Kenya inavyopambana kudhibiti "wahuni na silaha" huku hofu ya vurugu za kisiasa ikiongezeka nchini Kenya
https://www.bbc.com/swahili/articles/cgmp98jrlzjo?at_medium=RSS&at_campaign=rss
https://www.bbc.com/swahili/articles/cgmp98jrlzjo?at_medium=RSS&at_campaign=rss
BBC News Swahili
Kenya inavyopambana kudhibiti "wahuni na silaha" huku hofu ya vurugu za kisiasa ikiongezeka nchini Kenya
Historia ya Kenya ya kutumia makundi ya kihalifu yaliyoungwa mkono kisiasa inaanzia miaka ya mapema ya 1990, wakati mfumo wa vyama vingi uliporejeshwa.
Tetesi za soka Ulaya Jumatatu: Juve wanamtaka Reijnders, Silva kutua Barca
https://www.bbc.com/swahili/articles/ce8px470mnzo?at_medium=RSS&at_campaign=rss
https://www.bbc.com/swahili/articles/ce8px470mnzo?at_medium=RSS&at_campaign=rss
BBC News Swahili
Tetesi za soka Ulaya Jumatatu: Juve wanamtaka Reijnders, Silva kutua Barca
Juventus wanamuwania kiungo wa Manchester City Tijjani Reijnders, Newcastle United wanataka kumbakiza mshambuliaji Will Osula, huku Crystal Palace na Chelsea wakimnyemelea kocha wa Bournemouth Andoni Iraola.
Marekani kusaidia meli zilizokwama Hormuz - Trump
https://www.bbc.co.uk/swahili/live/cdepk55yzn0t?at_medium=RSS&at_campaign=rss
https://www.bbc.co.uk/swahili/live/cdepk55yzn0t?at_medium=RSS&at_campaign=rss
BBC News Swahili
Marekani kusaidia meli zilizokwama Hormuz - Trump - BBC News Swahili
Rais huyo wa Marekani ameeleza hatua hiyo ya kuzisaidia meli zilizokwama kwa karibu miezi miwili ni kama “msaada wa kibinadamu” kwa mataifa yasiyohusika moja kwa moja na vita kati ya Marekani, Israel na Iran.
Simba v Yanga: Mambo 7 kutoka dabi ya 'jeshini'
https://www.bbc.com/swahili/articles/c1529px91peo?at_medium=RSS&at_campaign=rss
https://www.bbc.com/swahili/articles/c1529px91peo?at_medium=RSS&at_campaign=rss
BBC News Swahili
Simba v Yanga: Mambo 7 kutoka dabi ya 'jeshini'
Dabi ya Kariakoo kati ya Simba na Yanga nchini Tanzania imeendelea kuthibitisha ukubwa wake, safari hii ikichezwa katika mazingira ya kipekee, kwenye uwanja wa kambini, Meja Jenerali Isamuhyo, Dar es Salaam.
Zijue nchi 7 ndogo zaidi duniani
https://www.bbc.com/swahili/articles/cj4p9ekx7llo?at_medium=RSS&at_campaign=rss
https://www.bbc.com/swahili/articles/cj4p9ekx7llo?at_medium=RSS&at_campaign=rss
BBC News Swahili
Zijue nchi 7 ndogo zaidi duniani
Hapa ni orodha ya nchi 7 ndogo duniani ambazo nchi hizi kwa moja moja unaweza kuitembelea karibu yote ndani ya siku moja ama kwa saa chache.
Je, vita vya Iran vinaipa Ukraine mkakati wa kumaliza mzozo na Urusi?
https://www.bbc.com/swahili/articles/cgep9pyvx0do?at_medium=RSS&at_campaign=rss
https://www.bbc.com/swahili/articles/cgep9pyvx0do?at_medium=RSS&at_campaign=rss
BBC News Swahili
Vita vya Iran vimeimarisha Ukraine kimkakati, Je kuna uwezekano wa uwepo wa makubaliano ya kusitisha mapigano kati ya Urusi na…
Moja ya makombora yanayotumiwa sana na Urusi kuishambulia Ukraine, ni makombora ya bei rahisi ya Iran yanayoitwa Shahed 136, na pia makombora yake ya Geran.
Je, kuna hatari ya Israel kuishambulia Uturuki?
https://www.bbc.com/swahili/articles/c5y9dzp4pjlo?at_medium=RSS&at_campaign=rss
https://www.bbc.com/swahili/articles/c5y9dzp4pjlo?at_medium=RSS&at_campaign=rss
BBC News Swahili
Je, kuna hatari ya Israel kuishambulia Uturuki?
Mvutano wa kisiasa kati ya Uturuki na Israel umeongezeka baada ya shambulio la Hamas la Oktoba 7 mwaka wa 2023, na oparesheni ya kijeshi ya Israel eneo la Gaza.
BBC yafichua mbinu za matapeli wa Uganda wanaotumia mbwa kujipatia fedha kutoka kwa wapenda wanyama
https://www.bbc.com/swahili/articles/cvgz6yd5p2no?at_medium=RSS&at_campaign=rss
https://www.bbc.com/swahili/articles/cvgz6yd5p2no?at_medium=RSS&at_campaign=rss
BBC News Swahili
BBC yafichua mbinu za matapeli wa Uganda wanaotumia mbwa kujipatia fedha kutoka kwa wapenda wanyama
Mbwa mwenye manyoya ya rangi ya kutu amelala kando ya barabara. Anaonekana mtulivu, lakini video ya TikTok inapoanza kuonyesha mwili wake wote kuanzia usoni hadi sehemu nyingine, majeraha makubwa kwenye sehemu ya miguu yake ya nyuma yanaonekana.
Marekani yashambulia boti saba za Iran huko Hormuz
https://www.bbc.co.uk/swahili/live/c707kkk2703t?at_medium=RSS&at_campaign=rss
https://www.bbc.co.uk/swahili/live/c707kkk2703t?at_medium=RSS&at_campaign=rss
BBC News Swahili
Marekani yashambulia boti saba za Iran huko Hormuz - BBC News Swahili
Operesheni hiyo ni sehemu ya mpango wa Marekani unaoitwa “Project Freedom”, ambao kwa mujibu wa Rais Trump unalenga kusaidia meli zilizokwama na wafanyakazi wake baharini kuondoka salama katika Mlango bahari wa Hormuz.
Ubingwa EPL utaamuliwa lini?
https://www.bbc.com/swahili/articles/cgjp2520vz9o?at_medium=RSS&at_campaign=rss
https://www.bbc.com/swahili/articles/cgjp2520vz9o?at_medium=RSS&at_campaign=rss
BBC News Swahili
Ubingwa EPL utaamuliwa lini?
Baada ya sare yao dhidi ya Everton, kiwango cha juu kabisa cha alama ambacho Manchester City wanaweza kufikia msimu huu ni 83. Kuna mazingira ubingwa unaweza kuamuliwa mapema zaidi
Je, unaujua ugonjwa wa Hantavirus unaoenezwa na panya?
https://www.bbc.com/swahili/articles/c2d2xkxxrplo?at_medium=RSS&at_campaign=rss
https://www.bbc.com/swahili/articles/c2d2xkxxrplo?at_medium=RSS&at_campaign=rss
BBC News Swahili
Je, unaujua ugonjwa wa Hantavirus unaoenezwa na panya?
Kisa kimoja cha hantavirus kimethibitishwa, huku visa vingine vitano vikiendelea kufanyiwa uchunguzi, WHO imesema.
Tunachokijua kuhusu mradi wa Trump wa "Project Freedom" katika mlango bahari wa Hormuz
https://www.bbc.com/swahili/articles/c794d3r11zvo?at_medium=RSS&at_campaign=rss
https://www.bbc.com/swahili/articles/c794d3r11zvo?at_medium=RSS&at_campaign=rss
BBC News Swahili
Tunachokijua kuhusu mradi wa Trump wa "Project Freedom" katika mlango bahari wa Hormuz
Iwapo Marekani itatoa ulinzi wa kijeshi kwa meli zilizoathirika, hilo linaweza kuchochea mvutano wakijeshi na Iran.
Je, mpango wa "Bahari 4" wa Syria kuwa mbadala wa Hormuz?
https://www.bbc.com/swahili/articles/c072glddpgxo?at_medium=RSS&at_campaign=rss
https://www.bbc.com/swahili/articles/c072glddpgxo?at_medium=RSS&at_campaign=rss
BBC News Swahili
Je, mpango wa "Bahari 4" wa Syria kuwa mbadala wa Hormuz?
Wakati Mashariki ya Kati inapambana na mzozo wa vita vya Iran na kufungwa kwa Mlango-Bahari wa Hormuz, mawazo tofauti yanajitokeza nchini Syria yanayoiweka nchi hiyo kama ukanda wa kati wa nishati na mtiririko wa biashara duniani.
Ruto apendekeza ujenzi wa kiwanda cha kusafisha mafuta Tanga Tanzania
https://www.bbc.com/swahili/articles/c9v3m7jrke7o?at_medium=RSS&at_campaign=rss
https://www.bbc.com/swahili/articles/c9v3m7jrke7o?at_medium=RSS&at_campaign=rss
BBC News Swahili
Ruto apendekeza ujenzi wa kiwanda cha kusafisha mafuta Tanga
Rais wa Kenya William Ruto ametoa wito wa ushirikiano wa kikanda na ushirikiano wa kiuchumi, akizitaka Kenya na Tanzania kuimarisha uhusiano wa uwekezaji na kuepuka tofauti zinazogawanya majirani hao wawili
Urusi inaisaidia Iran vipi katika vita vinavyoendelea?
https://www.bbc.com/swahili/articles/c62rednvdjpo?at_medium=RSS&at_campaign=rss
https://www.bbc.com/swahili/articles/c62rednvdjpo?at_medium=RSS&at_campaign=rss
BBC News Swahili
Urusi inaisaidia Iran vipi katika vita vinavyoendelea?
Urusi inaisaidia Iran kwa kuwapa taarifa za kijasusi, kufuatilia picha za setilaiti, kuwapa teknolojia mpya ya ndege zisizo na rubani pamoja na ushauri wa kijeshi.