NJIA RAHISI SANA YA KUAGIZA BIDHAA NJE YA NCHI NA ZIKUFIKIE HADI ULIPO KWA BEI NAFUU SANA
https://youtu.be/Z9dyy-tfrWE
Naomba support yako kwa ku View,SUBSCRIBE,Like, Comment na ku SHARE kwa ndugu jamaa na rafiki TUJIFUNZE KWA PAMOJA π

YouTube
NJIA RAHISI SANA YA KUAGIZA BIDHAA NJE YA NCHI NA ZIKUFIKIE HADI ULIPO KWA BEI NAFUU SANA
Microsoft.Office.2016-2019x64.v2022.10.iso
2.2 GB
Microsoft Office 2016-2019 Windows 64bit
Microsoft.Office.2016-2019x86.v2022.10.iso
2 GB
Microsoft Office 2016-2019 Windows 32bit
Microsoft_Office_LTSC_2021_Professional_Plus_16_0_14332_20529_2023.iso
2.4 GB
Microsoft Office 2021 Windows
Habari za Leo ndugu zangu, Leo nimetoa video mpya naomba sapoti yako kwa ku SUBSCRIBE LIKE COMMENT na pia ku SHARE I hope pia utajifunza mengi sana π€
TUSAFIRI PAMOJA KWENDA
COCO BEACH KWA DAKIKA 10|| NIMEKUTA WACHINA WANATAFUTA VYAKULA VYA BAHARINI.
https://youtu.be/sM526PfBouw

TUSAFIRI PAMOJA KWENDA COCO BEACH KWA DAKIKA 10|| NIMEKUTA WACHINA WANATAFUTA VYAKULA VYA BAHARINI.
ENGLISH:
Join me, Samwel Efrem, on a quick 10-minute trip to Coco Beach in Dar es Salaam, where I meet some Chinese friends searching for fresh seafood! ππ€ Discover the beauty of the beach and learn more about Tanzaniaβs vibrant culture.
KISWAHILI:
Tembeaβ¦

CROWN MEDIA TOUR
https://youtu.be/etR_bVFoxmU
Naomba utumie dakika yako kwenda kuitazama video na nikuombe usiondoke bila kuacha LIKE yako π

Jumanne nilipata nafasi ya kutembelea studio za crown media nikafanya michakato ya kuifanya hiyo media tour na hatimaye alhamisi nilifanikiwa nilibahatika kuonana na watu muhimu ambao tulikuwa tukifahamiana kupitia mitandao ya kijamii na hatimaye tulionanaβ¦
KABLA HUJA UPDATE IOS 26 ANGALIA VIDEO HII
https://youtu.be/ZJa60sO1K_c
https://youtu.be/ZJa60sO1K_c
KWA SASA NAOMBA WATUMIAJI WA APP YETU WATAIPATA KUPITIA VERSION HII HAPA
NEW FEATURES:
π¨ Tengeneza account kwa namba yoyote unayotaka
π¨Hauhitaji tena kusubiria admin aku approve
π¨Kuna mkeka ninauweka pale muda si mrefu hakikisha unaufuata
π¨KESHO UPDATES nyingine zitaendelea
π¨Naomba watumiaji wetu wa IOS waendelee kuwa watulivu
Ahsanteni sana nawatakia jioni njema
Android users only: https://bit.ly/Samalentipsversion2
Ios : still on progress

This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Kwa majina ninaitwa Samwel Efrem Mosha, ni mwanzilishi (founder) wa majukwaa mbalimbali ya kiteknolojia ikiwemo SAMALEN TV, SAMALEN AI, pamoja na mengine mengi yanayolenga kuhamasisha, kuelimisha na kubadilisha maisha ya vijana kupitia teknolojia.
Jinsi ya Kupiga Kura
1. Fungua kiungo: andika teya.or.tz/vote kwenye kivinjari chako (preferably Chrome au Safari).
Epuka kutumia browsers za ndani ya apps kama Instagram au Facebook.
2. Tumia βSearchβ au βLoad Moreβ kunitafuta kwa jina SAMWEL MOSHA kisha bonyeza Vote.
3. Ingia kwa kutumia akaunti yako ya Google (Gmail) na fuata hatua zote.
4. Nipate tena kwenye orodha na bonyeza Vote.
Umefanikiwa!
MUHIMU
β’ Kura 1 tu kwa mgombea kwa kila Gmail.
β’ Hata hivyo, Gmail moja inaweza kupiga kura kwa wengine kama wanashiriki kwenye tuzo tofauti.
Naomba sapoti yako

Habari baada ya yote yaliyotokea na Mungu akatusaidia tukasimama imara katika yote Leo Rasmi SAMALEN MUSIC inakuletea Mwimbo wa Faraja na kututia moyo sisi kama Watanzania HII NI MAKOMBORERO ya Tanzania OFFICIAL RELEASED !!
Naomba tukaisikilize kisha tuweke maoni yetu na tuipeleke duniani https://audiomack.com/samalen/song/tanzania-for-jesusmakomborero?share-user-id=64127814
Youtube: https://youtu.be/TAKXMuXqsPw?si=gh_WOB5OINZX_-sV
TWENDENI TUKASIKILIZE π

Audiomack
Tanzania for Jesus(Makomborero) by Samwel Efrem(Samalen): Listen on Audiomack
Tanzania for Jesus(Makomborero) song from Sam. Release Date: December 24, 2025.
π¦ππ ππππ‘ π§πππ π pinned Β«Habari baada ya yote yaliyotokea na Mungu akatusaidia tukasimama imara katika yote Leo Rasmi SAMALEN MUSIC inakuletea Mwimbo wa Faraja na kututia moyo sisi kama Watanzania HII NI MAKOMBORERO ya Tanzania OFFICIAL RELEASED !! Naomba tukaisikilize kisha tuwekeβ¦Β»
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Wapendwa wafuatiliaji wetu wa SAMALEN TV na SAMALEN TIPS,
Tunawatakia kwa dhati Heri ya Sikukuu ya Krismas iliyojaa upendo, amani na furaha tele.
Tunapofunga mwaka huu na kuukaribisha Mwaka Mpya 2026, tunawatakia baraka, afya njema, mafanikio na neema nyingi katika maisha yenu.
Asanteni sana kwa kuendelea kutuunga mkono na kuwa sehemu ya familia yetu.
Krismas Njema na Mwaka Mpya Mwema 2026! πβ¨

π1
Asanteni sana familia ya SAMALEN TV! π
Leo tunashukuru Mungu na nyinyi wote kwa kufikisha subscribers 9,000 kwenye YouTube. Hii si namba tu, bali ni ushahidi wa upendo, imani, na sapoti yenu kwetu. Kila mmoja wenu ni sehemu muhimu ya safari hii.
Tunawakaribisha zaidi marafiki, ndugu, na wote wanaopenda kupata habari, mahojiano, na maudhui bora kujiunga na familia ya SAMALEN TV. Safari bado inaendelea, na kwa pamoja tunaenda kufikia 10,000 na zaidi!
Karibuni sana, subscribe, share, na endeleeni kuwa nasi.
SAMALEN TV β Sauti ya Jamii.

π₯1
Asanteni watu 1.3K kwa kuipakua App : SAMALEN TIPS
endelea ku share na kwa wengine ambao hawana App hii https://bit.ly/SAMALENTIPSFT