This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
️️➟ @HabariTz ✰✰✰
Sakata la Mwijaku na Wanafunzi wa vyuo! BABALEVO afunguka mapya, atoa siri zote za ndani, makubwa!

TRT Afrika Swahili
Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan ampokea katibu mkuu wa baraza la Ulaya Alain Berset katika ukumbi wa rais.

Rais wa Uturuki Erdogan alipokutana na Katibu Mkuu wa Baraza la Ulaya Berset:
- Uturuki inatilia maanani mazungumzo chanya na ushirikiano na Baraza la Ulaya, huku pia ikiendelea na ushirikiano wake na Baraza hilo na mifumo mingine ya kimataifa ya haki za binadamu.
- Ameelezea wasiwasi wake juu ya kuongezeka kwa ubaguzi wa rangi, chuki dhidi ya Uislamu na chuki ya wageni kote Ulaya, na kusisitiza kwamba Baraza la Ulaya linapaswa kutilia maanani zaidi katika kushughulikia masuala haya.
- Mauaji ya Israeli huko Gaza yanaendelea; Ulaya inapaswa kupaza sauti yenye nguvu katika kushikilia sheria za kimataifa na haki za binadamu katika kukabiliana na uhasama wa Israeli

Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan akutana na Waziri Mkuu wa Pakistan Shehbaz Sharif katika Ikulu ya Rais jijini Ankara

Rais wa Ghana John Dramani Mahama amemsimamisha kazi Jaji Mkuu wa nchi hiyo Gertrude Torkornoo
Taarifa kutoka ofisi ya rais zinasema atakaa pembeni hadi pale matokeo ya uchunguzi dhidi yake yatakapobainika. Kumewasilishwa malalamiko matatu dhidi ya Jaji Torkornoo

Makamu Mwenyekiti wa chama cha upinzani Tanzania CHADEMA, John Heche amekamatwa na polisi.
Taarifa zinasema Heche alikamatwa wakati akiwa kwenye mkutano wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA katika soko la Kariakoo jijini Dar es Salaam

Kwa nini Papa huvaa pete?
Kila Papa, kiongozi wa kanisa Katoliki huvaa pete.
Inajulikana kama "Pete ya Mvuvi" Iliyopewa jina la Mtakatifu Petro, ambaye alikuwa mvuvi na kwa mujibu wa imani ya Kikatoliki, papa wa kwanza.

Kila papa ana Pete ya kipekee na pete hii huharibiwa akifa.
Pete ya Papa Francis aliyovaa katika utawala wake wa miaka 12 pia iliharibiwa baada ya kifo chake 21 Aprili 2025.

Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
️️➟ @HabariTz ✰✰✰
TRT Afrika Swahili
Je, Papa wa 267 atakuwa Mwafrika?
Kati ya makadinali 250, ni 135 pekee watakaomchagua kiongozi mpya wa Kanisa Katoliki, kufuatia kifo cha Papa Francis.
Kati ya hao 135 wenye uwezo wa kupiga kura, 18 wanatoka Afrika.
Na katika makadinali hao Waafrika, wawili wanatajwa kuwa miongoni mwa warithi wa kiti hicho.
Makadinali hao ni Peter Turkson, kutoka Ghana na Robert Sarah kutoka Guinea.

Kimbukizi ya MAUAJI YA KIMBALI yaipeleka timu ya kikapu ya DAR CITY nchini Rwanda, Babalevo afunguka

millardayo
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema usiku huu kimempata kwenye simu Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho, John Heche na kusema taarifa zaidi zitatolewa na Heche mwenyewe kesho atakapoongea na Waandishi wa Habari.
CHADEMA imesema Heche ataongea na Waandishi wa Habari katika Makao Makuu ya Chama hicho kuanzia saa saba mchana na Waandishi wote wanakaribishwa.
Itakumbukwa jioni leo CHADEMA ilisema kuwa Jeshi la Polisi limemkamata Heche katika eneo la Kariakoo alikokuwa akiongea na Wananchi na baada ya kumkamata walimpeleka kituo cha Polisi Msimbazi na kisha baadae kumtoa Kituoni hapo na kusema baadhi ya Viongozi walifika kituo cha Polisi kati na kujibiwa kuwa hajafikishwa kituoni hapo.
#MillardAyoUPDATES

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Albert Chalamila amesema endapo kama Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA John Heche amekamatwa na Jeshi la Polisi katika Mkoa huo ataunga mkono jambo hilo na kiongozi yeyote atakaye vunja sheria atachukuliwa hatua.
Chalamila ameyasema hayo Jijini Dodoma wakati akizungumza na Waandishi wa habari na amewaonya Watanzania wote waliopanga kwenda kufanya vurugu katika Mkoa huo hatua kali za kisheria zitachukuliwa dhidi yao.
“Yeyote ambaye hatatii sheria na matakwa yote yaliyowekwa ashughulikiwe kwa mujibu wa taratibu na Viongozi hawa kama wamekamatwa naamini watakuwa kwenye mikono salama na watawajibika kwa mujibu wa taratibu” Albert Chalamila RC Dar es salaam.

Nikisema PALM VILLAGE Mikocheni gari zetu hazipigwi na jua la bongo wala mvua ndio namaanisha dizaini hii, juzi nilikaa juani dakika 20 nikasikia harufu ya mishkaki nikasanda 😃😃 tunaoruhusiwa kupaki humu kivulini underground parking ni Wamiliki wa APARTMENT na wale waliokodisha Apartment kwa hata usiku mmoja tu.... zipo za kuuzwa, zipo za kukodishwa kwa kuanzia dola 100 per night !! nipigie 0659-800-800 @palmvillagemikocheni

Dereva wa lori Mtanzania Juma Ally Maganga (45) anashikiliwa na Mamlaka za kiusalama nchini Sudan Kusini na sasa amehifadhiwa gerezani akisubiri kusomewa hukumu baada ya kumgonga Mwanajeshi wa nchi hiyo aliyekuwa akiendesha pikipiki na kupelekea kifo chake papohapo ambapo Familia ya marehemu imesema ili Mtanzania huyo aachiwe pamoja na gari inatakiwa ilipwe faini ya Tsh. milioni 72.
Mwandishi wa @AyoTV_, Bakari Chijumba amefika Nzuguni Mkoani Dodoma nyumbani kwa Maganga na kuongea na Mke wake aitwaye Rehema Godfrey Mongi (38) ambye amesema awali Familia ya marehemu ilitaka faini ya zaidi ya Tsh. milioni 100 lakini baada ya kuombwa na Mwanasheria wamekubali kupunguza, na kwamba kama itapatikana Tsh. milioni 36 wapo tayari kumuachia Maganga bila gari “Mmiliki wa gari yeye amesema hana hela kwa sasa yupo tayari kusamehe gari”
Rehema amesema “Tunaiomba Serikali na Watanzania wote kwa ujumla kutusaidia tupate hiyo milion 36 Mume wangu aachiwe, Familia inamtegemea, Wazazi, Watoto...