Isaack Nsumba
6.41K subscribers
1.44K photos
15 videos
141 links
Expert & Competent Teacher In Love, Relationship and Marriage.
Download Telegram
Wanawake Wana Uwezo Mkubwa Sana Ndani Yao, Lakini Hawafanikiwi Kwa Sababu Zifuatazo

1. Kutokujua Uwezo Uliopo Ndani Yao (Not Knowing Their True Potential)

Ukweli ni Kwamba, Kushindwa Kujua Kama una Uwezo Fulani haimaanishi Hauna.

Ndio Maana Ni 3% Ya Wanawake Wanaofanikiwa Kwa Kiwango Cha Juu.

Kwa Sababu Ni 3% Ya Wanawake Woote Wanaojua Uwezo Mkubwa Uliopo Ndani Yao.

2. Kuudharau Uwezo Walionao na Kuuchukulia Poa (Ignoring and Taking It For Granted)

Wanawake wengi huuchukulia poa ule uwezo uliopo ndani yao.

Uwezo wowote uliowahi kucbukuliwa poa haukuwahi kuleta matokeo mazuri.

Wanawake Wengi Hawaoni kama unaweza kuwasaidia,

hawaoni kama unaweza kuwafikisha mbali, hawaoni kama unaweza kuwafanya wawe watu wakubwa.

Wanauchukulia Poapoa.

3. Kutokuutumia Ipasavyo (Not Using It Effectively)

Kuwa na Uwezo ni Jambo Moja, Kuutumia Uwezo Ni Jambo Jingine.

Ila Kuutumia Ipasavyo ni Jambo Gumu zaidi.

Ili Uwezo Ufanye Kazi Vizuri ni Lazima Utumiwe Ipasavyo.

Na Kwa Sababu Hautumiwi Ipasavyo Kinachotokea ni Kwamba Wanabaki Kuwa WANAWAKE WA KAWAIDA.

3. Kuwa Tegemezi Kwa Watu Wengine Tofauti na Wao (Relying On Others)

Wanawake Wengi Wana "Entitlememt Mentality"

Najua Utajiuliza Hii ni Kitu Gani?

Hii ni ile Hali Ya Kudhani Kwamba Kuna Mtu Anapaswa Kuwajibika Kwaajili Yao.

Wengi Hudhani wazazi, Ndugu, Marafiki, Mume Nk. Ndio Hupaswa Kuwawajibikia Tofauti na Wao wenyewe.

Kwa Sababu hiyo Wanashindwa Kutumia Ule Uwezo Ulioko Ndani yao.

Na Wanabaki VILEVILE

Swali Kwa Wanawake;

1. Kipi Kinakuzuia Nawewe Usifanikiwe Kwa Kiwango Cha Juu?

2. Kuna Tofauti Gani kati Yako na Hao Wanawake Unaoona Wamefanikiwa?

Its Me Isaack Nsumba.
Expert and Competent Teacher In Love, Relationship and Marriage.
👍9
Kuna Wanaume Hawana Tatizo la Nguvu za kiume, ila ni wanawake zao Wamepoteza Mvuto.

Tafiti Nyingi Zinaonesha Kwamba, Wapo Wanaume Ambao...

Wana Show Mbovu, na Sio Kwa sababu Wana Changamoto Za Nguvu Za Kiume.

Ila Simply Kwa Sababu Wanawake Zao Wamepoteza Mvuto.

Na Kuna Namna Kadhaa Za Jinsi Mwanamke Anavyoweza Kupoteza Mvuto Wake.

1. Mvuto unaopotea kwa sababu ya kuishi muda mrefu

Kitendo cha Kuishi Muda Mrefu Huwa Kinazalisha Mazoea

Ambayo Yanapelea "Kuchukuliana Poa"

Hali Hii Inaleta Kupungua Kwa Msisimko (Excitement) Kwa Baadhi Ya Wanaume.

Wakikutana na Wenzi wao, Kimoja Chali.

Wanakosa Hamu Ya Kuendelea.

2. Mvuto unaopotea kwa sababu ya kukosa matunzo (kujiacha)

Yes...Kwa Baadhi Ya Wanawake Huwa Kitendo cha Kujiacha Ama Kukosa Matunzo Kinafanya Mvuto Unatoweka.

Mvuto Ukitoweka Humuwia Ngumu Mwanamke Kupiga Show Za Kibabe,

Kama Zile Za Kipindi Kile Cha Mwanzoni.

3. Mvuto Unaopotea Kwa Sababu Ya Kuongezeka Hadhi

Kuna Baadhi Ya wanaume, Mafanikio Yao Yanakuja na Mabadiliko Ya Aina Ya Wanawake Wanaovutiwa Nao.

Inawezekana Kitendo cha Mwanaume Kufanikiwa Kikamuondoa Mwanamke Wake Katika List Ya Wanawake Wanaomvutia.

Na Kama Asipovutiwa Nae Ni Ngumu Kuperform Vizuri Kitandani.

4. Mvuto Unaopotea Kwa Sababu Ya Mwanaume Kupata Access Ya Wanawake Wazuri Zaidi

Hii Nayo ni Matokeo Ya Mafanikio.

Kuna Level Mwanaume Anafika, Mafanikio Yake Yanamuwezesha Kupata Access Ya Wanawake Warembo.

Akifika Hii Hatua Anaanza Kumuona Mwanamke Wake wa Mwanzo Kama Kapoteza Mvuto.

Katika Mazingira Haya, Inakuwa Vigumu Mwanaume Kushiriki Tendo Vizuri.

Na Wanaume Wa Jinsi Hii, Mara Nyingi Huwa Wakitoka Nje Wanapiga Show Za Moto Sana!

Yoote Hii Inatosha Kuthibitisha Kwamba, Kuna Wanaume Ambao hawana Tatizo la Nguvu za kiume, ila ni wanawake zao Wamepoteza Mvuto.
👍9
Akiwa Anahutubia Nchi Yake Siku Chache Kabla Ya Kwenda Vitani

Alitamka Maneno Haya "I am Going At The Battlefield,

One Thing I Can Promise You Is That, I WILL BE BACK.

I will be back Either after HOISTING the tri-colour,

Or..I will be back WRAPPED in it, but I will be back for sure"

Ninakwenda Vitani, Kitu Kimoja Naweza Kuwaahidi Ni Kwamba MIMI NITARUDI.

NItarudi Huku Nikipeperusha Bendera Ya Nchi Yangu Kwa Furaha Kama Ishara Ya USHINDI,

Ama Nitarudi Nikiwa Ndani Ya Jeneza Huku Nikiwa Nimefunikwa Bendera Kama Ishara Ya SHUJAA ALIYEFIA VITANI

Ila ama Hakika MIMI NITADURI"

Guess What? Hiyo Vita Alishinda Akiwa kama Captain Aliyeongoza Kikosi Cha Upiganaji Vitani.

Hayo Ni Maneno Mazito Yaliyotamkwa na Keptain Wa Kikosi Cha Kivita Nchini India

Si Mwingine ni Captain Vikram Batra

Binafsi Najifunza Kwamba, Kuna Wakati Mambo Makubwa Hayatokei Hadi UJITOE MZIMAMZIMA Katika Unachofanya.

Kwamba Afe Kipa Ama Afe Beki.

Kwamba Nipambane Hadi Niupate Ushindi Ama Nife Nikiwa Ulingoni,

Lakini Hakuna Kukimbia.

Kuna wakati unachokifanya kitahitaji kitu akinaitwa "100% Commitment"

Kwamba, Ujidhabihu na Ujitoe Kwelikweli,

UJILIPUE Kama Mtu Asiye na La Kupoteza.

Ukienda vitani na akili ya "Mambo Yakikaza Nalala Mbele"

Utashindwa Hadi Zile Vita Ambazo Kimsingi Ulitakiwa Kushinda

(Soma Tena)

Ndio Maana Mushashi Myamoto Akasema "To Wij Any Battle, You Must Fight As If You Arleady Dead"

(Ili Ushinde Vita Yoyote Ile ,ni Lazima Upambane Kama Mtu Ambae Hana Cha Kupoteza)

Utafanikiwa Sana Pale Ambapo, Shauku yako Kufanikiwa Ikiwa Kubwa Kuliko Hofu Yako Ya Kufeli.

Kwa Sababu...

1. Utajitoa Sana

2. Utainuka Hata Baada Ya Kuanguka Mara Kadhaa

3. Utawekeza Nguvu Zako Bila Kujali ni UNARISK Kiasi Gani?

Kwanini? Kwa Sababu...

Shauku yako Ya Kufanikiwa Ni Kubwa Kuliko Hofu Ya Kufeli.

So..Dont Accept Failure To Be an Option.

Mimi Nawewe Tuwe Kama Captain Vikram Batra.

Kwamba Turudi tukiwa Matajiri

Ama Umauti Utukute Tukiwa Tunapambana.

Ila Hatutakata Tamaa Tukiwa Hai.

Hebu Niandikie Hapa👇

Mfano "Mimi isaack Nsumba, Sitakata Tamaa...Nitafanikiwa Sana na Mafanikio Yangu Yatakuwa Chanzo cha Hamasa Kwa Wengine"

Nakutakia Kila La Kheri Unapomaliza Mwezi August na Kuingia Mwezi September.
👍87🔥3
Sababu Za Kwanini Mahusiano Mengi Ya Vyuo Huvunjika Mara Baada Ya Wahusika Kuhitimu Masomo Yao

Tafiti Zinaonesha Kwamba 78% Ya Mahusiano Ya Chuo Yanakufa Mara Baada Ya Wahusika Kuhitimu Masomo Yao.

Yani Wakihitimu tu Na Penzi Linakufa.

16% Yanakufa Miaka 2 Hadi 4 Baada Ya Kuhitimu.

4% Yanakufa Miaka 5 Na Kuendelea na ni 2% Pekeake ambayo Huwa Yanaweza Kufika Hatua Ya Ndoa.

Zipo Sababu Nyingi Zinazopelekea Hali Ya Namna Hiyo.

Hizi 5 Ni Zile Tunaita "Main Reasons"

1. Life Battles After Graduation

Baada ya chuo wahusika huingia Katika mapambano ya maisha.

Ambayo Kwa Namna Fulani Yanawaweka Bize.

Ule Ubize Unawafanya Wanashindwa Kuyapa Mahusiano Yao "Attention"

Na Hatimae Yanakufa.

Kwa Maneno mengine Ni Kwamba, Wengi Wakimaliza Chuo Wanaenda "KUJITAFUTA"

Katika Harakati Za Kujitafuta Wanajikuta WAMEPOTEZA PENZI LAO.

2. Distance Concerns

Wapo ambao, mwanaume kwao ni Kigoma Mwanamke Ni Nachingwea.

Wakimaliza Chuo Kwa Sababu Ya Umbali Penzi Linakufa Automatically.

Na Hii Hutokana na Ukweli Kwamba, Watu Wengi Hawana Ujuzi Wa Jinsi Ya Kulea, Kulinda na Kutunza Penzi La Mbali

Kwa Sababu Hiyo Linakufa.

Mara Nyingi, Wanaume Ndio Huongoza Kushindwa Kudumisha Mahusiano Ya Mbali (Distant Relationhip)

Sababu Ni Umbali Unawafanya WANAKOSA VITU MUHIMU KWAO.

3. No Link Again

Baada Ya Kuhitimu Masomo, Wengi Wanakosa Kitu Kinachowaunganisha na Kuwafanya Waendelee Kuwa Pamoja.

Kwa Sababu Kilichowaleta Pamoja ni Masomo, Kwa Sababu yameisha Na Bond Yao Inavunjika.

Hii ni kusema Kwamba...

Wengi wao huwa wanadate Kwa Wakati Huo (Dating At a Time) sababu wapo eneo moja.

Wakitengana ni kama wanakosa sababu ya Kwanini Waendelee Kuwa Pamoja.

4. Lack Of Preparation

2% Ya Mahusiano Ambayo Yanaanziaga Chuo na Yanafika Hatua Ya Ndoa Ni Ya Watu ambao Walijiandaa.

Walijiandaa kuendeleza mahusiano yao hata baada ya kumaliza masomo, walijiandaa kuja kuwa mke na mume (baba na mama)

Manake ni kwamba...

Hao ambao wakimaliza masomo huwa wanaachana ni Kwa Sababu Ya KUKOSA MAANDALIZI ya Jinsi Ya Kukabiliana na Hatua Inayofuata.

5. Having No Future

94% Ya Wanachuo Huwa Wanakuwa Katika Mahusiano Tunayaita "A Meaningless Relationship" (Mahusiano Yasiyo na Maana)

Ni Kwamba...

Wanakuwa hawajui wanataka penzi lao lifike wapi.

Wanakuwa hawajui jinsi gani wataliendeleza baada ya kuhitimu masomo.

They Are Just Dating For Fun.

Cha Ajabu.

Pamoja na Kwamba, Wengi Hawana Future Katika Mahusiano Yao Wakiwa Chuo.

Baada Ya chuo Yakivunjika Kuna Watu Wanaumia Kabisa!

Naomba Unambie.

Mahusiano Yenu Yalivunjika Baada Ya Kuhitimu chuo?

1. Unaweza Kujua Nini Kilisababisha?

2. Baada Ya Kuvunjika Ulichukua Hatua Gani?

3. Unadhani Ni Sababu gani sijaitaja, Lakini Ni Chanzo Cha Mahusiano Kuvunjika Baada Ya Wahusika Kumaliza Chuo?

Its Me Isaack Nsumba.
Expert and Competent Teacher In Love, Relationship and Marriage.
👍10👏51🔥1
Kama Una Mtaji Wa Kuanzia 20,000,000 Na Unatamani TUFANYE BIASHARA.

Njoo Inbox,

Nitakuuliza Maswali Machache Kuona Kama TUNAWEZA KUFANYA.

Whatsapp 0654 722 733
👍3
Kama Una Mtaji Wa Kuanzia 20,000,000 Na Unatamani TUFANYE BIASHARA.

Njoo Inbox,

Nitakuuliza Maswali Machache Kuona Kama TUNAWEZA KUFANYA.

Whatsapp 0654 722 733
👍3