo

Afu kuna wale ambao...

Waliwahi kuwa juu, wakakaa kwa muda fulani afu wakaporomoka

Hivi sasa wanapambana sana kurudi katika nafasi waliyokuwepo.

Na nilichojifunza ni kwamba, hakuna Vita Kubwa Kuliko Nyingine.

Inaweza Isionekane Kama Ni Kubwa Kwa Sababu Haikuhusu Wewe..Ila Kwa Mwenzio ni Kubwa.

Mi Sijui Ni Vita Ipi Unayokabiliana nayo hivi sasa.

Ni Maombi Yangu Kwa Mungu Kwamba

1. AKUWEZESHE KUSHINDA.

2. Akuinulie Watu Ambao Watashiriki Kupigana Vita Unayopigana.

3. Akusaidie Uzijue NJIA SAHIHI za Kutumia Ili Kupata Ushindi.

4. Akuwezeshe Kustahimili Vile Vipindi Ambavyo Mapambano Ni Makali Zaidi.

Usizimie Moyo, Usichoke, Usikimbie Wala Kukata Tamaa.

Sema Aamen.
👍146
Mambo 3 Yatakayokusaidia Kumfanya Mwenzi Wako Aufurahie Uhusiano Wenu

1. Mpe Zawadi

Zawadi Huwa Ina Ujumbe,

Huwa Inaenda Kusema "Wewe ni Wa Thamani Sana Kwangu"

Zawadi Huwa Inagusa Hisia Za Ndani kabisa.

Ukimpa Zawadi Atakufurahia na Kuufurahia Uhusiano Wenu.

2. Mkubali Jinsi Alivyo

Hakuna Mtu ambae Anapenda Kujisikia Hakubaliwi Alivyo.

Usimfanye Ahisi Kama Unatamani Awe Mtu Mwingine,

Usimfanye Ahisi Unatamani Kama Haujaridhika Na Vile Alivyo.

Muoneshe Kwamba, Unamkubali na Umeridhika Nae.

Hii Itampa Amani na Kumfanya Ajisikie Vizuri Kuwepo Katika Huo Uhusiano.

3. Mshike Mkono

Mahusiano Ywnu Yanatakiwa Yawe na Mchango.

Yawe ni chachu ya Kumsogeza Mtu Mahali Fulani.

Hawezi Kuyafurahia Kama Hakuna Namna Yanachangia Katika Kupiga Hatua.

So..Ili Afurahie Hakikisha Unamshika Mkono,

Unatembea nae Kuhakikisha Kuna Mahali anafika Kwa Sababu ya Uwepo wako Kwake.

Kama Umeipenda Makala Hii Nashauri Ufanye Mambo Haya;

Comment Kitu Ulichojifunza

Follow Page Hii Kwaajili Ya Mafunzo Zaidi

Save Post Hii Kwa Matumizi Ya Baadae.

Share Post Hii Ili Iwasaidie Na Wengine Wengi.

Its Me Isaack Nsumba.
Expert and Competent Teacher In Love, Relationship and Marriage.
👍11
Mambo 3 Yanayowakera Wanawake Wakiwa Katika Mahusiano

1. Kutoa Ahadi Hewa

Hakuna Mwanamke Ambae Anapenda Kufanywa "Mjinga/Kama Mtoto Mdogo"

Ukimuahidi Tekeleza Ahadi Yako.

Kitendo Cha Kutoa Ahadi Ambazo Huzitekelezi, Sio Tu Kinamkera..

Lakini Pia Kinakushushia Heshima na Kumfanya Asikuzingatie.

2. Kujizingatia Wewe Zaidi

Wanawake Wanakerwa na Tabia Ya Mwanaume Kuwa Mbinafsi...

Mara Zoote Unajiweka Namba Moja.

Inapokuja Issue Yako Unataka Ifanyiwe Kazi Haraka, Ila Issue Yake Unaisubirisha.

Hali ya Kujizingatia Wewe Zaidi Inakera Wanawake Woote.

3. Kuchati na Wanawake Wengine

Hakuna Mwanamke Ambae Anapenda Au Kufurahia Mwanaume Wake Awe na Contacts Nyingi za Wanawake.

Na wanawake woote wanakereka pale ambapo wanaona wanaume zao wanawasiliana na wanawake wengine.

Tena wanatumiana na Vi "Emoji" Kabisa.

Kama Umeipenda Makala Hii Nashauri Ufanye Mambo Haya;

Comment Kitu Ulichojifunza

Follow Page Hii Kwaajili Ya Mafunzo Zaidi

Save Post Hii Kwa Matumizi Ya Baadae.

Share Post Hii Ili Iwasaidie Na Wengine Wengi.

Isaack Nsumba

#MuacheAende #HuyuNdiye #BoreshaMahusianoYako #IsaackNsumba
👍72👏2
Mambo 3 Yanayoweza Kumfanya Ex Wako Arudi Kwako

1. Being Hurted & Dissapointed

Hii Hutokea Pale Ambapo Matumaini Aliyokuwa Nayo Kule Alipokwenda Kutokutimia na Kuvunjwa Moyo.

Baada Ya Kuumizwa Na Kuvunjwa Moyo Alikokwenda Anaamua Kurudi Kwako Ili Aweze Kupona Maumivu Na Majeraha Aliyonayo.

So Anarudi Akiwa ni Majeruhi.

2. Your Goodness Realization

Kuna Wakati Huwa Tunatambua Uzuri na Wema wa Watu Tuliokuwa Nao Mara Baada Ya Kutokuwa nao Kwa Muda Fulani.

So..Kunao Uwezekano Ex Wako Akarudi Mara Baada Ya Kufikiria Kuhusu UZURI na WEMA Wako.

NB; Mara Nyingi Hutokea Akikutana na Watu Wabaya Alikokwenda.

3. Failure To Replace

Ikitokea Ex Wako Akashindwa Kumpata Mtu Kama Wewe Au aliyekuzidi Ni Rahisi Sana Kurudisha Majeshi Yake Kwako.

Hii ni kwa Sababu Amekosekana Mtu Wa KUZIBA PENGO LAKO KIRAHISI.

Ndio Maana Tunasema "Be A Person Who Can Be Replaced, But Not That Simply"

Kama Umeipenda Makala Hii Nashauri Ufanye Mambo Haya;

Comment Kitu Ulichojifunza

Follow Page Hii Kwaajili Ya Mafunzo Zaidi

Save Post Hii Kwa Matumizi Ya Baadae.

Share Post Hii Ili Iwasaidie Na Wengine Wengi.

Isaack Nsumba

#MuacheAende #HuyuNdiye #BoreshaMahusianoYako #IsaackNsumba
👍6
Jinsi Ya Kumfanya Mwawaume Wako Akuamini
(How To Win Your Man's Trust)

1. Maneno na Taarifa Zako Ziambatanishe na Uthibitisho

Unapomwambia Mwanaume "Kesho Nitaenda Kumtembelea Aunt"

Hakikisha Ukienda Kwa Aunt....

Fanya Namna Ya Kumthibitishia Kuwa "Ni Kweli Nipo Kwa Aunt"

Ukifanya Mara Kadhaa

Itafika Hatua Usipomthibitishia Ataamini Kile Unachomwambia.

2. Ukimuomba Hela Nenda Kafanyie Kile Umesema Unaenda Kufanya na Umuoneshe

Wanaume Wengi Hawapendi kupigwa MIZINGA.

Mizinga Manake, Unaombwa Hela Kwa Kitu Ambacho Hakipo.

Ili Kumuondolea Wasiwasi Muombe Hela, Mwambie Unaenda Kufanyia Nini.

Na Akikupa Kafanye Sawasawa na Hela Uliyoomba.

Mfano "Isaack Naomba Hela Nikasuke"

Ikitokea Amekupa.

Ukitoka Kusuka Hakikisha Unamtumia Picha Ajue "Kweli Helangu Ilienda Kusukiwa"

Mfano Umeomba Hela Ya Kununulia Simu.

Kakupa

Umenunua Hiyo Simu Lakini Hujamuonesha.

Kama Hujamthibitishia Akihisi Umempiga Atakuwa Anakosea?

Muoneshe.

3. Taja Kiasi Kulingana na Thamani Halisi Ya Kile Umesema

Mfano, Unamuomba Hela Ya Kutengeneza Kioo Cha Simu

Tufanye ni 50K

Wewe Umeomba 150K

Afu...

Kafuatilia Kagundua Kioo ni 50k

Wewe Ulisema 150K

Akianza Kukutilia Mashaka Atakuwa Anakosea?

Kwanini Ulitaja Bei Isiyo Sahihi?

4. Mpe Updates

Tufanye Wewe Upo Mwanza, Yeye Yuko Dar.

Umemuomba Mtaji Kwaajili ya Kibanda Cha MPESA.

Kakupatia..

Tunatarajia Uwe Unampa Updates Kama;

"Nimefanikiwa Kupata Kibanda Cha Biashara"

Nimefanikiwa Kulipia Kodi Miezi 5

Nimefanikiwa Kufanya Hivi na Vile..

Hizi Updates Zinamuondolea Yale Mawazo Ya

"Sijui Ile Hela Kaenda Kutumia Kama Mtaji Kweli Ama Amenunulia Iphone"

Lakini Pia Hizi Updates....

Zinakusaidia Kukuweka Katika Nafasi Nzuri Ya Kupata Msaada Kutoka Kwake Wakati Mwingine.

Kwa Sababu Anaamini "Hela Inaenda Kufanya Kile Unachokisema"

Usiwe Unalalamika "Ooh My Man Haniamini"

"Oooh Tatizo Lako Wewe Huna Imani Namimi"

Yes, Ana Haki Ya Kutokukuamini Kwa Sababu...

"Trust Is Earned"

Kuna Vitu Lazima Ufanye Ili Kuwin Trust Yake Kwako.

Haitokei Tu Kama Zali Akakuamini.

Lazima Ufanye Namna.

Kuna Watu Hamuaminiki.

Hata Mkituma Text "Naumwa, Dr Kaniandikia Dawa Zinauzwa 50K..Naomba Hela Nikanunue"

Jibu Litakuja Hivi....

1. Naomba Ripoti Ya Doctor

2. Nitajie Majina Ya Dawa Nikununulie.

Hizi Meseji Usipokuwa Makini Unaweza Kudhani Anajali.

Ila Ukweli Ni Kwamba HAKUAMINI.

Na Ikitokea Ukashindwa Kutuma Hiyo Ripoti Ya Doctor Ndo Kabisaaaa

Anajisemea "NILIJUA TU, HUU NI MZINGA"

Siku Zoote Kumbuka, Ni Jambo Moja Kuwa na Mwanaume.

Na Ni Jambo Jingine Kuwa na Mwanaume Anaekuamini.

Na Kuaminiwa Hakuji Hivihivi...Kunatengenezwa.

Kama Umeipenda Makala Hii Nashauri Ufanye Mambo Haya;

Comment Kitu Ulichojifunza

Follow Page Hii Kwaajili Ya Mafunzo Zaidi

Save Post Hii Kwa Matumizi Ya Baadae.

Share Post Hii Ili Iwasaidie Na Wengine Wengi.

Isaack Nsumba

#MuacheAende #HuyuNdiye #BoreshaMahusianoYako #IsaackNsumba
👍113
Ikiwa Kila Mwanamke Unaemtongoza Anakukataa Soma Kitabu Hiki

https://isaacknsumba.lpages.co/sanaa-ya-utongozaji-sp
1👏1
Nini Huwa Kinapelekea Mwanaume Kupata Usingizi Mzito Baada Ya Kumwaga Mbegu Wakati Wa Tendo?

Kwa Baadhi Ya Wanaume, Baada ya mwanaume kumwaga mbegu (ejaculation),

Hupata usingizi mzito na linaweza kuhusishwa na mabadiliko ya kisaikolojia na kibaolojia yanayotokea mwilini.

Hii inasababishwa na vichocheo na kemikali mbalimbali ambazo hutolewa mwilini baada ya kufikia kilele cha raha ya tendo la ndoa (orgasm).

Hali Ya Kupata Usingizi Mzito Inaweza Kusababishwa na Mambo Yafuatayo.

1. Kutolewa kwa Homoni

Baada ya mwanaume kumwaga mbegu, mwili hutoa homoni na kemikali zifuatazo...

Prolactin: Hii homoni inahusishwa moja kwa moja na hisia za usingizi.

Kiwango chake huongezeka baada ya kumaliza tendo la ndoa, na huleta hali ya utulivu na uchovu.

Oxytocin: Homoni Hii Huondoa msongo wa mawazo na husababisha hali ya utulivu, ikichangia usingizi.

Serotonin: Ni kemikali inayosaidia kupunguza mfadhaiko na kuongeza hali ya utulivu, ambayo huchangia kupata usingizi.

2. Kushuka kwa Nguvu za Mwili

Tendo la ndoa ni shughuli inayochoma kalori na husababisha uchovu wa mwili,

hasa kwa wanaume baada ya kumwaga mbegu. Mchakato huu wa mwili unahitaji nguvu,

na baada ya kilele cha raha (orgasm), mwili huingia kwenye hali ya utulivu na kuhitaji kupumzika.

3. Mabadiliko ya Viwango vya Homoni za Nguvu

Baada ya kumwaga mbegu, viwango vya testosterone vinaweza kushuka kwa muda mfupi,

na hii huathiri hali ya nguvu na kuleta uchovu.

Lakini Pia Kiwango cha cortisol (homoni ya stress) pia hushuka, na kufanya mwili kuwa na hali ya utulivu zaidi.

Hali Hii Hutofautiana Kati ya Mwanaume na Mwanaume.

Wapo ambao usingizi huwapata wakipiga bao moja tu,

huku wengine hali ya usingizi huwapata wakipiga bao zaidi ya wanavyopigaga siku zingine.
5👍4
Sababu 4 Zinazoweza Kumfanya Mwanaume Akuache Hata Kama MMETOKA MBALI

Bila Kujali Mmedumu Kwa Muda Gani,

Bila Kujali Mmefanya Nini Pamoja,

Bila Kujali Amewahi Kukupenda Kiasi Gani.

Mwanaume Akiyaona Haya, Atakuacha Tu!

1. Disrespect (Kumdharau)

Mwanaume Anahusianisha Upendo Wa Mwanamke Na Heshima/Utiifu Mbele Yake.

Hii ni Kusema Kwamba...

Ni Ngumu Mwanaume Kukuelewa Unapomwambia "Nakupenda" Ikiwa Haumuheshimu.

So..Ikifika Point Akaanza Kupata Hisia Za Kutokuheshimiwa Ni Kama Akili....

Yake Inaanza Kumwambia....

"Hii Sio Sehemu Sahihi Kwajili Yako Master, Unatakiwa Kuondoka"

So..Atakuacha, Hata Kama Mmetoka Mbali.

2. Controlling (Kutaka Kumtawala)

Kila Mwanaume Anapenda Kuona Anaongoza,

Anataka Kuona Nafasi Yake Haikawili na Mtu na Inaheshimiwa.

Ikitokea Kwamba...

Akagundua Ni Kama Unatafuta Kuwa JUU YAKE (Kimamlaka)

Ni Kama Unampa Sababu Ya "Kwanini Natakiwa Kumuacha Huyu Mwanamke"

Kumtawala Mwanaume ni "Kumpa Maelekezo, Kumuagiza,

Kumpa Taarifa Badala ya Kumuomba Ruhusa, Kumfundisha/Kumuelekeza, Kumpangia, Kumfuatilia"...Nk

3. Neglecting Yourself (Kujiachaniza)

Mwanaume Yeyote Anamtaka "Mwanamke Anaevutia"

Ukitaka Kuamini Hili Fuatilia Picha Ambazo Wanaume Tunalike.

Kilichomleta Kwako ni Ule Mvuto Ulikuwa Nao, Hakikisha Haupotei, Haujiachi, Haujisusi.

Ile Kwamba Umempata Haina Maana Kazi Imeisha...

Endelea Kumvutia Ili Aendelee Kubaki Kwako.

Vaa Vizuri (Nguo Zinazokukaa), Nukia, Pendeza, Kuwa Msafi (Wa Nje Na Ndani)

Asione Aibu Kutembea Nawewe.

4. Sexlesness (Kutokumpa Tendo)

Wanaume Woote (Mi Ndo Msemaji Wao) TUNAHITAJI SEX,

Nimetumia Neno "HITAJI" ili Kuweka Msisitizo. Ni Kwamba...

Sex Ni Hitaji Muhimu (Basic Need) Kwa Mwanaume, Ni Kitu Cha Kwanza Kinachomfanya Aje Kwako.

So..Akikikosa Anakuwa Kapata Sababu Ya "Kwanini Niondoke"

So Uwe Makini hapa.

Kuna Kutokumpa Sex Kabisa na Kumpa Sex Isiyokidhi Mahitaji yake (Unstasfactory Sex)

Vyoote Kwa Pamoja Vina Nguvu ya Kumkimbiza.

Mimi Huwa Nina Msemo wangu Unasema "Hakuna Level Mahusiano Yatafika Yakawa na GUARANTEE YA KUTOKUVUNJIKA"

So..Mmeishi Pamoja Sawa, Mmeanza Woote Kutafuta Sawa,

Mmetoka Mbali Sawa, Mmezaa Watoto Sawa, Mmejenga Nyumba Sawa, Mmefunga Ndoa Sawa.

Lakini....

Bado Hamna Guarantee Kwamba Ninyi HAMTAACHANA.

Hii Ikusaidie Kuwa Makini na Kutokumtreat Mwanaume Wako Kama Mtu Ambae "Hapa Kafika, Hana Pakwenda"

Its Me Isaack Nsumba-
Expert and Competent Teacher In Love, Relationship And Marriage

Founder & CEO of NSUMBA CREDIT, NSUMBA MOTORS, NSUMBA HERBAL CLINIC
🔥12👍71