JamiiForums
56K subscribers
33K photos
1.9K videos
30.1K links
Official JamiiForums Telegram Channel | Be Informed, Engaged & Entertained
Download Telegram
KENYA: MANDONGA AMCHAKAZA MKENYA KWA NGUMI YA SUGUNYO

Bondia Mtanzania Kareem Mandonga amefanikiwa kupata ushindi wa TKO dhidi ya Daniel Wanyonyi katika pambano la uzito wa kati (Super-middleweight)

Kabla ya pambano hilo, Mandonga alisema atamchakaza mpinzani wake huyo kwa ngumi ya Sugunyo ambayo anadai ‘imetoka Ukraine kwenye mlipuko wa mabomu’

#JFSports #mandonga