KENYA: MWANAHARAKATI CAROLINE MWATHA APATIKANA AKIWA AMEFARIKI
> Mwili wa mwanaharakati huyo umepatikana ktk chumba cha kuhifadhia maiti cha City Mortuary, Nairobi
> Caroline alikuwa mfanyakazi wa Shirika linaloandika kuhusu mauaji ya raia
Soma - https://jamii.app/CarolineMwathaFoundDead

MIGOLI, IRINGA: MBUNGE MWIGULU NCHEMBA APATA AJALI, AKIMBIZWA HOSPITALI YA DODOMA
> Mbunge huyo wa Jimbo la Iramba Magharibi alikuwa akisafiri kutoka Mkoani Iringa kuelekea Dodoma
Zaidi, soma => https://jamii.app/AjaliMwigulu

SERIKALI KUPITIA UPYA MKATABA WA UJENZI KITUO CHA FORODHA HOROHORO- TANGA
> Agizo hilo limetolewa baada ya miundombinu iliyopo kituoni hapo kuonekana haijakidhi viwango ikiwemo kukosekana kwa mawasiliano kati ya upande wa Tanzania na Kenya
Soma - https://jamii.app/UjenziKituoHorohoro

RAIS UFILIPINO APENDEKEZA JINA LA NCHI KUBADILISHWA
> Rais wa Ufilipino, Rodrigo Duterte amependekeza nchi hiyo kubadilisha jina kuwa "Maharlika"
> Jina la sasa lililotolewa kipindi cha utawala wa kikoloni na Mfalme wa Hispania ,Felipe II
Soma - https://jamii.app/PhilippinesToMaharlika

PINGAMIZI LA SERIKALI KWENYE KESI YA KUPINGA WAKURUGENZI WA HALMASHAURI KUSIMAMIA UCHAGUZI LATUPILIWA MBALI
> Kesi hiyo ilifunguliwa Mahakama Kuu na wanaharakati wakiongozwa na Wakili Fatma Karume(TLS)
> Serikali ilitoa pingamizi la kutaka wateule wa Rais na Wakurugenzi kuendelea kusimamia uchaguzi
Soma => https://jamii.app/KesiWakurugenzi

SERIKALI YAFUTA VIBALI VYA KUAGIZA SUKARI NJE YA NCHI
> Serikali imesema kuanzia sasa haitatoa vibali vya uagizaji sukari nje ya nchi badala yake itatafuta utaratibu mwingine wa kuagiza
> Lengo ni kuongeza uzalishaji wa sukari ndani ya nchi
Soma https://jamii.app/VibaliSukariNjeVyafutwa

NYANDARUA, KENYA: MWANAMKE AJERUHIWA BAADA KUTUMIA NUSU KILO YA UNGA KUPIKA CHAPATI 8 BADALA YA 20
> Mwanamke huyo ambaye ni mjamzito bado amelazwa Hospitali akiwa amepoteza fahamu
> Majirani wasema Mwanaume huyo humpiga Mkewe aghalabu
Soma > https://jamii.app/KeAmpigaMkewe

JE, NI KWELI BIASHARA ZA WANAWAKE HUFA KWA SABABU HIZI?
> Kukosa maarifa na elimu ya biashara. Kukosa msaada na ushirikiano na wengi hukosa ushirikiano hasa katika ngazi ya familia
> Kuiga au kukosa ubunifu, Msukumo wa tamaa ya vitu hata kama hawavimudu kifedha na Majukumu ya kifamilia ambayo husababisha ugumu
Changia maoni yako hapa - https://jamii.app/KufaBiasharaWanawake
#JFBiashara

WANANCHI KWENYE MPAKA WA KENYA NA TANZANIA WAZUIWA KUVUA
> Vifaa vya uvuvi vya wanakijiji wa Mahandakini vilikamatwa pamoja na wavuvi takribani 112 na vikosi vya ulinzi vya Kenya na kisha kufunguliwa mashtaka na kutozwa faini ya Ksh. 5000
Soma - https://jamii.app/MgogoroMpakaniTanga

UPELELEZI KWENYE KESI YA WEMA SEPETU WAKAMILIKA
> Miss Tanzania huyo(2006) anatarajiwa kusomewa maelezo ya awali Februari 21 kufuatia kukamilika kwa ushahidi upande wa Jamhuri juu ya kesi inayomkabili ya kusambaza picha za ngono mtandaoni
Soma - https://jamii.app/UpeleleziKesiWemaSepetu

SERIKALI YAAGIZA KUKAMATWA KWA MKURUGENZI WA KAMPUNI YA OBC
> Mkurugenzi wa Ortello Business Cooperation(OBC), Isack Mollel anatuhumiwa kuingiza Wafanyakazi wa kigeni wasio na vibali
> Kampuni hii ni ya uwekezaji kutoka Falme za Kiarabu
Soma => https://jamii.app/OBCKukamatwa

MARA: JAMBAZI SUGU ALIYEKUWA AKITAFUTWA TANGU 2016 AMEUAWA
> RPC Juma Ndaki amesema Jambazi huyo ameuawa wakati akijaribu kuwatoroka Askari wa Jeshi la Polisi
> Bunduki aina ya AK-47 aliyokuwa akiitumia kufanya uhalifu imekamatwa
Zaidi, soma => https://jamii.app/JambaziAuawaMara

WAZIRI LUGOLA ALIAGIZA JESHI LA POLISI LIWASAKE WANAOMKEJELI RAIS MAGUFULI MITANDAONI
- Amelitaka Jeshi la Polisi lishirikiane na TCRA kuwasaka wanaomkejeli Rais Magufuli na Serikali
- Watakaobainika watachukuliwa hatua za kisheria
Soma > https://jamii.app/LugolaVsKejeliRais

HOMA BAY, KENYA: NYUMBA 6 ZACHOMWA MOTO KWA TUHUMA ZA MMILIKI WAKE KUWA MCHAWI
> Aliyeshambuliwa kwa kuchomewa nyumba zake ni Mzee Gabriel Osaso(79)
> Anatuhumiwa kumuua Mwanafunzi wa Darasa la Kwanza kwa kutumia nguvu za giza
Zaidi, soma => https://jamii.app/NyumbaMotoHomaBay

BABATI, MANYARA: BARAZA LA MADIWANI LAMNG'OA MWENYEKITI WAKE
> Aliyevuliwa nafasi hiyo ni Mohammed Kibiki(CHADEMA)
> Anatuhumiwa kuwa ameshindwa kubuni vyanzo vya mapato vitakavyoisaidia Halmashauri hiyo
Zaidi, soma https://jamii.app/BarazaBabati

BABATI, MANYARA: MWENYEKITI WA KIJIJI CHA GIJEDUBUNG ATOWEKA
> Mwenyekiti wa Kijiji hicho, Kwaslema Sanka(CHADEMA) aliondoka nyumbani kwake asubuhi ya tarehe 9 Februari 2019 akiwa na Pikipiki yake. Hakurejea tena na haijulikani yuko wapi
Sima > https://jamii.app/MwenyekitiKijijiAtoweka

INDONESIA: MTANZANIA AKAMATWA NA KETE 99 ZA DAWA ZA KULEVYA
> Abdul Rahman Asman(40) amekamatwa na kete hizo alizozimeza akijaribu kuingia nazo nchini humo
> Huenda akahukumiwa kifo cha kuchomwa moto kwa mujibu wa sheria za nchi hiyo
Soma > https://jamii.app/MtanzaniaAkamatwaIndonesia

MBEYA: MJERUMANI AKAMATWA NA SILAHA AINA YA GOBOLE
> Mtu mmoja mwenye asili ya Ujerumani anashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Mbeya kwa kukutwa na bunduki aina ya gobole ambayo imetengenezwa kienyeji
> Hana vibali vya kuingia wala kuishi nchini
Soma - https://jamii.app/MjerumaniAkamatwaGobole

SERIKALI YAJIPANGA KUPIGA MARUFUKU UAGIZWAJI WA SAMAKI KUTOKA NJE
> Lengo la marufuku hii ni kuwainua Wavuvi wa ndani wanaolalamika kubaniwa soko na Samaki kutoka nje
> Tanzania inaagiza kwa wingi samaki kutoka China na Vietnam
Zaidi, soma => https://jamii.app/TzBansFishImports

MAHAKAMA YASEMA HAINA MAMLAKA YA KUMFUTIA KESI WALA KUMPA DHAMANA MICHAEL WAMBURA
> Taarifa hii imetolewa na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu baada ya Wakili wa Michael Wambura(aliyekuwa Makamu wa Rais - TFF) kuomba afutiwe mashtaka hayo
Soma https://jamii.app/WamburaVsMahakama