️️➟ @HabariTz ✰✰✰
SportsArenaTz
KATUPIA KUSHOTO
.
01 — BAO la ushindi la Trent Alexander-Arnold kwa Liverpool (vs Leicester City juzi) lilikuwa la 23 katika maisha yake ya soka kwenye mashindano yote, lakini ndiyo mara ya kwanza hakufunga kwa mguu wake wa kulia (bao moja kwa mguu wa kushoto, huku 22 ni ule wa kulia).

TABORA KINARA WA MAKOСНА
.
TANGU msimu huu umeanza, Tabora United imefundishwa na makocha wanne hadi sasa ndiyo kinara kati ya timu zote 16, zinazoshiriki Ligi Kuu Bara, baada ya kuanza na Mkenya Francis Kimanzi aliyeondoka Oktoba 21, 2024, kutokana na matokeo mabaya.
.
Baada ya Kimanzi, akafuata Mkongomani Anicet Kiazayidi aliyeondoka pia Machi 28, 2025, huku nafasi yake ikichukuliwa na Mzimbabwe Genesis ‘Kaka’ Mangombe aliyedumu hadi Aprili 18, 2025, kisha Simonda Kaunda, raia wa Zambia kurithi mikoba.

MECHI 16 MFULULIZO UNBEATEN
.
Mabingwa watetezi, Yanga wameendelea kunyatia ubingwa wa Ligi Kuu Bara baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya Fountain Gate, huku ushindi huo uliofanya Yanga kufikisha pointi 70, umeweka rekodi ndani ya kikosi hicho.
.
Yanga imecheza mechi 16 mfululizo za msimu huu bila ya kupoteza, tangu mara ya mwisho kikosi hicho kilipochapwa mabao 3-1 dhidi ya Tabora United, Novemba 7, 2024. Katika michezo hiyo 16, Yanga imeshinda 15 huku mmoja pekee ukiisha kwa suluhu (0-0) ambao ulikuwa ni dhidi ya maafande wa JKT Tanzania.
.
Rekodi hiyo ya kucheza michezo 16 ya Ligi Kuu bila ya kupoteza, imeifikia pia ya Simba ambayo nayo imecheza idadi sawa ya mechi kama hizo, ambapo kikosi hicho tangu kichapwe na Yanga bao 1-0, Oktoba 19, 2024, hakijapoteza tena hadi leo. Katika michezo hiyo 16 ya Simba ambayo imecheza mfululizo ya Ligi Kuu bila ya kupoteza, imeshinda 14, huku miwili pekee dhidi ya Fountain Gate na Azam FC ikiisha sare.

This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
️️➟ @HabariTz ✰✰✰
TRT Afrika Swahili
Kama ilivyo desturi ya Kanisa Katoliki, uthibitisho wa kifo cha kiongozi wa kanisa hilo duniani, ulitangazwa rasmi Jumatatu jioni na Kadinali Kevin Farell, ambaye ndiye Camerlengo wa Kanisa Takatifu.
Tamko hilo lilifuatiwa na mwili wa Papa Francis kuwekwa ndani ya jeneza ndani ya kanisa la Casa Santa Marta, huko Vatican.
Wakati wa ibada, tamko la kifo lilisomwa kwa sauti na Kadinali Farrell, Camerlengo wa Kanisa Takatifu la Roma, huku makadinali Kevin Farell, Pietro Parolin na Askofu Mkuu wa Venezuela Edgar Peña Parra wakifunga makazi ya Papa Francis.

Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
️️➟ @HabariTz ✰✰✰
TRT Afrika Swahili
Rais wa zamani wa DRC Joseph Kabila amerudi nchini rasmi baada ya miaka sita ya ukimya akiwa uhamishoni akisema kuwa kurudi kwake ni kwa sababu ya “kuchangia juhudi za amani”.
Hata hivyo, serikali ya DRC imekisimamisha chama chake cha kisiasa na kuamuru mali zake kuchukuliwa kwa tuhuma za kuwaunga mkono waasi.
TRT Afrika Swahili
Rais wa zamani wa DRC Joseph Kabila amerudi nchini rasmi baada ya miaka sita ya ukimya akiwa uhamishoni akisema kuwa kurudi kwake ni kwa sababu ya “kuchangia juhudi za amani”.
Hata hivyo, serikali ya DRC imekisimamisha chama chake cha kisiasa na kuamuru mali zake kuchukuliwa kwa tuhuma za kuwaunga mkono waasi.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
️️➟ @HabariTz ✰✰✰
“Walanguzi kutoka ughaibuni wamekuja na njia mpya ya kuiba mali asili yetu au Bio-Piracy”
-
Shirika la kuwahudumia wanyama pori la Kenya (KWS) limetibua njama ya walanguzi walioingia nchini humo kama watalii kumbe nia yao ilikuwa kuiba na kusafirisha wadudu takriban elfu 5 wenye thamani ya dola $7000
katika masoko huko Asia na bara Ulaya.
-
Raia hao wawili kutoka Ubelgiji na mmoja kutoka Vietnam wanasubiri hukumu katika kesi ya kwanza kama hiyo.
-
Je Afrika ifanye nini kulinda mali asili vivutio na bio anuai yake?
Tuandikie hapo chini 👇🏿
-
-
-
🇰🇪

Papa Francis, ambaye amefariki akiwa na umri wa miaka 88, alifanya safari kadhaa barani Afrika katika kipindi chote cha uongozi wake.
-
Katika safari zake barani Afrika, Papa alitaka kueneza ujumbe wa amani na upatanisho katika nchi zilizokumbwa na migogoro.
-
Akiwa barani Afrika, Papa Francis pia aliwatawaza makadinali kadhaa, wakiwemo wale wa kwanza kabisa wa mataifa madogo ya Afrika.
-
Je safari zake zilileta matokeo yapi kwa Afrika? Pangusa kushoto kufahamu zaidi