Swahili News
3.79K subscribers
108K photos
58.5K videos
28 files
266K links
🐾
Download Telegram
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Azam Sports

TIZI LA SIMBA ZANZIBAR: “Tukipata matokeo mazuri hapa Zanzibar, tutafuzu” maneno ya beki wa Simba SC, Che Fondoh Malone akizungumzia mechi yao ya mkondo wa kwanza ya nusu fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika (CAFCC) dhidi ya Stellenbosch.

Mechi itapigwa Aprili 20, 2025 katika dimba la Amaan Zanzibar.

Itakuwa LIVE
(Imeandikwa na @allymufti_tz)
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Azam Sports

YANGA KUIFUATA FOUNTAIN GATE: Meneja Habari na Mawasiliano wa Yanga SC, Ally Kamwe amesema kikosi chao kitaanza safari Aprili 19, 2025 kwenda Babati Manyara kuifuta Fountain Gate kwa ajili ya mchezo wa NBC Premier League.

Kamwe amezungumzia hali ya wachezaji Khalid Aucho, Pacome Zouzoua na Yao Kouassi ambao ni majeruhi.

(Imeandikwa na @allymufti_tz)
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Azam Sports

TABORA UNITED KUIFUATA SINGIDA BS: “Wapenzi wa Tabora wasiwe na wasiwasi” maneno ya Khalfan Mbonde, Kocha msaidizi wa Tabora United akiizungumzia mechi yao inayofuata dhidi ya Singida Black Stars, kwenye NBC Premier League.

(Imeandikwa na @allymufti_tz)
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
️️➟ @HabariTz ✰✰✰

Réponse à @mary.rose25385samsung vs in...