🌀 SiriTime – Hatimaye Tumeanza!
Safari ya kutafuta majibu sasa inaanza rasmi.
Leo nimefungua channel hii – SiriTime – kwa wale wanaotaka kuelewa zaidi ya kinachoonekana. Hii si channel ya habari za kawaida. Hapa tunatazama kwa macho ya tatu, tunasikiliza sauti ambazo wengine hawawezi kusikia, na tunahoji maswali ambayo wengi huogopa kuuliza.
“Uchawi ni Nini?” – ni tafakari ya kina kuhusu kile ambacho jamii huogopa, sayansi huhoji, na roho hujua ndani kwa ndani. Tutaangalia uchawi kutoka kwa jicho la sayansi, falsafa, historia, na teknolojia ya Quantum.
📆 Episode ya kwanza itatoka rasmi tarehe 20 Mei 2025.
Jiandae kwa mfululizo wa sehemu nne utakaobadilisha mtazamo wako kuhusu kile unachoita "kisichoeleweka".
Karibu SiriTime. Hapa, maswali ni muhimu kuliko majibu. #SiriTime #UchawiNiNini #comingSon 🔮🧬

Mfululizo wetu wa kwanza:

❤1👍1
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
✨SIRITIME : je? unaitaji kufahamu zaidi siri za huu ulimwengu - ( subscribe ) ili kupata video zetu mpya tunazo Endelea kuziandaa...
🩵👇 Share na marafiki ...
https://youtube.com/@siritime
🩵👇 Share na marafiki ...
https://youtube.com/@siritime
🌓Pande Za Ulimwengu | hii ni sehemu ya pili ya tafiti zangu nimeshiliki nawe " Tizama na utoe maoni yako ... subscribe kwasababu kuna kazi kubwa team yetu iko bize kuandaa 👇🏻👇🏻
https://youtu.be/bhUUlXin-T4
pia hii tafiti iko na sehemu mbili za mwisho @SiriTime ©️2025
https://youtu.be/bhUUlXin-T4
pia hii tafiti iko na sehemu mbili za mwisho @SiriTime ©️2025
1️⃣ “Hakuna camera inayo record kila kitu unachofanya, isipokuwa haya maisha ndiyo lenzi ya kamera yenyewe...”
➡️ maisha yenyewe ni mfumo wa kurekodi matendo yetu — si kwa kifaa cha nje, bali kwa uwepo wenyewe. Maisha ni uangalizi wenye ufahamu. Upo ndani ya kamera, na wewe ndiye picha
@SiriTime | #camera #ulimwengu #hakunakujificha #maisha #miujiza

❤1
🔮 SIRI TIME — Makala Rasmi: “Binadamu Sio Mwili”
Sehemu ya Utangulizi wa Mfululizo Mpya
Kuna kitu ambacho tumefichwa kwa karne nyingi…
Kitu ambacho hakifundishwi mashuleni, hakifundishwi makanisani, na hakionekani kwenye vitabu vya mfumo.
Kwamba binadamu sio mwili.
Na sio kila mwenye mwili wa kibinadamu ni binadamu.
Katika ulimwengu huu, kuna tofauti kubwa sana kati ya:
Human — mwili wenye akili
na
Binadamu — roho iliyoamka, yenye utu na dhamira.
Lakini dunia imechanganya hivi viwili makusudi.

Siri Time
🔮 SIRI TIME — Makala Rasmi: “Binadamu Sio Mwili” Sehemu ya Utangulizi wa Mfululizo Mpya Kuna kitu ambacho tumefichwa kwa karne nyingi… Kitu ambacho hakifundishwi mashuleni, hakifundishwi makanisani, na hakionekani kwenye vitabu vya mfumo. Kwamba binadamu…
Kwa sababu ukitambua wewe ni nani…
mfumo hawezi kukutumia.
Haufuatwi kwa akili za umati.
Hauwezi kudhibitiwa kirahisi.
Na hauwezi kufinyangwa kama plastiki.
Ndiyo maana elimu ya dunia hufundisha:
– Biological structure
– Evolution
– Body systems
Lakini haifundishi:
– Thamani ya utu
– Nguvu ya roho
– Wajibu wa nafsi
– Maana ya kuwa binadamu
Kwa nini?
Kwa sababu mtu aliyeamka ni hatari kwa mfumo.
Anauliza maswali.
Anafikiria tofauti.
Na hafungwi kirahisi.
Wazee wa kale wa Afrika walijua siri hii.
Walisema:
“Mwili ni kivuli.
Utu ndiyo asili.
Roho ndiyo binadamu.”
Lakini baada ya karne za kubadilishwa, tukafundishwa kuwa:
Binadamu = mwili unaotembea.
Na utu = kitu cha pembeni.
Ndiyo maana leo unakutana na watu wengi…
Wenye miili ya kibinadamu, lakini bila ubinadamu.
Wenye akili kubwa, lakini roho iliyokufa.
Wenye elimu, lakini wasio watu.
Hapo ndipo unaanza kuona picha:
– Mtu anakutumia bila huruma.
– Anakukimbilia tu anapohitaji.
– Hafikiri japo kidogo hali yako.
– Anaona msaada kama haki yake.
– Anaona unafaa kuwa chombo, sio mtu.
Kwa sababu wawo ni human, sio binadamu.
Na unashangaa kwa nini hawana utu kama wako.
SiriTime leo inafungua mlango huu…
Kwa mara ya kwanza, tunachambua:
🔸 Maana ya kuwa binadamu
🔸 Tofauti ya human na binadamu
🔸 Jinsi mfumo unavyounda watu wenye mwili lakini bila roho
🔸 Kwa nini watu wenye utu huitwa “wajinga” na dunia
🔸 Kwa nini watu makini hukaa kimya, mbali, na wanadamu walioharibika
🔸 Na jinsi ya kulinda nafsi yako isigeuzwe kuwa “kifaa cha mfumo”
Huu ni mwongozo wa kundi dogo sana
wale ambao akili zao zimeamka bila kujua kuwa zimeamka.
Karibu kwenye mfululizo huu.
SiriTime.
Tunachafua ukimya.
Tunafunua kilichofichwa.