ANGUKO
Wiki hii limetokea tena anguko kubwa sokoni, Kitu kama hiki kilitokea mwaka 2020 wakati wa COVID!
✨ Etherium imeshuka kufikia kipindi cha anguko la FTX
✨ Altcoins ( Coin zingine tofauti na Bitcoin) zimeshuka mnoo
✨ Hisa za Nasdaq zimerudi zilikokuwa mwaka 2021
Je tutegemee soko kupanda Sanaa mwaka huu ( BULL RUN) kama wengine wanavyodhani ?
@TanzatoChannel✅

@TanzatoChannel
Please open Telegram to view this post
VIEW IN TELEGRAM
👍7
DARASA BURE KABISA
Ijumaa, 23 MAY 2025 Tutakuwa na Darasa la Bure Kabisa.!
TOPIC: NAMNA RAHISI YA KUTENGENEZA PESA KUPITIA CRYPTOCURRENCY
MWALIMU: Mtaalamu @Manpierre✅
MUDA: 09:30 pm - 10:30 pm
Inawezekana umekosa madarasa kibao humu ndani lakini HII SI YA KUKOSA KABISA 🔥! Narudia tena Usikose Hii 📌
Hata kama wewe ni Beginner kabisa njoo ujifunze, tutakuwa na dakika 20 tu za mwanzo! kwaajili ya Beginners! 😊 Tuzingatie mda! ⏰
MAHALI: HapaHapa @TanzatoChannel✅
Join sasa, washa notification na share na wengine
Share this Good news everywhere...!
Kabla ya nusu mwaka 2025, tunataka kutoa elimu hii BURE kabisa! watu wajifunze!
TANZATO
✍️Sharing Is Winning🏆
@TanzatoChannel✅
Ijumaa, 23 MAY 2025 Tutakuwa na Darasa la Bure Kabisa.!
TOPIC: NAMNA RAHISI YA KUTENGENEZA PESA KUPITIA CRYPTOCURRENCY
MWALIMU: Mtaalamu @Manpierre
MUDA: 09:30 pm - 10:30 pm
Inawezekana umekosa madarasa kibao humu ndani lakini HII SI YA KUKOSA KABISA 🔥! Narudia tena Usikose Hii 📌
Hata kama wewe ni Beginner kabisa njoo ujifunze, tutakuwa na dakika 20 tu za mwanzo! kwaajili ya Beginners! 😊 Tuzingatie mda! ⏰
MAHALI: HapaHapa @TanzatoChannel
Join sasa, washa notification na share na wengine
Share this Good news everywhere...!
Kabla ya nusu mwaka 2025, tunataka kutoa elimu hii BURE kabisa! watu wajifunze!
TANZATO
✍️Sharing Is Winning🏆
@TanzatoChannel
Please open Telegram to view this post
VIEW IN TELEGRAM
🔥4🙏3👍2🤩2
TANZATO CHÀNNÈL 🇹🇿 pinned «DARASA BURE KABISA Ijumaa, 23 MAY 2025 Tutakuwa na Darasa la Bure Kabisa.! TOPIC: NAMNA RAHISI YA KUTENGENEZA PESA KUPITIA CRYPTOCURRENCY MWALIMU: Mtaalamu @Manpierre ✅ MUDA: 09:30 pm - 10:30 pm Inawezekana umekosa madarasa kibao humu ndani lakini HII…»
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Aliyekuwa CEO wa Bianance Changpeng Zhao anaamini Bitcoin itafikia dola 500,000 au Dola millioni 1 mwaka huu!
Comment Bei yako hapo...Unafikiri BTC itafikia Dola ngapi? 👇
@TanzatoChannel✅
Comment Bei yako hapo...Unafikiri BTC itafikia Dola ngapi? 👇
@TanzatoChannel
Please open Telegram to view this post
VIEW IN TELEGRAM
🔥6
BTC Imevuka Level ya $99,OOO na sasa Inafukuzia $100,000
Je tutegemee $100k soon?
Ndio 👍
Hapana 🤩
@TanzatoChannel✅
Je tutegemee $100k soon?
Ndio 👍
Hapana 🤩
@TanzatoChannel
Please open Telegram to view this post
VIEW IN TELEGRAM
👍10🤩4
MUHIMU
Hello Family, kwa wale Wanafunzi wapya kabisa wanaotaka kujifunza Cryptocurrency na members wapya, Hakikisha unawasha notification (unmute), ili usipitwe na taarifa mpya
Kesho Jioni nitatoa mwongozo kamili kwa wale Beginners wote wanaotaka kujifunza CryptoCurrency....
Kama wewe Una uzoefu kidogo pia usijali, hapa hatumalizi kujifunza...Get Ready....📌📌
@TanzatoChannel✅
Sharing Is Winning

TANZATO CHÀNNÈL 🇹🇿 pinned «MUHIMU Hello Family, kwa wale Wanafunzi wapya kabisa wanaotaka kujifunza Cryptocurrency na members wapya, Hakikisha unawasha notification (unmute), ili usipitwe na taarifa mpya Kesho Jioni nitatoa mwongozo kamili kwa wale Beginners wote wanaotaka kujifunza…»
KINACHOENDELEA SOKONI
BTC/ALTCOIN UPDATE:
Kwanza kabisa Bitcoin Dominance inashuka kwa kasi sana sokoni
Wakati huo huo pair ya ETH/BTC inapanda kwa Kasi.
Mara nyingi inapotokea hivi, liquidity au mzunguko wa Altcoins (coin zingine tofauti na Bitcoin) huongezeka.
Hivyo tutegemee katika Robo ya mwisho wa mwaka, altcoins kupanda sana.
@TanzatoChannel✅
Sharing is Winning
BTC/ALTCOIN UPDATE:
Kwanza kabisa Bitcoin Dominance inashuka kwa kasi sana sokoni
Wakati huo huo pair ya ETH/BTC inapanda kwa Kasi.
Mara nyingi inapotokea hivi, liquidity au mzunguko wa Altcoins (coin zingine tofauti na Bitcoin) huongezeka.
Hivyo tutegemee katika Robo ya mwisho wa mwaka, altcoins kupanda sana.
@TanzatoChannel
Sharing is Winning
Please open Telegram to view this post
VIEW IN TELEGRAM
👍3🤩3
Bei ya Simu za Apple ungenunua kwa Bitcoin mwaka 2015 ukilinganisha na mwaka 2025.
✨Kama hujaelewa picha, tafsiri rahisi ni kwamba thamani ya Bitcoin inapanda isivyo kawaida.
@TanzatoChannel✅
Sharing Is Winning
✨Kama hujaelewa picha, tafsiri rahisi ni kwamba thamani ya Bitcoin inapanda isivyo kawaida.
@TanzatoChannel
Sharing Is Winning
Please open Telegram to view this post
VIEW IN TELEGRAM
👍1🔥1
Please open Telegram to view this post
VIEW IN TELEGRAM
Please open Telegram to view this post
VIEW IN TELEGRAM
🔥2
NAMNA YA KUFANYA MULTI-TIME FRAME ANALYSIS
Ukitaka kuwa profitable trader lazima uchambue soko kuanzia time-frame kubwa kuja ndogo, hii ni muhimu ili kujua direction ya soko, muundo wa soko na sehemu ya kuingilia sokoni (Entry). Hii inaitwa Top down analysis
Nimekuchambulia hapa time-frame za muhimu na nini cha kuchukua kwenye kila time-frame
⚡4H - Hapa tunapata picha kubwa ya soko. Tunapata uelekeo (direction), level za muhimu (key levels), pamoja na supply and demand levels.
⚡1H - Huonyesha muundo wa soko (yaani structure), reversals, order blocks, gap za muhimu pamoja na breakout za kupanda au kushuka kwa soko.
⚡15m - Hapa ndipo tunapata timing ya sehemu za kuingilia sokoni. ( liquidity grabs sokoni)
Usipozingatia mojawapo ya hizo time-frame, either hutaelewa picture kubwa ya soko au utakosa sehemu sahihi ya kuingilia na utafeli sokoni.
@TanzatoChannel
✍Sharing Is Winning🏆

🙏4
Dhahabu imeweka historia ya kupanda na kufikia bei ya Dola 4,000 kwa ounce moja kwa mara ya kwanza katika historia.
Wawekezaji wengi wanakimbilia kununua dhahabu kama njia salama ya kuhifadhi mali zao kutokana na mivutano mbalimbali ya kimataifs na kupambana na mfumuko wa bei.
Kupanda huku kwa thamani ya dhahabu kunapelekea dhahabu kuwa njia bora zaidi ya muda wote ya kutunza thamani ya pesa (ultimate store of value).

🔥4
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
BREAKING MUDA HUU:
Trump amesema kuwa America hawatarajii kabisa kuuza Bitcoin walizonazo.
Hii kauli inaweza kusababisha soko la Bitcoin kupanda tena!
@TanzatoChannel
✍Sharing is Winning 🏆

Muhimu: 🇺🇸 Taarifa za mfumuko wa bei za marekani kutoka saa 9 na nusu alasiri ya leo 24 Oktoba.
Kama mfumuko wa bei ukiwa chini kuna uwezekano ikapelekea soko la Bitcoin na sarafu zingine kupanda kwa kasi sana.
Kama mfumuko wa bei ukiwa juu, inaweza kupelekea soko la Bitcoin na masoko mengine kushuka zaidi
Mara tu baada ya taarifa hii kutolewa inaweza kupelekea soko kupanda au kushuka haraka sana.
Tutatoa taarifa hapa na wale traders wa masoko mbalimbali ni muhimu kuzingatia taarifa hii.

🔥3
TANZATO CHÀNNÈL 🇹🇿
Muhimu: 🇺🇸 Taarifa za mfumuko wa bei za marekani kutoka saa 9 na nusu alasiri ya leo 24 Oktoba. Kama mfumuko wa bei ukiwa chini kuna uwezekano ikapelekea soko la Bitcoin na sarafu zingine kupanda kwa kasi sana. Kama mfumuko wa bei ukiwa juu, inaweza kupelekea…
🆕BREAKING: kiwango cha mfumuko wa bei cha marekani kimepungua kidogo.
🇺🇸 CPI (YoY): +3.0% (vs. +3.1% est.)
🇺🇸 Core CPI (YoY): +3.0% (vs. +3.1% est.)

TRUMP:
Rais Trump yuko tayari kuidhinisha mswada mpya wa vikwazo dhidi ya Urusi, lakini kwa sharti kwamba umpe mamlaka ya kipekee ya kuamua ni lini na jinsi gani vikwazo hivyo vitatekelezwa, kulingana na Reuters.

🔥2🤩2😢1
Hawa ndio waanzilishi wakuu wa miradi ya crypto kulingana na thamani ya miradi yao na miaka ya kuanzishwa:
🟧 Satoshi Nakamoto (Bitcoin)
💰 Thamani ya Mradi: $2.12 Trilioni
📅 Ilianzishwa: 2009
💜 Vitalik Buterin (Ethereum)
💰 Thamani ya Mradi: $588 Bilioni
📅 Ilianzishwa: 2015
🟡 Changpeng Zhao (Binance)
💰 Thamani ya Mradi: $150 Bilioni
📅 Ilianzishwa: 2017
Wengine ni Brian Armstrong mwanzilishi wa Coinbase pamoja na JackDorsey mwanzilishi wa Twitter ambaye baadae akaanzisha Kampuni ya Bluesky.
Thamani hizi zinaonyesha ukubwa na nguvu ya miradi hii kwenye soko la sarafu za kidijitali mwaka 2025

🚨 Habari za Hivi Punde:
Kampuni ya magari ya kifahari Lamborghini yazindua rasmi wallet ya kwanza ya Bitcoin yenye chapa yake leo.
Hatua hii inazidi kuimarisha matumizi ya Bitcoin duniani kote 📌.