INDONESIA: MARADHI YATOKANAYO NA SHUGHULI ZA UCHAGUZI YASABABISHA VIFO 272
> Vifo hivyo vimetokana na maradhi yaliyosababishwa na kufanya kazi zinazohusiana na uchaguzi kwa muda mrefu bila ya kupumzika
> Msemaji wa tume ya uchaguzi amesema idadi hiyo ni ya hadi juzi usiku, huku wengine 1,878 wakiwa wanaugua maradhi hayo
Soma - https://jamii.app/VifoMaradhiUchaguzi
#JFInternational

SRI LANKA: MAMLAKA ZIMEZUIA UVAAJI WA ‘NIKAB’ KWA SABABU ZA KIUSALAMA
- Maamuzi haya yana lengo la kuweka wepesi kwa jeshi la polisi kuweza kutambua wahalifu wa milipuko iliyotokea tarehe 21 na ni maamuzi ya muda mfupi
Soma https://jamii.app/NikabBanSafety

WANACHAMA WA NSSF WAANDAMANA MPAKA UBUNGO PLAZA KUDAI MAFAO YAO
> Wanachama wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), wamekusanyika leo, Aprili 29 katika Ofisi za NSSF Wilaya ya Kinondoni zilizopo Ubungo Plaza wakidai malipo ya stahiki zao
> Wameilalamikia NSSF kwa kushindwa kuwalipa mafao yao kwa wakati licha ya kukamilisha taratibu zote
Soma - https://jamii.app/MadaiStahikiNSSF

AFYA: UHUSIANO KATI YA MAKUNDI YA DAMU
Bila shaka umewahi kusikia kuwa kuna baadhi ya makundi hayawezi kupeana damu panapo uhitaji
Je, unajua kundi lako la damu na makundi unayoweza kuwasaidia ama kukusaidia damu?
Zaidi, soma https://jamii.app/BloodGroups
#JFAfya #JFLeo

DAKTARI FEKI ASAKWA KWA KUSABABISHWA KIFO KWA MGONJWA
> Kamati ya Ulinzi na Usalama Wilaya ya Igunga mkoani Tabora inamtafuta Emmanuel Peter (50), kwa tuhuma ya kusababisha kifo cha Nyandu Ndege (19), mkazi wa kitongoji cha Mwangowe wakati akimtibu nyumbani kwake
> Nyumba yake ilikutwa na dawa mbalimbali na mabomba ya sindano kwenye maboksi
Soma - https://jamii.app/DktFekiKifoMgonjwa

KILIMO: FAHAMU KUHUSU KILIMO CHA VIAZI MVIRINGO
Kupitia JamiiForums, kwenye Jukwaa la Kilimo, Ufugaji na Uvuvi kuna mjadala unaendele ambapo mmoja wa wanachama ameomba apewe maelekezo ya namna ya kufanya kilimo cha Viazi Mringo
-
Baadhi ya michango iliyotolewa na wachangiaji wengine ni pamoja na;
Kwanza chagua shamba zuri lisilo na bakteria, uliza historia ya shamba, angalia majani yalivyoshamili au mazao yaliyopo. Chunguza chanzo cha maji kilipo, hakikisha maji ni ya uhakika na yasiwe ya kugombania
Mbegu bora ni Kala, Tigo na Obama na mbolea ni DAP, NPK na CAN. Pandia DAP mfuko mmoja na nusu au miwili na kama utatumia CAN basi ni mifuko 1 mpaka 2
Viazi vikichomoza, wiki ya pili anza kutifulia na vikianza kutoa watoto chini weka mbolea CAN na NPK. Wiki ya 3 mpaka ya 5 weka mbolea upande wa juu, usiweke kwenye mteremko. Kama utawahi mwezi 5 piga dawa za ukungu na mbolea za majani
Kujifunza kilimo hicho na kilimo cha mazao mengine Soma zaidi https://jamii.app/KilimoViaziMviringo

ANAYEDHANIWA KUWA KIONGOZI WA ISIS AZUNGUMZA KUPITIA VIDEO
- Abu Bakr Al-Baghdadi amekaririwa akisema “mapigano huko Baghouz yamekamilika”
- Hii ni baada ya kutoonekana hadharani tangu July 2014 alipoonekana akiwa kwenye Msikiti huko Mosul
Soma https://jamii.app/ISISLeaderSpeaks

HAI, KILIMANJARO: SERIKALI KUANZISHA SOKO LA MNADA WA MADINI
> Hatua hii ni sehemu ya utekelezaji wa agizo la Rais Magufuli la kutaka Wakuu wa Mikoa kuanzisha masoko ya madini
> Soko hili litaanzishwa ili kurahisisha biashara ya madini
Soma > https://jamii.app/SokoMadiniKIA

MAREKANI: NAIBU MWANASHERIA MKUU ATANGAZA KUJIUZULU
> Rod Rosenstein, amewasilisha barua ya kujiuzulu kwa Rais Trump. Ataondoka katika nafasi hiyo Mei 11, 2019
> Ndiye aliyeunda timu ya kuchunguza tuhuma za Urusi kuingilia uchaguzi wa Marekani
Soma > https://jamii.app/RodRosesteinAjiuzulu

RAIS MAGUFULI AAGIZA MGODI WA KIWIRA UFUFULIWE NA HISA ZIHAMISHWE
> Rais John Magufuli amemwagiza Waziri wa Madini, Doto Biteko kukamilisha malipo ya madeni pamoja na kuhamisha hisa za 70% za Kampuni ya TanPower Resources kuja Serikalini ili Mgodi wa Makaa ya Mawe Kiwira uanze kazi mara moja
> Mgodi huo ulisimama kufanya kazi tangu mwaka 2005 kutokana na Kampuni ya TanPower Resources kushindwa kuuendesha na kuamua kuurudisha Serikalini
Soma - https://jamii.app/HisaMgodiKiwira

MBARONI KWA KUKUTWA NA NYARA ZA SERIKALI
> Ford Abel Mwakatundu (28) mkazi wa Makambako amekamatwa kwa kosa la kughushi nyaraka mbalimbali za Serikali ikiwemo leseni za udereva, TIN Namba, Bima za Magari pamoja na nyaraka za SUMATRA na kuziuza kwa watu kwa kiasi cha Tsh. 100,000/= kwa lengo la kujipatia kipato
Soma - https://jamii.app/MbaroniKughushiNyara

TANESCO YATOA MSAMAHA WA RIBA KWA WATEJA WANAODAIWA
> Shirika la umeme nchini limetangaza msamaha wa riba kwa wateja wote wanaodaiwa na shirika hilo na limetoa mwezi 1 wa kuwataka walipe deni la msingi
> Hadi sasa shirika hilo linadai zaidi ya shilingi bilioni 300 kutoka kwa wadaiwa wake
Soma - https://jamii.app/TanescoMsamahaRiba

AMWAGIWA MAFUTA YA TAA NA KUCHOMWA MOTO ILI KUONDOA MAPEPO
> Phillipo Elias (22), mkazi wa kijiji cha Musati Wilayani Serengeti, ameunguzwa moto mwilini wakati akiombewa Kanisani ili aponywe maumivu ya kichwa kwa kumwagiwa mafuta ya taa na kupigwa kiberiti kama njia ya kumfanyia ibada ya kumtoa pepo
> Mchungaji wa Kanisa la Cag Calvary, Anna Butake amesema yeye alilenga kuchoma moto nguo zilizoonekana kuwa na zindiko
Soma - https://jamii.app/MotoKanisaniMapepo

SERIKALI KUONGEZA POLISI KWENYE UCHAGUZI MKUU ZANZIBAR
> Serikali imesema iko tayari kuongeza idadi ya Askari Polisi wa kulinda usalama kwenye Uchaguzi Mkuu Visiwani Zanzibar kwa kile ilichokieleza kuwa katika kipindi hicho kumekuwa na matukio mengi ya ukiukwaji wa sheria unaosababaishwa na Chama Kikuu cha Upinzani Visiwani humo, CUF
Soma - https://jamii.app/FujoUchaguziZbar

RWANDA: MSEMAJI WA KUNDI LA WAASI AKAMATWA
> Meja Callixte Sankara alikamatwa katika mji wa Mayote Visiwa vya Comoro na watu wa usalama kutoka Kigali na kumrejesha nchini humo
> Sankara amekuwa akieneza propaganda za kuivamia Rwanda na kudai kukamata baadhi ya maeneo
Zaidi, soma https://jamii.app/MajorSankaraArrest

JAPAN: MFALME AKIHITO ATANGAZA KUACHIA MADARAKA
> Mfalme Akihito (85) ametangaza kuachia wadhifa wake huo baada ya miaka 30 ya kuwa Mfalme
> Kwa sasa mwanawe wa kiume, Naruhito atachukua wadhifa wa kuwa Mfalme mpya na ataapishwa kesho
Soma - https://jamii.app/JapanKingResigns

DAR KINARA WA AJALI ZA BARABARANI
> Takwimu zilizotolewa na kikosi cha usalama barabarani, zimeonesha kati ya ajali 776 zilizotokea nchini kwa kipindi cha Januari hadi Machi 2019, 416 zilitokea Dar es Salaam
> Kinondoni na Ilala zinaongoza kwa ajali kwani pekee zilikuwa na ajali 384 huku nyingi zikiwa ni za bodaboda
Soma - https://jamii.app/TakwimuAjaliBarabarani

URAMBO, TABORA: MWANAUME AKAMATWA KWA KUWAPA SUMU WATOTO WAKE WA KAMBO
> Mtoto Nyamizi Ally Ramadhani mwenye miaka 7 amefariki dunia huku huku Ally Ramadhan(4) akilazwa hospitali baada ya kuathiriwa na sumu
Zaidi, soma => https://jamii.app/BabaAwapaSumuWatoto

VENEZUELA: JUAN GUAIDO ATANGAZA MPANGO WA MWISHO KUMNG'OA MADURO
> Kiongozi wa upinzani, Juan Guaido ametangaza awamu ya mwisho ya harakati za kumuondoa madarakani Rais wa Taifa hilo, Nicolas Maduro
> Aandamana na vijana 70 wenye silaha
Soma > https://jamii.app/GuaidoVsMaduro